Shekh Muhammad nime kuskiliza mwanzo hadi mwisho, kwakweli nime furahi sana sbb wewe unatumia Elimu kuwazindua Waislamu waliotekwa na ushirikina wa masufi, na bayana ilio enda shule, kwakweli nime furahi sana Wallaah
Diwani elimu hana anabwabwaya tu alimsaidia shekh Alhad kwa kusema Haleluya maana yake ni kumtukuza Allah huyo ni mshirikina kama washikina wengine huyo hovyo mginga hajitambui
Anajinyoosha yeye mwenyewe na kundi lake..hakuna anaye myoosha hapa watu elimu wanazo na wamekaa kimya..sema simshangaii Shekhe wenu niulimbukeni tu wa socila network ndo zina msumbuwa
@@shabanially-ri8fi Nami sikushangai ww kuipinga haki,kwani Allah mwenyewe alishatujuza Kuna watu wana macho na hawaoni,wana masikio ya kuskiliza ila hawasikii,hawa ni viumbe wabaya kuliko wanyama, namuomba M'mungu akuongoze,acha ligi tuliza akili sikiliza hoja
Naam Sheikh Muhammed unaeleweka vizuri sana kwa wenye Elimu zao na Wasio na Elimu kubwa. Lililopo kwa wakaidi ni kuacha dhambi hii ya Barzanji iliyokwisha kua Sehemu ya Ibada kwao.
Masha Allah. Nakuombea kwa Allah akuzidishie elimu, akupe umri mrefu wenye kheri na barka, akupe afya njema sheikh uzidi kuendelez kuwapiga nondo hawa watu wa bidaa mpka wanyooke.
Allah akulipe kheri shekh wetu ama kwa hakika wale waliopewa tawfiq na Allah basi wamefaidika na haki wameiona na watu kila leo wanaendelea kuiona haki na wale waliotia pamba kwenye macho na masikio yao tunawaombea kwa Allah awafungulie vifua vyao ili waislam wote tushikamane itikadi iliyo sahihi
Mwanangu Bachu usiokopi kutuongoza tusipotei mama Zaki tunamuomba Allah akusaidie naiyo ni Dalila tosha kutuonesha kwamba kumbe wanafki ni wengi ktk fini ya mwenyezi Mungu
Allah Akuhifadhi Akhi Muhammad Bachu akujaza kila lenye kher nawewe, na akuepushe nakila lenye shari nawewe akuzidishie elimu af’ya njema na umri mreefu hakika kazi unayo fanya nikubwa kuliko maelezo wenye akili ndio wenye kuzingatia hakika nguvu unayo tumia na kukauka mate kuwatoa watu kwenye ukakasi sugu na kwenye upofu haliyakuwa wanaona nauziwi hali yalikuwa wanaskia namuomba Allah akulipe hapa duniani na kesho Akhera haliyakuwa upo ndaniya Jannatul firdaus. Pia namuomba Allah awaongoze ndugu zetu wiliyo ikumbatia batil kwa masilahi yakidunia Allah awaongoze katika haki (Amiin.)
Shekh mohammed bachu mungu akuhifadhi unatupa elimu kubwa,tatizo la mashekh ubwabwa hawakusikilizi ili wakuelewe wanakusikiliza ili wakubishie washakataa kuelewa haoooo
Mashallah shehe unafundisha vizuri bilashaka yusufu diwani ameelewa kama ajaelewa uwenda ajasoma vitabu vya aqida au kaamuwa kupotosha watu allah atamlipa anacho taka shehe Muhammad allah atakulipa
Baraak ALLAH feek sheikh!! Tungeomba Sheikh Yussuf kuweka comments wazi (ON) au wanaogopa kipigo cha wasikilizaji kabla ya kipigo kutoka Muhammad Bachu!! Kiufupu wanaongea pumba nyingi sana na pia kupotosha Umma kwa kuweka clip fupi kama ile inayosema" Mimi sina akili" kwa kudhania wanamkejeli Sheikh Muhammad Buchu bila ya kuangila kuwa wanamfanyia khiyana na wanamtendea Dhulma kubwa kuweka kipande cha clip na sio clip mzima!! ALLAH atuongoze na atuhifadhi. Allahumma Amin
Bachu uwaeleze watu pia ushirikina wenu wa kumgawa mungu ktk mafungu matatu innaa lillaahi wa innaa ilayhi raajiuun utatu wa wakiristo allaah awaongoze kwa kwel kwa kweli nyie ni wasaidiz wa shetani shirki mlio nayo halaf wathubutu kuwasema wengine kwa kutofaham kwako misingi ya lugha ya kiarabu masikinieee!!!!
