Pr. Changamoto ni hii unawezaje kumpenda Adui ambaye kila ukimsamehee Adui ana mapanga kuharibu mambo yako Mpka anapango mkakati wakukumaliza( kuua) Unawezaje kumpenda Mtu wa Namna hiyoo Pr Na mtu huyo kajaribu mara kadhaa!!
Lakini hata Stefano wakati anapigwa mawe tunasoma kwamba aliwaombea wasihesabiwe dhambi ile akalala .. huo ni mfano mzuri kwetu kwamba hata katika tunatendewa vibaya hali ya kufa tunapaswa kusamehe ✍🏽
Jibu Ni ndiyo. Kristo alisema Baba uwasamehe kwa kuwa hawajui watendalo. Alitangulia kuwasamehe kabla ya wao kutambua kosa lao Wala kutubu...mengine, muachie Roho amfanyie kazi apokee au asipokee msamaha wako
Nmejifunza kusamehe, Mungu akubariki
Be blessed pastor may the Lord strength more
Nimejifunza mno juu ya neno kusamehe, Mungu azidi kukutumia pastor barikiwa sana Amina
AMINA
Mungu anisaidie sana. Yes bila msamaha haya maisha it’s terrible 😞 😢😢
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa somo zuri
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
MUNGU atuwezeshe kwa sababu ndilo linahitajika .ubarikiwe sana mtumishi WA MUNGU
AMINA
Barikiwa mtumishi kwa mafundisho mazuri na ya kweli pekee wengine wakiata magumu
BWANA ATUKUZWE
Mungu atufanyie wepesi. Mchungaji, Mungu akubariki sana.
AMINA
Mungu akutunze sana mjoli
Ubarikiwe Mtumishi uwe na moyo mkuu Bwana u upande wako
Be blessed pastor semba be courager don't fear
Ubarikiwe kwa mafundisho mazuri
Happy new yr pr
Tulikumiss,
Barikiwa sana Man of God
Sifa nautukufu zikurudie mungu wangu,ninakushukuru kutupatia mch semba
Amina
Yes
Napenda sana kufundishwa biblia na ww
Amen Ubarikiwe
AMINA
S.D.A hakuka wanafundisha iliyo kweli kwenye bible
MUNGU atukuzwe kwa ujumbe
Ukiamua kusamehe samehe kabisa
Pr. Changamoto ni hii unawezaje kumpenda Adui ambaye kila ukimsamehee Adui ana mapanga kuharibu mambo yako
Mpka anapango mkakati wakukumaliza( kuua)
Unawezaje kumpenda Mtu wa Namna hiyoo Pr
Na mtu huyo kajaribu mara kadhaa!!
Ww siyo uliotendewa ndg yangu bali ni Mungu ndo ametendewa so inabidii uwe na moyo wa kusamehe sawa.
Lakini hata Stefano wakati anapigwa mawe tunasoma kwamba aliwaombea wasihesabiwe dhambi ile akalala .. huo ni mfano mzuri kwetu kwamba hata katika tunatendewa vibaya hali ya kufa tunapaswa kusamehe ✍🏽
TUWASILIANE KUANZIA 23.01.2024
Pastor je vipi kuhusu mtu ambaye amekosea na hataki kutambua kosa... Hapo unaweza kusamehe bila kuombwa msamaha?
Jibu Ni ndiyo. Kristo alisema Baba uwasamehe kwa kuwa hawajui watendalo. Alitangulia kuwasamehe kabla ya wao kutambua kosa lao Wala kutubu...mengine, muachie Roho amfanyie kazi apokee au asipokee msamaha wako
Amen
Kiseke ulitubaliki sana basi tu MUNGU AKUBARIKI SANA MTU WA MUNGU
Amen
Amen