Kagame Cup 2024 na athari za kuwakosa Simba, Yanga na Azam - VIWANJANI 09/07/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2024
  • VIWANJANI: Ni uchambuzi kuelekea siku ya kwanza ya michuano ya Kombe la Kagame #DarPortKagameCup2024 , wachambuzi Geofrey Mwamnyanyi na Michael Hyera wakianza na athari za kukosekana kwa vigogo Simba, Yanga na Azam kwenye mashindano hayo.......
    Hapa yamachambuliwa makundi, timu zote zinazoshiriki pamoja na ratiba kwa ujumla....
    Kipindi cha #Viwanjani ni Jumatatu hadi Ijumaa saa 3:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 1

  • @Zimwilishe
    @Zimwilishe 13 วันที่ผ่านมา

    Nini kilichopelekea timu kubwa kukosekana?