Shekh bachu usiache kuwapa ukweli hawa watu bidaa niwaongo na hawaogopa kupotosha watu kwa tafsiri za uongo. Allah akulipe kwa lile lililo na nia moyo mwako
Mashaa Allah mungu akujaalie umri mrefu ili uwape dawa ad waelewe waliokuwa awaelewi na wale wanaoelewa ila wanafanya ubishi mungu tuongeze katka njia ilionyooka
Zama za leo ukikemea ushirikina ukawasha ULAWITI utakuwa unapoteza nafasi nzuri na muhimu japo katika maombi ya mwisho wa mafundisho umuombe Mungu atuondolee Tatizo liliopo la ULAWITI just maombi inatosha. Mungu akufanyieni wepesi wahubiri na waalimu wote Duniani🤲🏼🤲🏼🤲🏼
Ndugu yangu Allah akulipe kheri kwa ukumbusho lakini tambua kwamba hakuna dhambi kubwa itakayomuangamiza mwanadamu kama shirki, anachofanya shekh Bachu kuwazindua watu kutokana na shirki ni sahihi lazima watu wajengwe kiimaan na imani zikikaa sawasawa hayo maovu yote ikiwemo hiyo ya ulawiti haziwezi kifanywa kwa kuwa watu watakuwa na khofu ya Allah
Ndugu mpenzi, uliwati ni dhambi baya sana lakini hakuna dhambi kubwa zaidi ya shirki kwani mlawiti akifa katika uislamu basi hukmu yake iko kwa Allah lakini mshirikina akifa huyo moja kwa moja motoni
Hakika elimu hatuna lakini ataponifaa Pepo mmbaya nitajua hakika afya yangu imebadilika Mohammad bachu allah akujalie elimu inayotufaa waislamu Hakika deen Ya Allah isifanywe kama biashara isio na Boss Salam aleykum warahma tullah
Mohamad bachu naomba unifahamishe maana ya maneno aya biidaah na maulidi kwa lugha yakiswahili ninavyo jua mm hayo maneno ya kiarabu yanayo andikwa kiswahili natunayatamka kiswahili
Wewe kijana mimi nakuita ni DAWA YA DOA KTK JANGA HILI LA MAULID KWA HOJA ZA WAZI. . ALLAH akuongoze,akujaze ikhlas, akumiminie SUBRA. Akupe marifa mengi. VUTA SOKSI KAZI IENDELEE DHIDI YA WATU WA BIDAA TUNAKUELEWA SN
Shekhe Alla akulipe kher wanasema wanampenda mtume swallallahu aleihi wasallam videvu havina ata ndevu na kanzu zao ndefu kama magauni ya wakezao ayo mahaba yao yapo katika barazanji tu sio mwenendo maslahi ya dunia ndio yanayo wapelekka les
Namuomba Allaah akulipe kila lakheri, na akupe afya njema, na akupe nguvu ya kupambana na hawa jamaa, ingawa wewe wapambana nao kwa Elimu na Hoja zilizo shikwa na kufundishwa na Maulamaa, lkn wao wana pambana nawewe kwa uongo, matusi, khadaa na khiyana.
Ote hao unaomshabikia mawahabi tupu na watu wengi hajasoma hicho kitabu ndungu kunabalaga,matiki,salufaa na nahau so umeonana kazama kutafasili kielim hapo c nikubwabwajutu
Mzee bachu ameacha mtoto hasa, Allah akuhifadhi kijana ! Na wewe Yusuf diwani na jopo lako mueleweni kijana mwenzenu mbona sisi tunamuelewa japo hatuna elimu mkubwa jamani !
