HOLLYWOOD KUUNGUA MOTO , UKWELI NI HUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 139

  • @jovinrwiza7413
    @jovinrwiza7413 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hiyo ni kazi ya Mungu akiamua kuadhibu watu wake wanaokwenda kinyume na sheria zake na amri zake.Hata kama nchi inauchumi mkubwa namna gani Mungu muumba mbingu na dunia akiamua kuadhibu hakuna anaweza kuzuia hasira na gadhabu yake.

  • @JmjrMtalika
    @JmjrMtalika 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nakukubali sana mkali

  • @PhysicalSecuritySystem
    @PhysicalSecuritySystem วันที่ผ่านมา +19

    Huyu JAMA alindwe tu😢😢😢😢😢😢

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uko vzr bro.

  • @African511
    @African511 วันที่ผ่านมา +6

    Brother unajitahidi sana kuujua ukweli na kusema kweli Big up sana Brother umenifanya nikufurahie

  • @SMCTRADER-b4t
    @SMCTRADER-b4t 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    Uyu jamaa nilitamani sana wakutane na Dj Smaa siku moja tunge injoi vitu vingi sana kwakweli

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha kabisaa kumfananisha Mwalimu Google na hao wasio jitambua 😭😭

    • @allykwaya
      @allykwaya 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni kweli kabisa, Tutapata vitu vingi zaidi,

    • @allykwaya
      @allykwaya 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@shinipapaya846 wote ni wachambuzi wazuri, kwasababu wote wanamtazamo unaofanana kutukumbusha kuhusu uongo wa siasa za kimagharibi

    • @SarhaSaid
      @SarhaSaid 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nikweli kabisa 👌

  • @michaelelia7058
    @michaelelia7058 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Brother una jua sana sana aisee MUNGU akubariki

  • @SarhaSaid
    @SarhaSaid 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakukubali sana kaka 🎉🎉

  • @SalimMohamedFaraj
    @SalimMohamedFaraj วันที่ผ่านมา +2

    Upo vizuri sana kwa taarifa yako nzuri sana

  • @KingsMoha-l9w
    @KingsMoha-l9w 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kweli kaka unafuatia nimekuelewa vzr

  • @elvisnzovu8282
    @elvisnzovu8282 วันที่ผ่านมา +2

    Anko I much love you so much and I appreciate your work that you always doing.

  • @ClementLeonard-h9m
    @ClementLeonard-h9m 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi mdukuzi tunakupata sana

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk วันที่ผ่านมา +3

    Nakupata vizuri sana mwalim upo sahihi wanatumia media kwa propaganda..Ahsante sana kwa habari

  • @OmarBakari-by2dv
    @OmarBakari-by2dv 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka ndo nakuelewa,,uko sawa.

  • @bensonjr4879
    @bensonjr4879 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Upo sahihi Man....Allah akulindeee

  • @kanukanute1514
    @kanukanute1514 วันที่ผ่านมา +2

    Upo vzr bro kaka

  • @andersonwills3004
    @andersonwills3004 วันที่ผ่านมา +10

    Una information kibao with evidence 💯🤯 appreciate brother

    • @JovinaSilvester
      @JovinaSilvester วันที่ผ่านมา

      Sas📱Hivi Unajua ukiangalia Video za TikTok instagram TH-cam unalipwa mpaka sh 30,000 💰 🤑 💸 kila siku
      kama uko tayari Nitxt WhatsApp kwa No:+255712412006

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hivi kumbe mizungu ni mijinga sana kumbe

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 วันที่ผ่านมา +2

    Nakuwerewa ndugu

  • @SantanaNunda-m8x
    @SantanaNunda-m8x วันที่ผ่านมา +2

    Salute 👏👏👏

  • @bhahiryawagalinde8580
    @bhahiryawagalinde8580 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nimependa Sana unavyotuelimisha

  • @EmmanuelKipkorir-q4t
    @EmmanuelKipkorir-q4t 59 นาทีที่ผ่านมา

    Ukweli

  • @hamismasoud8306
    @hamismasoud8306 วันที่ผ่านมา

    Kupitia wewe nimejua sana madhaifu ya marekani maisha yao nje nitofauti sana na maisha ya ndani

