Mwanamme hakuruhusiwa kuvaa dhahabu. Dhahabu ni madini ambayo ulivaa unakuwa laini laini ndio wanaume hawa nguvu zao za kiume laini laini. Anatakiwa kama kuvaa avae silver na shaba. Silver inakazanisha misuli ukivaa unakuwa strong
Ww mwenye akili unafanya nn hapo😅 shida ya wabongo kujifanya smart na hamna lolote, huyo ni mzaramo kuongea ni asili, ana kipaji Cha kuuza ndio talanta yake anaingiza pesa na maisha yanaenda unamwona anafocus na biashara ya magari
Uko vzur sna DOTTO
Nnachokiona dotto akitulia tu anaweza kuwa balozi mzuri sana kwa vijana
Tatizo hatulii anapitiliza
Sana
Kweli kaka doto ni mzuli shida kutulia
7@@hassanrajab6521
Hiki kichwa ni sawa na cha baba levo hapa baba levo kapata chawa mpinzan😂
Dotto yuko sahihi sana kaka endelea na kazi maneno yako matamu sana
Mwanamme hakuruhusiwa kuvaa dhahabu. Dhahabu ni madini ambayo ulivaa unakuwa laini laini ndio wanaume hawa nguvu zao za kiume laini laini. Anatakiwa kama kuvaa avae silver na shaba. Silver inakazanisha misuli ukivaa unakuwa strong
Nakubalii sana blaza dotto wewe mbishi wa kinondoni mwezangu
Kweli umeongea point brother doto
Uyu jam ndoto namupenda Sana
nakupenda kwa pamba nakujiamini waukaee mwenza
hahaha dotto mwisho kweli mzaramoo
SASA DOTTO WAANDISHI WA HABARI NAO ANAKUWA ANAWASHUSHUA TENA 😂😂🙌
Alafu katoa hela hata 20,000 hajampa mwandishi ya kuona dah 😂😂
siokama anawashushua ila leo kapata muandishi anaejua siri zadoto zandaaani 🤣
Nakubal doto mushi tyuu ndo starehe yetu😂😂
Nchi ya Mchongo inaendeshwa kama Genge la wahuni.
Hii interview yamoto sana
Nimejifunza kitu kikubwa sana🎉
Ni mungu au Mma kizimkazi kwa kukupa afya njema na akili timamu
Et na hapa ipo😂😂😂
Uyu jama noma sana
dah...! mtangazaji kameza mate weee labda atapewa hata ten tu lakini wapi😂😂😂😂😂
Bangi🎉🎉🎉
Mama Kizimkazi 😂😂
Ww doto hebu basi hata chana minywele yako hiyo maana ww mwenyewe unatisha na hiyo minnywele kwa kweli unatisha watu
Point
Dotto bwana ile siku ulilewa 😂😂😂😂
Inabidi mama kizm Kaz akupe kitengo
Pameanza kuchamka apa aseeh😅😅😅😅
Issa matambuu kazi anayo kwa uyu mtu,dah😅😅
Lzm nikutafute Doto,,sisahau uliniambia utanitoboa macho,,daa,,sema nakuogopa sana ila natamani nikutafute aisee,,huko kizimkazi lzm twende wote
Yan doto simping ana jua kuongea ise
Dotto mbona hatulii 😅
Oya doto kunawatu wanakuchukia kinoma washamba wamaisha, broo
Me nakukubl xn bro
Kwel Mzee
Doto magari 😂😂😂
Taifa lina watu wa Hovyo hovyo sana!
mataahira wanapata umaarufu
sishangai Hata anaeongoza Taifa letu ana akili ya kuongoza kijiji
😅😅😅
Pameanza kuchangamka mtazamaji
Nikajua anataka kumpa kumbe za maonesho😅
doto umefanya mtangazaj aanashangaa
Au nawewe umetumwa
Agoshi wa kwenye video ya 20% tamaa mbaya
Unamjuwa agoshii kaka au?
Huyu jamaa anaakiri sana
KWELI ata mwehu ataonekana ana akili kwa wajinga kama nyinyi
Ww mwenye akili unafanya nn hapo😅 shida ya wabongo kujifanya smart na hamna lolote, huyo ni mzaramo kuongea ni asili, ana kipaji Cha kuuza ndio talanta yake anaingiza pesa na maisha yanaenda unamwona anafocus na biashara ya magari
Kumbe tatizo ni Moshi
Shemej tunae watu wa tanga😂
😂😂😂😂
Napendaga tu ile mchafudenke
Influence
AACHE USHAMBA WA KUDHARAU WATU,,KWA HIVYO VIGARI VYA KUPEWA PEWA NA ANAOWASIFIA...IST SIO MATAKO,,,,MIL 16 TO 17..IDIOT.
Acha makasiriko 😂😂tafuta hela
@@chingaboy1149 WE NDO UACHE UPIMBI,,KASKILIZE UPYA,,KABLA YA KUPEWA HAYO MAGARI ALIKUWA MPIGA DEBE,,PIKPIK YENYEW HAKUITAMBUA...KWELI WE CHINGA 😃
@@hassanbakari4525 we nae mbuzi
Anaongea ukweli
Tatizo wewe doto magari una majigambo ivi hapo na po ipo au ni mukwala tu