Umeongea vizur Sana Dada, Sasa Muombe Mungu tu wacha yeye mwenyewe Mungu alete mtu kukusaidia lkn husiombe mtu direct kwa mambo ambayo yako kwenye milki ya Allah.kuna tofauti kumuomba mtu nisaidie na 50tzs. Na kumuomba mtu niokoe ndugu yangu nna matatizo.jua kutafautisha na ndicho anachokizungumzia sheikh
hilo ndio jukumu lako sheikh kuelimisha watu kutoka kwenye ujinga na kuwaeka sawa katika hakki,,,,wala usichoke sheikh wangylu Allah akulipe kheri inshallah
@@fakiahmadi1382 kwani sheikh muhamed anasoma vitabu vp?anasoma vitabu ivo ivo vya wanazuoni ambavyo vimeleza hatari ya shirki kwaio shirki ilio kuemo ndani ya barzanji ishaelezwa zamani na wanazuoni na sheikh muhamed ananukuuu tuuu.
Shekhe mohammad bachu mimi naona mwenda mbali mwazunguka zunguka sana sijui kitabu cha nani kitabu cha nani wakati Hatujaambiwa tufate vitabu vya watu unafata Qur'an na sunna. Sasa hivyo vitabu vyakina barzanji vyaingia vipi katika uislam ama chatufundisha nini katika uislam
Kwa kweli wengine hawakufahamu kirahisi,,tuwaombee dua watafahamu tu,,,lakini endelea inshaaAllah wataelewa tu taratibu,,sisi tupo pamoja na wewe na twakufahamu vyema.
ALLAAHU AMBAARIKI ABUU HATIMY . AMAKWELI CAMERA ZILIFIKA ZANZIBAR KAMA ALIVO WAAGIZA WAMRECOD VIZUR UJUMBE UFIKE ZANZIBAR LAKN HUJAISHIA HUKO TU UMETULETEA MATUNDA MAZURI HAYA TUMEYAPATA JAPO YE KAKIMBIA MDAHARO
Mohammad Bachu twaomba utaje kitabu chochote cha mwanachuoni yoyote anaeshtumu Ukafiri katika Barzanji...kisha tuweke wazi kuhusu Yau Nnidaa Yau Duaa..kisha pia tufahamishe kuhusu Mambo ya Munakasha na Sheikh Sabas Al-kubra twasubiri majibu yako pia kusudi tuweze kuondoa utata juu ya wa umini...
akhui ukipitia somo la akida au tawhiid Allah akujaalie utaona ukweli kwa wazi na tawheed ni somo la kwanza ambalo kila nabii alilisomesha na ndio msingi wa dini
Huyu elimu yake ni ndogo, anasumbuliwa na joto la kibaleghe tu na ndio maana anakwepa hoja, umeitwa kwenye munakash na wanaume, bado unasuasua tu, kumaanisha huna jambo mfuasi wa vitabu vya kisabato.
maskiini kijana unamkimbia mnyama mkali kwahofu katika poli lenye miba zenye kushindamana tena Kali ukaingia Kisha baada ya kuona umesalimika Yani umeokoka unashindwa kutoka kwahakika unahitaji msaada kijana pole sana.tunasubili majibu mjadala utakunyosha nahao wafuasi ulo wafunikaka turubai jeusi
Sheikh Nassor bachu Allah Amrehem nilikuwa nampenda sana lakini Allah ..akatufuta machozi kutuletea ndani ya kizazi chake kumleta Sheikh Muhammad bacho
Jazakallahu khayran sheikh Muhammad Bachu Allah akujaalie thabati udumu ktk misingi ya kisunnah
Sema you seems to be very genious
Shekh Muhammad nime kuskiliza mwanzo hadi mwisho, kwakweli nime furahi sana sbb wewe unatumia Elimu kuwazindua Waislamu waliotekwa na ushirikina wa masufi, na bayana ilio enda shule, kwakweli nime furahi sana Wallaah
Diwani elimu hana anabwabwaya tu alimsaidia shekh Alhad kwa kusema Haleluya maana yake ni kumtukuza Allah huyo ni mshirikina kama washikina wengine huyo hovyo mginga hajitambui
Allah akuzidishie. Sito jishughulisha tena na Maulid katika maisha yangu. ila kutafuta ufumbuzi zaidi.
