MAFUTA 5 MAZURI KWA WATU WENYE CHUNUSI NA KWA NGOZI ZA MAFUTA/best moisturizer for oily skin

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 99

  • @jokhajj
    @jokhajj 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana dada ❤

  • @Sabrinaomary-k7h
    @Sabrinaomary-k7h 4 หลายเดือนก่อน

    Mm nimeshahangaika sana niambie sabuni nzuri ya kutumia pamoja na mafuta yk Nina ngozi ya mafuta na chunusi nyingi please nisaidie

  • @SumaBig
    @SumaBig 2 หลายเดือนก่อน

    Nitumie majina ya rosheni izo dada mke wangu anasumbuliwa na chunus uson nipate japo moja wapo

  • @HappnessFaustine
    @HappnessFaustine ปีที่แล้ว +2

    Naomba

  • @Monica-et1oe
    @Monica-et1oe ปีที่แล้ว

    Naweza kupataje hivyovitu

  • @mziraiwapili8922
    @mziraiwapili8922 2 หลายเดือนก่อน

    Mie uso wangu niwamafuta kipindi cha joto uso inaharibika sana

  • @carinensingi6324
    @carinensingi6324 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona hio cerave hapo juu imeeandikwa for normal to dry skin , mimi uso wangu wa mafuta naomba unieleweshe plz

  • @NemaWiliam
    @NemaWiliam 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba Namba basi

  • @TausiRajabu-s1m
    @TausiRajabu-s1m หลายเดือนก่อน

    Mim ni mweupe nnamadoa pia je naweza tumia yeyote kati ya hizi?

  • @queengerald-o3z
    @queengerald-o3z 10 หลายเดือนก่อน +1

    Naipataje

  • @PasianiBoay
    @PasianiBoay 3 หลายเดือนก่อน

    Thanks dada

  • @AssaBuliba
    @AssaBuliba 10 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yako dada 5:04

  • @Monica-et1oe
    @Monica-et1oe ปีที่แล้ว

    Habar ninatatizo sugu lachus na mafuta uson

  • @Ngowi05
    @Ngowi05 11 หลายเดือนก่อน

    Dada unaelimisha vzr,but ungeweka majina kwenye description maana hapo unaongea spid

  • @MbokelaLukangira
    @MbokelaLukangira ปีที่แล้ว

    Kuwa unasema na bei zake

  • @HellenAbby-qv3vv
    @HellenAbby-qv3vv ปีที่แล้ว

    Hi mm natumia ct+ mwili mzm lkn nawashwa

  • @Riziki-gd1pn
    @Riziki-gd1pn 8 หลายเดือนก่อน

    Habari naitaji kesho napatikana kinondoni

  • @NeemaBahati-f7s
    @NeemaBahati-f7s 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi namafuta mengi na rition nyingi zinanikataa na ninachunusi

  • @michaelalphinus1256
    @michaelalphinus1256 11 หลายเดือนก่อน

    Mm ni mweupe nna mabaka ya chunus ntumie lotion gan

  • @zannachrischen791
    @zannachrischen791 ปีที่แล้ว +11

    Mimi nimaji ya kunde ninamabaka uson na vipele vidogo dogo Kama chunusi nimafutagan yananifaa

  • @JudyThadeo
    @JudyThadeo 3 หลายเดือนก่อน

    Unauza sh ngapi? Nayataka

  • @EvelinePhilipo
    @EvelinePhilipo 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimweupe la kinininamafuta mengi nachunusi nisaidie

  • @fatmasaid9556
    @fatmasaid9556 ปีที่แล้ว +1

    Dada miki clair je inachu chubua

  • @PasuaKichwa-p2q
    @PasuaKichwa-p2q วันที่ผ่านมา

    dada. uwe una jibu komet zawateja basi

  • @NuruSinkala-v9j
    @NuruSinkala-v9j ปีที่แล้ว

    Mbona ujibu me uso wangu ni wa mafuta kira nkipaka rosheni inanitoa viper je nipake mafuta gani

  • @RamadhanBurugusu
    @RamadhanBurugusu 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni mweusi ilausowangu unamafuta

  • @JacobMaiko-f7y
    @JacobMaiko-f7y ปีที่แล้ว

    Madam za uzima....me nina tatizo la chunusi na nimetumia karibu sabuni za aina zote na nikitumia zinatoka ila zikipita siku nne vinaludi tena nisaidie nitumie nini

  • @BerthaMshana
    @BerthaMshana หลายเดือนก่อน

    Bei gani dada

  • @Yasinta1988Patrick
    @Yasinta1988Patrick 11 หลายเดือนก่อน

    Tunayapata wapi

  • @saumuminja6929
    @saumuminja6929 6 หลายเดือนก่อน

    Nayapataje dr

  • @RamadhanBurugusu
    @RamadhanBurugusu 10 หลายเดือนก่อน

    Sasa tunyapataje tuelekeze B's

  • @judithlaswai220
    @judithlaswai220 8 หลายเดือนก่อน

    Namba zako mbna hutoi unapatikana wapi?

