Africa iyache kunyenyekea wazungu,mbona Bukinafaso wamekataa misaada na mikopo yao na wamewafukuza wazungu na kambi zao za kijeshi zote wameziondoa na wanafanya maendeleo kupitia madini yao na imewezekana kwa asilimia mia moja
Big up sana mama yetu mpendwa,nakupenda hadi natamani nikubebe mgongoni,wananiboaga sana na mambo yao yakijinga,kwani ktk demokrasia tunawafunika sana hata hao wanaotupigia kelele kila siku,sema tu wanatuona kama vile hatuna macho hatauoni yanayotendeka ktk nchi zao,hongera sana Rais wetu,umetusemea ♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹
Mama Samia hill ulolosema dhidi ya marekani na makapuku wenziwe umetuakilisha vyema sana umetusemea mno tulionayo mdomoni TANZANIA NI NCHI YENYE MISINGI YAKE WATUACHE WE LOVE EACH OTHER
Nchi za magharibi ni fukuto la uharibifu katika nchi za kiafrika .Tanzania ni nchi huru inayojiendesha kwa katiba yake na kwa kufuata sheria...mimi nampongeza sana Rais wangu mama Samia kwa msimamo wake kama mkuu wa nchi.hongera sana mama. watanzania tupo nyuma yako na tupo tayari kuilinda Tanzania na mipaka yake. . hongera sana Raisi wetu
Nikweli hotuba safi lkn angetekwa baba Yako na kuuwawa au ww kama ni mzazi Kuna kesho na keshotukutwa mtoto wako akawa mwanasiasa wa upinzani Akatekwa na kuuwawa alafu polis na usarama ndo washutumiwe atokee mtu aseme tuite chombo Cha nje kichunguze maana mshutumiwa hawezi jichunguza
Mnacho jadili na kilichoongeleea na mabalozi ni vitu viwili tofauti, wao wanaongelea kuuwawa watu unao endelea nchini lkn marekani ukiua ujue umechoka kukaa mtaani lazima ukamatwe
Daaah mzee tuna wasomi hii nchi.. hoja ya msingi kiuhalisia imepakwa rangi haswa hadi sasa kwangu mim imesound tunajifananisha kati ya ubaya wa wengine dhidi ya huu wa kwetu unaotokea..dah😂😂😂😂😂
Uongo siku zote utabainika Siku zote ukweli utabaki ktk nafasi yake wamedanganya watu kwenye kivuli cha democrasia na haki za binaadam wao ndio wakwanza hawafuati wauwaji wakubwa madhwalim siku zote hawafanikiwi isipo kua kupata hasara tuu
Wakemee najua marekani NDIO wanaofadhili utekaji na maovu mengine nchini mwetu hamulijui hili hawa wana'engineer'uovu mwingi halafu Wana 'tumaster mind'tunawaamini shit 'em
Kipindi cha urahisi wa mueshimiwa Kikwete, waziri mkuu akiwa mheshimiwa Pinnda ziliingizwa pembejeo nyingi za kilimo tukawa na matumaini nguvu za serikali zitaelekea kwenye kilimo, matokeo yake hilo halijaonekana bado tunaendelea kuwa omba omba. Ardhi kubwa. Mama chonde chonde serikali ielekeze nguvu zake kwenye kilimo ili ili tusiwe watumwa.
Pia mtu mzima akipungukiwa jambo lolote,ww kama mtoto haikupi uhalali wa kumpigia kelele bali iko namna sahh ya kufikisha ujumbe kwa mzizi sio kwa kuongea naye kama mtoto!.
