Haaha jamani nimecheka sanaa kutok Germany hapa please joti coming back soon to Tanzania for Holliday's nakuletea my Jessy (nacheza volleyball) but nakuzawadia hiyo Jezi yangu but tafadhali uzije waza Kama kwenye hii video hahaha you are a legendary kabisaa for sure tell me your size and am ✈️ this month 23 to dar kwakweli zawadi yako Niko nayo broo
Mbona unakuwa na hasira Familia ntailea mimi... Wewe na familia nitawalea... Hizo nguo utavulia ndani... Nipige mimi... Njoo unipige baby... 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Joti uko vzur ila ukwel usemwe toka uachane na kipande na sopa comedy imepungua mvuto kias flan istoshe hao wengne bado sanaa km hii nmecheka ulivyoannza ila huyo jmaa Ally hamna alichochekesha ...ila mwisho wa sku kaz nzuri sema kma vip tuludishie sopa na kipande
Joti unakataa Bahati hiyo, huyo jamaa yuko tayari kuilea mpaka familia yako hahaha, eti njoo nipige mimi baby ,baada ya marehemu mzee majuto you are the best comedian.
Yani zuu kafanya kosa kubwa kumuacha bigy. Yani saivi hata haonekani! Atajuta kweli.
Atakoma mpaka basi
Ana tamaa
Ameacha hadi koti unafikili kutobolewa tundu matako😀😀😀😃😀😀😀
Zuu kaenda kupotezwa kakaa tu pembeni hana jipya
Kabisa
Hamna Banda la nzi uwafungie hawa nzi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nishai naipenda msemo wakwako eti umeilinda tangu utotoni
Mkongwe hasa big up
Hahahahahahaha hahaha kumbe ndiyo maana udogoni zamani tulikuwa tunakatazwa Kula Kwa Watu.
Nakukubali sana big up
Ngoja nivimbe leo hatimae nimekuwa wakwanza
Nakumpenda jotyyyy es lo más ...genial buenos días nsiku njemaaa
Sema maadili mabovu afu anapenda sana huu ujinga sasa anafundisha nn zaid ya ujinga au ndo mashart kutangaza Ushoga
Iyonikweli nduguyangu simambo yakuchekeleya niyakuhumiza sana dunia inaelekeya ukingoni 😭
Mhudumu uko vizuri
Mjomba Nishai kilivyowaka pale nilijua tu lazima amwite muhumudu🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
A legend is a legend this guy make my Friday's
Dah respect Sana jamaa anajua
Haaha jamani nimecheka sanaa kutok Germany hapa please joti coming back soon to Tanzania for Holliday's nakuletea my Jessy (nacheza volleyball) but nakuzawadia hiyo Jezi yangu but tafadhali uzije waza Kama kwenye hii video hahaha you are a legendary kabisaa for sure tell me your size and am ✈️ this month 23 to dar kwakweli zawadi yako Niko nayo broo
Hahahahahah embe dodo limeanguka kwenye mchicha muhudimu 😂😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂🔥
Mbona unakuwa na hasira
Familia ntailea mimi... Wewe na familia nitawalea...
Hizo nguo utavulia ndani...
Nipige mimi... Njoo unipige baby...
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
😄😄😄😄 Nimeilea tangu utotoni Ambao tulijua n Dem ndio amemuelew Jot tujuane
Tunatizama tu basi lakini tunawataka akina kipande sopa mama dame
Hii kali 😂😂😂.
Tangu waondoke kina kipande, sopa na mama dame.. hii ndo comedy ya kwanza kali yani kali kali kabisa
Wezi wamesepaaa
Hii nmeitunza Toka utotoni ww pimbi uje kuiharibu uku wan😂😂😂😂 mamake joti ww fala sana dadeq😂😂😂😂😂
Uko vizuri jot
my favorite comedian in Africa your the best bro nimechaka sana 😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 for me is better my money to by datta not to by food... 😆😆😆😆
Daaah 😃😃😃😃😃 wallahy joti 😃😃😃
Dah joti huwa Fara Sana
Weeeee Muhudumu
"Njo nipige mimi"😂 😂 ....I got my Friday dose of laughter. Thank you Joti Tv for the entertainment
Noma sana th-cam.com/video/J9yS48Prnfg/w-d-xo.html
0@@limitoboe
Aisee huyu jamaa anajua Sana kucheza Sana kibasha Basha (cheki 6:17 alivyo mmimya nishai bega).🍻🙌🙌🙌🙌😆😆😆😆😆😆😆
Hahahaha
😂ww ni shida 😅🇨🇩
Nimeilinda toka utotoni wewe unataka kuja kuitowa ukubwani 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂Wallah jot utaniua mecheka kam mazurii vile but ujawai ni disappointed... well done ❤️❤️❤️❤️
Nimeilinda taka utotoni we pimbi uje kuhiaribu ukubwani🤣🤣
Duh unaweza ukalia mtu mzima.
🤣🤣🤣🤣🤣 linda tundu kwa gharama yoyote ile
Ahahahahaha unatisha kk , very good.
