The Reapers Ninaye Rafiki.flv

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @dionisrugemarira4537
    @dionisrugemarira4537 ปีที่แล้ว +6

    This song will forever remind me of Mama❤️. Rest easy Mama🤍🕊️

  • @angelicaalfred4123
    @angelicaalfred4123 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarikiwe kuuweka huu wimbo mzuri niupendao miaka hiyo ulipigwa sana praise power radio

  • @oliverbakerycakestv4158
    @oliverbakerycakestv4158 ปีที่แล้ว +1

    Asante Bwana yesu,wewe bado ni rafiki wa kweli kwangu hunitosheleza mpk leo 2023🙏🙏.

  • @sir.isaacgakuo1091
    @sir.isaacgakuo1091 3 ปีที่แล้ว +5

    I never knew such song existed in you tube. I heard it from my crush in high school about 7 years ago . I really loved how she worshipped with this song. I just searched the words for this song just hoping to find her whereabouts but instead i have landed in this channel with this wonderful song.
    Great song, and great people.

  • @yustomwaisomania2587
    @yustomwaisomania2587 ปีที่แล้ว +2

    When I listening this song my mind returned back in 2011 in primary school when I lost my young brother RIP MY YOUNG😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @nancypk1437
    @nancypk1437 ปีที่แล้ว +1

    2023 may i listen this song, this wll be my forever favorite song 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻😫😫

  • @joycechitumbi175
    @joycechitumbi175 7 หลายเดือนก่อน

    So Powerful ❤❤❤❤❤ I am here may 2024

  • @upendomkude5390
    @upendomkude5390 2 ปีที่แล้ว +1

    My all time and forever best song...ata nikivurugwa hii nyimbo inanirudisha uweponi ..since xcul and collage life to forever..nikioga, niki drive yani kwa kifupi mbarikiwe kwa hii kazi njema mno🤍🤍🙏🙏

  • @elicanaambweni8666
    @elicanaambweni8666 3 หลายเดือนก่อน

    Bnyimbo zingine tafadhali,nawapenda sana nyie watumishi chini ya Mr Moses

  • @MeckMsea-cx1ct
    @MeckMsea-cx1ct 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika Rafiki ni yesu wimbo huu unaujumbe mzuri kw yesu kunzuri nirafiki wakweli mwanifu wa kweli

  • @farajakigullah8571
    @farajakigullah8571 5 ปีที่แล้ว +2

    Naomba muuweke na ule mwingne haja ya mayo Wa mwanadamu naupenda Sana

  • @nickmoshi8243
    @nickmoshi8243 2 ปีที่แล้ว +1

    Leo nimejikuta naukumbuka huu wimbo sana, Mungu awabariki sana,
    sijui mmeishia wapi

  • @NeemaLimbe-fn8wu
    @NeemaLimbe-fn8wu 7 หลายเดือนก่อน

    Yesu ni rafiki wangu namtegemea 2024

  • @emilymdoe619
    @emilymdoe619 9 หลายเดือนก่อน

    Kweli Yesu ni rafiki wa kweli na ni mwaminifu wa haki. Acha tumtegemee tu. Asante sana

  • @SeverineJohn-yw9jw
    @SeverineJohn-yw9jw ปีที่แล้ว

    Kiukweli mna haja ya kufanya remix ya nyimbo hii,what a good song

  • @MeckMsea-cx1ct
    @MeckMsea-cx1ct ปีที่แล้ว

    Yesu nirafiki was kweli namtegeme hareluya

  • @jacklineassenga8423
    @jacklineassenga8423 ปีที่แล้ว +1

    Blessed song love you guys Always Jesus is the best friend ever 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @robertjoseph8968
    @robertjoseph8968 5 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo zenu Zinanibariki mno the reapers choir

  • @MatildaFrank-bp5oq
    @MatildaFrank-bp5oq 2 หลายเดือนก่อน

    Wimbo huu unanipaga raha saana ndani ya moyo wangu.

  • @sinzasoundbandtanzania6200
    @sinzasoundbandtanzania6200 10 ปีที่แล้ว +3

    The Reapers choir of Dar-es-Salaam, Tanzania with the song: '' Ninaye Rafiki''

  • @evanslush
    @evanslush 13 ปีที่แล้ว +4

    I love very much that song wherever I hear it I fill blessed

  • @annaedmund1182
    @annaedmund1182 5 ปีที่แล้ว +4

    The reapers choir nawapenda mno huwa sichoki kuskiliza hii album ya nyimbo Zenu hadi CD ninayo but naomba mtuwekee nyimbo zote za album hii TH-cam. Mbarikiwe.

