Mme pambana Sana mmemwaga jasho lenu tumeona mlidhamilia kutufurahisha tumeona bahati haikuwa upande wetu Msihuzunike tuko Nanyi wanajeshi wetu Tunawapenda Mungu awape Nguvu nyingine matusi kejeri dhihaka ni sehemu ya maisha yetu mvione kama sehemu ya mazoezi yatakayo tusaidia kutetea ubingwa wetu wa ligi na federesheni Kama kauli mbiu yetu isemavyo DAIMA MBELE NYUMA MWIKO 💚💛💛💚
@@FxL_87 Uwahi Keshoo Mapemaa Tu Paleeee Mwembe Yangaa Kuna Semina Ya Wajawazitooooo🤰🤰 Kama Nyieeee😂😂😂😂 Uzuri Mpk wajawazito Wengine Wakubwaaaa Watakuwepoo Wakina Ahmed Ally🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sisi Wote Ni Mashabiki Wayangaa Ivyo Hatuna Budi Kuyapokeaaa Matokeo Tuu Wote Tumeona Jinsi Ambavyo Wachezaji Wetu Wa Mejituma Na Benchi La Ufundi Lilivyofanyaa Kazi Yakeee Haikuwa Riziki Yetuu Kwendaa Robo Fainal Inshaallah Tukipata Tena Nafasi Panapo Majaaliwa Tutafanyaa Vizuri Zaid Amiiiin Daimaa Ntakuwa Yangaaa💚💛 Ndio Clabu Yanguu Pendwaaaaaaa
Hakika Mungu wetu ni mwema tumshukuru kwakila jambo, Bado maisha yanaendelea, msife moyo wachezaji wetu tunawapenda sana msikubali kuvunjwa moyo na mtu wa aina yeyote, Daima mbele nyuma mwiko
Poleni wachezaji wetu mmejitahidi mwenyezimungu hakutaka sote tumeumia sana matokeo ya leo mwenyezimungu awatie nguvu msiuzunike ndio mchezo ila tumejifunza mwakani in sha Allah mechi tusifungwe zile za mwanzo ndio zimetugarimu
Dah roho imeniuma sana wachezaji wetu wanaonekana wameumia zaidi kuliko sisi mashabiki poleni sana ila bado mapambano yanaendelea Daima mbelee nyuma mwiko 👍👍👍🔥🔥🔥🔥
Inshaalah Mungua atajari mwakani musikate tamaa maana kupoteza moja sio kupoteza mbili kila mtu ana nafasi yake. Tunaipenda sana timu yetu Yanga nguvu moja💛💛💛💛💛💛
Kazi ya mungu Haina makosa hakupanga tufike huko Haina haja ya sisi kuudhunika sana tusahau yaliyopita na tuweke juhud kweny ligi juu na tuanze kujipanga zaidi mwakani tuweze kufanya vizur zaidi
Hongereni sana wachezaji wetu Hongera sana kocha Hongera sana goalkeeper Najua haikua rahisi kufika pale mlipo fika Jana mwenyezi mungu ndio mpangaji wa kila hatua najua awamu ijayo tutafika kileleni tusikate tamaa ❤my team
Nakerwa na wale ambao Yanga ikifanya vibaya wanasimama kusimanga wachezaji na viongozi. Alafu wanajifanya wameumia wanasahau nao Huwa wanashindwa sehemu. Tunaheshimu sana juhudi zenu benchi la ufundi, wachezaji, viongozi, wapenzi wote wenye nia njema na timu yetu. Mungu azidi kuwawezesha . Tunazidi kuwaombea 💚💚
@flaviabaruti7602 Ila kuna mapungufu mengine ni ya kujitakia, tunapata ufahari gani kusajiliwachezaji toka madunduka? chama,baleke, nk kulikuwa nahilo hitajikweli? au kuonyesha nanyi mnaweza kuchukua toka udundukani? Nadhani sasa viongozi wabadilike
Ni kwelii kabisa sasa hivi Kila mtu anasema lake lakin tunatakiwa tuwe kitu kimoja tumeangukaa basi tunyanyuke tuendelee na safari tusipende raha tuu hata wao hawakupendaa iwe hivi
Mmepambana sana Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda na kuwatia nguvu, msihudhunike sana kila jambo na wakati wake, tujipange kwa wakati mwingine asiyekubali kushindwa si mshindani na wakati wa Mungu ukifika tutachukuwa makombe mengi na subra yafuta kheri. Hongereni makamanda wetu, kikubwa hakuna kukata tamaaa!!