Nakupenda kwa ajili ya Allah sheikh wetu Muhammad bachu
Masha Allah endeleza kuwapa dozi ya elimu hadi wapone!
Baarakallahu fiik ya sheikhunaa muhammad nassor
Mashallah umewapa dalili ya nguvu ndugu Muhammad bachu
Mashallah Allah akuhifadhi duniani ,akhera n'a yamulqiama
Maashallah ya sheikh Allah akupe afya njema na umri mrefu uzidi kutupa faida katika dini
Nakupenda sana kwa ajili ya Allah Allah akuhifaz Mwalim!!!!
bachu apaa kazaliwaa upya mash allah 🤲
Wanyooshe sawa sawa. ALLAH yu pamoja nawe katika hili.
Anajinyoosha yeye mwenyewe na kundi lake..hakuna anaye myoosha hapa watu elimu wanazo na wamekaa kimya..sema simshangaii Shekhe wenu niulimbukeni tu wa socila network ndo zina msumbuwa
@@shabanially-ri8fi Nami sikushangai ww kuipinga haki,kwani Allah mwenyewe alishatujuza Kuna watu wana macho na hawaoni,wana masikio ya kuskiliza ila hawasikii,hawa ni viumbe wabaya kuliko wanyama, namuomba M'mungu akuongoze,acha ligi tuliza akili sikiliza hoja
Naam Sheikh Muhammed unaeleweka vizuri sana kwa wenye Elimu zao na Wasio na Elimu kubwa.
Lililopo kwa wakaidi ni kuacha dhambi hii ya Barzanji iliyokwisha kua Sehemu ya Ibada kwao.
Masha Allah. Nakuombea kwa Allah akuzidishie elimu, akupe umri mrefu wenye kheri na barka, akupe afya njema sheikh uzidi kuendelez kuwapiga nondo hawa watu wa bidaa mpka wanyooke.
Nakupenda sana ndugu yangu kwajili ya ALLAH
Maasha Allah tunazidi kuijua hakki Allah akulipe kheir
Allah akuhifadhi
Allah akupambe kwa afya njema shekh wet2 endelea, kuwa elimisha.............. Wesha elemewa nahoja
Ndugu yetu sheikh Muhammad Endelea hivyo hivyo sisi tuko na wewe
Kijana Mwenzetu Allah akupe Umri mrefu maana unatufafanulia Mambo ya kheri
Allah akuweke sheikh m bachu
Maa shaa allaah innalhalala bayyin wainnalhalala bayyin
Allah akulipe kheri shekh wetu ama kwa hakika wale waliopewa tawfiq na Allah basi wamefaidika na haki wameiona na watu kila leo wanaendelea kuiona haki na wale waliotia pamba kwenye macho na masikio yao tunawaombea kwa Allah awafungulie vifua vyao ili waislam wote tushikamane itikadi iliyo sahihi
جزاك الله خيرا
Shukran sheikh wangu nilikuambia huyu Diwani hamna mtu umechambua ki elimu kabisa watu tumefaidika Allahu bareeq
Allah akupenguvu ya kutubainishia haq kwa ajil idhin ya Allah
Mm niko mbali sanaa na tz ilaa nafatiliaa sanaa darasaa zako ndugu yangu bachu mungu akuongoze inshallah
maashaaallah sheikhe katoboa mmeshindwa kuziba mmebaki kutukana tu maneno meeeeeeengi kwendeni huko mkatangaze madawa yenu
Mwanangu Bachu usiokopi kutuongoza tusipotei mama Zaki tunamuomba Allah akusaidie naiyo ni Dalila tosha kutuonesha kwamba kumbe wanafki ni wengi ktk fini ya mwenyezi Mungu
Hatuongozi Dadangu anatuonyesha na kutuelekeza na kutujuza haki hyo yakutuongoza ndio hyo anayoyapiga vita hpo kwasababu wakuongoza ni Allsh.
