SAVVY MEDIA LIVE
SAVVY MEDIA LIVE
  • 91
  • 28 128
"KUUNGANISHA UMEME MAENEO YA VIJIJINI NI ELFU 27"- KAPINGA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema uunganishaji wa umeme kwenye maeneo ya Vijiji ni shilingi 27,000/- na maeneo ya Vijiji mji ni shilingi 320.960/-.
มุมมอง: 21

วีดีโอ

TUKIO LA UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 LASOGEZWA MBELE
มุมมอง 34 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, Toleo la 2023 sasa ni tarehe 01, Februari 2025. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dodoma kuhusu mabadiliko ya tarehe ya hafla ya uzinduzi wa Sera mpya ya Elimu
WANACHUO WAONYWA MATUMIZI YA SHISHA
มุมมอง 59 ชั่วโมงที่ผ่านมา
"Watoto wa kike walioko vyuoni wanaona kama shisha nikitu 'kinachotrend' na yeye anaona ngoja nitumie shisha ili na mimi nionekane mwanamke ninaeenda na wakati bila kujua kwamba matumizi ya shisha yanaweza kuchepushwa ikawekwa dawa za kulevya."_ Afisa ustawi Jamii Mamlaka ya kupambana na kudhibiti madawa ya kulevya Kanda ya Kaskazini Sarah Ndaba akiwa katika studio za Savvy Fm Arusha
FAMILIA ILINIKATIA TAMAA BAADA YA KUJIINGIZA KWENYE MADAWA YA KULEVYA
มุมมอง 529 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Angela Olomi Mraibu wa Madawa yakulevya ambaye yupo( Moshono Sober House) akiwa katika studio za Savvy Fm akielezea alivyoanza matumizi ya madawa ya kulevya mpaka familia yake kumkatia tamaa na kuamua kwenda 'Sober House'....
WANAWAKE WATAJWA KUONGOZA MATUMIZI YA SKANKA
มุมมอง 79 ชั่วโมงที่ผ่านมา
"Siku hizi kuna kitu kimeibuka kinaitwa skanka ni mchanganyiko wa bangi mbili, nikali kuliko cha Arusha, changamoto kubwa wakina dada siku hizi wanasema kwamba wakiwa na mawazo wanakimbilia kuvuta skanka wanaamini ndio njia pekee yakuwasahaulisha shida zao lakini wanajidanganya" _Abdulatif Afisa elimu jamii mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya kanda ya kaskazini.
HERI YA SIKU YA KUZALIWA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN
มุมมอง 3412 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Heri ya siku ya kuzaliwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan! Tunakutakia maisha marefu, afya njema, na mafanikio tele unapoendelea kuiongoza Tanzania kwa hekima na ujasiri. Uongozi wako ni taa inayotuongoza kwenye maendeleo.
SHIRIKA LA POSTA LAJA NA SWIFPACK, BODABODA ,BAJAJI KUNUFAIKA
มุมมอง 2812 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kaimu Meneja Shirika la Posta Arusha Godwin Kazi akizungumza katika kipindi za hukukwetu ndani ya studio za SAVVY FM amesema shirika hilo limezindua huduma za Swifpack ili kuhakikisha huduma za usafirishaji zinakidhi mahitaji ya wateja.
WASIRA RASMI MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA
มุมมอง 16914 วันที่ผ่านมา
Mwanasiasa mkongwe Stephen Wasira, amechaguliwa na wajumbe wa Mkutano mkuu wa (CCM) kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Tanzania Bara baada ya kupata kura 1,910 sawa na asilimia 99.42 huku kura 7 zikiwa za hapana 4 zikiharibika
MWANANCHI ANUSURIKA KUUAWA BAADA YA KUVAMIWA NA VIBAKA ARUSHA
มุมมอง 1.2K14 วันที่ผ่านมา
Wananchi wa mtaa wa Murieti Patel mkoani Arusha leo wamefyeka kichaka cha michongoma kilichopo eneo hilo kwa madai ya kuwa eneo Hilo limekuwa likitumika kuhifadhi wahalifu ambao wanafanya wizi na ubakaji wa wananchi baada ya mmoja wa mkazi wa eneo hilo kushambuliwa na kujeruhiwa vibaya. Wakizungumza Baadhi ya wananchi katika mtaa huo wamesema kuwa wamechoshwa na matukio hayo ya kihalifu ambayo ...
"NI MARUFUKU KIONGOZI KUPOKEA ZAWADI INAYOZIDI LAKI MBILI "MKUMBWA
มุมมอง 5021 วันที่ผ่านมา
Afisa Maadili kutoka Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Maadili ya viongozi wa umma Kanda ya Kaskazini-Arusha Josephat Mkumbwa akiwa katika studio za Savvy Fm akieleza uadilifu na viwango vya maadili katika ununuzi wa umma
MWANANCHI MONDULI AVAMIWA MAKAZI YAKE YACHOMWA MOTO, MALIASILI WAHUSISHWA
มุมมอง 14721 วันที่ผ่านมา
MWANANCHI MONDULI AVAMIWA MAKAZI YAKE YACHOMWA MOTO, MALIASILI WAHUSISHWA
GAMBO AMJIBU MAKONDA ,ASEMA BUNGE NDILO LINALOWEZA KUTOA TAARIFA YA YEYE KUHUDHURIA VIKAO
มุมมอง 19421 วันที่ผ่านมา
GAMBO AMJIBU MAKONDA ,ASEMA BUNGE NDILO LINALOWEZA KUTOA TAARIFA YA YEYE KUHUDHURIA VIKAO
UJUE UMUHIMU WA KUHAKIKI MALI ZA VIONGOZI WA UMMA
มุมมอง 4628 วันที่ผ่านมา
Asia Erasto Afisa Maadili Sekretarieti ya Maadili ya viongozi wa umma Kanda ya Kaskazini-Arusha akizungumza uhakiki wa tamko la rasilimali, maslahi na madeni kwa viongozi wa umma
WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA NA RADI MBEYA
มุมมอง 61หลายเดือนก่อน
Watu watano wa familia moja katika Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wamefariki Dunia na wengine watano wakijeruhiwa baada ya kupigwa na radi usiku wa kuamkia leo jumapili ya Desemba 29, 2024 . Akitoa taarifa ya tukio hilo Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya SACP Benjamin Kuzaga, amesema majira ya saa nane usiku katika kitongoji cha Nkangi Kijiji cha Isangawana,l Matwiga, Wilayani Chunya, watu watano w...
