KIINUA MGONGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 657

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 2 ปีที่แล้ว +32

    Yani umetowa funzo kubwa mno Kaka, vijana wengi wanaamini katika kutoka kimaisha lazima wawe na mtaji mkubwa zaidi, wakati game lenyewe wageni na pili ni utofauti siyo lazima wote mfanane biashara, tatu hawana mchanganuwo zaidi ya kufikiria faida tu . Ahsante kwa Elimu hii . WEWE ni MTEULE #You HERO# 🥋🥊👉🏆

  • @shaabanyusuph9225
    @shaabanyusuph9225 2 ปีที่แล้ว +16

    Lesson; siku zote usiwe wakwanza kuzungumza kwenye kikao sikiliza kwanza maoni ya watu kisha tafakar ndo uchangie 🙏🙏🙏big up nishai

  • @nsengiyumvaemmanuel9065
    @nsengiyumvaemmanuel9065 2 ปีที่แล้ว +5

    Kweli wewe ni kioo cha jamii,ubarikiwe sana Joti!!!We are together from Msumbiji

  • @praiseandworship6293
    @praiseandworship6293 2 ปีที่แล้ว +250

    Heavenly Father I pray you keep the person reading this alive, safe, healthy & financially blessed. Amen

  • @dianaelieza4937
    @dianaelieza4937 2 ปีที่แล้ว +22

    Leo nimewai sijawai kupata like jamani.

  • @babuunavaz9843
    @babuunavaz9843 2 ปีที่แล้ว +3

    Hivi huyu zuu namtamani Sana mjue bac tuuu daaaaah ...... 😂😂😂 Nikimtia mikononi huyu lazima atulie

  • @fatmamusa2483
    @fatmamusa2483 2 ปีที่แล้ว +3

    Kazi mzuri kaka twakuombea maisha marefu uzidi kutufraisha

  • @calvinkapinga8341
    @calvinkapinga8341 2 ปีที่แล้ว +31

    Hichi kidada kilichokuaga na Mr bigbig kina kipaji sana sijui anaitwa zuu

  • @developershee4033
    @developershee4033 2 ปีที่แล้ว +9

    Busara kweli. Keep educating the community

  • @cedricmaina4523
    @cedricmaina4523 2 ปีที่แล้ว +17

    Mashwaini nyinyi, mnang'atwa nini? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

    • @mohdnyambi7513
      @mohdnyambi7513 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂

  • @mohamedtaib5614
    @mohamedtaib5614 2 ปีที่แล้ว +27

    Joti na enjoy sana with love from Toronto

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 2 ปีที่แล้ว +5

    Hahahahahahaaaaa Joti ni htr ametumia akili ya kiutuuzima kuwatoa nje

  • @PabloEscobar-wt1fq
    @PabloEscobar-wt1fq 2 ปีที่แล้ว +36

    The most crazy comedian in Tanzania....

  • @abu-hasheem6422
    @abu-hasheem6422 2 ปีที่แล้ว +16

    Inafurahisha na kuelimisha.....safi sana.....👏👏👏👏

  • @florianrweangisa8403
    @florianrweangisa8403 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣kaka we ni nomaaaa sio comedy tu pia kuna elimu kubwa ndan

  • @azizahmwimbe8548
    @azizahmwimbe8548 2 ปีที่แล้ว +5

    🤣🤣😆😆heti babu tutauza kuku hata ukiuza mapupu 🔥🔥

  • @jacksongeorge3964
    @jacksongeorge3964 2 ปีที่แล้ว +7

    MNANGATWA NIN" hahaha😂😂😂 big up joti bonge moja la meseji

  • @johnngari7671
    @johnngari7671 2 ปีที่แล้ว +4

    Joti your the best😁😁😁😁😂😂 i real like tjis commedy

  • @jumanurdini9814
    @jumanurdini9814 2 ปีที่แล้ว +10

    Et babu tutauza kuku 🤣🤣 joti kazi nzur inaelemisha

  • @happykamera6001
    @happykamera6001 2 ปีที่แล้ว +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jot jot mbavu zangu zikivunjika utalipa🤣🤣🤣

  • @mbalilax162
    @mbalilax162 2 ปีที่แล้ว +48

    Further from comedy, this video also teaches...well done Joti, I really like this more

  • @PesaMadafu
    @PesaMadafu 2 ปีที่แล้ว +19

    People wants overnight success without applying hardworking and most of them don’t have no vision for it… besides be a comedy I know somebody learn something today. Joti and his team God blessed y’all.