Allah Akuhifadhi Akhi Muhammad Bachu akujaza kila lenye kher nawewe, na akuepushe nakila lenye shari nawewe akuzidishie elimu af’ya njema na umri mreefu hakika kazi unayo fanya nikubwa kuliko maelezo wenye akili ndio wenye kuzingatia hakika nguvu unayo tumia na kukauka mate kuwatoa watu kwenye ukakasi sugu na kwenye upofu haliyakuwa wanaona nauziwi hali yalikuwa wanaskia namuomba Allah akulipe hapa duniani na kesho Akhera haliyakuwa upo ndaniya Jannatul firdaus. Pia namuomba Allah awaongoze ndugu zetu wiliyo ikumbatia batil kwa masilahi yakidunia Allah awaongoze katika haki (Amiin.)
amin amin amin
Aaamin Yaarabbal A'lamin
Shegh Muhammad unapata tabu hawa fani yao tiba
Uhibbuka fii llak ya akh liaziz
Mashallah mashallah Allah akuhifadhi al akh
Baaaraka allahu fiika
Shekh mohammed bachu mungu akuhifadhi unatupa elimu kubwa,tatizo la mashekh ubwabwa hawakusikilizi ili wakuelewe wanakusikiliza ili wakubishie washakataa kuelewa haoooo
JazakaAllah kheir
Nakupenda sana Sheikh Muhammad bacho kwa ajili ya Allah jua mimi ni mwanafunzi wako wa nahw wallah imenipa mwanga
Namuomba Allah akuhifadhi kutokana na shari za kila mwenye shari
Hakika napata faida nyingi kupitia darsa zako.
amin amin amin
Masha Allah hoja zako ziko wazi kabisa baarakallaahu fyka, hoja za mtetezi zina talbis
Allah akubarik sana kakangu. Umetufunguwa macho na akili. Tumejuwa mengi
Mashallah shehe unafundisha vizuri bilashaka yusufu diwani ameelewa kama ajaelewa uwenda ajasoma vitabu vya aqida au kaamuwa kupotosha watu allah atamlipa anacho taka shehe Muhammad allah atakulipa
Maasha Allah
Allah akulipe Sheikh Mohammed Bachu kwa kupambana na washirikina
Baraak ALLAH feek sheikh!! Tungeomba Sheikh Yussuf kuweka comments wazi (ON) au wanaogopa kipigo cha wasikilizaji kabla ya kipigo kutoka Muhammad Bachu!! Kiufupu wanaongea pumba nyingi sana na pia kupotosha Umma kwa kuweka clip fupi kama ile inayosema" Mimi sina akili" kwa kudhania wanamkejeli Sheikh Muhammad Buchu bila ya kuangila kuwa wanamfanyia khiyana na wanamtendea Dhulma kubwa kuweka kipande cha clip na sio clip mzima!! ALLAH atuongoze na atuhifadhi. Allahumma Amin
Shekh Mohamed Bacho mm nakupenda kwa ajili ya Allah , waelimisha hawa dini ya haki
Endelea sheikh Bachu
شكرن يا شيخنا وجزاك الله خير
Bachu uwaeleze watu pia ushirikina wenu wa kumgawa mungu ktk mafungu matatu innaa lillaahi wa innaa ilayhi raajiuun utatu wa wakiristo allaah awaongoze kwa kwel kwa kweli nyie ni wasaidiz wa shetani shirki mlio nayo halaf wathubutu kuwasema wengine kwa kutofaham kwako misingi ya lugha ya kiarabu masikinieee!!!!
Yuko nawe mungu akulinde na akuzidishe afiya na maisha marefu
MashaAllah Allah akulnd
Alhamdulilah safi twaendelea kupata elimu
Elimu kwanza kisha maneno baadae…tatizo waropakaji wengi wasomi wachache..Mohammed Bachu elimu bado ndogo sanaa aiseee
USHIRIKINA usiutetee
Elimu yake ndogo kwakuwa katoa maneno yake na sio dalili za kitabu na Sunna na Wana zuoni we ndo unaelim kaka
Baaraka allahu fyka wacha makhurafi waweke viraka hawana dalili.