Kwa mtazomo wa Balozi wa Marekani nchi Tanzania anataka kuifanya kama nchi yake ya Marekani sio Balozi wa Marekani tu hata Balozi, za Ulaya huwa wanasatilia sana mambo yetu ya ndani ndio wanapandikiza wakina Zelensky nchi Tanzania kama Mbowe Chadema kuleta vurugu
Uwezo wa kuishi bila misaada toka kwa hao mabeberu tunao ,tunaweza omba kwa nchi nyingine tu,kiuhalisia hao mabeberu ndiwo hawawezi kuishi bila kutuibia mali zetu,na siku viongozi wa Afrika watakapoungana na kuwakataa,watashindwa kabisa kuishi,wanatuongezea mambo machafu tu hata yakukufuru siwapendi kama nini
@@rashidalihamad7228 hao siyo sawa na Mungu,wala usikufuru,tunaweza kuishi bila wao,lakini hatuwezi kuishi bila Mungu,na wakuomba msaada siyo lazima wamarekani na waingereza kuna mataifa kibao twaweza kuwaonba msaada
nafurahi sana na natoa pongezi kwa wanahabari wa Tanzania, na baadhi ya viongozi akiwemo Prof. Samia, Traore, Mseven, Naiona Afrika kubadilika kifikra na Kiushawishi, Kama Manyangau (Wazungu) jina lao jipya hili baada ya lile la kuwaita Wakoloni ambalo bado lilikuwa linawapa nguvu, au Mabeberu, ambalo bado linawapa hadhi, tunawaita Manyangau ndo linawafaa sana kwa sasa, mmeweza kusimama, na kufanya kuwashusha hadhi hapa Afrika ambapo badae watakuwa omba omba. Hakuna ujinga kwa viongozi na upumbavu kama waliosababisha vita Israel, Ukraine ni Vichaa wanao vaa suti, asante sana GPS, mkiendelea hivi Tanzania can lead revolution to the world
Horee mwanamke shokaaaa Hongera Mama kwa kweli umejaribu yaani kumfungulia mdomo marekani Mungu Akulinde kwa kweli nimeamini kuwa mama una ushujaa kama vile simba mwenda kimya👏
@@MohamedAhmada-ie7ke Mm Najuwa Hakuna Ambae Hajapatikana kwa Mfano Alie Mshuti Dold Trump Kauwawa Pale pale Na Juzi Akikamatwa Mwengine kwa jaribio la Mauaji ya Trump Fuatilia Usiishi kizembe wewe
Wauwaji wakubwa huku wakijificha kwenye kivuli cha democrasia na haki za binaadam siku zote uongo hawezi kudumu ALLAH kawadhalilisha madhwalim kupitia vita vya Palestina na uongo wao
WE KAJAMAA MWENYE KOTI JEUSI: NIMEKUSIKILIZA TENA KWENYE MAELEZO YAKO YANAYOENDELEA UGOMVI WA ISRAEL,GAZA.....nimegundua wewe unatatizo la kuchagua upande na kuongea kama msimamo wa ukweli kitu ambacho si sahihi..... 1: KWANINI HUJALAANI HAMAS KUVAMIA ISRAEL NA KUCHINJA WATU?...... 2: UNAONGEAJE UHALALI WA PALESTINE KUKAA GAZA DHIDI YA ISRAEL.....WAKAT KI HISTORIA ISRAEL ILE NI NCHI YAO NA WAO WAMEISHI HAPO MIAKA MINGI ZAIDI KABLA YA PALESTINE... (BEFORE OTTOMAN EMPIRE) SUALA LA OSAMA KUKAMATWA HUJUI KWAMBA YULE ALIKUWA GAIDI NA KAMA WANGETOA TAARIFA YAMKINI ANGEWEZA KUFICHWA???.....😮😮😮 WE ULISHAWAHI KUJIULIZA KWANN KUNA MAKOSA HAPA HAPA TANZANIA HAYANA DHAMANA ?????? JE WEW UNAZIJUA SHERIA ZA KU DEAL NA MAGAIDI DUNIANI? MBONA HUJATOLEA MAELEZO. MIMI SIKATAI NAMNA YA WAZUNGU WANAVYOTUNYONYA AFRICA.....KINACHONIPA SHIDA KWAKO NI AMBAVYO WEWE HUONGELEI UJINGA NA UZEMBE UNAOFANYIKA HAPA KWETU.......NA AFRICA KWA UJUMLA... ISSUE ZA KUDILI NA MATAIFA YA NNJE KUHUSU SISI HAZITUPI SISI UHURU WA KUVURUGA MAMBO YETU KISA HATUTAKI KUINGILIWA.....MAIONGELEE KIUDOGO HIVYO...ETI HATA SISI TUNALAANI KABISA WEKENI WAZI NAMNA WANANCHI WANAVYOPITIA TABU NA KUFA DHIDI YA UTAWALA WAO ALAFU NA NYIE MUONE KAMA MTABAKI SALAMA HAPO.....so HATA NYIE MNAZINGUA TU KWAKUWA HAMTUPI TAARIFA ZA NDANI YA NCHI YETU KUHUSU MASUALA MAZIMA YA KIMAENDELEO,SERA, UONGOZI BORA,UFISADI NA RUSHWA HAKI NA SHERIA..N.K BADALA YAKE MPO MAKINI SANA KUONA JINSI AMBAVYO MATAIFA YA NNJE YANAVYOTUONEA AFRICA....SASA SISI INATUSAIDIA NINI .....MNA KAZI YA KUKARIRI TAARIFA ZA ZAMANI AMBAZO HAZINA TIJA YA MOJA KWA MOJA NA MATATIZO YETU KAMA WANANCHI......... YAANI HICHO UNACHOKIFANYA KUONGELEA MGOGORO WA ISRAEL NA PALESTINE SIJUI IRAQ,NA MAREKANI NDIO MAANA HALISI YA COLONIZED (MINDSET) ULIYOKUWA UNAONGELEA.....it doesn't help us anyway zaidi ya kuongeza chuki za KIDINI baina yetu.....kwanini usijikite kwenye matatizo YETU SISI wenyewe na NAMNA ya kuyatatua.....KUNA USOMI NA KUNA ELIMU sasa wewe ni una ELIMU ila huna USOMI...YOU know WHY nimesema hivyo Kwa sababu what you keep telling is just stories not LESSONS learnt for decisions.