  • @BensonTegambwageDecordesign
    @BensonTegambwageDecordesign 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka mikono yangu juu unaweza,unajua,unafatilia,unastahiri ulinzi🫡🫡

  • @shebishabani-um4gw
    @shebishabani-um4gw 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ao wana laana tu allah atawa angamiza pamoja ao wazayuni

  • @farlykunga8599
    @farlykunga8599 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakuelewa san bro mkubwa..Mungu akuweke

  • @DeleAbdalla
    @DeleAbdalla วันที่ผ่านมา +1

    Snaaa ukwli

  • @EcaLusungu-jk3hp
    @EcaLusungu-jk3hp 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Asante kwa taarifa

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq วันที่ผ่านมา +9

    Tupandeni miti miti ni muhimu sana na Ina faida nyingi

  • @Abutwalhamwanyuki
    @Abutwalhamwanyuki วันที่ผ่านมา +1

    Naam mzee wa kuunganisha dot

  • @issakhamis9581
    @issakhamis9581 วันที่ผ่านมา +1

    Big up broo

  • @reginaedward4883
    @reginaedward4883 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    You are very right

  • @SalumMwashambwa
    @SalumMwashambwa 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka salut sana. wewe ni darasa hulu

  • @MosesKenedy
    @MosesKenedy 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kiukweli hata mimi nimeshangaa sana umetupa ukweli bro

  • @eliudkazoba5170
    @eliudkazoba5170 วันที่ผ่านมา +4

    Marekani wamekaribia kipindi cha maangamizo ya Sodoma na Gomora.

  • @tatankakoroba48
    @tatankakoroba48 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Good analysis

  • @ZongoKibwana
    @ZongoKibwana 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka mungu akulinde ❤❤❤

  • @QasammaMachibya
    @QasammaMachibya 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    hollwood nipango lamashoga, mungu amewanyosha nabado. amerca watasema2. bigupsanajamaayetu

  • @AlfaMtulo
    @AlfaMtulo 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hatali 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @antonychitara5707
    @antonychitara5707 วันที่ผ่านมา

    Hii nilikuwa naisubilia sana

  • @mukhsinimirajji4128
    @mukhsinimirajji4128 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂 ukweli mtupu

  • @KisagasiLuyangi
    @KisagasiLuyangi 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu Sasa ndio msomi, anafatilia Kwa usagihi, anasema ukweli, na anaelimisha😂😂 hapa Kuna chakujifunza

  • @johnkitwima6963
    @johnkitwima6963 วันที่ผ่านมา +4

    Hili janga lingetokea nchi za Afrika lingekuzwa sana na tungeambiwa limetuathiri sana kwa sababu hatuna uwezo wa kudhibiti h😂😂

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 วันที่ผ่านมา +1

    Asante kwatarifa 😂

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 วันที่ผ่านมา +2

    Wamekufa wangapi kwa moto.

    • @Thomasj-o6e
      @Thomasj-o6e วันที่ผ่านมา

      Mara ya mwisho walikua watu 11 ndio waliofarik idad inaweza ongezeka baadae

    • @mwalimugoogletv3738
      @mwalimugoogletv3738  23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      KUMBUKA pia SERIKALI Ina HAKI kisheria kukudanganya kwenye MAAFA

  • @vumbaboyjr
    @vumbaboyjr วันที่ผ่านมา +3

    Unajua mpaka unakera mwamba

  • @MACHAGGECHACHA
    @MACHAGGECHACHA 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha waunguwe. Mashetani wakubwa. Mungu anawachapa sasa hivi. Na bado uchumi wao umeingia kwenye mteremko wa kuanguka. Haya wanatunisha vifua kuwa wao ndiyo kila kitu duniani. Chezea pumbu zako.! Usimchezee na kumjaribu MUNGU.!!!

