Familia ya mwanafunzi aliyejitoa uhai baada ya kuadhibiwa na chifu, kutoka Bogeche inatafuta haki

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ค. 2024
  • Familia ya mwanafunzi wa kidato cha kwanza ambaye aliyejitoa uhai baada ya kuadhibiwa Naibu wa chifu kutoka Kijiji cha Bogeche, Kaunti ya Kisii, sasa inatafuta haki. Kulingana na familia hiyo, Mwanafunzi huyo alikunywa sumu baada ya kudhalalishwa mbele ya babake baada ya naibu Chifu kumwamrisha kutoa mavazi yake mbele ya babake.
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

ความคิดเห็น •