Nimeilinda toka utotoni😂😂
alafu uje uiaharibu ukubwanj
Joti anaulza hamna banda la nzi muwafungie😂😂😂😂😂
Mzee wa kufumua kaja na vifaa vyake lol 🤣😂😂😂🏃♂️🏃♂️
Vyombo vya Ali vikae juuu ahahah jotiii ataliii😂😂😂
Nliweka alarm ya 6am nasikose chupa la joti🔥🔥🔥🙌💯💪
Joti uko creative sana
Nakubali joti
Aah jaman
😂😂😂Kali sana Nishai, big up bro hizi za Nishai ndizo kali. Leo wa 8 kucomment, From 254 watching you from Qatar Doha
Subtitles 🔥😄
Unakotoka hatuitaji kujua😂
Doha ...what are you doing there buddy?
Joti umetisha kweli , namba moja Tanzania 💯💯❤️❤️❤️😂😂😂🇹🇿
Number one joti
*Nimeilinda hii toka utotoni harafu uje kuiharibu ukubwani pimbi kama wewe* 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
"Njoo unipige mimi, baby!" Ha ha ha ha... Halafu lile FUTA duh!
Lile linaitwa wese😃..hahahah kiwese
😅😅😅
Utazivulia ndani Joti 🤣🤣🤣
Embe dodo limedondoka kwenye mwarobain au mchicha mafala sana nyi🤣🤣🤣🤣🤣
Wahuni sio watu wanataka kula nyuma. Nishai. Don't kill me to laugh 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣. Usile vya watu mwanaume
Jot uko vzr man
I can’t stop laughing 😂 😂😂
😂😂😂
😅😅
He is truly the king of comedy.
th-cam.com/users/shortsm1SwymHjpWU?feature=share
@@ty360vevo7 joti amn k2 kichwan mecheka kwnguvu sna ujinga wake th-cam.com/video/J9yS48Prnfg/w-d-xo.html
Nimeilindaaaa toka utotoniii
AKuna banda La nzi wafungiwe awa
Eti njoo baby 😀😀😀
Legend
🤣🤣 🤣joti wewe balaa eti hii nimeichunga tangu utotoni uje kuiaribu ukubwani😂😂haki wew kiboko
Joti saiv hana mvuto umeshuka sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hyu jamaa anamuwezea sna joti kwnye kumbashia, hta katika episode ya seduce vs zilipendwa ilitoka safi sna.
This is so hilarious... walai nimecheka nikaanguka kwa sakafu....
Unaweza Ukakosea Ukanywaa Kwenye Masikio 😀
King of Comedy 😂😂😂
Hiyo Nini Sasa 😭😭😭
Eti nimeilinda tangu utot🤣🤣🤣
Mi NAJIULIZA KWANN MUDA WOTE HUO USINGEMWAMBIA UKAE NAYE MEZA MOJA
Sure you can avoid trouble by being concious and alert
Ur the best joti😂😂😂😂
Njoo nipige mimi baby hahahaha
🤣🤣🤣🤣🤣Njoo unipige mimi
😂😂😂😂😂vya ofa leo umekomaaaaa
Mla huliwa 😀😀
Joti uko vzur ila ukwel usemwe toka uachane na kipande na sopa comedy imepungua mvuto kias flan istoshe hao wengne bado sanaa km hii nmecheka ulivyoannza ila huyo jmaa Ally hamna alichochekesha ...ila mwisho wa sku kaz nzuri sema kma vip tuludishie sopa na kipande
Wale walisepa kuna wengine wezii
@@mlewazitotv Dah. Aisee wametuharbia mpaka sisi shabik zao bas
Joti unakataa Bahati hiyo, huyo jamaa yuko tayari kuilea mpaka familia yako hahaha, eti njoo nipige mimi baby ,baada ya marehemu mzee majuto you are the best comedian.
😀😀😀eti nimeilinda toka utotoni..dah bro we nomaaa!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti viatu vya matairiiiiiii
Atakama jooot ndiyo utembeaji gan uwo😂😂
Hizi utazivulia ndani....we unaleta michongo gani😂😂😂😂nipige Mimi njoo bebi😂😂😂😂😂joti kumanyoko
Utazivulia ndani
Big up san kiumbe cangu🙌🙌
Nimeilinda hii toka utotoni😂😂😂
Ahahahhaa,eti Amna Banda la nzi
allwayz legend on the top😂
Another classic delivery from our King of Comedy and the Team, Original!
Yani bila joti sijui twafany aje. Legendary comedian. U'll always be the best to me.
Umetisha sana Joti we ni mbunifu kila siku unatupa madini tofauti
Et nimeilinda toka utt ton😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍👍👍👍 hongera sana brother
Joti we, hatari
Ila joti wee mshenzi kweli, hayo mambo yapo dar 😄😄😄😄
Hatali sana
🤣😂😂nishai
Daa joti🤔😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅ila jot ukichaa wak hauna tofauty na Wang hahahah
Nishai anafikiri kaangukia huyo msichana aliyeketi nyuma yake kumbe kaangukia mwanaume mwenzake🤣🤣🤣
Au mbk mvae viatu vya mataili 😂
The walking style 😂😂😂
Me na kismart🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Oyoo