Muuzeni AzizKi bhanaa, anazingua tuu, hana consistency, uza musonda, uza mzize, uza kibabage, kwasasa hatuna squad depth, pia tutafute namba 3 mwingine, striker mwenye nguvu anaeshinda ndani ya box, pia winga nyingine! Mpira bila winga hauendi vizuri, hata Barcelona tuu wana winga sisi ni nani??
..hata nyinyi hamkupendaa haya matokeo basi tuu imetokeaa inshaa allah Kila limuepukalo mjaa huenda Lina kheri nyingine mmepambana lakin haikuwa riziki yetu kwenda robo love 💚💛💚💛
Poleni sana pale mungu anapo chukuwa furaha yako jua ipo furaha kubwa zaidi anaandaa juu yako naamini ipo siku mungu atatupatia furaha kubwa zaidi ya hii
Imetuimiza sana wananchi ila tutajipanga msimu ujao, lakini viongoz kaeni mtambue Kuna wachezaj hawana msaada na timu kwamfano musonda hata sijui anafanya nn hana utulivu anakimbia kimbia2 msikae na wachezaji et kwakua alikua na rekod mzur hapo mwanzo kiwango kinaposhukuka fanyen maamuzi, pia boka naye lishakua jipu, sijui kwann mwalimu anashundwa kumuamini chama akapata nafasi ya uhakika maana bado miguu yake inaongea jinsi ambavyo uwezo anao ila daah😭😭😭😭😭🙏 mumejua kutuumiza viongozi wetu.
Tunapaswa kusimama pamoja nyakati zote , wachezaji wetu wamepambana ili tupate lkn hilo halikutokea . Tunashukuru Mungu kwa Kila jambo . Huu ni mpira wa mguu una matokeo ya kikatili . Thanks for memories. We shall meet next time
Boka hakuwa mchezoni Wachezaji wengi jana wamedley walicheza chini ya kiwango kunawakati mi nilihisi labda jua kari ndyo maaana wanaonekana kuchoka lakn ndyo imekuwa hivo hatuna namna🙏💚💛
Najua siyo dhamira yetu kupata ichi tulicho kipata ila katika maisha Kuna nyakati mbili lazima tuzipitie binadam kupata na kukosa ata ili pia NI moja ya kitu tulichopata tumshukuru Mungu mumemaliza salama insha'Allah ipo SIKU Yetu
Kazi kwenu viongoz na wanachama na sie mashabiki Kila mtu Kwa nafasi kuhakikisha mapambano yanaongezeka msimu ujao inshallah tutafanya vzr inaonekan ipo ni juhud t kuitafuta .pole sna wachezaji rudisheni akil kweny ligi ili tirud apo tulipokua
Tuko nyuma yenu, mpira tumeuona na tumeridhika na kiwango. Hakuna lililoharibika, tumepata muda wa kujiandaa kwa msimu ujao. Mwenye kulaumu ana jambo lake, ki ukweli mmepigana, Mungu awajalie Afya njema sasa turudi kwenye ligi inshallah
Wachezaji wetu msihuzunike sana hilo limepita mmepambana sana lakn bahat haikuw kwetu tujipange zaid wakat na tufocus kutetea makombe yetu yote inshallah
Mi ni mwanayanga ila nikweli Kuna maneno yanayotumika ni ya kufuru na baadhi ya mashabiki Kama anayejiita shetani wa yanga na msemaji wetu ana maneno ya kufuru sana
Sure Boy Angepewa Hata Dakika 15 Tu Kama Yupo Fit Aisee!! Nadhani Angeonyesha Kitu....Pia Pacome Sio Mzuri Sana Akitokea Bench! Anyways Ndio Mpira Wa Miguu Na Makosa Yake! 💚💛✊🏾
sureboy angefanya nini bro? embu tuache mzaha tunamuonaga akipewa nafasi impact yake ipoje.wote wachezaj wetu ila quality hazijabalance.nakuhusu pacome kachezeshwa basi tu ila kiuhalisia hata benchi hakutakiwa kuwepo leo
Poleni tunatambua mmepambana wachezaji hadi viongozi hakili yote sasa tuludishe kwenye ligi na Crdb caf tujipange tena msimu ujao huu ni mpira tukubali tumeshia hapa kwa msimu huu.