Bado ufahamuwako ni mdogosanaa kakayangu
Sheikh tunakupenda na hakuna kurudi nyuma kwenye kuilezea hakki..
kabisa kabisa
Haki itadhihir
Shekh bachu usiache kuwapa ukweli hawa watu bidaa niwaongo na hawaogopa kupotosha watu kwa tafsiri za uongo. Allah akulipe kwa lile lililo na nia moyo mwako
Allah akusimamie ili uendelee kuwazindua watu....Allah akujalie hekma na uvumilivu na ikhilas ....
Allah akujaze kheri sheikh wetu Muhammad bacu Pia akuhifadhi .Hao wakina diwani waongo naiongo wao huu dhahiri.wafungue comment tu wajibu hawajiamini?
Ufaham ni rizki!
Mashaa Allah mungu akujaalie umri mrefu ili uwape dawa ad waelewe waliokuwa awaelewi na wale wanaoelewa ila wanafanya ubishi mungu tuongeze katka njia ilionyooka
Natamani iko siku moja nifunge safari nije unguja kukujulia hali tu nakupenda kwa ajili ya Allah...
Zama za leo ukikemea ushirikina ukawasha ULAWITI utakuwa unapoteza nafasi nzuri na muhimu japo katika maombi ya mwisho wa mafundisho umuombe Mungu atuondolee Tatizo liliopo la ULAWITI just maombi inatosha. Mungu akufanyieni wepesi wahubiri na waalimu wote Duniani🤲🏼🤲🏼🤲🏼
Ndugu yangu Allah akulipe kheri kwa ukumbusho lakini tambua kwamba hakuna dhambi kubwa itakayomuangamiza mwanadamu kama shirki, anachofanya shekh Bachu kuwazindua watu kutokana na shirki ni sahihi lazima watu wajengwe kiimaan na imani zikikaa sawasawa hayo maovu yote ikiwemo hiyo ya ulawiti haziwezi kifanywa kwa kuwa watu watakuwa na khofu ya Allah
Ndugu mpenzi, uliwati ni dhambi baya sana lakini hakuna dhambi kubwa zaidi ya shirki kwani mlawiti akifa katika uislamu basi hukmu yake iko kwa Allah lakini mshirikina akifa huyo moja kwa moja motoni
WATAELEWA TU, NA HAKI ITANYANYUKA! WANATETEA SADAKA ZA WANYONGE KWA KUVIMBISHA MATUMBO YAO! MAULIDI LAZIME YAFE KTK UISLAAM, BACHU WAKABE KOOZAO👍👍
Hakika elimu hatuna lakini ataponifaa Pepo mmbaya nitajua hakika afya yangu imebadilika
Mohammad bachu allah akujalie elimu inayotufaa waislamu
Hakika deen Ya Allah isifanywe kama biashara isio na Boss
Salam aleykum warahma tullah
Mohamad bachu naomba unifahamishe maana ya maneno aya biidaah na maulidi kwa lugha yakiswahili ninavyo jua mm hayo maneno ya kiarabu yanayo andikwa kiswahili natunayatamka kiswahili
Barakh Allah Khair
Shukran Shk kwa kutuelewesha, Allah Akuhifadhi Akulinde na kila Shari,
Uzidi kutuelimisha.
Kisha barzanji hakuwa mwana chuoni bali alikua mwibaji mashahiri.mropokaji.atatia wengine kwenue shirki sio waja wa allah aliewachagua yy Allah
Tumechoka na malumbano ya Mitandao twataka twende kwa Next level... Munakasha face2face charlenge....
Wewe kijana mimi nakuita ni DAWA YA DOA KTK JANGA HILI LA MAULID KWA HOJA ZA WAZI. .
ALLAH akuongoze,akujaze ikhlas, akumiminie SUBRA. Akupe marifa mengi.
