Waleykumusalama sheikhe ,mimi leo Ndo nimeanza kukufatilia , mimi Nina mupenzi Ila hatuna mupango wakuoana, Ila namupenza lakini kirasiku namuota sana juzi nimeota akiniambia eti atanioa usiku wakuamukia leo nimeota nina uryauzito wake Kira siku ananiambie eti simupendi Ila kunakitu amenifanyia ili nimupend , akaniambia nichukuwe mkaa na kitunguu swaumu nifunge kwenye kitambaa cheusi nilifanya ,pare usingizi uriponishika nikaona kama vire amekaa pembeni yangu nikachituka , mala pili badae nikaota nikuwa namaisha mazuli asiekua namatatizo yoyote Ila kilasiku namuota sijui manayake
Salamaleikum sheghe naitwa FRED nime hota rafiki yangu ameanguka kutoka juu ya mti na alipo fikajini alikondoa macho makubwa Sana nathani aliumia Sana Kisha akanituma nifanyie kitu ambajo nime kisahau ila nathani ni kumletea machi au kupeleka mahali asande shekhe naomba tafusiri hii alahatulilai
Waleykumusalamu warahmatullah wabarakatuh ,barakallahu fiik
Tuekee tena kuhusu kujuwa kupata watt❤
Waalaekum saloom wa.wa. sheikh wetu
Ha! She wangu nipo ivyo ivyo mimi
Waleykumusalama sheikhe ,mimi leo Ndo nimeanza kukufatilia , mimi Nina mupenzi Ila hatuna mupango wakuoana, Ila namupenza lakini kirasiku namuota sana juzi nimeota akiniambia eti atanioa usiku wakuamukia leo nimeota nina uryauzito wake Kira siku ananiambie eti simupendi Ila kunakitu amenifanyia ili nimupend , akaniambia nichukuwe mkaa na kitunguu swaumu nifunge kwenye kitambaa cheusi nilifanya ,pare usingizi uriponishika nikaona kama vire amekaa pembeni yangu nikachituka , mala pili badae nikaota nikuwa namaisha mazuli asiekua namatatizo yoyote Ila kilasiku namuota sijui manayake
Uko na jini mahaba wewe
Salamaleikum sheghe naitwa FRED nime hota rafiki yangu ameanguka kutoka juu ya mti na alipo fikajini alikondoa macho makubwa Sana nathani aliumia Sana Kisha akanituma nifanyie kitu ambajo nime kisahau ila nathani ni kumletea machi au kupeleka mahali asande shekhe naomba tafusiri hii alahatulilai
Shukran
Tunasubiri masomo mengine
Inshaallaah tunaandaa na elimu kede kede
Asante
🤲
Mimi wangu umejigawa hivyo paka kati ya kidole cha shahafq pacha tatu
Weka mipango sawa ni alama ya maisha mazuri hapo mbele jitahidi umpate mtu akusaidie namna ya kujisogeza kimaombi na njia za kiroho
Mimi M yangu kamili
Nn maana alamaxna pembe tatu jee ex ikikaa kidolele chagumba au shahada
Sijaelewa tafadhali
Au unakusidia alama wanayozungumzia kuwa ni ya utajiri baadhi ya wanafalsafa?