Ivi nyie Neema Gosple Muda wa kufanya rehearsal mnautoa wapi? Ni ndani ya saa 24 katika siku tunaojua Sisi??? Au mna muda wenu tofauti 😅😅... Mambo mengi sijui kama mnapata time ya kupumzika.. anyways God bless you... Kazi yenu ni njema. Naomba hiki kipindi kiendelee Kwa ubora huu na zaidi ya hapa. Binafsi nabarikiwa. Asante Crown media 👑

Atukuzwe Mungu hakika
Hongereni sana
Naskia barikiwa sn god bless you neema gospel choir 🙏
Crown media ongeren sn kwa ubunifu huu
Nyie watu mpo viwango vingine kabisa vya hiii huduma mzidi kutubaliki watumishi wa Mungu
Mahubiri mazuri yamenitia nguvu. Listening from Kenya
Wow how heaven will be if this is the way to sing and worship.
Kuna pisi za moto sana 🔥🔥❤️😂
Nawapenda sana
Hakuna media kama crown kwa sasa
Joshua soro nakubari sana ndugu yangu
Mungo awabariki
Neema gospoooo MNATIXA ASEEE
MTAFIKILI VINANDA NA MAGITAAA MMETENGENEZA NYIEEE😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅
miziki imelia sana safi sana
Huduma niliokuwa nasubiri mdaa mrefu sasa imefika hakika Yesu ni mwema kwaote wenye mwili
Kipindi Bora zaidi, neno Kwa ufupi,injili kwa nyimbo nzuri na mpangilio Bora. Mmeweza sana ,zaidi kwaya ya wasomi
Mwenyezi Mungu awabariki sana
Utukufu ni kwa BWANA
🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤🕺🕺🕺💃🏻💃🏻💃🏻
Waaaaaaaaoooh 🔥🔥🔥🔥
We miriam weee🙌🏽
Mungu awabariki sana
Crown media be blessed 🙏🙏
Waoooooooooooooo Neema Gospel 🎉🎉🎉🎉
Sijui haþ muda munapat
❤
🎉🎉🎉🎉
Ila albenty😂😂😂
kama kuigiza na ww igiza
Maigizo tu hapo
Nawewe igiza bas tukuone
Kumbe kuigza ni rahisi kama kwenda chooni
Mbona usanii mtupu
Acha ulimbukeni NDG umeona kuna usanii hapo????ACHA NENO LA MUNGU LIHUBIRIWE THROUGH MUSIC 🎶 km huna cha kukoment kaa Kimya.
Mungu mwenye crown