SAYUKI TV LEO TUMEPANDISHA EPSODE YA MWISHO YA BARAKA ZA MAMA EP 30 MSIMU WA KWANZA NA MSIMU WAA PILI UTAANZA KURUSHWA MWEZI DECEMBER TAREHE 1 KWA SASA TUTAWALETEA KIGONGO KIPYA CHA TAMTHILIA KALI IENDAYO KWA JINA LA PENZI GIZANI JUMATATU SANNE KAMILI ASUBUHI MASAA YA AFRIKA MASHARIKI ITAKUA TAYARI UPLOADED KAMA BADO HUJASUBSCRIBE, SUBSCRIBE, LIKE,COMMENT AND SHARE USISAHAU KUWASHA BATANI YA TAARIFA ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA TUKIPANDISHA HIYO KAZI MPYA .
Mautanga kiukwel acha tu usamehewa kumbe una rohi sf sn nimejifunza mambo Toka kwako mengi🎉🎉🎉 mautanga na shukurn kwa kubadilika japo ulituudhi il tumekusamehe,,
Zuu ushaona umoja ni nguvu na pia kuishi na wstu ni vizur waona sasa ila badilika uwe na furaha katika maisha yenu kazi nzuri sana yenye mafundisho nawapenda bure
Hongereni sana mchezo sikutamani uwishe tukajuwa tena vipi bahati kaolewa na nani boda boda au sam ila mashaa allah movie nzuri saba saba zaid ya sana tunadubiria mwengine tunawapenda from uk 🇬🇧
Yaaaaaniiii nawaaaaaapendaaaaa saaaaaaanaaaaa,hii movie ni nzuuuuuriiiiii saaaaaanaaaa ❤❤❤❤. Mwenyezi Mungu awakinde na awajalie upendo wa pamoja ktk timu yenu ili awamu ya pili ya movie hii tuipate ❤❤❤❤❤❤
Movie nzuri Sana na pia tumejifunza kitu kutoka kwenu bahati mimba imetoka kwa sababu ya mshtuko wa kuwaona majambazi walomteka sasa nenda kaolewe na sam...😂😂😂😂
Msimu wa kwanza umeisha Ila jumatatu napandisha tamthilia mpya inayotwa Penzi Gizani kaa tayar msimu wa pili wa tamthilia BARAKA ZA MAMA utaanza tareh 1 mwezi wa 12 .
SAYUKI TV LEO TUMEPANDISHA EPSODE YA MWISHO YA BARAKA ZA MAMA EP 30 MSIMU WA KWANZA NA MSIMU WAA PILI UTAANZA KURUSHWA MWEZI DECEMBER TAREHE 1 KWA SASA TUTAWALETEA KIGONGO KIPYA CHA TAMTHILIA KALI IENDAYO KWA JINA LA PENZI GIZANI JUMATATU SANNE KAMILI ASUBUHI MASAA YA AFRIKA MASHARIKI ITAKUA TAYARI UPLOADED KAMA BADO HUJASUBSCRIBE, SUBSCRIBE, LIKE,COMMENT AND SHARE USISAHAU KUWASHA BATANI YA TAARIFA ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA TUKIPANDISHA HIYO KAZI MPYA .
