Manula una akili sana,msisikilize mashabiki wasiojua mpira,shabiki na mchezaji ni vitu viwili tofauti,mchezaji mpira ndio ajira yako na maisha yako,ukiachwa nenda unapohitajika ili maisha yaendelee ukikaa kusikiliza mashabiki kisa hawapendi hakuna atakayekuja kukutumzia familia yako...soka ni ajira nenda kacheze timu yoyote!!
Mkude kwenda Young Africans lisiwasumbue wapenzi wa timu ya Simba maana mpira wa miguu ndo ajira yake. Naamini kule kafuata pesa ila bado timu alokaa muda mrefu itabaki moyoni mwake
Sio tatizo la Simba,, swala ni kwamba yeye anatumiaje pesa! Majukumu kwenye familia ni mengi sana kijana ,,, unakuta anasomesha .n.k Pia jamaaan ni mwamba,,, kafanyia interview pale pale home na Wala Sio hotelini Wala kwenye gari
Kwani wachezaji wengine hawana majukumu ya kifedha??manula hana nyumba mbili dar angekua nazo asingekaa huku vichakani na pia Ayo Tv kumfuata mchezaji kwenye haya mazingira ni kumvua nguo adharani,,wachezaji wasitiriwe jmn
Kutoka kwenda pahala pengne nikawaida muda ukifika kutoka nilazima israeli ya Sasa hapo zamani walikuwa watumwa wa misri WAKATOKA hata wakati furani shetan aliteka mateka kikambabadilikia kila lenye mwanzo linamwisho UGUMU WA MAISHA Ndicho KIPIMO CHA AKILI
Yaani kwa manula Nampa pongezi hajafeki life na wengine wawe mfano wa kuigwa.kamaliza yake na nyumbani ipo kwenye Renta.hiyo anayofanyia interview ndo ya zamani na hua hatuzivunji kwa sisi tuliotoka village tunaelewa
Sio kila kitu chako ukitangaze, ulitaka akae kwenye nyuma nzuri za watu na gari la samani kama wanavyofanya wasanii!!!? Kwanza Iman ya dini yake aziruhusu kuringa juu ya ARDHI, ndomaana hata bakharesa yupo kawaida saana, amejitambua dini yake inataka nn. Na huenda manura ana nyumba nzuri kuliko yako, Ila aireti maana aionyeshe, kwani ni yakwake sio yako. Big up manura Kwa uharisia. Ulio uonyesha.
Interview nzuri,,,,, fanya hivi ukamuulize na mwanasheria wa serikali kuhusu kuuzwa kwa bandari yetu tutashukulu kwa hilo
😅umetisha
Bandari haiuzwi broo inakodishwa 😂😂😂😂
@@fatma4628 tuambie mwisho wa mkataba ni lini?🤣🤣🤣
😁
@@kelvinngogo1819 ulizeni mama Samia lakini bandari haiuzwi
mungu awajarie sana wafanyakaz wa ayo tv kwa kaz nzur
Handsome boy yupo kwao anakula vya nyumbani Swahili food 👍👍
Upo vizur sana Manula MUNGU akutie nguvu
Jamani mbona magongo anamaumivu kiasi hicho mungu akufanyie wepesi upone haraka Air Manula wetu
Get well soon air manula
,Manula mm Ni yanga lakini nakukubali, Kwanza huringi uko home live
Kazi njema nimemisi kukuona Tena pona uludi ukiwashe
Yn manula yupo smart sana namependa na nimekubali maelezo aliyoyatoa kuhusu kusaliti timu
Pole kaka
Pona haraka Air Manula...
Jamaa hili linamajibu ya hekima sana
Hakika
Manura mungu akusaidie upone haraka
Manula uko sahihi na maneno yako big up
Big up sana
Huyu kijana yupo vizuri sana maisha halusi sio yakuigiza japo wewe ni kolo ila nakukubali
😂😂😂😂kolo wizard
We nyan
Mimi naona ni sahihi kabisa kuachwa na ni sahihi yeye kwenda Young kwani ni Ajira yake na Simba wameona inatosha kwa huduma yake.
Manula umeongea point Sana chukua 5
Manula una akili sana,msisikilize mashabiki wasiojua mpira,shabiki na mchezaji ni vitu viwili tofauti,mchezaji mpira ndio ajira yako na maisha yako,ukiachwa nenda unapohitajika ili maisha yaendelee ukikaa kusikiliza mashabiki kisa hawapendi hakuna atakayekuja kukutumzia familia yako...soka ni ajira nenda kacheze timu yoyote!!