  • @JoyceMwambopo
    @JoyceMwambopo ปีที่แล้ว

    Namba

  • @justerrungwa1305
    @justerrungwa1305 11 หลายเดือนก่อน

    Dada naomba utupe namba ya simu

  • @LawrenciaKabanga
    @LawrenciaKabanga 9 หลายเดือนก่อน

    Andika yanakopatikana

  • @GloryMbano-mx6fs
    @GloryMbano-mx6fs 7 หลายเดือนก่อน

    mimi nimweusi lakini machunusi yamejah sana usoni afu nimepaka vingi lakini wapi nata nijalibu mafuta uliosema ayo yakwanza ya cetraphil oil control moisturizing zisipo toka sijuh nifanyaje

    • @AgnesMnzava
      @AgnesMnzava 4 หลายเดือนก่อน

      Nenda kwenye duka kubwa pharmacy waambie unataka ADAPALANE Acne gel haizidi elfu 25, unapaka usiku tu alafu unapaka moisturizer yako BAs baada ya muda utaona matokeo utakuja kunishukuru baadae

    • @AjibAjib-k7t
      @AjibAjib-k7t 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@AgnesMnzavanamb yk

  • @collethageorge512
    @collethageorge512 7 หลายเดือนก่อน

    Habar dada najapataje lotio the ordinary moest

  • @VERONICAPASCHAL-pt7mk
    @VERONICAPASCHAL-pt7mk 8 หลายเดือนก่อน

    Yanapatikana wap??

  • @JoyceMwambopo
    @JoyceMwambopo ปีที่แล้ว

    Namba yako naomba

  • @InnocentShayo-q8q
    @InnocentShayo-q8q 5 หลายเดือนก่อน

    mm ni mweup lkn nina chunusi na madoa naomb unisaidie

  • @meshackkelson
    @meshackkelson 9 หลายเดือนก่อน

    Uwe unaonyesha hizo aina za mafuta unazotaja hatutaki majina tu

  • @Tifaabubakar
    @Tifaabubakar ปีที่แล้ว

    Mm nina weusi wa saizi kila mafta ninayo paka yananitoa chunusi vipele vidogo vidogo na yananifanya nizidi kuwa mweusi zaidi na yananiachia mabaka ngozi yangu inamafta sana

  • @neemaseverine6164
    @neemaseverine6164 ปีที่แล้ว

    Haya mafuta yanapatikana shopaz au FAMAS

  • @MagrethMgalla
    @MagrethMgalla 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi Kila nikipaka mafuta napata MBA usoni tu sijui nitumie kitu gani!
    Na haya mafuta yanapatikana wapi
    Ambayo umeyaelezea

  • @jacklinemollel5823
    @jacklinemollel5823 ปีที่แล้ว

    Naoambaa niandikie mafuta ya kwanza kutajaa maana uso umeharibika mno

  • @priscawilson4419
    @priscawilson4419 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwa dar duka gani

  • @zuuhnassor6688
    @zuuhnassor6688 ปีที่แล้ว +1

    Jamn me usoo Wang inakataa kila lotion sijui nifanyejee na ninachunus

  • @EdwardGodfrey-p9x
    @EdwardGodfrey-p9x 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe hupaka mafuta gani

  • @mariammalale3729
    @mariammalale3729 ปีที่แล้ว +1

    Haya mafuta yanapatikana wapi, nimesha tafuta Sana kwenye maduka ya vipodozi hata hawayajui

  • @BetinaJackson-z6y
    @BetinaJackson-z6y 10 หลายเดือนก่อน

    Ayo mafuta nitumie kwanjia ya mtandao

  • @julianakajiba8411
    @julianakajiba8411 ปีที่แล้ว

    Samahani dada eti sabun ya mena papaya naweza kutumia ngozi ya maji ya kunde

  • @FatumaKasiganya
    @FatumaKasiganya 11 หลายเดือนก่อน

    Namb yak dada

  • @rodgerszoya3425
    @rodgerszoya3425 ปีที่แล้ว

    Haya mafuta anaweza ktumia n'a mtu mweus piah au

  • @KejaChora-yb2ds
    @KejaChora-yb2ds ปีที่แล้ว

    Dada UK naitaji mafuta nitumie namba zao ili niweze kuwatafuta jmn

  • @AsmaaMazrui-oh6vf
    @AsmaaMazrui-oh6vf หลายเดือนก่อน

    Dad samahan mbn hujib txt zetu jmn

  • @HellenAbby-qv3vv
    @HellenAbby-qv3vv ปีที่แล้ว

    Uso wang n wa mafuta n nna chunus zisizoisha nitumie mafuta gan

  • @gregorymathayo2428
    @gregorymathayo2428 2 ปีที่แล้ว +2

    Mafuta yapi yanweza kutoa vitundu katika uso(pores)

