DOTTO MAGARI AFUNGUKA "NILINUSURIKA KUCHOMWA MOTO KISA WIZI KARIAKOO/ MSINILINGANISHE NA WAKINA BABA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 69

  • @hashimalimohamed1130
    @hashimalimohamed1130 ปีที่แล้ว +6

    Nakubali doto mungu azidi kuwezesha

  • @gwamakamwaikambo109
    @gwamakamwaikambo109 11 หลายเดือนก่อน +4

    Nakukubali sana Brother, utajili ni watu hakika, this is thimba bana❤

  • @chibudenga8977
    @chibudenga8977 ปีที่แล้ว +5

    Dotto uko vizuri ulivyoona gari ya mchicha ukainuka fasta kwenye sit hahaha huna baya

  • @komboarts7110
    @komboarts7110 ปีที่แล้ว +8

    jamaa anafurahisha sana. maneno ya kimtaa mtaa yamejaa

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mwanangu Doto khaa unanimalizia data sichoki kukusikiliza unaniongezea siku ya kuishi mwanangu. Mwenye kunirushia pilipili kanipiga na biskuti yani ulikuwa mkorofi na mtukutu sana

  • @tropperben-xw5xr
    @tropperben-xw5xr 5 หลายเดือนก่อน

    there is no thief it just other way of serching new life trying put food on table for the family , i gree with you dotto keto

  • @OfficialTeacherTz
    @OfficialTeacherTz ปีที่แล้ว +2

    Kiingereza kinalipa na kinatoa kazi ingieni youtube yangu mkasome❤❤❤❤

  • @jumamaisara7557
    @jumamaisara7557 ปีที่แล้ว +3

    Doto yuko vizuri sanaaa

  • @IrakozeInnocent-gf8lt
    @IrakozeInnocent-gf8lt ปีที่แล้ว +4

    Dotto nakusikiliza sana tena sana toka burundi

    • @JumaNguchiro
      @JumaNguchiro 10 หลายเดือนก่อน

      Kak nakubali

  • @raphaeltuko
    @raphaeltuko ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂 daaah nakupenda aise wee nihatari kweli.
    Viatu vimejaa Nini?😂😂😂

  • @barakaalfred1491
    @barakaalfred1491 ปีที่แล้ว +2

    Anafanya interview huku akimkodolea macho mpita njia...nani kaona?

  • @jumamaisara7557
    @jumamaisara7557 ปีที่แล้ว +1

    Mimi dotto ananchekeshaa. Akisema ivvvvo inacheka sanaa ivooooo

  • @hamadhamis9763
    @hamadhamis9763 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe jamaa ni noka kabsa duh! Nimekukubali mwamba

  • @yusuphkassimu227
    @yusuphkassimu227 ปีที่แล้ว +2

    Dotto magari 💯💯💯💯

  • @nehemiakiswaga1819
    @nehemiakiswaga1819 ปีที่แล้ว +1

    Inalillah na lilah na lajuni

  • @Aysher146
    @Aysher146 ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅😅😅😅😂😂😂dah Nomaaaa sanaa atar😂😂😂😂😂😂

  • @user-mb5wv1pd2w
    @user-mb5wv1pd2w ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sana dotto magari

  • @TheintrovertKing-nw3eg
    @TheintrovertKing-nw3eg 4 หลายเดือนก่อน

    Dotto mwanetuuu, catalisimuu

  • @user-mb5wv1pd2w
    @user-mb5wv1pd2w ปีที่แล้ว +1

    Dotto uko vizuri

  • @user-mb5wv1pd2w
    @user-mb5wv1pd2w ปีที่แล้ว +2

    Dotto kwanini usishike maiki siku ya Simba day

  • @faiditv5535
    @faiditv5535 ปีที่แล้ว +1

    Safi hiyo

  • @Aysher146
    @Aysher146 ปีที่แล้ว +2

    Ety ww unaonaje sio uwizi ni ujanaa😢 maneno mazitoo

  • @SalumSimba-in8si
    @SalumSimba-in8si 10 หลายเดือนก่อน

    Duh
    Jamaa akapagawa baad y kuon mzigo unapita pemben
    Akaw bize na mzigo badala y camera
    Mwanz wa video hii

  • @kelvincharles7263
    @kelvincharles7263 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 Hana baya kama Hana nyamwiga 😂😂😂

  • @user-sx9wy2ru5n
    @user-sx9wy2ru5n 9 หลายเดือนก่อน

    Kaka dotto hunanifuraisha sana wa ukae mwenzangu

  • @hansmsangi9828
    @hansmsangi9828 7 หลายเดือนก่อน

    Kweli utafutaji wana haraka ❤❤❤

  • @khamisomary7428
    @khamisomary7428 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji hujui kazi yako, sijui hukujipanga unakuja kuhoji nn!!!

  • @SalumSimba-in8si
    @SalumSimba-in8si 10 หลายเดือนก่อน

    Eti 10 kwa mwenyewe mbili NIFICHIE🤣🤣🤣

  • @ayoubomary9336
    @ayoubomary9336 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂soko zima la kariakoo eti wew unaonaje

  • @fakifaki6263
    @fakifaki6263 4 วันที่ผ่านมา

    Mtu anapigwa na soko Zima la kariakoo ...muaminifu au ?😂😂😂

  • @saidizuber8831
    @saidizuber8831 9 หลายเดือนก่อน

    waukae nakukubali sana

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 ปีที่แล้ว +1

    Dotto ketto...jina maarufu kuliko Dotto magari...