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 2 ปีที่แล้ว +15

    Nimecheka sana joti 😄😄😄😄😄😄🔥🔥🔥🔥🇹🇿.

  • @abdoolshakuruswalehe546
    @abdoolshakuruswalehe546 2 ปีที่แล้ว +3

    Gud Sana Ila sopa na akina kipande fanya warudi bhana

  • @vincentmboya
    @vincentmboya 2 ปีที่แล้ว +21

    Watched this clip 5 times😂😂😂😂joti I really love your work 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 2 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😁😁😁😁 Mashwaini nyinyi yaani hela yangu Mimi mkafanyie anasa

  • @user-ki6nw6ve7p
    @user-ki6nw6ve7p 2 ปีที่แล้ว +8

    Kazi ya pesa, lazima kigugumizie kiwepo😂🤣😍 wajukuu wegine washezi

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 2 ปีที่แล้ว +1

    Akyammaaa kama babu yangu naeii ivvv waalah walitokea vilazaa kama iv aliwatimua homeee😅😅😅😘🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @glorylema5652
    @glorylema5652 2 ปีที่แล้ว +12

    Tunaorudia mar 2 mbil tujuaneeee🤣🤣

  • @officialdaud4773
    @officialdaud4773 2 ปีที่แล้ว +4

    Hahahahaa daah joti😂😂🙌🏻

  • @treshazgodfather9219
    @treshazgodfather9219 2 ปีที่แล้ว +3

    😀😀😀😀😂😂Babu nitakuwa nauza ndizi😂😂huyu mwingine nae nitakuwa nauza kuku JOTI: HATA MKIUZA MAPUPU😂

  • @aminaali792
    @aminaali792 2 ปีที่แล้ว +5

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣joti wewe ni hatareeeee wa comedy 🙌🏾❣️

  • @mcpaulmkopa4798
    @mcpaulmkopa4798 2 ปีที่แล้ว +2

    Babu mjanja Sana... Bora kilimo😂😂😂😂😂

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 2 ปีที่แล้ว +3

    Juwa linawaka mpaka kwenye mifuko 😂😂😂

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 2 ปีที่แล้ว +6

    Eti mnang'atwa nini, Shwaini zenu 😂😂😂

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 2 ปีที่แล้ว

      Mimate yanini🤣🤣🤣

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      hata mkiuza mapupuuuu 🤣🤣🤣🤣

  • @predictioneasyodds2779
    @predictioneasyodds2779 2 ปีที่แล้ว +4

    Napenda sana joti aki act mzee

  • @startz24
    @startz24 2 ปีที่แล้ว

    Hahahahaha da babu una wajukuu wanawaza anasa hahaha ila unaakili

  • @developershee4033
    @developershee4033 2 ปีที่แล้ว

    Hii naikubali. Busara nyingi na wosia mzuri. Watoto wa kileo ni ovyo sana.

  • @damarisonsabwa1293
    @damarisonsabwa1293 2 ปีที่แล้ว +13

    Keep the good work always 😅😅😅♥️

  • @groliapeter6132
    @groliapeter6132 2 ปีที่แล้ว +2

    Ila joti hamnazo kweli😍😍😍😍😍

    • @Ramchandtz
      @Ramchandtz 2 ปีที่แล้ว

      Nakubali..... Xku hiz kipande cmuoni

  • @ahmadsaid4878
    @ahmadsaid4878 2 ปีที่แล้ว +1

    Malaka kaskadiano farukulu madona 😂😂😂😂😂 jot bhna

  • @fiziparadise7808
    @fiziparadise7808 2 ปีที่แล้ว +18

    Hivi mnakubali King Joti ku join Original Comedy Show ao abaki hapahapa? The best Joti’s Congolese fan ever🇨🇩🇬🇧

    • @kentmhando1155
      @kentmhando1155 2 ปีที่แล้ว +4

      Ajiunge tu kule pengo lake linaonekana bado na huku aendelee tu kama kawaida

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 2 ปีที่แล้ว

      Kwakweli afanye kote❤️❤️❤️❤️

    • @wisperfect5320
      @wisperfect5320 2 ปีที่แล้ว

      Mkataba unambana

    • @bahatijoseph8763
      @bahatijoseph8763 2 ปีที่แล้ว

      Abaki huku huku

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 2 ปีที่แล้ว

      Aendeleze chake

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 2 ปีที่แล้ว +3

    Inakaribia b inachungulia b inaenda kwenye b🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂unajua takwimu hz ziache hvhv usiombe