Mama yetu ,wewe ni Rais WA Tanzania wasikuyumbishe wamarekani, Yao yawashinda kz kukoseana kuuwana tu. Tumia maono yako kuondoa kero za WA Tanzania Kwa mujib w katiba. Na baloz yule weka mwengine hakufai yule.
Kabla hujaandika haya fikiria kwa kina hilo alilosema ni kweli nchi haingiliwi maamuzi na nchi nyingine isipokuwa nchi kama nchi inapaswa kufata katika inavyotaka mana ni kweli kifo hakizuiliki kama unakumbuka hata trump wamemkosa kumuuwa zaidi ya mara moja Magufuli pia na ndio maana hata yeye yupi katika sitofahamu kwakuwa hata kiongozi anaweza kuuliwa.
@@daudmwalimu971Kuna utofauti brother kati ya tukio la Trump na matukioo yanayotokea kwenye inchi yetu hususani kwa raia wa kawaida bila ya serikali kulipatia dawa halafu trump hakuwa amekufa walaa hajatekwa ilaa alitaka kuuuawa na sniper ambacho chanzo chake kinaweza kikaelezeka kwa fikra
Mama Samia hongera sana umetuheshimisha sana sisi tunakuunga mkono hatufurahii watu kupotea au kuuwawa lakini sio wao waiamrishe serekali yatu kufanya wanavyo taka mbona wao hanauwana hadharani hatuwaingiili au kuwaelekeza chakufanya Hawana demokrasia hatusemi wao ndio wanatuamulie Mama Asante sana tupopamoja
@@abduljuma7807ndo muache kujikomba kwao na kutegemea mikopo yao. Mana kila siku mnakopa tu. Magufuli alisema hicho kidogo mlichonacho mkikisimamia kitakua na mtaweza kukua kiuchumi.
Sijui Watanzania tukoje! Watu wanapiga kelele mauaji yasiendelee, wengine wanapiga, ni ajabu sana. Ni sawa na kusema, hatutaki kuhubiriwa neno la Mungu Kwa kuwa sote tu wenye dhambi. Wanaopinga mauaji, upotezwaji wa binadamu wako sahihi.
Kama anakupa mkopo anayenufaika ni yeye maana unaulipia kwa riba, hizi A level countries ziache ubinafsi, ukiangalia ndo zinaleta shida mpaka kwenye mataifa mengine hususan afurikaa.
Henry umejua kunifurahisha zaidi yani umetisha big up bro
Hasante mama hongera kwa somo ulioitoa
GPS hoyeeee love you Guys from this side Mombasa Kenya 🇰🇪
Nihaibu kubwa sana kwa marekani kuzungumzia haki za binadamu maana yeye ndie mkiukaji mkubwa haki hizo
Otherwise, i just wanna to thank you all guys mnatupatia madini. May god bless y'all.
