- 223
- 3 682 955
SAYUKI TV
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 20 ต.ค. 2020
ITS FOR ,SHORT FILM AND SERIES WITH THE PURPOSES OF EDUCATING AND ENTERTAINING OUR FANS PLEAS SUBCRIBE ,TURN ON NOTIFICATION BAR,SELECT ALL NOTIFICATION ,LIKE SHARE AND COMMENT
FOR MORE CONTACT
PLZ CONTACT US
0786089645
0742797164
0629360079
FOR MORE CONTACT
PLZ CONTACT US
0786089645
0742797164
0629360079
BARAKA ZA MAMA EP 49 SEASON TWO
#babajoan #dontatv #clam #busatitv #stevemweusi
If you find any error in our published content please take a minute to tell us we will resolve it at the earliest.
If you find any error in our published content please take a minute to tell us we will resolve it at the earliest.
มุมมอง: 10 333
วีดีโอ
BARAKA ZA MAMA EP 48 SEASON TWO
มุมมอง 12Kวันที่ผ่านมา
#babajoan #dontatv #clam #busati #stevemweusi if you find any error in our published content please take a minute to tell us we will resolve it at the earliest.
BARAKA ZA MAMA EP 47 SEASON TWO.
มุมมอง 11K14 วันที่ผ่านมา
#babajoan #clam #dontatv #stevemweusi #busatitv if you find any error in our published content please take a minute to tell us we will resolve it at the earliest.
BARAKA ZA MAMA EP 46 SEASON TWO.
มุมมอง 11K14 วันที่ผ่านมา
#babajoan #clam #dontatv #busatitv If you find any error in our published content please take a minute to tell us we will resolve it at the earliest.
BARAKA ZA MAMA EP 45 SEASON TWO
มุมมอง 11K14 วันที่ผ่านมา
#babajoan #clam #dontatv #stevemweusi #busatitv If you find any error in our published content please take a minute to tell us we will resolve it at the earliest.
BARAKA ZA MAMA EP 44 SEASON TWO
มุมมอง 11K21 วันที่ผ่านมา
#babajoan #clam #stevemweusi #dontatv #busati If you find any error in our published content please take a minute to tell us we will resolve it at the earliest.
Vipi jamani Baraka zamama
Soon tunamalizia kuna wasanii walikua wagonjwa
jamani vipi Baraka zamama
Kesho tutapandisha
Kwa hii iliishia wap jaman mbona sijaona mwisho wake penzi gizan ilipotea gafla na hii pia☹️
Bado vipande vichache kwisha tuanze nyingine changamoto kuna wasanii baadhi wanaumwa
Kwani iliisha ama ni Mimi sijui
Bado vipande vichache tulipata changamoto kuba wasanii wanaumwa
Naomba kuinginzaa😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Uko wap?
Mm andi machonzi yanatoka andi huruma .mama ni. Mungu wapili nawapenda. Sana wakina mama 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Hamueleweki sahivi
Mbona tulisema kuna wasanii wagonjwa watu wetu muwe na subira.
@SAYUKI513 nilikuwa sijaelewa wape pole haki tumewamisi sn💕
Mbona sam hauwonekani au hujafika kwa babu yko
Mbo muvi hAmlet
Tutaandamana coz hamleti movie
Kazi nzuri sana ❤
Sayuki mnazingua sikuhiz
Kana wasanii wanaumwa poleni tutawaletee kazi zenu ili kumalizia season na kuanza tamthilia mpya.
Mama mkwe na mkaza mwana wasemezana kama mtu na mke mwenzake jamani🙄
Mmeishiwa mbona ivi
Mbona sielewi
Jamani
Sasa mbona hatuelewi
Soon tutamalizia bado vipande vichache tu kuna wasanii wagonjwa tuwe na subira.
@SAYUKI513 ooooh sawa poleni
please show some love by subscribing to our channel.
Good afternoon kindly episode 50 naisubiri kwa hamu
Soon our fan.
Jaman tumemis mwendelezo mbona munachelewa kutoa tatizo nini
Kuna wasanii wanaumwa ila soon mtaona.
@SAYUKI513 jaman mungu hawasaidie wapone haraka
Kwani hiki kipindi kili isha nyie au vipi😮
Bado kuna vipande 6 kumalizia ila kuna wasanii walipata changamoto ya kiafya ila kuanzi jumatatu tutamalizia na kuanza tamthilia mpya.
@SAYUKI513 okay thank you for information🙏
Together @@lindauma982
tupe ingine
Please subscribe to my channel for more films.
Mnachelewsha
Tupo pamoja Mungu awalinde na kila baya
❤❤❤
We mshamba hatutaki matusi humu
zipe kayakanyaga leo
Mashaallah
Mchezo mzuri sana sana saba unazid kunoga ila asitukane mbele ya mtoto mchezo unakwenda mbali huu na pia watu wengi wa afatilia hadi watoto wenzake baraka wanavutiwa na baraka vituko vyake mwambie asiwe anatukana ila mchezo mzuri sana waungwana tunawapenda from uk 🇬🇧
Jaman kaz ni nzur san tunataka tuone itakuwaje jaman management tupen mwendelezo plz,,🙏🙏🙏
Asante washiriki wote🎉🎉🎉❤❤
Huyo jini😮simzuri kama mtoto wa Sam walimchukua na alikua mume huyo baraka ataenda mfanya😮nn sasa toka ujini dada uwe binadamu wa kawaida🎉🎉🎉
Mumetucĥeleweshea sana hongera kwa kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤❤
Dawa yamoto nimoto nae awe jini t
Oooooh my God zipe amekutana na baraka, sasa itakuaje.
Mbona hamleti nyingine
❤❤❤❤
Kazi nzuri sana
Mi naomba Mungu amusaidie balaka huyu jini asimpate
😂
Pole zp
Zipe anateseka uwadhalilishwa n binadamu maskini uwatia huruma yote aliyataka sam leo amemgeuka mwenzie😢😢😢
Watu kama zulfa ni wauwawe tuu na roho mbaya zao😢😢pumbavu zao😢😢
Sasa jini gani jaman ambalo haliwezi kuona funguo ulipo jaman
Hna nguvu tena n km Ile funguo alikokuwa ameiweka kichwani ndio ilkuwa ina nguvu zake
@aishaomar9621 makubwa kumbe ndo maana kachanganyikiwa hatariiiiii
Kuwapenda tu mimi❤❤
Asante sana kazi zuri
Saw tumshukuru ❤❤❤🎉🎉🎉
🎉🎉
Mpeni zipe jiwe lake maskini anateseka😢
Asante kwa kazi nzuri
Mbona huyu katukana live
Kasema mama mama ake Mdogo hilo ni tusi.
Hatutaki matusi