  • @abdallahsuleimani7416
    @abdallahsuleimani7416 2 ปีที่แล้ว

    Kweli huyu alikuwa analibeba kundi la the comedian kazi mzuri amestahili tuzo

  • @mossesmatechi9022
    @mossesmatechi9022 2 ปีที่แล้ว +9

    Ahahaha Yaani Ela yangu ukafanyie Hanasa 😂😂😂😂😂

  • @BONGOSTARMEDIA
    @BONGOSTARMEDIA 2 ปีที่แล้ว +7

    Joti Fala saana😁😁😁

  • @DaimaMwasile-wm2ii
    @DaimaMwasile-wm2ii ปีที่แล้ว +1

    Aisee hii inafunza sanaaaaaa vijana lika kuanzia 22 kwenda mbali

  • @mossesmatechi9022
    @mossesmatechi9022 2 ปีที่แล้ว +1

    Babu tuta uza Supu labda ukauze Mapupu 😂😂😂😂😂

  • @homemohammed3244
    @homemohammed3244 2 ปีที่แล้ว +1

    Babu hizo hela mawe😂😂😂😂😂😂💯

  • @msimbatiboy7517
    @msimbatiboy7517 2 ปีที่แล้ว

    Mzee wajukùu wa mchongo hao🤣🤣

  • @achawanunetv1167
    @achawanunetv1167 2 ปีที่แล้ว +5

    KONDEBOY JESHI NDIE MSANII MKUBWA IN TANZANIA KWA SASA KWASABABU YEYE NDIE ANAITANGAZA NCHI YETU KIMATAIFA KUPITIA MZIKI MZURI ANAOUFANYA 💥💥💥

  • @Iamnia871
    @Iamnia871 2 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂safi sana😍😍😍

  • @simongadiel866
    @simongadiel866 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha..et mnang'atwa😂😂

  • @abraham92268
    @abraham92268 3 หลายเดือนก่อน

    Joti ni genius kwenye content creation,,
    Mpoki amecha baki mbali

  • @humycymachambula1719
    @humycymachambula1719 2 ปีที่แล้ว +1

    Ahaaaaaaaaaaaaa hela yangu mm mkafanyie anasa

  • @robertjoseph8830
    @robertjoseph8830 2 ปีที่แล้ว +11

    Respect Broo joti

  • @hamadiyahya4407
    @hamadiyahya4407 2 ปีที่แล้ว +10

    🤣😂🤣🤣 Really appreciate

  • @paulmwacha9870
    @paulmwacha9870 2 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante babu hao n mashuwain kabsa dadeq c🤣🤣🤣🤣

  • @malakimoses6115
    @malakimoses6115 2 ปีที่แล้ว +2

    Mm character wa joti namkubali Sana ni Babu leo nimefurahi Sana kumuona huwanacheka Sana 😂😂😂😂

  • @simoniandrew1273
    @simoniandrew1273 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha joti noma ety Kishungii😂😂😂😂

  • @allyuwesu7940
    @allyuwesu7940 2 ปีที่แล้ว

    Mjuukuu kauliza babu hizo Hela.babu kajibu haya mawe😀😀

  • @alfredjohn5693
    @alfredjohn5693 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahhaaha et jua linawaka adi kweny mifuko

  • @nicholauslaurent5454
    @nicholauslaurent5454 2 ปีที่แล้ว +1

    Mill 60 biashara ya vumbi la mkongo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @salumugidion
    @salumugidion 2 ปีที่แล้ว +13

    Hahahaha much love and respect from USA

  • @asteriaslaa5482
    @asteriaslaa5482 2 ปีที่แล้ว +1

    Jotiiiii.......
    Hahahaha..... Safi saaana

  • @georgelyimo7628
    @georgelyimo7628 2 ปีที่แล้ว

    😀😀alooo nimecheka sana Mnagunaguna nini kama mtu kajamba😁😁

  • @MrMona_TZ
    @MrMona_TZ 2 ปีที่แล้ว +6

    Joti atareeeee!! Mzee🔥🔥🙏

  • @amanishiughaaa6345
    @amanishiughaaa6345 ปีที่แล้ว +1

    hera yangu mm mkafanyieh Anasa ira joti

  • @martinmendrad3531
    @martinmendrad3531 2 ปีที่แล้ว

    ahahahahahahahaha ila we jamaa wewe hahahaha

  • @azizhamisi6519
    @azizhamisi6519 2 ปีที่แล้ว

    Yaan ela yako wakanunulie bia ,vumbi la congo ,guest kweli mashwaini peleka ndan begi la elaa😄😄😄😜