Pamoja from the USA 🇺🇸
Naaaam,,,Machambuzi safi zaidi
Big up brooos
Kwa kweli GPS imekuwa kipindi changu pendwa ❤ hongereni sana
Hii ndy tz tunajitambua ss wachambunzi tunayo 🇯🇲❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Pamoja frome Oman 🇴🇲
Uchambuzi ulio mzuri sana ulokuwa na fact and logic bila ya fact na logic GPS watu wangaliikataa cause ni masuala ya ndani
HONGERENI SANA SANA
Asante snaa Commender in chief Dr.Samia Suluhu Hassan... 🇹🇿❤
Muache ajidanganenye tu
Please mama always be like this please please
Hongerani kwa uchambuzi mzuri,,,, kwa hakika mmna tuelewesha vizur
Naaapa kiwafuatilia kwa umakin,,,
Bi mkubwa upo sahihi ila hii mikopo ndo changamoto ndo maana marekani anapata nguvu 🇹🇿🇹🇿🫡
Africa iyache kunyenyekea wazungu,mbona Bukinafaso wamekataa misaada na mikopo yao na wamewafukuza wazungu na kambi zao za kijeshi zote wameziondoa na wanafanya maendeleo kupitia madini yao na imewezekana kwa asilimia mia moja
Hongera sana Mama yetu ❤❤❤
Asante mamangu samia iloveyou
Mama aliongea bonge la Point wallah❤❤❤
Wait for outcome , wejidanganye
Hongereni
Big up sana mama yetu mpendwa,nakupenda hadi natamani nikubebe mgongoni,wananiboaga sana na mambo yao yakijinga,kwani ktk demokrasia tunawafunika sana hata hao wanaotupigia kelele kila siku,sema tu wanatuona kama vile hatuna macho hatauoni yanayotendeka ktk nchi zao,hongera sana Rais wetu,umetusemea ♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹
😂😂😂😂Uchawa sasa
Usijali ngja utateuliwa kuwa mbunge viti maalum
@@allanlarge7794 uanasisa siyo karama yangu,mimi ni mzalendo ktk nchi yangu
@@kassimrajabu7805kuma wewe nyumbani kwako nani anakupangia???
@@hassanthabit3726 duuuh!!! Mental health is real😂😂😂😂😂
Hongera sana mama samia wetu wewe ndio mama wataifa la tanzania
Hao wa mangaribi ndo wanaofadhili ugaidi wasitusumbue
Siungi mkono CCM ila nchi za magharib zisituzoee kabisa 👊🇹🇿
😂😂😂😂😂
Huo ndiyo uzalendo haswaaa
Tungekuwa na WATANZNIA wengine kama ww tungefika mbali sana maana kuna wengine utaskia demokrasia wakati yy mwenyewe haonyeshi hiyo demokrasia.
Mama Samia hill ulolosema dhidi ya marekani na makapuku wenziwe umetuakilisha vyema sana umetusemea mno tulionayo mdomoni TANZANIA NI NCHI YENYE MISINGI YAKE WATUACHE WE LOVE EACH OTHER
Mama umetisha bila kupepesa macho ujumbe wameupata ❤❤
Hao wazungu ndio wachochezi waamrishe watu wao huko sio Tanzania
mama kaongea kama mkuu wa nchi tena kaongea kwa ujasiri mnoo hongera sana kiongozi wetu
😂😂😂😂 kama kwelivile
Hongera mama
Kwalipi
Kwa kutaa kupewa mwongozo na mababeru@@rogerabdallah439
Nchi za magharibi ni fukuto la uharibifu katika nchi za kiafrika .Tanzania ni nchi huru inayojiendesha kwa katiba yake na kwa kufuata sheria...mimi nampongeza sana Rais wangu mama Samia kwa msimamo wake kama mkuu wa nchi.hongera sana mama. watanzania tupo nyuma yako na tupo tayari kuilinda Tanzania na mipaka yake. . hongera sana Raisi wetu
Safi Sana Kiongozi
Nikweli hotuba safi lkn angetekwa baba Yako na kuuwawa au ww kama ni mzazi Kuna kesho na keshotukutwa mtoto wako akawa mwanasiasa wa upinzani
Akatekwa na kuuwawa alafu polis na usarama ndo washutumiwe atokee mtu aseme tuite chombo Cha nje kichunguze maana mshutumiwa hawezi jichunguza
Safiii
😂😂😂😂😂😂😂😂 wao wenyewe wanataka kumuuwa Trump halafu wanajifanya nini
Mnacho jadili na kilichoongeleea na mabalozi ni vitu viwili tofauti, wao wanaongelea kuuwawa watu unao endelea nchini lkn marekani ukiua ujue umechoka kukaa mtaani lazima ukamatwe
Daaah mzee tuna wasomi hii nchi.. hoja ya msingi kiuhalisia imepakwa rangi haswa hadi sasa kwangu mim imesound tunajifananisha kati ya ubaya wa wengine dhidi ya huu wa kwetu unaotokea..dah😂😂😂😂😂
Samia Suluhu Hasani oyeeeee.