VUTA SOKSI KAZI IENDELEE DHIDI YA WATU WA BIDAA
TUNAKUELEWA SN
Kwa uelewa wako Yuko sahii ila kwawenye elimu wamekaa kimya tu mana anavyo tafasili ni vittuko tupu
Mashaallah kila nikiingia TH-cam kwanza nakuja kwako akhy kupata faida
Naaam
Masha ALLAH
Shekhe Alla akulipe kher wanasema wanampenda mtume swallallahu aleihi wasallam videvu havina ata ndevu na kanzu zao ndefu kama magauni ya wakezao ayo mahaba yao yapo katika barazanji tu sio mwenendo maslahi ya dunia ndio yanayo wapelekka les
Endelea hivyo hivyo ilii watu wajue hakki na utoke kwenye makosa ya kuwa umenyamaza watu wafanya shirki lkn alhamdulillah umewambia ukweli
Namuomba Allaah akulipe kila lakheri, na akupe afya njema, na akupe nguvu ya kupambana na hawa jamaa, ingawa wewe wapambana nao kwa Elimu na Hoja zilizo shikwa na kufundishwa na Maulamaa, lkn wao wana pambana nawewe kwa uongo, matusi, khadaa na khiyana.
Mashalaah ,,,,,,,tupe Elimu ,,,,jazakalaah
@@mussakatoro8079 haahaa kasome ndungu sio utatu ule ni vigawanyo vya tauhid tu em soma tena vizul ndungu. Allah atuongoze ktk kher
Innalhala bayyin wainna lharaama bayyin
Tuko pamoja shehe wangu wanyooshe hao wazushi katika dini
Nikisoma Tu coment bachu huna mkosoaji hata mmoja
Ote hao unaomshabikia mawahabi tupu na watu wengi hajasoma hicho kitabu ndungu kunabalaga,matiki,salufaa na nahau so umeonana kazama kutafasili kielim hapo c nikubwabwajutu
@@hombelozabron hujaambiwA Kwamba elimu ya Mantiki ni elimu ambayo haifai
Ngoja nichekeeeee tu Kwanza Ety Sabas ANATAKA NIKASHII ANASUKUMIZIWA KWNY MOTO NAE KAJIONA KIDUME,,,,,, KWAMB MSOMI ,,, KIARABU CHENYEWE CHENGA
Mzee bachu ameacha mtoto hasa, Allah akuhifadhi kijana ! Na wewe Yusuf diwani na jopo lako mueleweni kijana mwenzenu mbona sisi tunamuelewa japo hatuna elimu mkubwa jamani !
Najuwa wakuombwa ni Allah peke yake Japonkua atatokea mtu akusaidie ni ALLAH njo anakuwa amemtuma il atokeye akusaidie
Umeongea vizur Sana Dada, Sasa Muombe Mungu tu wacha yeye mwenyewe Mungu alete mtu kukusaidia lkn husiombe mtu direct kwa mambo ambayo yako kwenye milki ya Allah.kuna tofauti kumuomba mtu nisaidie na 50tzs. Na kumuomba mtu niokoe ndugu yangu nna matatizo.jua kutafautisha na ndicho anachokizungumzia sheikh
Waislam wanamiongozo miwili TU Quran na Sunna barazenji ni vitabu vya mashia na ndio waanzilishi sherehe ya mazazi ya mtume swalallah alay wasallam
Badilika kijana babako mwenyewe hakuwa hivyo..ww hauna usheikh wowote....mnafiki mmoja we!!
hilo ndio jukumu lako sheikh kuelimisha watu kutoka kwenye ujinga na kuwaeka sawa katika hakki,,,,wala usichoke sheikh wangylu Allah akulipe kheri inshallah
Shekhe Muhammad Bachu Watandike hawa jamaa mpaka wajute kujitia kimbelembele kwa ajili ya vishilingi viwili walivyo pewa.
maashaaallah sheikhe katoboa mmeshindwa kuziba mmebaki kutukana tu maneno meeeeeeengi hakuna aya wala hadithi kwendeni huko mkatangaze madawa yenu
Suali je wakati wabarazanji kulikuwa hakuna wanazioni kwanini walimnyamazia ikiwa hivo si wamejitosheleza kuwa hakuna makosa?
