CHAMA CHA WAENDESHA DALADALA WAPATA VIONGOZI WAPYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • Musa Njuga ametangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya mwenyekiti katika uchaguzi wa chama cha waendesha daladala mkoa wa Arusha uliofanyika Leo katika ukumbi wa chuo cha ufundi Arusha ATC.
    Akitangaza matokeo hayo mwenyekiti wa uchaguzi huo Abdallah Joel Amesema Njuga ameshinda kinyang'anyiro hicho kwa kupata kura 78 wakati wapinzani wake Paulo Shauri akipata kura 64 , na Gasper Peter Mosha ambaye amepata kura 14 .
    Kwa upande wa nafasi ya katibu mwenezi wa chama hicho ameshinda ndugu Majid Msuya kwa kupata kura 95.

ความคิดเห็น •