  • @DaimaMwasile-wm2ii
    @DaimaMwasile-wm2ii ปีที่แล้ว +1

    Nakubali sana brother joti

  • @Matiherbalist
    @Matiherbalist 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha 🤣😂🤣 Babu hutaki vumbi la congo, unywe bia zako za kuisabu , umalizie guest room bora usiwe kifuwani 💃💃💃

  • @BrownD
    @BrownD 2 ปีที่แล้ว +9

    🤣🤣🤣🤣 Suzie Ka ongea point

  • @nguzo.fabian
    @nguzo.fabian ปีที่แล้ว

    Ila bro big up..this is more than a talent..big up sana

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawa wawili wamefanana kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣AMA ndugu jamani haya idea ya business sasa

  • @thimayrahmuhammad1465
    @thimayrahmuhammad1465 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh basi zuu uwe unabadilisha hilo shati Duh toka ujulikane unalo tu au masharti

  • @lucashillarytawete9668
    @lucashillarytawete9668 2 ปีที่แล้ว

    Daaaah hakika npenda Sana kulifatilia we ni noma mwajina urud na ifakara kutembelea shule yako ya msingi kibaon,site mtanki matatu mtaa wako huu Enzo hzo

  • @fatmamusa2483
    @fatmamusa2483 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri kaka

  • @michaelbwoma2760
    @michaelbwoma2760 2 ปีที่แล้ว

    Daah bonge la fundisho Suzzy katupatia..

  • @chikukayoka4867
    @chikukayoka4867 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣et @inachungulia B🤣🤣🤣

  • @thierybien7051
    @thierybien7051 2 ปีที่แล้ว +2

    Eti mnang'atwaaa😀😀🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda8907 ปีที่แล้ว

    Hahaha 😂mchongo pesa Marundo 😅😅😅

  • @kizitokasulamo9167
    @kizitokasulamo9167 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 babu njoo tuyamalizee

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️Bora kilimo kabisaa

  • @samuelkiama975
    @samuelkiama975 8 วันที่ผ่านมา

    Hata mkiuza Mapupuu😂😂

  • @djuninhoramisos2453
    @djuninhoramisos2453 2 ปีที่แล้ว +1

    Haahah😂🤣🤣JOTI king of TANZANIAN comedie

  • @fatemafatema8581
    @fatemafatema8581 2 ปีที่แล้ว

    Eti unaguna nn kam mtu kajamba nimecheka kam mazuri joti leo hii kali eti pale vumbi ls congo eti mm nimelima tok mpo kwny viuno vy mama zenu🤣🤣🤣🤣

  • @frankkikambako9281
    @frankkikambako9281 2 ปีที่แล้ว +1

    Joti umeshindikana🤣🤣

  • @minaaminaa1781
    @minaaminaa1781 2 ปีที่แล้ว +1

    Babu..na kiboga hawachezewi...😂🤣wachezee tu nishai na andunje nataman siku moja hii familia iact pamoja 🤣😂

  • @ghost8641
    @ghost8641 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣 wtf did he say in the end? Baraka kaskajala falkun madona

  • @issahrashid6319
    @issahrashid6319 2 ปีที่แล้ว +4

    Nmependa Apo mwisho Mlioongea point wote watatu twenden tukapange ..

  • @jumastamu4408
    @jumastamu4408 2 ปีที่แล้ว +1

    Kanyinyi🤣🤣🤣🤣🤣 Kuna mtu kajambaA

  • @user-sc2fd2lf8l
    @user-sc2fd2lf8l 2 ปีที่แล้ว +1

    Babu msikilize huyo anaesema atauza kuku😂😂

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 2 ปีที่แล้ว +9

    🤣🤣🤣wamekosa yote

  • @moudyramosdravic7746
    @moudyramosdravic7746 2 ปีที่แล้ว +2

    Nilijua tu hili 😂😂😂

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 2 ปีที่แล้ว +3

    Mguu kwa beg ya mahela🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mbwanahatibu8488
    @mbwanahatibu8488 2 ปีที่แล้ว +2

    Leo hatimae nimekuwa wakwanza baada jamani nipigieni makofi kidogo jaman

  • @harunathomas516
    @harunathomas516 ปีที่แล้ว +3

    Joti on fire 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @paulpeter6454
    @paulpeter6454 2 ปีที่แล้ว +5

    Show time watu wanapindua meza 😂😂 Congo dust hii sio OG kama ya kule

  • @ukhutymamuu7470
    @ukhutymamuu7470 2 ปีที่แล้ว +11

    Nimewahi leo 💃👌🤣