Mchezo ni mzuri ila tatizo ni usimamizi wa usalama na vifaa ndo hamna, mchezo umeeonekana kupendwa na kua na mashabiki wengi basi serikali yetu ingewaandalia eneo maalumu kwaajili ya mchezo huo na usalama kwa wachezaji na shabiki kwa ujumla pia elimu inahitajika hapo
nadhani huu mchezo una uhusiano na freemason.mwaka ya nyuma barabara ya namanga arusha nakumbuka mchezo kama huo wa magari walikufa vijana vibaya sana barabarani.leo tena wameanza pikipiki safari hii ndo watapoteza maisha san sababu hawana vifaa vya kujikinga
Wenzenu mbele zile barabara Maalum lami yake sio kama hiyo...na pia muwe mnavaa ngua za protection.... Serikali inabidi izuie huu mchezo' mpk kuwe na utaratibu Maalum...!
@@Mpakauseme ....ukiwa mkimbiaji wa riadha , ...ule mzunguko wa pembeni ya UWANJA wa Mpira UTAELEWA ..!...kiufupi lami zao sio ngumu..! Unaposikia mbio za magari au pikipiki (grand prix) inakua ni viwanja Maalum vimetengenezwa mjomba..sio kulupu kulupu, tukiendelea kwenye lami zetu tujiandae kuwa na MAITI au WALEMAVU wengi Tz..!
Mchezo ni mzuri sana ila mazingira sio rafiki kwa uku bongo, walitakiwa kua kwenye barabara isio pitisha magari wakati wa mchezo...au na magari yapo kwenye mchezo kama kikwazo dadeq!!!
Vijana nyie hizo nguvu zote mnazo tumia kwanini msizitumie mkiwa ndani ya Yesu, ivi ikatokea mmoja amefaliki hapo muanzage kusema ni mpango wa Mungu kweli.
Huu mchezoo sio mbaya sema ingefaa wawe na vifaa vya kujikinga kwa wenzetu inalisha familia na ni ajira km zinginezo✌️✌️✌️
Umenena.
Sure
Sure
Unafaa uwe Raisi I will vote for you 💪
Nawawe nabara bara yao wasitusabishiey maajari sisi🤣
Sasa Hawa ata vifaa vya kuvaa akuna nikichwa na mikono na mguu hakuna chochote hatar 🙌🙌🙌🙌🙌
2:08 Thank you very important
Amshukuru sana MUNGU Gari ya Nyuma yake haikuwa speed
Nchezo mzuri kwa anae tazama lakini ni hatari kwa muendeshaj maana akianguka kama sio kirema anakufa
Kazia mungu hainamakosa njodunia aovp✌
Mambo niyapendayo hayo mimi🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😍
mbwa ww
Sio sehemu sahihi kufanya huo mchezo hata vifaa vya Kinga wahajavaa .
Home Sweet Home🔥🖐
Arusha City❤️👋
Tafuten maeneo mazur kwa ajil ya kukimbilia vifo vyenu ..sio mbele za watu
Umenifanya nicheke
Ao watu ndo watafute maeneo mazuri ya mbali na vifo vyetu
😂😂😂
🤣🤣🤣
Understand this YOLO (You All Live Once) whether you are reach or poor ata na ww utakufaaaaa tu Mzee tena bila kukimbilia 😇 iyo nikwere.
Mchezo ni mzuri ila tatizo ni usimamizi wa usalama na vifaa ndo hamna, mchezo umeeonekana kupendwa na kua na mashabiki wengi basi serikali yetu ingewaandalia eneo maalumu kwaajili ya mchezo huo na usalama kwa wachezaji na shabiki kwa ujumla pia elimu inahitajika hapo
Safi👍Wazo Zuri ni kweli
10110
Ayotv waongo sana sikuhizi. Pmbv
nadhani huu mchezo una uhusiano na freemason.mwaka ya nyuma barabara ya namanga arusha nakumbuka mchezo kama huo wa magari walikufa vijana vibaya sana barabarani.leo tena wameanza pikipiki safari hii ndo watapoteza maisha san sababu hawana vifaa vya kujikinga
Hakuna jambo anapanga shetan bse Mungu anajua hata shetan anafikilia nin Kwa wakat huu Ila shetan hayajui ya Mungu hata kidogo yaliyofichwa...