Chama sehemu yakho ilikua simba huko unapewa dakika za jioni 📌akati simba ulikua ukikaa nje uyo kocha ajipange uwe unaumwa au nn lazima ucheze ona Sasa huna amani na timu,hapo ndo mtaelewa kuwa yanga ilisajir baadhi ya wachezaji wa simba ili simba iyumbe sio kama walikua wanawataka kuwatumia.baleke,chama,mkude 🙌🏾poleni qwa unyanyasaji huo
Mme pambana Sana mmemwaga jasho lenu tumeona mlidhamilia kutufurahisha tumeona bahati haikuwa upande wetu Msihuzunike tuko Nanyi wanajeshi wetu Tunawapenda Mungu awape Nguvu nyingine matusi kejeri dhihaka ni sehemu ya maisha yetu mvione kama sehemu ya mazoezi yatakayo tusaidia kutetea ubingwa wetu wa ligi na federesheni Kama kauli mbiu yetu isemavyo DAIMA MBELE NYUMA MWIKO 💚💛💛💚
@@PekweIddy GUSA ACHIA TWENDE NBC
Tukishindwa tunashindwa wote tukishinda tunashinda wote. Yanga Daima mbele nyuma mwiko. Tupo vizuri sana.
Inshaallah tujipange mwakani wanajeshi wetu msiudhunike mchezo ndivyo ulivyo tunawapenda wanajeshi wetu mmepambana haikua riski yetu I love yanga 💛💚💛💚
GUSA ACHIA TWENDE NBC
@@FxL_87 Wewe Unaeshiriki Kombe La Wajawazitoooo🤰🤰 Kaa Kimyaaa Maan Huna Cha Kutuambia Sisi 😂😂😂😂😂😂
@@HabibaKhamisi-xo8tz 😂
@@FxL_87Nakesho Kuna Clinick Pale Mwembe Wetuuu Ufanyeee Uwendee Kuna Darassa Paleeeeeee Ya Kujuwa Mtoto Wako Utamtunza Vp🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@FxL_87 Uwahi Keshoo Mapemaa Tu Paleeee Mwembe Yangaa Kuna Semina Ya Wajawazitooooo🤰🤰 Kama Nyieeee😂😂😂😂 Uzuri Mpk wajawazito Wengine Wakubwaaaa Watakuwepoo Wakina Ahmed Ally🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sisi Wote Ni Mashabiki Wayangaa Ivyo Hatuna Budi Kuyapokeaaa Matokeo Tuu Wote Tumeona Jinsi Ambavyo Wachezaji Wetu Wa Mejituma Na Benchi La Ufundi Lilivyofanyaa Kazi Yakeee Haikuwa Riziki Yetuu Kwendaa Robo Fainal Inshaallah Tukipata Tena Nafasi Panapo Majaaliwa Tutafanyaa Vizuri Zaid Amiiiin Daimaa Ntakuwa Yangaaa💚💛 Ndio Clabu Yanguu Pendwaaaaaaa
Hakika Mungu wetu ni mwema tumshukuru kwakila jambo, Bado maisha yanaendelea, msife moyo wachezaji wetu tunawapenda sana msikubali kuvunjwa moyo na mtu wa aina yeyote, Daima mbele nyuma mwiko
Mche BWANA ukajiepushe na uovu, kama umepokea ujumbe huu gonga like.
