OLE SENDEKA AWASHA MOTO BUNGENI SAKATA la NGORONGORO, ASHAMBULIA MAGAZETI na MITANDAO INAYOPOTOSHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 62

  • @jonahmathayo5156
    @jonahmathayo5156 2 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana mhe. Christopher Ole sendeka mbunge wangu

  • @lembrisgodfrey423
    @lembrisgodfrey423 2 ปีที่แล้ว +2

    Big up Sana Mh. Olesndeka umenena Sana juu ya swala la ngorongoro makubaliano ya Wananchi na serikali ni muhimu Ili kuondokana na migogoro hizo

  • @osupatkaren
    @osupatkaren 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana baba ole sendeka kututeteya make sheriya ya povu inasumbuwa wamasai

  • @wilsonkilong2944
    @wilsonkilong2944 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana baba yangu ole Sendeka. Waambie ukweli

  • @anthonymsemakweli9250
    @anthonymsemakweli9250 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli waondoke wabaki wanyama tu

  • @charlesmartin9522
    @charlesmartin9522 2 ปีที่แล้ว

    Mzee hongera

  • @jameskennedy5334
    @jameskennedy5334 2 ปีที่แล้ว

    Ongera sana babu sendeka

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 2 ปีที่แล้ว +3

    waacheni, kwanza kitendo cha hifadhi kuishi na wanyama ni utalii mwingine unaotofautisha kati ya hifadhi moja na nyingine. msiwaondoe

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 2 ปีที่แล้ว

      Utakuja kujuta baadae wale watu pale walishawahi kuwawekea sum tembo wakafa sasa vitendo hivyo si rafiki kwa uhifadhi wa Tanzania ukiwaacha pale miaka ijayo patakuwa mji na wanyama watakimbilia nchi jirani ngorongoro itakwisha na Serengeti itakwisha

  • @wilsonm.7376
    @wilsonm.7376 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana ole sendeka, hata bwawa la rufiji lilikataliwa hivo hivo...

  • @pauljamesmwamtekele8003
    @pauljamesmwamtekele8003 2 ปีที่แล้ว +2

    Halafu serikali lazima ielewe kuishi binadamu na wanyama nayo ni maajabu lazima liwe sehemu ya utalii Sasa mnatoa utalii?

  • @letirrpeter1812
    @letirrpeter1812 2 ปีที่แล้ว

    Pongezi sana mweshimiwa sendeka

  • @noahlarapho3411
    @noahlarapho3411 2 ปีที่แล้ว

    Safi mheshimiwa

  • @janethjohn2628
    @janethjohn2628 2 ปีที่แล้ว

    Asante baba wewe waambie hafu mungu tumpe nafasi

  • @charlesmartin9522
    @charlesmartin9522 2 ปีที่แล้ว

    Huyo Dr.manongi ni nani

  • @gaspermoko9122
    @gaspermoko9122 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mh sendeka hakika umesema yakweli

  • @mwanamatofali6981
    @mwanamatofali6981 2 ปีที่แล้ว +2

    Uyu nae yupo genge la wahun tuuu

  • @elishaoloipukye4343
    @elishaoloipukye4343 2 ปีที่แล้ว

    Saf sanaaa mbunge Olesenteka

  • @ndootowilliam5453
    @ndootowilliam5453 2 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru sana Mh mtetezi wa wananchi Sendeka ...Nina imani kuwa Rais Samia hataenda tofauti na Mh Kikwete rais mstaafu ...
    Hakuna mahala popote dunia utakuta Punda mlia na Ng'ombe wakiwa pamoja ..
    Serikali pateni ushauri kwa Jakaya Mrisho Kikwete Rais mstaafu

  • @ramantoga9800
    @ramantoga9800 2 ปีที่แล้ว +2

    Masai waondoke Ngorongoro

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 2 ปีที่แล้ว +2

    Complicated issue. Hekima na busara ni muhimu sana hapa.

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 2 ปีที่แล้ว

    Sema acha maneno mengi

  • @lekumolukumay6832
    @lekumolukumay6832 2 ปีที่แล้ว

    Katika siku ambayo Christopher ameongea ni Leo juzi akina kitenge walienda ngorongoro kuleta taarifa waliondaliwa na wa wamasai ambao wale wenye mamlaka ngorongoro

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 2 ปีที่แล้ว

    Namaliza mb

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 2 ปีที่แล้ว

    Akuna upotoshaji, sisi tunataka wananchi waondoke pale ngorongoro

    • @apple9711
      @apple9711 2 ปีที่แล้ว

      Pumbavu.sio sisi sema wewe. Huna adabu.hivi ingekuwa ni bibi yako ANAISHI kule ungesema hivyo?

    • @apple9711
      @apple9711 2 ปีที่แล้ว

      Halafu isitoshe unaweza kuwa hata nauli kufika huko huna

  • @jonathanmnyone4003
    @jonathanmnyone4003 2 ปีที่แล้ว

    ingekuwa=imeongezeka

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 2 ปีที่แล้ว

    Makete wananchi waliondolewa na kupisha mbuga ya kitulo. Inaonekana kunaupendeleo

  • @jonathanmnyone4003
    @jonathanmnyone4003 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nadhani tatizo sio binadamu kuishi na mifugo ndani ya hifadhi. Tatizo ni ongezeko la idadi ya watu na mifugo na shughuli za kibinaadamu ndani ya hifadhi. Records zinasema awali idadi ya watu wakazi ndani ya hifadhi ilikuwa elfu nane na sasa ingekuwa kufikia laki moja na mifugo pia imeongzeka. Je itapoongezeka kufikia wakazi million moja bado tutakuwa na hifadhi ya Ngorongoro???