Hongereni sana Kwa kazi nzurii 🎉🎉🎉 @sayuki513
Du! Hii mmeuwa
Hakika mko vizuri sana 🎉🎉🎉
Samu,msamehe sana mautanga juu naona ako na roho mzuri pia amejirekebisha Kwa kweli
Mautanga kiukwel acha tu usamehewa kumbe una rohi sf sn nimejifunza mambo Toka kwako mengi🎉🎉🎉 mautanga na shukurn kwa kubadilika japo ulituudhi il tumekusamehe,,
Mtoto wa zuu anafanana na mama utanga itakuwa ni mtoto wake 😂😂😂
😂😂😂❤❤
Ukweli yawezekana akawa mtoto wake
Kweli wanafanana
Mutoto anaomba musamaha hadi nalia mm😢
Zuu ameangu kia pua mpango yoote alokua akiyipanga kakosea mashaliti kwamu Ganga leeo kawamwema mbeleya Mama Mukwe wake na Mume wake asante
Mashaallah zuu unakuwa mzuri ukiwa namoyo huwo waupendo kuliko roho mbayaa mubarikiwe sanaaa kazi inapqmba motooo❤❤❤❤❤❤
Samu. Namupenda sana anajua kuceza🇧🇮🇧🇮
Zuu ushaona umoja ni nguvu na pia kuishi na wstu ni vizur waona sasa ila badilika uwe na furaha katika maisha yenu kazi nzuri sana yenye mafundisho nawapenda bure
Hii show ya baraka za mama ina mafundisho mengi na ni Bora sana je huu ndio mwisho ama inaendelea
Hapana msimu wa pili utaanza tarehe 1 mwez wa 12
Kazi nzuri sana nawapenda nyote barikiweni
Kazi nzuri inamafunzo pia mungu awatunze❤❤
❤❤❤ Mungu mwema, barikiw sana
Nimesikia kirang ad nime fulahi🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ number uyu mama n mrngi asante maua yako❤❤❤❤
Bahati maskin twende ukapafahamu nyumbani ndio umeenda na kuvua chupi na nimba juuu wanawake siyeee aghudhu BILAHI
Sam mwambie zuuh kuwa Alie kuwa mme wake ambae nikaka yako mama ako walitangulia mbele zahaki kwani anajua
Asante sana imeisha vizuri imana ibahezagire
😂😅😅😂😅ila Sam hiyo mi tomatoe inakatwa hivyo kweli 🤣😂😂
Hongereni sana mchezo sikutamani uwishe tukajuwa tena vipi bahati kaolewa na nani boda boda au sam ila mashaa allah movie nzuri saba saba zaid ya sana tunadubiria mwengine tunawapenda from uk 🇬🇧
Kaa tayari kwa kigongo kingine PENZI GIZANI jumatatu kitakua hewan muda wa sanne asubuhi.
Nimeifurahia saaan ❤❤❤🎉
Hongereni kwa kazi nzuri samu yuko juuu❤
Kazi nzuri sana
Shukrani kwa move nzuri🙏🏾🙏🏾🙏🏾👋👋
Kazi nzuri wapenzi 🎉🎉🎉 mmejitahidi sanaa❤❤❤
Asanteni Sana Kwa kazi nzuri
Zuu amekuwa mke Bora kweli.mungu ni mwema ❤❤bahati badilika jamni ona ulivyomkosea sam😢 ila twasubiria season 2
Ooooh,,,ahsanteni sana jamani
Kazi nzurii 🎉🎊
Mubarikiwe sana kwa kutuelimisha
Kazi nzuri sana imenifundishaasaa sana hongereni sana naimeisha au bado❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Season one imeisha msimu mpya wa hii movei itaanza tarehe 1 mwez wa 12.
Kwa sasa tujiandse na PENZI GIZANI inapanda jumatatu.
@@SAYUKI513 okay sawa
Mimi leo wa kumi🎉
Tuna isubiri kwahamu
Napesa katoa 😊😊😊 mama unachekesha
Bahat leo umeonaumuhimu wa sam❤❤❤❤❤❤❤
Hongereni sana jaman ❤🫂❤💋🎉🎉tunaingojea season 2kwaham
Reo iuyo nimekua wa kwanza na mm
Sema kimeumana😂😂😂😂😂
Mbarikiwe sana ❤❤❤❤
Angalia bahati🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kazi nzur mashallah
Mapishi ya Samu nan kayaona jmn,
Lkn amemukataa
Wewe nae 😂😂😂😂tumeona wengi Ayo mapishi
@@morjanoman5181 mm cjakataa kama et hayapo???
😂😂 July uniache bass🤣🤣
Ila mimi nilitaka nijue mwisho wa Bahat jamani mweeeeee!
Subir season 2
Kazi nzuri sayuki nasubiria season 2 ❤
Sam🤣🤣🤣🤣🤣
Mko vizur sana guys 🎉🎉
Hatimaye bahati kaingia kwenye familia ya majambazi
Mimba imetoka na ataolrwa na sam😂😂😂
Big up bro, yaani maigizo nkama ukweli.
