Video ya Diamond akiendesha gari kizembe akiwa na Zari yampeleka polisi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • Video aliyopost Zari kwenye akaunti ya Instagram inayomuonesha Diamond akiendesha gari bila kufunga mkanda huku wakijirekodi wakisikiliza wimbo wake Marry You, umemponza.
    Haya ni maelezo ya Diamond:
    Leo nilireport kituo kikuu cha polisi wa usalama barabarani kutokana na Vidoe Clip tuliyopost naendesha gari barabarani bila kufunga mkanda na pia kuachia usukani na kucheza.... Nikapewa Onyo na Kulipa faini kulingana ya Mujibu wa sheria... tafadhali watanzania na Vijana wenzangu... tuhakikishe tunafunga mikanda pindi tupandapo na tuendeshapo Magari Maana ni Hatari kwa Maisha yetu na inaweza kukupeleka kunyea debe pia...🙏

ความคิดเห็น • 23

  • @saifalrajhi5001
    @saifalrajhi5001 7 ปีที่แล้ว

    du noma huyo mtoto aliekaa na Bibi yake. hope lesson has been learnt

  • @irenemdeka3788
    @irenemdeka3788 7 ปีที่แล้ว

    pole kaka

  • @beckybeto4328
    @beckybeto4328 7 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa serikali ya Tz big up hakuna cha celeb anyway pole simba

  • @beniwamba5651
    @beniwamba5651 7 ปีที่แล้ว +2

    Nimakosa kaka

  • @kenyataa7493
    @kenyataa7493 6 ปีที่แล้ว

    pay attention kwa road...

  • @oyay2821
    @oyay2821 7 ปีที่แล้ว +1

    mbona hao abiria wawili hawakuitwa polisi? wao pia hawakufunga mkanda

  • @kisibwimaendeka7450
    @kisibwimaendeka7450 7 ปีที่แล้ว

    Simba kakubali makosa yote mawili na kulipa 60,000 amelipa 30,000 kwa kuendesha bila kufunga mkanda, then nyingine kwa kuachia usukani wakati gari lipo kwenye mwendo 30,000...Simbaaaaa, pole sana ila iwe fundisho na kwa wengine kwa ajili ya usalama wetu wenyewe na tunaokuwa tumewapakia.

  • @aminamohamed9745
    @aminamohamed9745 7 ปีที่แล้ว

    pesa za magari na nyumba ziko lakini pesa ya kufunga ndoa hakuna..Ina lilAllah

  • @jamilamwenguvu8567
    @jamilamwenguvu8567 7 ปีที่แล้ว

    Diamond taifa linakutegemea ujuee!!!

  • @edwardgasper8701
    @edwardgasper8701 7 ปีที่แล้ว

    Kiki izo

  • @mwandiadam5490
    @mwandiadam5490 7 ปีที่แล้ว

    kwa mzuka tu mbona wengi tutaitwa mie mwenyew mzuka huo upooo only only its okey

  • @rashidnassor2946
    @rashidnassor2946 7 ปีที่แล้ว

    Kwani shingapi?

  • @dalton1698
    @dalton1698 7 ปีที่แล้ว

    kisheria ni makosa kiukweli although they were at celebrating level, that is why nae kakubali na kulipa faini kulingana na taratibu za kisheria

  • @killagak903
    @killagak903 7 ปีที่แล้ว

    wangapi wanafanya hivyo? sema kwa sababu huyu ni HABARI YA TZ

  • @ajuxman9382
    @ajuxman9382 7 ปีที่แล้ว

    Hilo bibi nyuma huko hashuo tu hata halielekei

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 7 ปีที่แล้ว

    mbona yee hakutajwa kwenye media kama wale walio jirikod Nyimbo ya darasa

    • @sambae925
      @sambae925 7 ปีที่แล้ว

      soma magazet yaleo wa tz wanavyopenda kuuza eti kakamatwa kisa madawa

    • @hamishussein2026
      @hamishussein2026 7 ปีที่แล้ว

      Kitone Kantasha1 hadi raha 😂😂😂😂😂

    • @kitonekantasha1687
      @kitonekantasha1687 7 ปีที่แล้ว

      Kaitwa kiheshima lasi ivyo D angevimba kwenye kum surpot makonda chezea nguvu kazi

  • @bettylozie9038
    @bettylozie9038 7 ปีที่แล้ว

    Mbona mosee Iyoboo hajatajwa na pia yeye yuko na videos mob akiwa na bb yake

    • @sambae925
      @sambae925 7 ปีที่แล้ว

      alikuwa anataka kupiga picha na diamond

    • @bettylozie9038
      @bettylozie9038 7 ปีที่แล้ว

      Sam Awadh 😂😂😂😂 hapo umefikiria kama wazee wa serekali ya mtaa wote😂😂😂

    • @sambae925
      @sambae925 7 ปีที่แล้ว

      Betty Lozie hahaha hata mm ningemwita tena wote na zari co peke yake chezea