  • @matthewletyet4136
    @matthewletyet4136 2 ปีที่แล้ว

    Mzee kunywa soda

  • @sebastianungimba4676
    @sebastianungimba4676 2 ปีที่แล้ว +1

    Siasa ni unafiki na kujipendekeza,nyie ccm viongozi wa juu ndio wenye mifugo pale ngorongoro,ifikie mda muone aibu

    • @apple9711
      @apple9711 2 ปีที่แล้ว

      Hapana.hayo ni mawazo yako potofu. Wamasai wanaonewaa. Acha ujinga

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 2 ปีที่แล้ว

    Hilo chama limefilisika Sera kabisa.

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna cha safi, ngorongoro ibaki kuwa hifadhi ya Taifa. Ni wazi kuwa binadamu alimfuata mnyama katika makati yake,katu mnyama hamfuati binadamu bali humkimbia,hivyo wanyama waliwakimbia binadamu na binadamu akafanya makazi mahame makimbizi ya wanyama waliomkimbia kuwa Mali na haki yake. Leo anaambiwa aondoke anatoka kuwa alikuwapo. Bunge kazeni uzi binadamu aondoke mnyama abaki. Mnyama hajengi makazi binadamu hajengi. Kikwete alikuwa bishoo tu hakuzingatia masilahi sadikifu ya nchi na wananchi, kwamba aliruhusu na kutuma mawaziri ni ubishoo. Kwani alituma mawaziri kwenda kufukuza wanyama ktk makazi yao binadamu wakae?! Bunge kazeni uzi, ngorongoro ni hifadhi ya Taifa ya wanyama,isiwe hifadhi ya Taifa ya binadamu!

    • @olarivolariv1313
      @olarivolariv1313 2 ปีที่แล้ว

      Wewe ndio huelewi kitu kabisa,Etii kikwete alikuwa bishoo,, ivi kweli wewe unajua tofauti ya national parks & conservation Area,..sasa nikifungue akili kidogo ngoro ngoro no conservation area,this means that -the land has multiple uses brother,so having domestic animals and wildlife together,just making the area to be among natural wanders of Africa ndugu, hili swala sio rahisi kama unavyofikiria ndugu yangu.

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 2 ปีที่แล้ว +2

    Sendeka anapambana kwakua ameweka mifugo wake ngorongoro serekali ondooa wao watu hifazini wamejificha kwanini? Kwaniwao niwanyama? Tokeni huko

    • @kisotasekwang7754
      @kisotasekwang7754 2 ปีที่แล้ว +1

      Robert acha uongo usichokijua funga domo . Anakotoka olesendeka ni kuzuri kwa mifugo kuliko ngorongoro. Hata hivyo mtaangaika sana wakutoka ngorongoro hakuna.

    • @ngayenimollel5319
      @ngayenimollel5319 2 ปีที่แล้ว

      Keep quiet while intelligent people speaking,, you know nothing

    • @tanga-xz8xz
      @tanga-xz8xz 2 ปีที่แล้ว

      Pllllllllllllllll

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      Wapewe eneo lingine zuri litakaloitwa MASAI LAND!😃 Wawekewe huduma za msingi (maji, afya, elimu)! Wajengewe nyumba nzuri za kimila mtindo wa kisasa : mviringo, paa za nyasi kwa dari za kisasa, kuta za kisasa, sakafu ya kisasa... Na hii ikaitwe MASAI VILLAGES ! 👌Bila shaka, utakapoingia kwenye nyumba zao hizi, utadhani hoteli za kiutalii! 😃😃 Tatizo, Wazungu hawatataka tena kwenda kulala kwenye hoteli za kibiashara, watapendelea kukaa na familia za Wamasai!!! 🤣🤣🤣 Nipeni kazi hiyo ya kujenga 'MASAI VILLAGES' kwenye Nchi mpya 'MASAI LAND' ! 😆😆

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 ปีที่แล้ว

      @@kisotasekwang7754 tunamjua vizuri sendeka kulikowewe lkn ngorongoro lazima mtoketu watu laki Moja hamwezi kusumbua watanzania milioni 60

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 2 ปีที่แล้ว

    Anahekima anafaasana kua laisi watz ndolaisi anatakiwa kuwa hivi aliongeavizuli watu wanakaakimia kusikiliza maneno matam

    • @itwaaky75
      @itwaaky75 2 ปีที่แล้ว +1

      Mnataka maneno matamu au mtu kutatua changamoto zenu?

  • @meshackthomas7299
    @meshackthomas7299 2 ปีที่แล้ว +1

    Waondolewe kwenye hifaz. Kuondoa uwezekano wa kuleta mazoea ya nyalaka za selikal Tustumie siasa hasa sehem hatalishi maeneo yakuishi yap meng sio vile!