    • @lucymbelwa2443
      @lucymbelwa2443 2 ปีที่แล้ว +1

      Umenena vyema nazisaka zingine sizioni

    • @emmyabely8791
      @emmyabely8791 2 ปีที่แล้ว +1

      Nami pia sizipati zingine hasa
      Furahini katika majaribu

  • @marypharles814
    @marypharles814 8 หลายเดือนก่อน

    hizi sauti zilikua na upako wake jmn ila zimebaki historia tuu km hv ila kuzpata kiuhalisia ni kaz ngumu kweli ☺💔

  • @neemaalphonce1333
    @neemaalphonce1333 8 ปีที่แล้ว +2

    I remember my college life. Thanks to God for taking me this far.

    • @mwajumashipa1607
      @mwajumashipa1607 8 ปีที่แล้ว +2

      nakumbuka mbali sana, be blessed, but the original one, no mzuri sana. . . .

  • @nellymichael2782
    @nellymichael2782 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda SANA hy nyimbo hongeren xana waimbaji

  • @dorcaschando6757
    @dorcaschando6757 6 ปีที่แล้ว +1

    Naweza sikiliza siku nzima na usiku kucha bila kuchoka, penda sana sana sana toka nikiwa chuo kikuu.😘

  • @perpetuazacharia630
    @perpetuazacharia630 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki reapers kazi yenu ni njema nawapenda sana .

  • @pudelwanzali955
    @pudelwanzali955 4 ปีที่แล้ว

    Jamanii mm nautafuta ule wimbo wenu wa zamani mke mwema mbona hamjaweka kwa TH-cam naupenda sana

  • @LilianDenis-jt2ls
    @LilianDenis-jt2ls 11 หลายเดือนก่อน +1

    The song is good spiritual to human being

  • @peteraysonmpeku2209
    @peteraysonmpeku2209 23 วันที่ผ่านมา

    Tuwekeeni na haja ya moyo wangu jmn wapendwa

  • @bethlupenza965
    @bethlupenza965 6 ปีที่แล้ว

    nawapenda mno naomba muweke na ule wimbo wa Tanzania

  • @dorcaschando6757
    @dorcaschando6757 6 ปีที่แล้ว

    Yesu ni rafiki wa kweli, mwaminifu, wa haki, namtegemea.👏👏👏

  • @HarooneyDuwe
    @HarooneyDuwe ปีที่แล้ว

    JAMAN BARIKIWA SANAAAA BUT NAPENDA ULE WIMBO WENU WA TANZANIA AMIZING SANAAAAAA

  • @michaelmalecla2615
    @michaelmalecla2615 8 ปีที่แล้ว +1

    Haipiti siku bila kuusiliza huu wimbo. Mmebarikiwa sana

  • @michaelpandisha7434
    @michaelpandisha7434 4 ปีที่แล้ว

    Kazi yenu ni nzuri sana, mbarikiwe.

  • @dadycarenjr5732
    @dadycarenjr5732 7 ปีที่แล้ว +1

    good song jaman hivi miaka hii kutatokea uimbaji Kama huu tena

  • @esthersecelela7257
    @esthersecelela7257 6 ปีที่แล้ว +1

    Nikickiliza huu wimbo mara zote lazima chozi linitoke 😭😭😭

  • @michaelmwashambwa5907
    @michaelmwashambwa5907 10 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki sana kwa huduma

  • @elizabethmbaruku7079
    @elizabethmbaruku7079 2 ปีที่แล้ว +1

    I remember this song ....2022

  • @nzegatechtraders1142
    @nzegatechtraders1142 10 ปีที่แล้ว +1

    kiukweli the reapers Mungu awabariki kwa huduma yenu nzuri.

  • @dorcasgeorge8764
    @dorcasgeorge8764 3 ปีที่แล้ว

    Mubarikiwe Sana kazinzuri.

  • @irenenkelame9040
    @irenenkelame9040 ปีที่แล้ว

    Anipenda Yesu😢

  • @wemashirima3346
    @wemashirima3346 3 ปีที่แล้ว

    Wimbo bora milele

  • @hajama81
    @hajama81 11 ปีที่แล้ว +1

    jamani, wimbo wa zamani mliupeleka wapi? that was the best plz.....

