Praise God Brethrens and y'all Backbenchers n also my fellow heaven passengers May God continue to bless you sir Ndacha..Whenever I watch your analysis I get traumatised confidence happiness deficiency and etc.. So why not support and appreciate such gift from God
Sinagogi na nyuba zirizo Baki wakati hekaru riribomoka na kama sinagogi ni mskiti nitoree adiko abaro yesu arichoma katika chuo Cha nabii isaya kwa koran
NDACHA MIMI MSHIRIKA WA KANISA LA A.I.C LAKINI HAPA UNANITOA MATONGO MACHONI.BIBLIA HAPA NDIO KUNENA.BARIKIWA SANA MTUMISHI.
Shalom
Surely These Sunday Pastors they are leading People into darkness.
ndacha waah ,i salute you.Mungu na akulinde na jamii na wenzako.shalom
I always feel happy when isee Mr ndacha preaching the truth,may God bless you 💖 sir
Be blessed Mwalimu wangu Francis Ndacha
Praise God Brethrens and y'all Backbenchers n also my fellow heaven passengers May God continue to bless you sir Ndacha..Whenever I watch your analysis I get traumatised confidence happiness deficiency and etc.. So why not support and appreciate such gift from God
Barikiwa Sana mwalimu Ndacha
God bless you Mtumishi
Citizens of Elohim Praise the Mighty Name of Yeshua Messiah.they like it or not we shall spread the good news to each Nation en Tongue.
Wapinga kristu wako kweli iyo elimu mr pastor utapotesa watu wote,na hukumu inakungoja Ndugu yangu,Unjanja tu Pastor wa mshahara..
😩😩Huyu mchungaji wa Sunday ni hatari sana kumfata yaani anakuuwa kiroho kabisaa 😢.
Kazi njema mwalimu more blessings 🙏
Tunamuabudu Mungu kila siku..siku sio y maana kama maabudu ni ya haki na kweli
Hakuna sheria ya musa ila musa yeye alipewa na Mungu kwa hiyo ni sheriaya Mungu
Leo ni ukiristo kwa ukiristo😂😂😂😂😂😂
Mmmmhh 🤔🤔hawa ni wachungaji mbwa bubu sasa si atoe andiko SUNDAY ni siku sahihi ya IBADA kama sio SABATO.
Sabato ni ishara kati ya mungu ni wanawaisrail?. Ukiristo uliihingia wapi
Leo hii mada ni moto
Pastor ndacha sijajua wewe ni WA dini gan Jani wakisto muna kanyagana wenyewe kwa mwenyewe makubwa sana
SDA
Paulo
Hakuna mtume amehingia kanisa 😂😂😂😂😂😂😂 kanisa imetoka wapi
Kanisha ni nn kwa kufahamu kwako??
Swali nzuri ......sangogi ni nini
Sinagogi na nyuba zirizo Baki wakati hekaru riribomoka na kama sinagogi ni mskiti nitoree adiko abaro yesu arichoma katika chuo Cha nabii isaya kwa koran
Muskiti si sinagogi bari ni yumba zirizo bakia hekaru ririro bomoka
Mzikiti ya wayaudi
@@kipkemoigablin5464 wanao hingia miskiti ni wa dini gani ?.
Kwa kiarabu sinagigi si msikiti