  • @mressahassan6832
    @mressahassan6832 วันที่ผ่านมา

    Broo me nakuelew kinyama usa wametushinda kwaushoga2 wallah ipo hvo broo#

  • @aabedi541
    @aabedi541 วันที่ผ่านมา +1

    Marekani wamekosa yakusema inamaana uyu moto wanafaham chanzo ndio maana wamekosa yakusema

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin วันที่ผ่านมา +5

    Kumbe nao wanabaguana ni kama ccm na chadema

    • @sasamjr2517
      @sasamjr2517 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wazungu hawawez kukwambia mabaya yao kwa wanatutangazia mazur tu

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka unajua kabisa

  • @hubman6780
    @hubman6780 วันที่ผ่านมา

    Duuu siasa

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 วันที่ผ่านมา

    Wafeeee tuuu

  • @abdonbarnabas3472
    @abdonbarnabas3472 วันที่ผ่านมา +3

    Huo Moto ni wa kupangwa mzee baba na hapo, kuna Kampuni moja ya BIMA ilitoa taarifa kuwa katka bima yao hakutakuwa na fidia kwa mali yeyote itayoteketea kwa moto kwa maana hiyo yaarifa zilikuwepo na ndio maana hiyo kampuni wakajihami mapema ila wananchi hawakujua. Mpango huo unafanyika kutokana na kwamba hiyo sehemu inatakiwa kujengwa mji uitwao Smart LA city ingia google tafuta utaikuta. kwaiyo huo ni mchongo ambao ulipangwa tokea awali sema ilikuwa inasubiriwa siku tu.

    • @mwalimugoogletv3738
      @mwalimugoogletv3738  วันที่ผ่านมา +3

      Wameamua kucheza "MOVIES" NA MAISHA YA WATU .
      SIWEZI KATAA MAANA UKICHUNGUZA UNAONA UZEMBE WA WAZIWAZI.
      ASANTE SANA NDUGU

    • @AnociathaChuwa-cb5nk
      @AnociathaChuwa-cb5nk วันที่ผ่านมา

      Waambie
      Huyu hana habari hafanyaji uchunguzi wa kutosha hajui

    • @sagengejackson3623
      @sagengejackson3623 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@AnociathaChuwa-cb5nkMoto umepangwa huo ndo mana kila mtu Hana hata habari , alaf fatality ni ndogo , evacuation inafanyika Kwa usmart mkubwa kuliko hata nguvu ya kupambana na huo Moto , wakubwa wote wanajua

  • @djramsoyusuph9661
    @djramsoyusuph9661 วันที่ผ่านมา +1

    Wanasema kwamba nimpango wameandaa wao kuna kitu wanaplan kukifanya

  • @AbuuAli-nf4fb
    @AbuuAli-nf4fb 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Siku ya KUFA nyani miti yote huteleza

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Magufuli alitaka tuishi kwenye mfumo wa ujamaa yaani tufanye kazi tuache siasa na kauli mbiu yke ilikuwa hapa kazi tu maendeleo hayana chama

  • @maryamtan682
    @maryamtan682 วันที่ผ่านมา +1

    Aki atapigwa mawe.

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 วันที่ผ่านมา

    Hili jnga sio kua limezuka tu hii ni adhabu swala lakuwa matajir sio kigezo unachambua vem sana bali napenda nikujuze yakuwa mtu akiugua sio ana kufa bali unatibiwa kinacho kuuma now kifo kipo pale pale kwman hy unaweza ona km hiyo ni uzembe sio hy ni qadar Mwenye Mungu alipanga na imekuwa

  • @kajembeathman
    @kajembeathman 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka hao wamezoea kutumia pesa yao kumwaga damu za watu.

  • @godfreypeterisala
    @godfreypeterisala 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuna satellite zimetengenezwa kwa ajili ya kuwasha moto sehemu yeyote kwa matakwa yao aidha kuwahamisha hawa watu sio jambo la kushangaza kwa maana wanajua kinachoendelea

  • @shareefmuhd3731
    @shareefmuhd3731 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Laana

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HUYU JAMAA HAJAWAHI ONGEA PUMBA

  • @karimsalum8441
    @karimsalum8441 วันที่ผ่านมา +2

    Half ww unachuki na marekan Hilo ni Galika la mungu

  • @abdallahalwardi588
    @abdallahalwardi588 วันที่ผ่านมา +1

    ●mjuzi wa yote ni muumba ○○

  • @Thomasj-o6e
    @Thomasj-o6e วันที่ผ่านมา

    Rahaa ya ngoma ingia uicheze, sis tunao angalia mpira tunaona wachezaji wanazingua sana uwanjani koz hatuko ndan ya mchezo😂😂

  • @jackobokiishweko4938
    @jackobokiishweko4938 วันที่ผ่านมา +1

    Wafe tuu

  • @HappyAlbatross-us3bg
    @HappyAlbatross-us3bg 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Akili kubwa san uko viuri