Mbona hawakemei Israel,badala yake wanawapa silaha kuendeleza uuwaji ,,wanafiki tu
Hao niwafanya biashara haijalishi wanauza nini hata kama ni damu za binadamu niwashenzi tu
Uongo siku zote utabainika
Siku zote ukweli utabaki ktk nafasi yake wamedanganya watu kwenye kivuli cha democrasia na haki za binaadam wao ndio wakwanza hawafuati wauwaji wakubwa madhwalim siku zote hawafanikiwi isipo kua kupata hasara tuu
Safi Sana Mama Yetu.
Huu Ndio UHURU
Ongereni watanzania kua na raisi jasiri kama mama
Dar laisi yup
@RomanMwinyi Raisi Roman catholic Italy.
Lazima apangiwe chakufanya maana hajuwi afanye nn
Sivyo ilivyo. Ila kwa mtazamo wako unaiona iko hivyo.
@@mwawekomiuda9779Sasa we boya mbona Wana tekwa watu WA chadema 2 mbona ccm awa tekwiii wakina soka waludii
@@mwawekomiuda9779Ameshindwa kukomesha utekaji halafu anasema asipangiwe.
Kaongoze wewe pengine unajua nini Cha kufanya
Ngoja azozane na maghalibi kam hawajaanz kulet makund y kigaidi humu na making yakigaid yakija tu vijan tunajiunga
Shukrani MAMA SAMIA , MUNGU AKULINDE Saa Zote . Ali
Adam .visiwa vya KOMORO 🇹🇿🇷🇺
Hii kitu mama imemtafuna sana kafunguka wazi wazi kama magufuli
Marekani anatetea haki Gani muwaji mkubwa waulimwengu
39:17
Wakemee najua marekani NDIO wanaofadhili utekaji na maovu mengine nchini mwetu hamulijui hili hawa wana'engineer'uovu mwingi halafu Wana 'tumaster mind'tunawaamini shit 'em
Umeona omeongea na wewee 😮😮😮
KAMA KAWA WA KWANZA NAOMBENI LIKES ZANGU GPS OYEEE🎉🎉🎉
Hutoboi 😂
Kipindi cha urahisi wa mueshimiwa Kikwete, waziri mkuu akiwa mheshimiwa Pinnda ziliingizwa pembejeo nyingi za kilimo tukawa na matumaini nguvu za serikali zitaelekea kwenye kilimo, matokeo yake hilo halijaonekana bado tunaendelea kuwa omba omba. Ardhi kubwa. Mama chonde chonde serikali ielekeze nguvu zake kwenye kilimo ili ili tusiwe watumwa.
Brother Henry uko vizuri kwenye GPS Mungu akulinde
Kipengere cha kutoingiliwa hakimpi mtu yeyote kuonea au kujali kwa upendeleo wowote.sabbu hakuna wa kukugusa.heshimu mungu w hki fuat hki.
Pia mtu mzima akipungukiwa jambo lolote,ww kama mtoto haikupi uhalali wa kumpigia kelele bali iko namna sahh ya kufikisha ujumbe kwa mzizi sio kwa kuongea naye kama mtoto!.
Au kama jamaa zako wa mtaani.
Vizuri
Huyo balozi wa UsA ndio wanaotoa silaha na kuwauwa palestina na kupelekea silaha ukreni
Kwa mtazomo wa Balozi wa Marekani nchi Tanzania anataka kuifanya kama nchi yake ya Marekani sio Balozi wa Marekani tu hata Balozi, za Ulaya huwa wanasatilia sana mambo yetu ya ndani ndio wanapandikiza wakina Zelensky nchi Tanzania kama Mbowe Chadema kuleta vurugu
Aksanti sana maman sisi wote tuko nyuma yako
Mama kwa hilo swala la kutoelekexwa cha kufanya na nchi za magharibi na Marekani safi sana kiongozi
Ni kweli hawapaswi kuingilia mambo yetu ya ndani ya nchi
SAFI MAMA SAMIA
SAF SANA HAO WAKOLON WASITAKE KUTUPELEKESHA WALA WASITUPANGIE
Mungu atuhurumie kufa kupo tu lakini Mungu atupe mwisho mwema.Pia Mungu atusaidie Waafrika tuweze kujitegemea.