    • @Dayanar_skincaretips
      @Dayanar_skincaretips  2 ปีที่แล้ว

      Vitundu huwa havitokagi mpendwa Bali vinapungua ukubwa

    • @gregorymathayo2428
      @gregorymathayo2428 2 ปีที่แล้ว +2

      Vinapungzwa kwa kutumia nini madam

    • @mwidinytwahily7990
      @mwidinytwahily7990 ปีที่แล้ว

      Uso wa mdogo wangu umeharibika sana na anaareji na rosheni na mafuta akipaka tu anatoka upele mwingi usoni je atumie nini nisaidie dada

  • @GiznesWilla
    @GiznesWilla 7 หลายเดือนก่อน

    Namba yako plz

  • @fransiscamallya1968
    @fransiscamallya1968 ปีที่แล้ว +1

    Zinapatikana wapi

    • @menahallie5301
      @menahallie5301 ปีที่แล้ว

      Kariakoo yote yanapatikana dear

  • @LatifaWilliam-ng8hr
    @LatifaWilliam-ng8hr 4 หลายเดือนก่อน

    Dad tuma ayo mafuta kweny coment

  • @RizikiSaitoti
    @RizikiSaitoti ปีที่แล้ว

    Yanapatkana wap

  • @LoyceRameck
    @LoyceRameck 6 หลายเดือนก่อน

    Unauza shingap

  • @누구미담
    @누구미담 10 หลายเดือนก่อน

    Mafuta yote hayo hayapo bongo

  • @rahelafrican7027
    @rahelafrican7027 ปีที่แล้ว +2

    Sorry hayo ni mafuta ya usooo tu au mwil wote

  • @ruthngatunga-gl2og
    @ruthngatunga-gl2og ปีที่แล้ว

    Mm ninangoz ya mafta na chunus sug na roshen nying zinanikataa nitumie roshen gan

  • @GiznesWilla
    @GiznesWilla 7 หลายเดือนก่อน

    Corx shingp

  • @JudyThadeo
    @JudyThadeo 3 หลายเดือนก่อน

    Naomb namba ako

  • @Saudi-d8x
    @Saudi-d8x ปีที่แล้ว

    Natak no yak plz

  • @vardahuseen6887
    @vardahuseen6887 ปีที่แล้ว

    Haya mafuta tunayapata wap

  • @jacksonjuma738
    @jacksonjuma738 2 หลายเดือนก่อน

    not ako hiyo

  • @NeemaBahati-f7s
    @NeemaBahati-f7s 2 หลายเดือนก่อน

    Shingapi

  • @HappnessFaustine
    @HappnessFaustine ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako

  • @fatmasaid9556
    @fatmasaid9556 ปีที่แล้ว +5

    Dada naweza kupata namba yako

    • @mwidinytwahily7990
      @mwidinytwahily7990 ปีที่แล้ว

      Naomba namba yako mdogo wangu anasumbuliwa na uso na ana areji

  • @Saudi-d8x
    @Saudi-d8x ปีที่แล้ว

    Niamb

  • @priscawilson4419
    @priscawilson4419 2 ปีที่แล้ว +1

    Haya mafuta uliyoyasema yanapatikana wap

  • @rodgerszoya3425
    @rodgerszoya3425 ปีที่แล้ว +1

    Samahani ni mafuta gan unayotumia usoni wewe,nimependa Ngozi yako

    • @Dayanar_skincaretips
      @Dayanar_skincaretips  ปีที่แล้ว

      Mimi natumia ya cetaphil mpendwa..asantee

    • @mosesvipodozi3219
      @mosesvipodozi3219 ปีที่แล้ว

      Nahitaji niko Mikoani nitapataje?

    • @lindastephano2946
      @lindastephano2946 ปีที่แล้ว

      @@Dayanar_skincaretips dear Cetaphil nitapata WAP nimetafta maduka menge nimekosa nipo dar,,,
      Na Mimi uso Wang unamafuta mengi mno
      Na sabun ya Neutrogena nimetafta naho nmekosa

  • @NemaWiliam
    @NemaWiliam 3 หลายเดือนก่อน

    Tunayapata wapi

  • @JuliethMazima
    @JuliethMazima 6 หลายเดือนก่อน

    Zinapatikana wapi

  • @HappnessFaustine
    @HappnessFaustine ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba yako

    • @legina47
      @legina47 ปีที่แล้ว

      Naomba namba yako

  • @fatmasaid9556
    @fatmasaid9556 ปีที่แล้ว

    Dada miki clair je inachu chubua