Poleni wachezaji wetu mmejitahidi mwenyezimungu hakutaka sote tumeumia sana matokeo ya leo mwenyezimungu awatie nguvu msiuzunike ndio mchezo ila tumejifunza mwakani in sha Allah mechi tusifungwe zile za mwanzo ndio zimetugarimu
Dah roho imeniuma sana wachezaji wetu wanaonekana wameumia zaidi kuliko sisi mashabiki poleni sana ila bado mapambano yanaendelea Daima mbelee nyuma mwiko 👍👍👍🔥🔥🔥🔥
Hongereni sana, kiuhakika mmepambana, hatuwadai
Hongereni,,,,na poleni Kwa uchovu,,,,Tushukuru tu Kwa Kila jambo💪💪🫶🫶🫶🫶
Tunawapenda wote wapambanaji wetu inshaallah kher tujipange msimu ujao inshaallah kher
Inshaalah Mungua atajari mwakani musikate tamaa maana kupoteza moja sio kupoteza mbili kila mtu ana nafasi yake. Tunaipenda sana timu yetu Yanga nguvu moja💛💛💛💛💛💛
Mungu yuko pamoja nasisi wananchi hapo sio mwisho wa mapambano turud kupambania ubingwa inshaaallah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Acheni kujitia mioyo kuma nyie😂😂😂😂simbaaaaa
Wachezaji wetu muwe na Amani, Mungu alipanga uwezi pangua, Mimi ninawapongeza tujipange msimu ujao. Usiku mwema.
Kazi ya mungu Haina makosa hakupanga tufike huko Haina haja ya sisi kuudhunika sana tusahau yaliyopita na tuweke juhud kweny ligi juu na tuanze kujipanga zaidi mwakani tuweze kufanya vizur zaidi
Vjn wetu ndio mchezo,mlipambana kwa ARI/NGUVU/BIDII,haikuwa nafac yetu,ALUTA CONTINUA InshaAllah mwakani,NAWAAMINI/NAWAPENDA/NAWAKUBALI VZR MNO,vita mbele inshaAllah !.
"Daima mbele nyuma mwiko".
Penda sana mno YANGA yng.
Tujipange msimu ujao inshaallah tutafanya vzr kilichobaki ni kuendelea kuiunga mkono timu yetu ili kutetea Mataji mawiliya ndani
Hongereni sana wachezaji wetu
Hongera sana kocha
Hongera sana goalkeeper
Najua haikua rahisi kufika pale mlipo fika Jana mwenyezi mungu ndio mpangaji wa kila hatua najua awamu ijayo tutafika kileleni tusikate tamaa ❤my team
Lovu you guys jamani tuwahitaji sana msijiskie vbaya mpira ndo ulivyo inshaalah tutafanya vzuri kwnye lig kuu daima mbele nyuma mwiko
Bila kuchoka daima mbere 💪💚💛
Nasema Alhamdulillah
KWa matokeo haya
Mungu ndio mpangaji🙏🙏🙏🙏
Coach umeona ulipokosea jirekebishe tujipange mwakani
Nakerwa na wale ambao Yanga ikifanya vibaya wanasimama kusimanga wachezaji na viongozi. Alafu wanajifanya wameumia wanasahau nao Huwa wanashindwa sehemu. Tunaheshimu sana juhudi zenu benchi la ufundi, wachezaji, viongozi, wapenzi wote wenye nia njema na timu yetu. Mungu azidi kuwawezesha . Tunazidi kuwaombea 💚💚
Tuwaombee tuu mpepambn saaan saan jmn,tujipange mwakani,tuwatie moto tuu
@flaviabaruti7602 Ila kuna mapungufu mengine ni ya kujitakia, tunapata ufahari gani kusajiliwachezaji toka madunduka? chama,baleke, nk kulikuwa nahilo hitajikweli? au kuonyesha nanyi mnaweza kuchukua toka udundukani? Nadhani sasa viongozi wabadilike
@terrence9477 sikatai hilo. Ukipewa ww timu utakuw umekamilika? Mengine tuwe wavumilivu panapohitajika . Haihitaji kutukana na kukatisha tamaa viongozi ikibidi washauriwe kimkakati
@flaviabaruti7602 tuwape moyo tuu jmn
Ni kwelii kabisa sasa hivi Kila mtu anasema lake lakin tunatakiwa tuwe kitu kimoja tumeangukaa basi tunyanyuke tuendelee na safari tusipende raha tuu hata wao hawakupendaa iwe hivi
Musiwe wanyonge jamn vipenz vyetu mumepamban kadri ya uwezo wenu hatuna Cha kuwalaum Mungu awalinde 💚💛🙏
Kimeumana😅😅😅😅😅😅😅😅😅gusa achia twende kwao😅😅😅😅
Great Great players, We have much homework ahead, This is football! Come on YANGA!! Proud of you!