Manula umeongea point sana
Nimekuelewa sana dogo
Uyu ana kitu atafika mbali😂
Mkude tulikupenda sn ndani ya Simba na kwa sbb hukuondoka vibaya tnakutakia kila la heri huko uendako,kwani mpira ndy ajira yako
Mkude kwenda Young Africans lisiwasumbue wapenzi wa timu ya Simba maana mpira wa miguu ndo ajira yake. Naamini kule kafuata pesa ila bado timu alokaa muda mrefu itabaki moyoni mwake
Aliokaa nayo mda mrefu ndio ipo moyoni Nan nakuambia utajuaje Kama alikuwa anatamani aende timu nyngine
Inamaana Kumbe Kweri Hapo ndo Nyumbani Kwa Aishi Dah 😅
Kwa mbal jamaa anataka kufanana na King kiba
Mkude niwakwetu mpk kesho mpk Leo
Mbon kama anafanana na Alikiba uyu manula
Njoo yanga manura ule bata😂😂😂😂😂😂
Manula yupo vzriii Sana'a
Waandishi wakubwa kama nyie mhoji kuhusu bandari sio mnaachia kina mbengo TV, Jambo TV n.k
Kweli saimba ni yakufanya wachezaji wao maskini,,,yani kweli manula wakukaa haya mazingira!!!!!
Timu inalipa ila kujenga nimajukum ya mpokea pesa timu haina jukum la kuhakikisha kila mchezaj anajenga
Sio tatizo la Simba,, swala ni kwamba yeye anatumiaje pesa!
Majukumu kwenye familia ni mengi sana kijana ,,, unakuta anasomesha .n.k
Pia jamaaan ni mwamba,,, kafanyia interview pale pale home na Wala Sio hotelini Wala kwenye gari
@@eidallyeidally5093 kwani ni lazima afanyie interview kwake unahakika kama hapo ni kwake
Kwani wachezaji wengine hawana majukumu ya kifedha??manula hana nyumba mbili dar angekua nazo asingekaa huku vichakani na pia Ayo Tv kumfuata mchezaji kwenye haya mazingira ni kumvua nguo adharani,,wachezaji wasitiriwe jmn
mtu kaenda kijijin kwako mnasema maksha mabov kuna watu wana hela ila nawapenda sana mazingira ya kwao ya zaman kama hayo
Hilo jibu la mwisho ndio jibu la ushauri wa manula kwa mkude limeshajibika hana haja ya kupiga simu
Kuna sku chama ndan ya yanga au mzze ndan yasimba kawaidatu
DOSARI EP 02 Love Story
th-cam.com/video/8JX7s5DYwok/w-d-xo.html
Hizi interview zinazo husisha wachezaji wa simba na yanga ziko kichokozi mno ukikosea pont tu imekula kwako panahitajiki umakini mkubwa ktk kijibu
Nimependa hiyo et vitu vya kukufanya ujue umo au haumo
Kutoka kwenda pahala pengne nikawaida muda ukifika kutoka nilazima israeli ya Sasa hapo zamani walikuwa watumwa wa misri WAKATOKA hata wakati furani shetan aliteka mateka kikambabadilikia kila lenye mwanzo linamwisho UGUMU WA MAISHA Ndicho KIPIMO CHA AKILI
Ila manula amejibu kiume
Kuna MAISHA baada ya mpira (facts)
Anamajibu mazr
Nilichopenda ni hiyo nyumba ya udongo yaani Aishi hana mambo ya maigizo japo nafahamu pesa anazo tu za kutosha
Kama ametemwa simba , kwahyo wanasimba wanatamani mkude aendelee kukaa mitaani?
Wachezaji mnatakaga mishahara mikubwa ata cha maana mnachofanyaga hakuna sasa kwa ukubwa wa manula iyo ndo nyumba ulisema umejenga nyumbn kwenu duh
Yaani kwa manula Nampa pongezi hajafeki life na wengine wawe mfano wa kuigwa.kamaliza yake na nyumbani ipo kwenye Renta.hiyo anayofanyia interview ndo ya zamani na hua hatuzivunji kwa sisi tuliotoka village tunaelewa
Sio kila kitu chako ukitangaze, ulitaka akae kwenye nyuma nzuri za watu na gari la samani kama wanavyofanya wasanii!!!? Kwanza Iman ya dini yake aziruhusu kuringa juu ya ARDHI, ndomaana hata bakharesa yupo kawaida saana, amejitambua dini yake inataka nn. Na huenda manura ana nyumba nzuri kuliko yako, Ila aireti maana aionyeshe, kwani ni yakwake sio yako. Big up manura Kwa uharisia. Ulio uonyesha.
Manura fanya upige rip nyumbani hapo bana
Wewe nyumba za asili hizo,ni ukumbusho so kwamba hawezi au hawana nyumba nzuri
😂😂😂😂
Hiyo nyumba watu zinawakumbusha mamb mengi hata nzr ziwepo hiyo itabaki mpaka siku ikianguka yenyewe watu wamekulia humo