Nakuru Shabab Day 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2024
  • Join this channel to access its benefits:
    / @biblianuruyadunia

ความคิดเห็น • 29

  • @margaretmargaret5744
    @margaretmargaret5744 2 ปีที่แล้ว +3

    The more I listen to Teach Ndacha The more I want to hear from him Greetings sir Ndacha 🙏🏼may God comfort y'all SDA members it's not easy but at some point you have to keep the flame because some roads just have to take alone in the wilderness Many of as take this for granted But what should come in your mind set is that..We are all sinners and naked in the eyes of God and for that reason we are all going to die..since we are dust..We need to find aright path to rich our creator/Creater as humans we need to seek the truth in bible not in a man made faith or a religion

  • @furahag3098
    @furahag3098 11 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi wa mungu barikiwa sana nakufatilia sana napenda mafunzo yako sana

  • @mikamwakipongo9330
    @mikamwakipongo9330 2 ปีที่แล้ว

    Watumishi mungu awape hekima ili wote wanao kuwa wabishi kielewa na waele wote tarati kwa jina la yesu christo

  • @estermbogo7172
    @estermbogo7172 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awafikie wema na fadhili zake🙏

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 2 ปีที่แล้ว +3

    I'm glad to see Paul and Ndacha together

    • @abdulmosi8440
      @abdulmosi8440 2 ปีที่แล้ว

      This servant's you are sent by God you brought great light we have never seen since the history may God continue to bind you servants of God with cords of love. Your work is impactful. I am a convert from Muslim to Christianity

    • @yusufsillah2056
      @yusufsillah2056 2 ปีที่แล้ว

      @@alyaqdhan5206 Yohana 10:36, Je, yeye ambaye Baba alimweka wakfu na kumtuma ulimwenguni, mnamwambia: ‘Unakufuru,’ eti kwa sababu nilisema: ‘Mimi ni Mwana wa Mungu?’

  • @davidkipchumba7291
    @davidkipchumba7291 2 ปีที่แล้ว

    God bless you MTU wa mungu Amen

  • @makutanochristoph2820
    @makutanochristoph2820 2 ปีที่แล้ว

    Kuna watu husema ukimwita Yesu Mungu kwakua ni Mwana wa MUNGU, et umekufuru hatutawashangaa, kwa maana hawakuanza wao,
    bali kuna baba zao ambao ni mafarisayo tena wanafiki!
    Walimwambia Yesu kuwa anakufuru pale aliposema wazi kuwa yeye ni Mwana wa MUNGU,
    (Yh.10;36)
    je! Yeye ambaye Baba alimtakasa, akamtuma ulimwenguni, Ninyi mnamwambia, unakufuru; kwasababu nalisema, mimi ni Mwana wa Mungu.
    kwahivyo sisi hatuna shaka na watu kama wao, ikiwa mafarisayo tena wanafiki! walimwambia unakufuru,
    na hali ya kuwa hekima na uweza wa ki-Mungu, ulidhihirika wakishuhudia, kwa macho yao seuse hawa waislamu wanao abudu mizimu, na makaburi, na kuwa-omba waliokufa!
    Lakini neno la faraja kutoka kwa Yesu Kristo ni hili:-
    (Mat.5;10)
    Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwaajiri yangu.
    "Tufurahini kwakua sisi ndio Wana wa Nuru tusitahilio kuupata ulimwengu ule"
    (Mat.5;12)
    Furahini, na kushangilia; kwakua thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyowalivyo waudhi manabii walio kuwa kabla yenu.

  • @edwinkaris9602
    @edwinkaris9602 2 ปีที่แล้ว +1

    hapa ni ukweli ndo inamatter,sio feelings za mtu yeyote...backed by scriptures

  • @evangelistdonnisiasondari8963
    @evangelistdonnisiasondari8963 2 ปีที่แล้ว

    Hello pastor watching from mombasa,mbona sikuic camera is not clear

  • @Nolithajack12
    @Nolithajack12 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mwarimi

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @christophernjoroge8029
    @christophernjoroge8029 2 ปีที่แล้ว +1

    Kip up the good work watumishi

    • @yusufsillah2056
      @yusufsillah2056 2 ปีที่แล้ว

      @@alyaqdhan5206 Yohana 10:36, Je, yeye ambaye Baba alimweka wakfu na kumtuma ulimwenguni, mnamwambia: ‘Unakufuru,’ eti kwa sababu nilisema: ‘Mimi ni Mwana wa Mungu?’

    • @suzanaagustino6447
      @suzanaagustino6447 2 ปีที่แล้ว

      @@yusufsillah2056 sasa apo oja yako ni gani???

  • @elizabethnzula6704
    @elizabethnzula6704 ปีที่แล้ว

    Na hii ndio injili ya kweli...MUNGU apewe sifa milele.

  • @JohnMwangi-i1z
    @JohnMwangi-i1z 11 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu ndcha karibu ngarua kinamba

  • @alsamali6964
    @alsamali6964 2 ปีที่แล้ว

    Ndacha mjanja mjanja

  • @isaiahonyapidi5662
    @isaiahonyapidi5662 2 ปีที่แล้ว

    hasante watumishi kwa kurudi mtandaoni

  • @alsamali6964
    @alsamali6964 2 ปีที่แล้ว

    Ndacha akizidiwa hoja anabadilisha mada ni mjanja mjanja

  • @virginiawanja7308
    @virginiawanja7308 2 ปีที่แล้ว

    Keep on proclaiming the word of
    God good job

    • @jaredmomanyi9138
      @jaredmomanyi9138 2 ปีที่แล้ว +1

      Glory to God for His doing in your life. He is our healer and redeemer. He lives!!!!

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 2 ปีที่แล้ว

    Injili itaendeleya

  • @shirikaniyonkuru6560
    @shirikaniyonkuru6560 2 ปีที่แล้ว

    Nami ni na wafuata 5kwa5

  • @alukochannel336
    @alukochannel336 2 ปีที่แล้ว

    Leo Margret Margret ako wapi

    • @makutanochristoph2820
      @makutanochristoph2820 2 ปีที่แล้ว

      @@alyaqdhan5206 mambo haya ni magumu Sana, kwa watu ambao hamkupewa upeo wa kiroho,
      siku atakapo Rudi Mwana wa Adamu, ndipo mtakaposaga meno na majuto yaliyo makuu.
      Halafu hiyo aya uliyomaliza nayo hapo chini,
      inamaanisha wasaidizi wa Yesu kwa Mwenyez Mungu?
      hapo ushindwe katika jina lake YESU Kristo, na mafarisayo wanafiki, nao walimwambia anakufuru pale aliposema wazi kuwa yeye ni Mwana wa MUNGU,
      Kama ulikua hujui Yesu hasaidiwi bali ndiye atuokoaye ili tutoke katika dhambi, na Yesu si kama mhamadi kwamba tumuombee.

    • @yusufsillah2056
      @yusufsillah2056 2 ปีที่แล้ว

      @@alyaqdhan5206 Yohana 10:36, Je, yeye ambaye Baba alimweka wakfu na kumtuma ulimwenguni, mnamwambia: ‘Unakufuru,’ eti kwa sababu nilisema: ‘Mimi ni Mwana wa Mungu?’

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 ปีที่แล้ว

    Amen