#Daima_Mbele_Nyuma_Mwiko#👍
Mlicheza vizuri sana ndicho sisi fans tunachofurahi so a game it's a game keep Fighting
Hongereni sana mpira mmecheza
Ile nyimbo mtoto kautaka naomba ipigwe japo onetime 😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Is just a football
Let's prepare for the next
I love yanga❤❤❤
Mmepambana sana Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda na kuwatia nguvu, msihudhunike sana kila jambo na wakati wake, tujipange kwa wakati mwingine asiyekubali kushindwa si mshindani na wakati wa Mungu ukifika tutachukuwa makombe mengi na subra yafuta kheri. Hongereni makamanda wetu, kikubwa hakuna kukata tamaaa!!
Tunashinda pamoja tunapoteza pamoja,mmepambana hakika💪💪💪🇹🇿
Daah inauma saana aisee😢😢😢 sema yoote khery
Muuzeni AzizKi bhanaa, anazingua tuu, hana consistency, uza musonda, uza mzize, uza kibabage, kwasasa hatuna squad depth, pia tutafute namba 3 mwingine, striker mwenye nguvu anaeshinda ndani ya box, pia winga nyingine! Mpira bila winga hauendi vizuri, hata Barcelona tuu wana winga sisi ni nani??
Nakubali kiukwl mmepambana sana binafsi najua haya ni matokeo tu hakuna namna ndo mpira we win together we lose together Daima mbele nyuma mwiko
pamoja yanga 💛💚 bado mungu yuko nasi❤
Ahsante mungu atusaidie mmepambana hongera tutajipanga Tena
Bahati haikua kwetu, lkn wachezaji mmepambana sana, *MUNGU AWABARIKI NA KUWALINDA* _Msiwe wanyonge_
Allahamdulillah 🎉🎉🎉
Mmepambana uongoz, benchi la ufundi na wachezaji,,, polen ila ndo mpira,, tusikate tamaa kla mtu anaelewa! Nyuma mwiko 🎉🎉
inshallah 🙏🏾
Kazi nzuri japo hatujafuzu bahati haikua upande wetu ila Mmejituma msikate tamaa daima mbele nyuma mwiko 💪
..hata nyinyi hamkupendaa haya matokeo basi tuu imetokeaa inshaa allah Kila limuepukalo mjaa huenda Lina kheri nyingine mmepambana lakin haikuwa riziki yetu kwenda robo love 💚💛💚💛
Poleni sana pale mungu anapo chukuwa furaha yako jua ipo furaha kubwa zaidi anaandaa juu yako naamini ipo siku mungu atatupatia furaha kubwa zaidi ya hii
Couragez vous nos soldats la saison prochaine que le bn dieu vs protege... daima mbeleee
Yanga bingwa.
Next time tutashinda,Leo haikuwa bahati yetu
Imetuimiza sana wananchi ila tutajipanga msimu ujao, lakini viongoz kaeni mtambue Kuna wachezaj hawana msaada na timu kwamfano musonda hata sijui anafanya nn hana utulivu anakimbia kimbia2 msikae na wachezaji et kwakua alikua na rekod mzur hapo mwanzo kiwango kinaposhukuka fanyen maamuzi, pia boka naye lishakua jipu, sijui kwann mwalimu anashundwa kumuamini chama akapata nafasi ya uhakika maana bado miguu yake inaongea jinsi ambavyo uwezo anao ila daah😭😭😭😭😭🙏 mumejua kutuumiza viongozi wetu.
Tumshukuru mungu kwa kumaliza mchezo wetu salama bahati haikua upande wetu tujipange wakati mwingine inshaallah kila lakheli daima mbele nyuma mwiko
Kikubwa ni subra na kuwa wavumilivu tutajipanga tena mwakani INSHA ALLAH DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
Well played team. Thank you for your efforts. One team.