Yaaaaaniiii nawaaaaaapendaaaaa saaaaaaanaaaaa,hii movie ni nzuuuuuriiiiii saaaaaanaaaa ❤❤❤❤.
Mwenyezi Mungu awakinde na awajalie upendo wa pamoja ktk timu yenu ili awamu ya pili ya movie hii tuipate
❤❤❤❤❤❤
Bahati umefyatua bome mama kajua ulimteka bahati😅😢
Mama kasema anafuraha kwa mdomo ila matendo hayàndaeñi na anachosema
Mimi leo wa 9❤
Daah pole kwa pishi hilo sam
Kazi nzuri
ila namuonea huruma kwa majanga yaliyompata kila sehem kwa moyo anao kweli
yaan huyu bahata atamkumbuka sam wallah
Sawa kabisa
Sam pole sana kwa yote yaliokukuta
Lakini niwapongeze wote katika filam kutoka mwanzo hadi mwisho
Shukran tunaomba ufuatilia PENZI GIZANI series yetu kali zaidi kuliko hii iliyojaa visa na mikasa ya mapenzi vya kusisimua na kuelemisha karibu sana.
Tunaitambulisha jumatatu sa nne asubuhi.
Bahati ak ww🤣🤣🤣🤣🤣
Movie nzuri Sana na pia tumejifunza kitu kutoka kwenu bahati mimba imetoka kwa sababu ya mshtuko wa kuwaona majambazi walomteka sasa nenda kaolewe na sam...😂😂😂😂
Kazi nzur
Nawapenda sana
Aka katoto Ni moto Mashallah
❤❤❤❤ asante
Bahati leo umejua umuhimu wa sam
Mchezo ni mzuri mashaallah mm nataka do Sam jamani maana nimependa tabia aliochukua
Waah yn hp pamoto ❤❤❤❤
Mbona imeishia mapema si ingeendelea
Mh.. zuu kapendeza
Mko vizuru❤❤
Bahati pole yako shogaangu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ivi inatoka baada ya sku ngapi
Zuu umekuja mwema leo
😢❤momb😊
Leo nimewahi na mm
Wangapi bado wanaamini kwamba zuuh hawezi badilika?
Jmn mbn imefika patamu ndio imeisha jmn
Bye bye 🎉🎉🎉🎉
Jaman mmefiawapi mbona hamuoi
Msimu wa kwanza umeisha wa BARAKA ZA MAMA msimu wa pili utaanza muda c mrefu
Kwa sasa tuburudike na penzi gizan kwanza
Mnajitahid ila.sasa mnakosea.kitu kidogo hapo.mnatakiwa kubez na mgonjwa kwanza kisha.msamaha upite.
Bahati kazuilia mkojo maana si kwa uwoga huo
Make up ya bahat 😂😂😂
Hii move ninzur sana
❤❤❤
Imeisha vizuli
Wa 4 kwa mara ya kwqnza
MI WA 3
Next pliz
Bahati kayamwaga
Bona munamaliza kabla maman samu ajarudi n'a kaka
We upo wapi kwani hukusikia km wamekufa na Sam kashapelekwa makaburini kuona rudi za nyuma uone😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂 alikua too usingizini@@OfficialA83640
Nyie hii mvi imeisha mnona komenti zinanitisha tafadhwli
Season two ni lini jamniiii
December first ila jumatatu tunapandisha Epsode mpya inayoitwa PENZI GIZANI
@@SAYUKI513 duuuh iseee ni mbalii
Kweli apa napapendasana kwasababu nimejifunza kitu MTU mubaya anaeza badilika nakuwamwema Léo zuu amekuwa musitarabu?
Mm wa pili hahahah
Imeklisha au?
Msimu wa kwanza umeisha Ila jumatatu napandisha tamthilia mpya inayotwa Penzi Gizani kaa tayar msimu wa pili wa tamthilia BARAKA ZA MAMA utaanza tareh 1 mwezi wa 12 .
Ya nwisho au?
Bahati kaona sura mbili za mautanga mpk mimba imetoka duhhh
🤣🤣🤣🤣🤣
Asanteni