Ole Sendeka Adondosha Machozi Kwa Nyimbo Maalum Kwake Na Timu Ya Tumaini Partimayo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @stemmonaiptari551
    @stemmonaiptari551 2 หลายเดือนก่อน +6

    I'm from Kenya and I have followed Parliamentary proceedings of Tanzanian parliament and I have to say Ole Sendeka,Halima Mdee are good defenders of human rights and their people.

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 หลายเดือนก่อน

    Hongereni Wamasai Ole Sendeka hatembelei watu wake kwa ajili ya kuimbiwa na wao kumwimbia si dhambi Tena anajituma sana

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 2 หลายเดือนก่อน +3

    Sauti ya mtu mmoja ndugu zangu haitoshi katika Maswala ya kijamii, paseni sauti wote acheni uchuro kumwabudu mtu mmoja huku mkiisifia Chama

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 2 หลายเดือนก่อน

      Watajielewa wakati kumekucha. Shirikiane na pambaneni pamoja

  • @mossesmepukori1826
    @mossesmepukori1826 2 หลายเดือนก่อน +4

    Upuuzi huu wa kuwatukuza wanasiasa wa maslahi yao wakitoka kuongea bungeni watoka hadharani n kusema samia tobiko

    • @EmanuelSolomon-ij1is
      @EmanuelSolomon-ij1is 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli huu ni ujinga alafu Wana jiita waimbaji wa kanisa

    • @YonaMasai
      @YonaMasai 2 หลายเดือนก่อน

      You right

  • @isackphilipo9870
    @isackphilipo9870 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi nani kawaloga ndugu zangu Wamasai yaani mnafukuzwa kwenye maeneo yenu bado mnasema chama chenu turwa taa te ngarna kitok Yesu

  • @danielndiwa-x8k
    @danielndiwa-x8k หลายเดือนก่อน

    good

  • @DeElliest
    @DeElliest 2 หลายเดือนก่อน

    kweli aongezewe

  • @joycerichard9274
    @joycerichard9274 หลายเดือนก่อน

    Sasa mbona unamtoboa macho mbunge

  • @piniellaizer-t7b
    @piniellaizer-t7b 2 หลายเดือนก่อน

    Good kwaya

  • @melubokusoro5668
    @melubokusoro5668 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sendeka , Mollel,Shanghai , Kiruswa wote wapigwe chini

  • @AnjelicaBayyone
    @AnjelicaBayyone หลายเดือนก่อน

    Wanajitoaga ufahamu ndiyo maana Masai wanadanywa haraka wakati wamasi wa bembezoni hawana huduma yeyote zaidi ya kupata msaada kwa makanisa inayojitolea

  • @EmanuelSolomon-ij1is
    @EmanuelSolomon-ij1is 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa waimbaji na ole sendeka wote wanaenda jehanam wote
    Uliza kama una swali

    • @David.SLaizer
      @David.SLaizer 24 วันที่ผ่านมา

      what do you mean

  • @saderajohn3692
    @saderajohn3692 2 หลายเดือนก่อน +3

    Instead of praising God!! You decide to praise a man??

    • @japhetmathayo2499
      @japhetmathayo2499 2 หลายเดือนก่อน

      kwani kuna tatizo gani kumpa mtu maua yake

  • @JoshuaOrikilulus
    @JoshuaOrikilulus 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huu ni ujinga wa kupindukia

  • @JacksonMolell-w1k
    @JacksonMolell-w1k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Puuzi shome iye miranyaki engai😮

    • @EmanuelSolomon-ij1is
      @EmanuelSolomon-ij1is 2 หลายเดือนก่อน

      Esipa taa imina kulo aranya katul
      Hawa waimbaji wamepotea na wanaenda jehanam

  • @japhetmathayo2499
    @japhetmathayo2499 2 หลายเดือนก่อน

    Sendeka anastahili ubunge angalau kwa miaka mingine mitano tena

  • @melubokusoro5668
    @melubokusoro5668 2 หลายเดือนก่อน +1

    Upuuzi kutoka Kwa watu wajinga