Daima mbele .
Haoooooooo😅😅😅😅😅VYURA fc 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tunapaswa kusimama pamoja nyakati zote , wachezaji wetu wamepambana ili tupate lkn hilo halikutokea . Tunashukuru Mungu kwa Kila jambo . Huu ni mpira wa mguu una matokeo ya kikatili . Thanks for memories. We shall meet next time
Anaye wanenea mabaya wachezaji wetu wa Yanga, na mabaya yamrudie mwenyewe Amina
Mmepambana sana ila ilikuwa sio riziki yetu msife moyo inshallah mwakan jipangen tayari mmeshajua milikosea wap❤❤❤
Msiwe wanyonge vipenz vyetu mmepambana sanaaa na mungu awalinde❤
Boka hakuwa mchezoni
Wachezaji wengi jana wamedley walicheza chini ya kiwango kunawakati mi nilihisi labda jua kari ndyo maaana wanaonekana kuchoka lakn ndyo imekuwa hivo hatuna namna🙏💚💛
Nyumba mwko daima mbele tugange yajayo👏👏👏🙌🙌🙌💛💚
All the best mmevuja jasho Mungu ni mwema
Najua siyo dhamira yetu kupata ichi tulicho kipata ila katika maisha Kuna nyakati mbili lazima tuzipitie binadam kupata na kukosa ata ili pia NI moja ya kitu tulichopata tumshukuru Mungu mumemaliza salama insha'Allah ipo SIKU Yetu
Kama unaamin yanga kagawa utamu hadi mwisho nipe like zangu😅😅
Tunamshukuru Mungu amependa hivuo, endeleeni kuwa na moyo mkuu vijana wetu
That's football life Boys, keep your heads up!
Hata hivyo, idara ya ushambuliaji itazamwe vizuri, sidhani kama tuko sahihi!
Tunamshukuru Mungu kwa kila jambo Mungu ameona hapo panatosha msimu huu asante Mungu
Lakini mlicheza vinzuri hongereni Sana💚💚
Tunawapenda saaan msife moyooo tujipange mwakn
Dube yanga hatufai kabisaa anakosa sanaa magoli alaf hana stamina kabisa
Acha ujinga wewe wewe ndio haufai yanga unakadi hata ya uanachama umelipa ada
Tujipange msimu ujao bado tuko Pamoja💛💛💚💚
Kazi kwenu viongoz na wanachama na sie mashabiki Kila mtu Kwa nafasi kuhakikisha mapambano yanaongezeka msimu ujao inshallah tutafanya vzr inaonekan ipo ni juhud t kuitafuta .pole sna wachezaji rudisheni akil kweny ligi ili tirud apo tulipokua
Musijali wannanchii mmepambana kadri ya uwezo wenu bahati 2 haikuwa upande we2 inshaallah tujipangeni turudi kuipambania ligikuu ❤❤❤ tupate kile tunacho kihitaji inshaallah tupo pamoja
Polen viongoz na wapambanaj wetu hili limepita🙏🙏🙏
Safi mashabiki wa ukweli.....
Poleni sana WAPAMBABAJI wetu , Tukubaliane na Matokeo, yanatufundisha kitu.
Hongera sana mmekufa kiume
Respect sanaaa wanaa haikuwa bahati yetu..... next time. Inshallah
Pamoja sana wanajeshi wetu hakika tumepambana tujipange msimu ujao inshallah
Haikuwa bahatiyetu inshaallah next time mungu atajaria tunajipanga kwenye ligi
Tuko nyuma yenu, mpira tumeuona na tumeridhika na kiwango. Hakuna lililoharibika, tumepata muda wa kujiandaa kwa msimu ujao. Mwenye kulaumu ana jambo lake, ki ukweli mmepigana, Mungu awajalie Afya njema sasa turudi kwenye ligi inshallah
Poleni chama langu siwadai chochote mmepambana vya kutosha,haikua riziki Tuombe Mungu msimu unaokuja tutafika mbali
Mmetuangusha ila hatuna namna mkapambanie ubingwa sasa😢😢 Daima Mbele Nyuma Mwiko
Tupo pamoja yanga mbele nyuma mwiko.mmepambana Sana tupo pamoja yanga yetu tunaipendaaaaaaaa❤❤❤❤❤
Mmepamban san,,gamond ali2haribia mwanzo
All the best wanajesh wetu atuwadai
AZIZ KI ...AMETANGULIZA NDOMO MBELE TUU KUISAIDIA TIMU AAAAHHHH 😂😂😂😂😂
Pole sana jeshi letu,mmevuja jasho haikuwa ridhiki, mapambano Bado yanaendelea tutafute pared ya NBC furaha italejea.
