Kutoka Mombasa, Kenya nasema mumeubariki moyo wangu sana tangu nilipoanza kupata kanda zenu 1990 hadi sasa 2022. Muzidi kuinuliwa na Bwana juu tena juu sana. February 22, 2022.
Nna mshuhudia Mung kwamba amenivusha kwenye eneo Gum ambalo sktegemea baada ya kusikilza wimbo huu .Kweli Amini na Mung atafanya.Nawapenda sana Mung awabariki waimbaji.
Nabarikiwa sana na wimbo huu
Nimerudi hapa 2023 baada ya ushuhuda. Hakika Mungu yupo na anatenda makuu! Mzidi kubarikiwa Tumaini Shangilieni.
Mpendwa @poet Bishoza, Tungetamani kusikia zaidi juuya ushuhuda wako, Tafadhali tuwasiliane hapa 0765637590
Hakika uimbaji uliokomaa waimbaji wamepevuka kiuimbaji sana,hongereni sana Mungu aendelee kuwatumia vyema kwenye huduma hii aliyowaitia.
Mungu awabariki kazi nzuri ila tunaomba mtu wekee wimbo unaitwa "Bwana Mungu atafuta machozi ni wimbo ninao upenda sana.
Hbr ya leo wazima huko nawapenda sana mungu azidi kuwainua katika uimbaji wenu kila siku lazima niwasikilize mungu awabariki.
Naye atanipa mlango wa kutokea tuu. Be blessed
Kutoka Mombasa, Kenya nasema mumeubariki moyo wangu sana tangu nilipoanza kupata kanda zenu 1990 hadi sasa 2022. Muzidi kuinuliwa na Bwana juu tena juu sana. February 22, 2022.
Upendo mwingi sana kwako na nchi yoye ya Kenya
Hakuna jambo gumu ambalo la kumshinda Mungu,,Amina Nabarikiwa sana na huu wimbo,,Mungu awabariki na awazidishie katika huduma wenu. Love From Kenya
Wimbo huu ni ushuhuda wa maisha yangu Mungu awabariki sana
Ninabarikiwa sana asanteni tumaini inawezekana napitia kwenye magumu lkn lipo tumaini kwa Yesu.
Wimbo huu ni ushuhuda wa maisha yangu. M'barikiwe sana rafiki zangu.
naupenda sana huu wimbo
Hili nalo litapita tuu hakika Mungu ni mwema, barikiwen watumish wa Mungu
Amen Amen, Mungu wa mbinguni akubariki
Mungu awabariki sana
Huwa mnanibariki sana .
Nna mshuhudia Mung kwamba amenivusha kwenye eneo Gum ambalo sktegemea baada ya kusikilza wimbo huu .Kweli Amini na Mung atafanya.Nawapenda sana Mung awabariki waimbaji.
Mungu aendelee kukupigania mpendwa
Huu wimbo una upako jamani... Yesu wabariki hawa watu.
Kuna siku nilipaki gari pembeni kwa kuzidiwa na upako nilipokuwa nasikiliza huu wimbo
Nimejifunza mengi mazuri kupita kanda hill.
Litukuzwe Yesu Mwokozi.
Amen
Mungu nisaidie nami nikutumikie kwa uimbaji 😭😭😭😭
Amen, Mungu asikie maombi yako
Very soothing song when I suddenly lost my mom.
Nafarijika Sana na kujiona mshindi kupitia wimbo huu
HII nyimbo imefanifanya nipate furaha ya ajabu
Excellent ❤😘
Nafarijika Kwa kuusikiliza wimbo huu
Dah speechless
Amen
Furaha Mwaisoba ninawapenda sana na uimbaji wenu mnanibariki natoka mbeya
Neema ya Mungu iendelee kukutunza sana
my foveolate song waooh!
Masolo mko vizuri
Nimerudi tena 2022
Asanteni,nimebarikawa
Hakika nabarikiwa mnoo na huu wimbo
Kama ni magonjwa ww unaponya kama ni machoz ww unafuta,ooh hallelujah nice song
Naomi Juma nani kama yesu kristo?
Mmmmh ninaupenda wimbo huu mno... Mbarikiwe sana
Ninaishukuru sana Tumain kwaya kwa wimbo huu unanitia moyo. Thanks sana.
hongeren kwa huduma hiyoooo
ukwel hapa mlijitahdi sana hasa kwa ss wenye kiu na hofu KwA mungu inatupa nguvu
Nyimbo za moyo wangu
C wasikii wanaume kbsa
Hongereni Sana na mbarikiwe watu wa mungu
Hiii nyimbo naipenda sanaaa solo ubarikiwe
🙏🙏
Mbarikiwe amen
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu,,,ni ibada nzuri
We are humbled
Blessed
Ujumbe mzuri
Nyimbo nzuri sana
Mbarikiwe sanaa
Wekeni futa machozi online please.
Love you all
Amen
Amen🙏
Jaman mm ndo naongoza views maana si kwa kuurudia huu wimbo
Ahsante sana rachel, Mungu akubariki sana.
Nabarikiwa saana na waimbaji wa Shangilieni tangu nikiwa binti Mwaka 1997 mpaka Sasa sijawahi juta kuwafahamu mbarikiwe saana
Mungu akakutembelee kwa wingi pia