🚨Simba 3-0 Canal sc, Tathimini matokeo na umuhimu wa huu mchezo kwa Simba ni muhim

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • #football #alikamwe #yangafc #yangasc #yangatv #youtube #ahmedally #simba #simbatanzania #simbaislive

ความคิดเห็น • 22

  • @Lameckmichael-h2m
    @Lameckmichael-h2m 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ibariki simba

  • @mussamustafa9843
    @mussamustafa9843 2 หลายเดือนก่อน +9

    Kama we ni shabiki wa simba gonga like 😊

  • @PeterMuhina
    @PeterMuhina 2 หลายเดือนก่อน

    Simba nguvu moja

  • @yuzoooyuso583
    @yuzoooyuso583 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe gongowazi unaeponda mechi ya Simba kafie mbali

  • @hassanntankwa4156
    @hassanntankwa4156 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sema Hans nakuelewa kwa hoja zakoo

  • @abdallahmzee4335
    @abdallahmzee4335 2 หลายเดือนก่อน

    Nachowaogopa Yanga wakishindwa mpira watawapiga misumari

  • @yusufsalimu-j4w
    @yusufsalimu-j4w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo ndo simba timkubwa club kubwa.

  • @Lungu-g6g
    @Lungu-g6g 2 หลายเดือนก่อน

    tuombe mungu timu kaesawa

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 2 หลายเดือนก่อน +2

    Usijisifie mmecheza natimu gani iyo ndondokapu mzee mbona hawakuiyonyrsha

  • @mwana-dodomamedia9111
    @mwana-dodomamedia9111 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa kasi iliyoonyeshwa, naona wazi kw AJUZA FC wanakuja kuvunjwa nyonga😂😂😂😂

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 2 หลายเดือนก่อน

    Ok,nadhan ktk hizo mechi 5 zijazo mtaomba kucheza na pyramid fc😂😂

  • @JofreySinkala-bb8be
    @JofreySinkala-bb8be 2 หลายเดือนก่อน

    Wahun wa uto walishakisahau miaka 2 yet avc town walikuwa wanacheza na zamna gn huo ushenz 2 wa uto
    .

  • @MkaliZuberi-rt3gb
    @MkaliZuberi-rt3gb 2 หลายเดือนก่อน

    Sema utopolo tuwagonge watakua na heshima

  • @IsrakiKitano
    @IsrakiKitano 2 หลายเดือนก่อน

    Halafu wewe dada unaelezea unaboa na unachosha Kuna maana Gani kuwepo kwa hao wachambuz

  • @odilomwakamela4889
    @odilomwakamela4889 2 หลายเดือนก่อน

    Wachambuz bhanaa yaan hata mpira hawajauona wanasifia tuu...
    Nasemaje hawa wachezaji ambao mnawasifu leo subir wakutane na Yanga mtawakataa

    • @mrgasper4045
      @mrgasper4045 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani yanga kitu gani bwanaa?

  • @MkaliZuberi-rt3gb
    @MkaliZuberi-rt3gb 2 หลายเดือนก่อน

    Na hawa watasumbua sana nbc wao si wana majina sasa sisi tuna wachezaji

  • @dahelahmad6331
    @dahelahmad6331 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni ngonjera mbivu na mbichi zinajulikana TU.
    Soon

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

      8 8

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 2 หลายเดือนก่อน

      Vichwa maji kinachoongelewa kingine ww una kaza fuvu kukalia ushabiki

    • @azizymachadeson3577
      @azizymachadeson3577 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@muksinimbaruku1233 Sasa wanaongelea nini mechi enyewe ni matokeo wamekutana nayo hawajaangalia sasa unachambua nini hujaona hata mechi au wachezaji 😂😂😂 ila bongo bhana 😂😂😂 nacheka kwa dharau sana tena sana so kidogo Uyo Jeff sjui ani ndo mechi zake za kuchambua izi behind the scenes 😂😂😂