Kam hatak asiombe misaada
MSAADA WA VITABU VYA USHOGA UTAPATA 🤩🤩🤩🤩🤩
Uwezo wa kuishi bila misaada toka kwa hao mabeberu tunao ,tunaweza omba kwa nchi nyingine tu,kiuhalisia hao mabeberu ndiwo hawawezi kuishi bila kutuibia mali zetu,na siku viongozi wa Afrika watakapoungana na kuwakataa,watashindwa kabisa kuishi,wanatuongezea mambo machafu tu hata yakukufuru siwapendi kama nini
Na wewe usiombe msaada kwa mungu. Hakuna binaadamu asiemtegemea mwenzake
@@rashidalihamad7228 hao siyo sawa na Mungu,wala usikufuru,tunaweza kuishi bila wao,lakini hatuwezi kuishi bila Mungu,na wakuomba msaada siyo lazima wamarekani na waingereza kuna mataifa kibao twaweza kuwaonba msaada
NA HII MISADA NDIO INAYOFANYA MPANGIWE NINO CHA KUFANYA
an Informative content
Finaly
😂😂😂😂nimecheka kwanguvu mama ana sauti ya kukataa maelekezo toka kwa America 🇺🇸 😂😂😂😂so kweli
GPS ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hakika mama kuwa na msimamo kamahuo hongera
Mama plzz ajili vijana wengi katka jeshe la polisi na jeshi la ulinzi ili tuwe na jeshi kubwa kla idala lengo tuwe na usalama zaidi na amani
Utaweza kuwalipa hao wanajeshi?
Kama mtanzania ninayo uhuru wakuzungumza Hatutaki marekani na washirika Wake kutuingilia.mambo yetu hongera Rasi samia
Unaamlishwa na mgeni arafu kuna baadhi ya vitoto vyako vinamsaport mgeni 😂😂😂😂😂
Mtapata shida sana madam mwampinga mungu mnamueka dem mbele mbele awaongoze"
Mama hua nakupenda nakupenda ila leo nimekupena sijui ningekua mm nimepewa hiyo nafas wangetumbu kwa taifa letu tena watuache
Much ❤️ GPS
Gd samia umeonyesha ushujaa weniraisi kweli saluti
nafurahi sana na natoa pongezi kwa wanahabari wa Tanzania, na baadhi ya viongozi akiwemo Prof. Samia, Traore, Mseven, Naiona Afrika kubadilika kifikra na Kiushawishi, Kama Manyangau (Wazungu) jina lao jipya hili baada ya lile la kuwaita Wakoloni ambalo bado lilikuwa linawapa nguvu, au Mabeberu, ambalo bado linawapa hadhi, tunawaita Manyangau ndo linawafaa sana kwa sasa, mmeweza kusimama, na kufanya kuwashusha hadhi hapa Afrika ambapo badae watakuwa omba omba.
Hakuna ujinga kwa viongozi na upumbavu kama waliosababisha vita Israel, Ukraine ni Vichaa wanao vaa suti, asante sana GPS, mkiendelea hivi Tanzania can lead revolution to the world
💪💪💪
Horee mwanamke shokaaaa
Hongera Mama kwa kweli umejaribu yaani kumfungulia mdomo marekani
Mungu Akulinde kwa kweli nimeamini kuwa mama una ushujaa kama vile simba mwenda kimya👏
Mbona Zanzibar Hawa uwawi
Je Hao Ambao Waliyo Piga watu Huko Marekani Je Hawakukamatwa au kuuliwa?
Wangapi wame uliwa marekani na mbaka leo wauwaji hawaja patikana
@@MohamedAhmada-ie7ke Mm Najuwa Hakuna Ambae Hajapatikana kwa Mfano Alie Mshuti Dold Trump Kauwawa Pale pale Na Juzi Akikamatwa Mwengine kwa jaribio la Mauaji ya Trump Fuatilia Usiishi kizembe wewe
Anaishi kizembeee😅😅😅@@Idoman493
Mungu nisamehe ninavyo muombeya uyumama 😢😢bora magu angekuwepo😢😢
Kwani marekani wanajua haki za binadamu , ujinga tu
Wauwaji wakubwa huku wakijificha kwenye kivuli cha democrasia na haki za binaadam siku zote uongo hawezi kudumu ALLAH kawadhalilisha madhwalim kupitia vita vya Palestina na uongo wao
Hao ndio wanajua haki za binadamu.