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln วันที่ผ่านมา +1

    Duh nikiwambia laana za mungu hizo mnanisha

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie วันที่ผ่านมา +1

    Asantesana.usomi nijinga 😂😂

  • @RUKIARUKIA-b9r
    @RUKIARUKIA-b9r 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kama tudinu tudan huo ndio uwezo wa Allah wao wanitumia mwaka kuchoma gaza Allah kachoma kwa masaa tu😂😂😂😂😂😂

  • @SAYMOEKARIM
    @SAYMOEKARIM วันที่ผ่านมา +1

    tulishajaa kwenye mfumo wa uongo hata uongee vipi vijana masikio nasikiliza mmbo mengine kbisa
    ila ukweli ni kwamba marekani hmn kitu isipokuw mitandao inatupotosha2

    • @BarnabaBuhoma
      @BarnabaBuhoma 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umewahi kwenda Marekani?

  • @khalidbelhasa2137
    @khalidbelhasa2137 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Vip watapeleka tena silaha Israel?
    BADO NEW YORK

  • @leftIQ
    @leftIQ วันที่ผ่านมา +4

    Mwalimu naomba uje umuzungumzie Magufuli kwa upana

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Magufuri gani tena

    • @IsakoKino
      @IsakoKino 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakil Yako ndo imeishia hapo

  • @yahsavechassala1037
    @yahsavechassala1037 วันที่ผ่านมา

    Mimi huwa ninakukubali sana

  • @PenuelSebandise-u3u
    @PenuelSebandise-u3u วันที่ผ่านมา +2

    Kwel😂😂😂 Kwan USA nzima kwel Wameshindwa au ni political maana Ata Sasa wakisema waamue kutumia nguvu zote watashindwa kuzima

  • @andersonwills3004
    @andersonwills3004 วันที่ผ่านมา

    Brother ukowap

  • @wilsonMushi-e6q
    @wilsonMushi-e6q 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mapua umechemsha.kushabikia urusi na china wala marekani hawakusikii unachosema kwa hiyo endelea kupiga porojo😅😅😅 ndege 1 ya kivita ya marekani inatosha kununua magari yote ya zima moto yaliyopo urusi.😅😅😅

    • @ALLIRAMADHAN-s6y
      @ALLIRAMADHAN-s6y 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mjinga wa kijiji usiwe juju karne ya 21

    • @wilsonMushi-e6q
      @wilsonMushi-e6q 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @ALLIRAMADHAN-s6y Nimesema ndege1 ya kivita ya marekani aina b2 inatosha kununua magari yote ya Zima moto yalipo urusi na chenji irudi.

  • @MsyHfd
    @MsyHfd วันที่ผ่านมา +1

    Wafetu

  • @ramahkesh9360
    @ramahkesh9360 วันที่ผ่านมา

    TUPO LIVE MTAALAM😊😊😊

  • @FredCharles-u3z
    @FredCharles-u3z 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi wadau hivi huyu mwamba na dj sima nani mkali

    • @Salmaally-p1t
      @Salmaally-p1t 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uyu mzee mkali sana

  • @twaibutwabibu8809
    @twaibutwabibu8809 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanaendelea kukuelewa wa bongo

  • @mohamedikinu9502
    @mohamedikinu9502 วันที่ผ่านมา +2

    Hayo ni maangamizi ya m,Mungu baba hakuna cha ukame

    • @SanguloRaahoo
      @SanguloRaahoo 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Black people black mamba akili ya mtu mweusi imefanana na rangi ya ngoz yake 😂😅

    • @LushidulaJidamawi
      @LushidulaJidamawi 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mungu hayupo nimajanga tuu

  • @AbuwJuhaymah
    @AbuwJuhaymah 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwalimu usichokijua nikwamba hiyo ni adhabu itokayo kwa Allah....hivyo hapana wakuizuia

  • @officialgakankara
    @officialgakankara 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Umeongea point ila nilichokigundua, kama vile ww n haters wa marekani😅, video zako zote huawaongelei vizuri wamarekani

    • @mwalimugoogletv3738
      @mwalimugoogletv3738  12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mimi sio HATER BALI NAJARIBU KU "DEBUNK" ULE UONGO WALIOTUJAZA MIAKA MINGI SANA.
      KIZURI WAO WENYEWE NDIO WANATUAMBIA KATIKA KUGOMBANA KWAO

    • @wilsonMushi-e6q
      @wilsonMushi-e6q 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@mwalimugoogletv3738 unatashawishi tuipende china na urusi. we c mchambuzi.