Hapo boss anajua bodaboda yake ipo kitaa inakula vichwa jioni anaingiza hela kumbe wahuni wapo kwenye michezo yao huko
😅😅😅
😏😏 nyokooo we ndo una hizoooo
Wanaiga wazungu na hana vifaa waangalie wazungu wamejiweka vizuri
Hali ya mchezo iyo lakn mmmh pole yake
Alafu mtu Akifa kwa upuuzi huo wanasema"MUNGU alipanga " shetani Yuko zake kudhurula anawatafuteni
Mungu na mashetani wote mnawapakaziaga sometimes
Mbn kunamwenzao alikufa
🤣🤣🤣🤣🤣
Ni nzur ukiwa mungu
Iyooo ni ARUSHA A.K A milembe kubwa
Diamond Platnumz 🔥🔥🔥🔥🔥🔥👉
th-cam.com/video/u_SvHoeHeUI/w-d-xo.html
Mmmmh huu mchezo ni hatari sana😴😴😴😴😴🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Juzi nimemnukuu makonda akisifia ao wadudu eti wanaweza michezo ya mapikipiki siasa bhana😮😮😮
Jaman huu mchezo ni hatari sanaa😮
Ajali kazinii........
Mungu atusaidie
Kwann magari wasizuie Kwanza kwa hio michezo hi hatal wajue
Ajali ya wafanyakazi wa TANESCO mbeya
Sio kwa michezo hiyo hatariiii saana .
Hiii ni R Chuga wengine skilizieni tu mtandaoni huku ni MIAMI L A🔥🔥🔥🔥🔥🪂
Thanks again
Vijana wasikuiz wanapenda xana xifa wambien waache sif
Hiii n safari Larry ya mabikibiki😅😅😅😅 alifanya poa kwanguka juu hajui umuhimu wa maisha
Afu utasilia bei yamafuta iko juu alifu
Chuga mnapenda xana pkpk
Ana Atari huyu😮
Kazi kazi
Wazili wa michezo na Sanaa afanye mchakato ipatikane sehem maalum Kwa ajili ya hiyo michezo fulsa Kwa vijana watazamaj watoe kingilio
Arusha akil kumbe kisoda mchezo kama huu wa magar nakumbuka kuna kipind uliua wat kibao chek walivojirundika
Wenzenu mbele zile barabara Maalum lami yake sio kama hiyo...na pia muwe mnavaa ngua za protection.... Serikali inabidi izuie huu mchezo' mpk kuwe na utaratibu Maalum...!
Mbele lami zake za sponch au vipi
@@Mpakauseme ....ukiwa mkimbiaji wa riadha , ...ule mzunguko wa pembeni ya UWANJA wa Mpira UTAELEWA ..!...kiufupi lami zao sio ngumu..!
Unaposikia mbio za magari au pikipiki (grand prix) inakua ni viwanja Maalum vimetengenezwa mjomba..sio kulupu kulupu, tukiendelea kwenye lami zetu tujiandae kuwa na MAITI au WALEMAVU wengi Tz..!
Mwenzao alikufa kwa sifa
@@nasrafadhili8941 sio mmoja wa 3
Xx
Nimependa
Kazi nzuri
Grace kalisto simba
Niulize tu hakukua na serikali hapo maana mchezo mzuri lkn unafanyikia sehem isiyo sahihi tatizo barabarani kuna Magari yanaendelea kupita pia.
Polisi na uniform zao wamekaatu wanaangalia show... wanasubiri kulaumu wakifukuzwa kazi.
anyway serikari ya Rushwahii serikali Butu.
Mchezo ni mzuri sana ila mazingira sio rafiki kwa uku bongo, walitakiwa kua kwenye barabara isio pitisha magari wakati wa mchezo...au na magari yapo kwenye mchezo kama kikwazo dadeq!!!