WE KAJAMAA MWENYE KOTI JEUSI: NIMEKUSIKILIZA TENA KWENYE MAELEZO YAKO YANAYOENDELEA UGOMVI WA ISRAEL,GAZA.....nimegundua wewe unatatizo la kuchagua upande na kuongea kama msimamo wa ukweli kitu ambacho si sahihi.....
1: KWANINI HUJALAANI HAMAS KUVAMIA ISRAEL NA KUCHINJA WATU?......
2: UNAONGEAJE UHALALI WA PALESTINE KUKAA GAZA DHIDI YA ISRAEL.....WAKAT KI HISTORIA ISRAEL ILE NI NCHI YAO NA WAO WAMEISHI HAPO MIAKA MINGI ZAIDI KABLA YA PALESTINE... (BEFORE OTTOMAN EMPIRE)
SUALA LA OSAMA KUKAMATWA HUJUI KWAMBA YULE ALIKUWA GAIDI NA KAMA WANGETOA TAARIFA YAMKINI ANGEWEZA KUFICHWA???.....😮😮😮
WE ULISHAWAHI KUJIULIZA KWANN KUNA MAKOSA HAPA HAPA TANZANIA HAYANA DHAMANA ??????
JE WEW UNAZIJUA SHERIA ZA KU DEAL NA MAGAIDI DUNIANI? MBONA HUJATOLEA MAELEZO.
MIMI SIKATAI NAMNA YA WAZUNGU WANAVYOTUNYONYA AFRICA.....KINACHONIPA SHIDA KWAKO NI AMBAVYO WEWE HUONGELEI UJINGA NA UZEMBE UNAOFANYIKA HAPA KWETU.......NA AFRICA KWA UJUMLA...
ISSUE ZA KUDILI NA MATAIFA YA NNJE KUHUSU SISI HAZITUPI SISI UHURU WA KUVURUGA MAMBO YETU KISA HATUTAKI KUINGILIWA.....MAIONGELEE KIUDOGO HIVYO...ETI HATA SISI TUNALAANI KABISA WEKENI WAZI NAMNA WANANCHI WANAVYOPITIA TABU NA KUFA DHIDI YA UTAWALA WAO ALAFU NA NYIE MUONE KAMA MTABAKI SALAMA HAPO.....so HATA NYIE MNAZINGUA TU KWAKUWA HAMTUPI TAARIFA ZA NDANI YA NCHI YETU KUHUSU MASUALA MAZIMA YA KIMAENDELEO,SERA,
UONGOZI BORA,UFISADI NA RUSHWA HAKI NA SHERIA..N.K BADALA YAKE MPO MAKINI SANA KUONA JINSI AMBAVYO MATAIFA YA NNJE YANAVYOTUONEA AFRICA....SASA SISI INATUSAIDIA NINI .....MNA KAZI YA KUKARIRI TAARIFA ZA ZAMANI AMBAZO HAZINA TIJA YA MOJA KWA MOJA NA MATATIZO YETU KAMA WANANCHI.........
YAANI HICHO UNACHOKIFANYA KUONGELEA MGOGORO WA ISRAEL NA PALESTINE SIJUI IRAQ,NA MAREKANI NDIO MAANA HALISI YA COLONIZED (MINDSET) ULIYOKUWA UNAONGELEA.....it doesn't help us anyway zaidi ya kuongeza chuki za KIDINI baina yetu.....kwanini usijikite kwenye matatizo YETU SISI wenyewe na NAMNA ya kuyatatua.....KUNA USOMI NA KUNA ELIMU sasa wewe ni una ELIMU ila huna USOMI...YOU know WHY nimesema hivyo Kwa sababu what you keep telling is just stories not LESSONS learnt for decisions.
Kwa Tokio na maturity kama hayo je wanapatikana au hawajulikani
Hata nyie hapo hamko huru kwenda deeper katika hili😂😂😂
Aisee hii misaada aisee😭😭😭
TANZANIA IS SOVEREIGN COUNTRY ❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Yes, and it's also an abducting nation.
GPS kipindi kizuri 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Safi mama kuwa na msimamo huohuo usiogope tupo pamoja
Sema UK pamoja sio tuko pamoja nani
Mimi niko pamoja na wewe na wengine wengi tu
%100 mama samia
😂😂😂😂sky leo umevaa shirt 😅😅😅😅hujapendezaaa😅😅😅😅
Mtu wa hii nchi alikuwa ni Magufuli.
Tutamkumbuka daima
Yes , Magufuli maiti kwenye viroba risasi mchana kwa Tundu lisu uvamizi na ufilisi wa wafanya biasha na hasa money change.