@@fakiahmadi1382 yy labda kaupija mwingi kuliko sheyh jufry barzanj
@@fakiahmadi1382 kwani sheikh muhamed anasoma vitabu vp?anasoma vitabu ivo ivo vya wanazuoni ambavyo vimeleza hatari ya shirki kwaio shirki ilio kuemo ndani ya barzanji ishaelezwa zamani na wanazuoni na sheikh muhamed ananukuuu tuuu.
Shekhe mohammad bachu mimi naona mwenda mbali mwazunguka zunguka sana sijui kitabu cha nani kitabu cha nani wakati Hatujaambiwa tufate vitabu vya watu unafata Qur'an na sunna. Sasa hivyo vitabu vyakina barzanji vyaingia vipi katika uislam ama chatufundisha nini katika uislam
Moja kati ya sifa za Ahlul-Bidaa ni uongo na uzushi tu.
Nduguetu mhamadi bachu tulichokiona wewe umukwelikabisa uendelendeleehivyo na allah anauona uhaki uliko hatasis tuko nyumayako na hawawatu tumewagundua kua hawawezi kusimama mbele yahojazako
Kwa kweli wengine hawakufahamu kirahisi,,tuwaombee dua watafahamu tu,,,lakini endelea inshaaAllah wataelewa tu taratibu,,sisi tupo pamoja na wewe na twakufahamu vyema.
ALLAAHU AMBAARIKI ABUU HATIMY . AMAKWELI CAMERA ZILIFIKA ZANZIBAR KAMA ALIVO WAAGIZA WAMRECOD VIZUR UJUMBE UFIKE ZANZIBAR LAKN HUJAISHIA HUKO TU UMETULETEA MATUNDA MAZURI HAYA TUMEYAPATA JAPO YE KAKIMBIA MDAHARO
MASIKILIZANO SIO MIGOGOGORO DHAMBI JITIZAMENI .
Nashukuru mimi ni wa mwanzo kupost Endelea na rudud kuwarudi hawa masufi sheikh Muhammad bachu Allah akuhifadhi
Nimekubali mkuu
Hawana tofauti na wakristo kwa kumuomba yesu (Nabii ISA) badala ya Allah.
Mohammad Bachu twaomba utaje kitabu chochote cha mwanachuoni yoyote anaeshtumu Ukafiri katika Barzanji...kisha tuweke wazi kuhusu Yau Nnidaa Yau Duaa..kisha pia tufahamishe kuhusu Mambo ya Munakasha na Sheikh Sabas Al-kubra twasubiri majibu yako pia kusudi tuweze kuondoa utata juu ya wa umini...
akhui ukipitia somo la akida au tawhiid Allah akujaalie utaona ukweli kwa wazi na tawheed ni somo la kwanza ambalo kila nabii alilisomesha na ndio msingi wa dini
Wacheni vijisababu vya urongo na kuhangaisha wa umini katika Mitandao ingieni uwanjani kwa munakasha face2face tujuwe mbichi na mbivu...
Huyu elimu yake ni ndogo, anasumbuliwa na joto la kibaleghe tu na ndio maana anakwepa hoja, umeitwa kwenye munakash na wanaume, bado unasuasua tu, kumaanisha huna jambo mfuasi wa vitabu vya kisabato.
maskiini kijana unamkimbia mnyama mkali kwahofu katika poli lenye miba zenye kushindamana tena Kali ukaingia Kisha baada ya kuona umesalimika Yani umeokoka unashindwa kutoka kwahakika unahitaji msaada kijana pole sana.tunasubili majibu mjadala utakunyosha nahao wafuasi ulo wafunikaka turubai jeusi
Kwa hakika haki itaendelea Kuwa juu na uzushi na wazushi wataendelea kudhalilika mpk kinyama kisimame
Sheikh Nassor bachu Allah Amrehem nilikuwa nampenda sana lakini Allah ..akatufuta machozi kutuletea ndani ya kizazi chake kumleta Sheikh Muhammad bacho
Wameleta Mada Tofauti Ili Kupoteza Hii Mada Muhimu, Isiendelee Sababu Ukweli Umedhihiri
Dah kweli akhy kabisa umeliona iloo kumbe wanaleta mada tofauti kabisaa
Shekh asikuhangaishe huyu mganga wa kienyeji