Kabisa bongo waandae road maarumu za uwo mchezo
Wanaweza lakin waulize wenyewe wanapata faida gan na huo mchezo utasikia nikujifurahisha tu, wenzetu ulaya ajira hyo kuna macompuny yanawadhamin
APA n arusha sehem gan
Ni hatari kwa kweli
Barabara iwe maalumu kwa mashindano jmniiii
bila kupiga Shadaa mingii uwezii chezaa iyooo
Arusha bangi zitawaua, ni wazi ajali za boda Arusha, Kilimanjaro zimekuwa nyingi sana! Elimu inaitajika kwa vijana hawa, na wengi wao shule hawana!
Kwqhy serikali imefurahia kbs
Oooooog sana wakali
Nakuelewa sana
dah hatari sana naona damu tu lakini MUNGU kawasaidia.
Hii michezo mbona kama ni hatarishi waandaaji wa hii michezo hawajui kama wanacheza na maisha ya watu,
Kauwongoo tumekaonaaa ..
Duuu michezo mengine hd mungu hapendi🥲
Nacheka kama mazuri😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hata aliyetengeneza SLG na boxer ukimwambia anyanyue tairi moja hawezi ila bongo inawezekana 🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Kwel lakn hajali kazin
Honger san
Safi kabisa
Mwanamziki mkubwa wa Ivory coast alikufa na huu mchezo aligonga gari
Serikali kama imewaluhusu Kwann Wasingewatengea sehemu Ya kwao Ambayo haifungamani na Shunguri zingine Hivo mbona ni hatali sana
ni shehemu ya michezo lakini selikari iingilie kati kuhakikisha mazingira ,usalama na taratibu za mchezo elimu juu ya mchezo huu
Vijana nyie hizo nguvu zote mnazo tumia kwanini msizitumie mkiwa ndani ya Yesu, ivi ikatokea mmoja amefaliki hapo muanzage kusema ni mpango wa Mungu kweli.
For fun preacher mungu yupo nasi Amna ajili mbaya wala kifo 🕊️ Sisi ni vijana wa yesu.🙏
Acha utoto si anatafta rizk jmn kwan ni dhambi wanaiba au
Apana huu mchezo ni hatari sana
Serekali hapa imekosea haiwezi ruhusu mambo Kama haya yakuhatarisha Maisha yaendelee
Safi sana mjinga sana
ajali kazini
2:07 this may save your time. Nothing serious
Indeed
Sure
Exactly
Mtu kaburuzika aisee its serious😂😂😂
Facts ,
Kumbe mafuta hayajapanda Bei😎
😅😅😅👍hizo piki piki zingezama ndani ya matumbo ya mazombi wameshajikatia jiket wazembe wote
Huu mchezo mzuri lakini huko bara ni hatari zaidi vifaa hawana eneo ni hatari sio salama Bora kwetu zanzibar piki piki nazo sio
🤣🤣🤣Shida jmn
Jaman akome
Mh wako ogg LAKINI ni hatariii
Hiyo Hatari sana Yaani wanatumia Barabara hizo hizo zinazopita magari muda wote inatakiwa watengewe maeneo Yao .
Jamaa alikua anaona malaika Hawa apa.🤣🤣
Walio simama pembeni nao wanahatari sana.
Bila kua na vifaa kinga watapasuka vichwa Kila siku.
Akali arusha
Didn't gas price fluctuate>>>?smh 😂😂😂
Hiyo n hatari
Hatari sana
Matumizi mabaya ya shibe,
Kazi iendelee
Uwiiiiiiiiiii huu sio mchezo ni kifo jamani ndugu zetu hata kama hamjihurumii hurumieni wanaowapenda na kuwategemea
Hawakomi tu serikali ipige marufuku huu mchezo mara moja
D voice mpya video
Izi ni bangi eti mm awa wadogo zangu nawajua sana Mungu wanusuruu
Mtakufaa mapema
Sijaona uyo kijana aliyeanguka muhe wakweli
😂😂😂 *WATANZANIA MSIJARIBU KUIGA WAKENYA MTATOKA MENO*
jmn jmn c lazima mutakufa 😢😢
tufe kisa
Kaz nzur
2:07 utanishukuru baadae 🚶🏻🚶🏻
Endeleen kumbip Israel
Kwann ulie toa shindano ila usitafute balabl unataka wtu wafe
Hivi mnazani Arusha ni tanzania😀😀
Nyie arush inafanana na ulaya mjue