VIBAKA WAGEUKA KERO MWANAMA, VIONGOZI WATAFUTA SULUHU
มุมมอง 43หลายเดือนก่อน
VIBAKA WAGEUKA KERO MWANAMA, VIONGOZI WATAFUTA SULUHU
CHAMA CHA WAENDESHA DALADALA WAPATA VIONGOZI WAPYA
มุมมอง 29หลายเดือนก่อน
CHAMA CHA WAENDESHA DALADALA WAPATA VIONGOZI WAPYA
UJENZI WA UWANJA WA KISASA KWA AJILI YA AFCON WAFIKIA 16%
มุมมอง 1.5Kหลายเดือนก่อน
UJENZI WA UWANJA WA KISASA KWA AJILI YA AFCON WAFIKIA 16%
WANANCHI WAANDAMANA UBOVU WA BARABARA ARUSHA, DC AINGILIA KATI
มุมมอง 138หลายเดือนก่อน
WANANCHI WAANDAMANA UBOVU WA BARABARA ARUSHA, DC AINGILIA KATI
MGONGANO WA MASLAHI CHANZO CHA UKIUKAJI WA MAADILI KWA WATUMISHI WA UMMA
มุมมอง 7หลายเดือนก่อน
MGONGANO WA MASLAHI CHANZO CHA UKIUKAJI WA MAADILI KWA WATUMISHI WA UMMA
WANANCHI WAHOFIA NYUMBA ZAO KUBEBWA NA MAFURIKO
มุมมอง 109หลายเดือนก่อน
WANANCHI WAHOFIA NYUMBA ZAO KUBEBWA NA MAFURIKO
VIJANA WAWILI WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA BAADA YA KUMUUA LUFINGO
มุมมอง 272หลายเดือนก่อน
VIJANA WAWILI WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA BAADA YA KUMUUA LUFINGO
TOENI TAARIFA MNAPOONA KIONGOZI WA UMMA ANATUMIA MALI ZA UMMA KWA MASLAHI BINAFSI
มุมมอง 61หลายเดือนก่อน
TOENI TAARIFA MNAPOONA KIONGOZI WA UMMA ANATUMIA MALI ZA UMMA KWA MASLAHI BINAFSI
SAVVY MASALA NA SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU DUNIANI
มุมมอง 78หลายเดือนก่อน
SAVVY MASALA NA SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU DUNIANI
ZIJUE TARATIBU ZA KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA UKIUKWAJI WA MAADILI KWA VIONGOZI WA UMMA
มุมมอง 43หลายเดือนก่อน
ZIJUE TARATIBU ZA KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA UKIUKWAJI WA MAADILI KWA VIONGOZI WA UMMA
PRISON KUSAKA ALAMA (3) MBELE YA COASTAL ARUSHA
มุมมอง 222 หลายเดือนก่อน
PRISON KUSAKA ALAMA (3) MBELE YA COASTAL ARUSHA
MAPOKEZI YA RAIS SAMIA ARUSHA NI BALAA , MAGARI 500 YA KITALII YAMSINDIKIZA
มุมมอง 6062 หลายเดือนก่อน
MAPOKEZI YA RAIS SAMIA ARUSHA NI BALAA , MAGARI 500 YA KITALII YAMSINDIKIZA
ECOBANK WAKUTANA NA WADAU PAMOJA NA WATEJA WAO JIJINI ARUSHA KUPATA BREAKFAST PAMOJA
มุมมอง 816 หลายเดือนก่อน
ECOBANK WAKUTANA NA WADAU PAMOJA NA WATEJA WAO JIJINI ARUSHA KUPATA BREAKFAST PAMOJA
VIJANA WAJASIRIAMALI WA BIDHAA ZA KITALII WALIVYOANZISHA KIKUNDI CHA SOKA GROUP KUUTANGAZA UTALII
มุมมอง 267 หลายเดือนก่อน
VIJANA WAJASIRIAMALI WA BIDHAA ZA KITALII WALIVYOANZISHA KIKUNDI CHA SOKA GROUP KUUTANGAZA UTALII
"Millioni 3 hizi Cash ni kwa ajili ya kununua pikipiki iwe Rahisi pale utakapohitajika na jamii"
มุมมอง 2018 หลายเดือนก่อน
"Millioni 3 hizi Cash ni kwa ajili ya kununua pikipiki iwe Rahisi pale utakapohitajika na jamii"
FAHAMU CHANGAMOTO ZA VIJANA WANAOPAKA RANGI KUCHA NA KUOSHA MIGUU WATEJA WANAWAKE
มุมมอง 648 หลายเดือนก่อน
FAHAMU CHANGAMOTO ZA VIJANA WANAOPAKA RANGI KUCHA NA KUOSHA MIGUU WATEJA WANAWAKE