  • @sosbrayantbenjamin9701
    @sosbrayantbenjamin9701 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuna kitabu kinaitwa last day events ili tabir hii kitu na imetokea kwel

  • @OmaryMkamba-xl4df
    @OmaryMkamba-xl4df 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    You speak point bro 🫡

  • @ArgentinaEduardoEduardo
    @ArgentinaEduardoEduardo 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bug up

  • @rich-lr8tq
    @rich-lr8tq 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    moto wa porini unaiingiaje mjini? au hivyo ndo vijiji vyao? huwo moto ni hakika ulipangwa, jamaa wanataka waanzishe smart cities

  • @danielshauri6390
    @danielshauri6390 วันที่ผ่านมา

    Huo ndio ukweli

  • @NoelNjementi
    @NoelNjementi 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wew uwezi pambana nahawa mashetani marekani wenzio warijali wameshidwa nawew utashidwa tu babu mapuwa

  • @SuleimanMufassa
    @SuleimanMufassa วันที่ผ่านมา +2

    Hata Mungu amewahurumia awo manyankau wanavyo buruza Palestine Mungu pia ameanza kuwaburuza

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      mungu yupi labda shetani Allah anayependa kumwaga damu na muhuni muhamedi

  • @fataaibrahim4189
    @fataaibrahim4189 วันที่ผ่านมา

    Acha kutudanganya wewe unasahau adhabu ya Mungu haizuiliki hiyo ni adhabu ya Mungu acha maneno mengi

    • @leonardchoma3765
      @leonardchoma3765 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huyu Mungu basi hana uwezo.Mbona yanaungua majengo na misitu na ni watu 11 tu ndiyo waliokufa?Adhabu gani ya hivi? Acheni utoto.Mungu hausiki kwenye matukio ya kijinga nanna hii.Ina maana wote wanaoishi hapo ni wenye dhambi?

  • @richardcastromzena5136
    @richardcastromzena5136 วันที่ผ่านมา

    8:34 📌

  • @loningoletayo8453
    @loningoletayo8453 วันที่ผ่านมา

    That was a plan which was planned

  • @josephineatieno8486
    @josephineatieno8486 วันที่ผ่านมา

    We unavokataa kuwa sio nchi kubwa kiuchumi una maana gani.bro

  • @ibrahimally7637
    @ibrahimally7637 วันที่ผ่านมา +1

    Bradha ninapo kaa siku bila kuona video yako naumwa kaka yani unatoa vitu na ushahidi . Mm nipo na we kaka. Bando yangu inaisha kwa kuangalia video zako

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x วันที่ผ่านมา

    Marekani ni super power atakapo patikana Zaid yake itajulikana ila kwasasa marekani ni super power

    • @mwalimugoogletv3738
      @mwalimugoogletv3738  วันที่ผ่านมา +3

      KASIKILIZE hotuba ya trump aliyoitoa akiitaka Canada na Greenland alisema nini kuhusu CHINA

    • @alphamenson3784
      @alphamenson3784 วันที่ผ่านมา +1

      Haina ata haja ya kumjibu mjinga kama huyu Father

    • @AL-WAARITHUUNTZtv
      @AL-WAARITHUUNTZtv วันที่ผ่านมา

      ukrein imewashimda super power vp

    • @AL-WAARITHUUNTZtv
      @AL-WAARITHUUNTZtv วันที่ผ่านมา

      waombe msaada tu hata wamungu

    • @allyseba172
      @allyseba172 วันที่ผ่านมา

      Broo wa2 kama waha s wa kuwajib.. Wengine n mashoga wana watetea mabwana zao ​@@mwalimugoogletv3738

  • @HanceMagazi
    @HanceMagazi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha uwongo wewe ungekua mjanja ungeka una weka clip zako Instagram au X sasa uku TH-cam wajinga wengi coz watu wa TH-cam na Facebook wana fanana akili yaani uwelewa wao mdogo 😅😅😅😅😅 so utashika wajinga wengi wasio fatilia mambo ya dunia