  • @paschalmlwale9114
    @paschalmlwale9114 3 ปีที่แล้ว

    Wow wimbo huu unanigusa sana

  • @nzegatechtraders1142
    @nzegatechtraders1142 10 ปีที่แล้ว +1

    hello! bwana Yesu apewe sifa!

  • @rmwakyoma8332
    @rmwakyoma8332 5 ปีที่แล้ว

    I remember this song Sabasaba ground be blessed all ze Reapers team

  • @annaphilemon4421
    @annaphilemon4421 9 หลายเดือนก่อน

    Powerfull 2024

  • @gadnersolomon2971
    @gadnersolomon2971 6 ปีที่แล้ว

    Ninaye rafiki huyu Yesu sitamwacha kamwe

  • @ImaniMathias
    @ImaniMathias 2 ปีที่แล้ว

    How may I get whole album

  • @elizabethdamas492
    @elizabethdamas492 6 ปีที่แล้ว

    kweli yesu nirafiki mwema

  • @kennedyedson9097
    @kennedyedson9097 6 ปีที่แล้ว +1

    2:30 - 3:24
    Dada mkubwa umechinja sana hapa

  • @CheyoEver
    @CheyoEver 7 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @heridimoso3809
    @heridimoso3809 7 ปีที่แล้ว

    Jaman tunaomba na ule wa ndoa ringa kwa bidii

  • @neemapeter186
    @neemapeter186 3 ปีที่แล้ว

    My all time best song

  • @peternkohi8830
    @peternkohi8830 6 ปีที่แล้ว

    Naipenda hii song sana

  • @gaudetjohn5708
    @gaudetjohn5708 9 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda Mungu azidi kuwainua

    • @erickkingwele52
      @erickkingwele52 7 ปีที่แล้ว

      Nilikuwa nauhitaji wimbo WA harusi

  • @isabellashija3056
    @isabellashija3056 6 ปีที่แล้ว

    jamani I wish nisikie tena kutoka kwao

  • @newtonsimba7930
    @newtonsimba7930 2 ปีที่แล้ว

    Amen. Very nice.

  • @Theresia-nr2kw
    @Theresia-nr2kw ปีที่แล้ว

    Wimbo wa haja ya moyo wa mwanadam mbona hauwekwi?

  • @victormbuligwe
    @victormbuligwe 4 ปีที่แล้ว

    Nahitaji hii albam niliisikia siku nyingi sana.
    Naipataje?

  • @annasamson7942
    @annasamson7942 2 ปีที่แล้ว

    What a song

  • @philiminaignatus7236
    @philiminaignatus7236 11 ปีที่แล้ว +1

    Mnaweza tuwekea wimbo wenu unamaneno yanasema, haja ya moyo wa mwanadamu. Sorry I dont remember the title of the song.

  • @felikitakilonzo6755
    @felikitakilonzo6755 6 ปีที่แล้ว

    I like this song❤

  • @saananedavid
    @saananedavid 12 ปีที่แล้ว +1

    Yes!

  • @everlight6
    @everlight6 12 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe the Reapers, ila tafadhali tuwekeeni ule origal ni mzuri kupita mjuavyo, plz

  • @AnnaGidion-ll6ce
    @AnnaGidion-ll6ce 6 หลายเดือนก่อน

    Nawa penda mno

  • @aaronocean86434
    @aaronocean86434 2 ปีที่แล้ว

    GtV

  • @joshuabuguna7942
    @joshuabuguna7942 4 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @mwlkiwanga9897
    @mwlkiwanga9897 9 ปีที่แล้ว +2

    nawapenda jaman mno mbarikiwe

    • @erickedward6205
      @erickedward6205 6 ปีที่แล้ว

      Nice song

    • @jesustheoneandonly
      @jesustheoneandonly 4 ปีที่แล้ว

      Wimbo unabariki sana, unanikumbusha mbalii, siku hizi siwasikii jamani

  • @magerito6811
    @magerito6811 4 ปีที่แล้ว

    naomba muweke haja ya moyo jmn ile nyimbo ya ndoa

  • @janephakalohela2028
    @janephakalohela2028 4 ปีที่แล้ว

    Min

  • @mwlkiwanga9897
    @mwlkiwanga9897 9 ปีที่แล้ว +4

    nawapenda jaman mno mbarikiwe

  • @heridimoso3809
    @heridimoso3809 7 ปีที่แล้ว

    Jaman tunaomba na ule wa ndoa ringa kwa bidii