Mama yetu ,wewe ni Rais WA Tanzania wasikuyumbishe wamarekani, Yao yawashinda kz kukoseana kuuwana tu. Tumia maono yako kuondoa kero za WA Tanzania Kwa mujib w katiba. Na baloz yule weka mwengine hakufai yule.
Tz hatuna rais tuna guide
Kabla hujaandika haya fikiria kwa kina hilo alilosema ni kweli nchi haingiliwi maamuzi na nchi nyingine isipokuwa nchi kama nchi inapaswa kufata katika inavyotaka mana ni kweli kifo hakizuiliki kama unakumbuka hata trump wamemkosa kumuuwa zaidi ya mara moja Magufuli pia na ndio maana hata yeye yupi katika sitofahamu kwakuwa hata kiongozi anaweza kuuliwa.
@@daudmwalimu971Kuna utofauti brother kati ya tukio la Trump na matukioo yanayotokea kwenye inchi yetu hususani kwa raia wa kawaida bila ya serikali kulipatia dawa halafu trump hakuwa amekufa walaa hajatekwa ilaa alitaka kuuuawa na sniper ambacho chanzo chake kinaweza kikaelezeka kwa fikra
Kuwa wewe rais
Happy mrema na wenzio kama hampendi haya tunoelimishwa ondokeni mkaishi huko mnakoqmini ni bora acheni ufala nyiye sio wazalendo mnapenda fujo tu
Kwani kuna mtu amekuita hapa SNS? Nenda BBC wew
Sawa sawa mama samia maneno mwaaa kwa hilo tuko pamoja na wewe
Mama Samia hongera sana umetuheshimisha sana sisi tunakuunga mkono hatufurahii watu kupotea au kuuwawa lakini sio wao waiamrishe serekali yatu kufanya wanavyo taka mbona wao hanauwana hadharani hatuwaingiili au kuwaelekeza chakufanya Hawana demokrasia hatusemi wao ndio wanatuamulie Mama Asante sana tupopamoja
@@abduljuma7807ndo muache kujikomba kwao na kutegemea mikopo yao.
Mana kila siku mnakopa tu.
Magufuli alisema hicho kidogo mlichonacho mkikisimamia kitakua na mtaweza kukua kiuchumi.
Gps oyee
SAMIA SULUHU HASSAN big up kwetu kenya airport inauzwa bado wanainchi kuuzwa sasa😢
Sijui Watanzania tukoje! Watu wanapiga kelele mauaji yasiendelee, wengine wanapiga, ni ajabu sana. Ni sawa na kusema, hatutaki kuhubiriwa neno la Mungu Kwa kuwa sote tu wenye dhambi. Wanaopinga mauaji, upotezwaji wa binadamu wako sahihi.
I😅😅na chaka kwn mam samia alikatazwa na mbuge akamwabia makufulialikataa yeye akalazimisha sasa hizu nizarau mon ukiwakama baba mgeni kukfutisha dani kwko ndo tujifuthe 😂anabiti ili uchumi ukuwe lazima abane bandarini nasio wanaich kunawatu badarini hawalipi wewe brother❤ nakukubali mon wewe D somaa❤ munafaa bugeni wallah teen saaaaan
Mama tafadhar kama utaona hao wana siasa wana kuchanganya kichwa zaidi basi futa iyo sheria ya vyama vingi
Hatutaki washenzi hao wazungu kutuingilia ktk nchi yetu
Together our president
kiukweli wabongoo tutangojaa sana tupatee uhuruu wetuu atukoo huruu ndugu zang
Kweli.wanangea.tofauti.usingilie.walakufanisha.hakuna.hata.mfano.dharau.
Kutoka Oman 🇴🇲 nawapata vizuri
Duh! Ukweli unauma.
Kama anakupa mkopo anayenufaika ni yeye maana unaulipia kwa riba, hizi A level countries ziache ubinafsi, ukiangalia ndo zinaleta shida mpaka kwenye mataifa mengine hususan afurikaa.
Ishi maisha yako usiishi maisha ya mtu
Yana tokea kila nchi lakin sio kwetu tanzania usije ukatuzohesha vitu vya hajabu
mi sinaga chama ila now naanza kuona mwanga kwenye siasa ila mama tunaomba tujitegemee kwenye uzalishaj wa ndani
Haswaaa,huo ndiyo uhuru kamili
Suala hapa ni uharaka wa kutoa taarifa juu ya tukio lililo/linalojitokeza