Tumeona uwezo wenu wachezaji wetu mmepambana sana sana ila bahat haikuwa yetu tunawapenda sana sana
Ww ndo akili huna kabis wamepambn wamepambania nn sasa
@@hamzandaile5753ungeenda kupamba na wew unaejua kupambana
Mungu mwemaa kira nyakati amen
Hongereni kwa kupambanua
Hongereni Sana tujipange msimu ujao
sas mbon hawaongei kwan ni ugomvi 😂😂😂, au ndo gusa achia turudi NBC
Tuko Pamoja Lililobaki Ni Kumushukuru Mwenyezi Mungu Kwa Kila jambo
tunapaswa kimshukuru Mungu kwakila jambo
Wachezaji wetu msihuzunike sana hilo limepita mmepambana sana lakn bahat haikuw kwetu tujipange zaid wakat na tufocus kutetea makombe yetu yote inshallah
Kwel utopolo hamna timu team imekufuru mungu anaipa adhabu
Mi ni mwanayanga ila nikweli Kuna maneno yanayotumika ni ya kufuru na baadhi ya mashabiki Kama anayejiita shetani wa yanga na msemaji wetu ana maneno ya kufuru sana
mwakani tutawapenda daima
Tushukuru Mungu kwa tulicho pata tufokasi na game za Ligi kuu
Sure Boy Angepewa Hata Dakika 15 Tu Kama Yupo Fit Aisee!! Nadhani Angeonyesha Kitu....Pia Pacome Sio Mzuri Sana Akitokea Bench! Anyways Ndio Mpira Wa Miguu Na Makosa Yake! 💚💛✊🏾
Kamwe alishatoa maelezo juu ya Pacome. Alikuwa anaumwa toka atoke Mauritania, tena alilazwa hospitali. Mnataka afie uwanjani?
@simonnjovu586 Sasa kama alikuwa anaumwa aliingia kwa ajili gani?? Wachezaji wameisha au? Basi kamwe na kocha ndio wametufunga hii game
sureboy angefanya nini bro? embu tuache mzaha tunamuonaga akipewa nafasi impact yake ipoje.wote wachezaj wetu ila quality hazijabalance.nakuhusu pacome kachezeshwa basi tu ila kiuhalisia hata benchi hakutakiwa kuwepo leo
Chama anatembea kama ana busha 😅😂😅
Ndugu zethu Orlando Pirates number1 team in Africa
Poleni tunatambua mmepambana wachezaji hadi viongozi hakili yote sasa tuludishe kwenye ligi na Crdb caf tujipange tena msimu ujao huu ni mpira tukubali tumeshia hapa kwa msimu huu.
poleni sana watani, mpira ni mchezo wa kikatili sana. unafundisha nidhamu!
polen sana mtani mambo ndivyo yalivyo tuendelee Acha nasisi tukajarib yakwetu
Chama sehemu yakho ilikua simba huko unapewa dakika za jioni 📌akati simba ulikua ukikaa nje uyo kocha ajipange uwe unaumwa au nn lazima ucheze ona Sasa huna amani na timu,hapo ndo mtaelewa kuwa yanga ilisajir baadhi ya wachezaji wa simba ili simba iyumbe sio kama walikua wanawataka kuwatumia.baleke,chama,mkude 🙌🏾poleni qwa unyanyasaji huo
Msihuzunike sio riski ye2 allah atatujaaalia siku nyengine tutafanikiwa kila la kher wananchi