Umerogwa weye , na usilazimishe kila mzanzibar aone unavyoona wewe , zanzibar ina mamilioni ya watu na kila mtu aone atavyoona bila kulazimisha wengine waone unavyotaka weye acha hizo
We ka inajengwa skuli au spitali bado unaponda watu wasishangilie we unaakili wewe, yani hasira zako chuki na hasadi zako unamlazimisha kila mtu awe ka wewe
Maalim Shaame Sheha Pandu Tumbatu Zanzibar . tunamshukru Mwenyezi Mungu kwa neema hii,rais wa Zanzibar mh Hussein Ali Hassan Mwinyi
Mh Rais umeongea Kwa vitendo Kwa Watumbatu , Allah akulinde na kila uadui pia akupe ,akulipe kila la kheir.Aminn.
Masha Allah mh wapinzani wakisema wewe piga kazi zaidi na zaidi kwani ndio wanakuzidisha hamu ya kufanya maendeleo
Muheshimiwa Mimi unanidai you sikudai
Wazanzibar alieturoga katupatia muda sahihi tunasahau hatunch tunashangiria ghorofa daah
Umerogwa weye , na usilazimishe kila mzanzibar aone unavyoona wewe , zanzibar ina mamilioni ya watu na kila mtu aone atavyoona bila kulazimisha wengine waone unavyotaka weye acha hizo
We ka inajengwa skuli au spitali bado unaponda watu wasishangilie we unaakili wewe, yani hasira zako chuki na hasadi zako unamlazimisha kila mtu awe ka wewe
maendeleo ndio muhimu vyama vya siasa havina faida
International hakuna skuli km hizi z serikali haina haja kusema z kisasa viwango vidogo vy ujenzi