  • @HidayaSaleh
    @HidayaSaleh 8 หลายเดือนก่อน

    💕💕💕👌

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 ปีที่แล้ว

    Dotto umeuwa, raba ina nn hahaaa jamaaa kwa mbali anacheka tu jinsi dotto anavyomchambua mwandishi

  • @stn4873
    @stn4873 ปีที่แล้ว +2

    DOTTO KETTO......MWIZI MMOJA MIAKA HIYO.

  • @ramadhanipadon3577
    @ramadhanipadon3577 ปีที่แล้ว +2

    Mwizi au we unaonaje🤣

  • @sabrinasabrina3974
    @sabrinasabrina3974 ปีที่แล้ว +1

    etiii weeee unaonajeeee😅😅😅😅😅

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 10 หลายเดือนก่อน

    Nakukubalisana we na ba levo mumeweza sana bigup niko kenya

  • @chensigns6748
    @chensigns6748 ปีที่แล้ว +1

    Sio mwizi ni utafutaji mbadala 😂🎉

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 11 หลายเดือนก่อน

    Doto Magari wewe ni influencer = mshawishi itamke influensa

  • @malickngoma5291
    @malickngoma5291 ปีที่แล้ว +1

    Maisha ya katalism😊

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 8 หลายเดือนก่อน

    HUYU MLA UNGA BADO HAJAPONA😢..

  • @MbongoBoy-yg9tq
    @MbongoBoy-yg9tq 10 หลายเดือนก่อน

    Umeongea VP vyenyeakiliasaa dotooo

  • @user-fq8lu6ee1t
    @user-fq8lu6ee1t 10 หลายเดือนก่อน

    May brother umenyooka

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 ปีที่แล้ว +1

    Hanabaya kama nyamwige

  • @frankmnyema6871
    @frankmnyema6871 9 หลายเดือนก่อน

    Ifolensa dotto magari

  • @theosaimon6933
    @theosaimon6933 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂 doto??eti unamka asubuhi kama unauza chaii😅

  • @mwandisimfukwe326
    @mwandisimfukwe326 ปีที่แล้ว +2

    jamaa anajua hatar

  • @user-vt4zc7by8j
    @user-vt4zc7by8j ปีที่แล้ว

    Hyu jamaaa kusema ukwel katuangusha ss anataka kumpga tid vchwa ili iweje😂😂😂😂c amjibu Tu Na yy battle liendeleee kwel nimeamin kla mtu Na mbabe wake😂😂😂tid kashindikana muulize babalevo Yule jamaaa ana maneno ya shombo mnooo 😂😂Ila ucmpge vchwa we mjibu Tu mtt mdgo kma Yule hawez kukufanya ww upanic kias icho😂😂

  • @lemathomas2862
    @lemathomas2862 ปีที่แล้ว

    Infolesi influencer 😅😅 Huna baya

  • @saidmakarani1208
    @saidmakarani1208 ปีที่แล้ว

    babu kubwa mdogo wangu saydo ujerumani kamanda piga kazi

  • @EliaDoctor
    @EliaDoctor 9 หลายเดือนก่อน

    Apo dot kwenye ufafanuzi wa mwiz nimekuelewa

  • @dannylema3125
    @dannylema3125 11 หลายเดือนก่อน

    Kamolea macho Uyo demu aliye pita

  • @hanafiSaidi-ji9ms
    @hanafiSaidi-ji9ms ปีที่แล้ว

    Una chekesha kinoma mzee unajua

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 9 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wangapi wanatupiga rasilimali zetu na hawaitwi wezi.. ukiacha wale wazee wa vituoni

  • @sabrinasabrina3974
    @sabrinasabrina3974 ปีที่แล้ว

    majibu yake jmn😂😂😂😊

  • @user-hi9xd9ok1e
    @user-hi9xd9ok1e ปีที่แล้ว

    Nikikutazama nakufananisha mr misifa ni ndugu yako ?

  • @fatmaabeid9668
    @fatmaabeid9668 ปีที่แล้ว

    Mwizi mwizi tuu

  • @hamadikahanju5948
    @hamadikahanju5948 ปีที่แล้ว +1

    Mchicha makunyanzi

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 11 หลายเดือนก่อน

    Sema influensa😂😂

  • @SamwelMnaga
    @SamwelMnaga 4 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅😅😅

  • @fazeelshomary2704
    @fazeelshomary2704 ปีที่แล้ว

    Mchicha makunyanzi😂😂😂😂

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha ปีที่แล้ว

    Yes tunaokujua wa kinondoni wenzangu ulikua hatari 😂jambaz sugu na kile kimwili chako cha kichina miaka ile😂😂

  • @bakariyusuph-uf7nc
    @bakariyusuph-uf7nc ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @faiditv5535
    @faiditv5535 ปีที่แล้ว +1

    Kingwendu