Tengeneza pesa kirahisi kila unapotoa lock ya simu yako
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2020
- Tengeneza pesa kirahisi kila unapotoa lock ya simu yako kwa kutumia app hii ya slidejoy,
Kudownoad bofya:-
trickside7.blogspot.com/2022/... - วิทยาศาสตร์และเทคโนโลยี
Je, unaweza kutoa hela kupitia PayPal ukiwa Tanzania? Maana yake huwezi kutoa hela kupitia PayPal hapa Tanzania, bali unaweza kufanya malipo kupitia PayPal. Au, unaweza kununua vitu kupitia gift cards? Lakini, niko tayari kuijaribu hii app, kama kweli unaweza ku-withdraw pesa kupitia PayPal.
Ndiyo, yote yanawezkana na nirahisi
nimeshatengeneza dolla 5 , nataman ata ningekua na sim mbili niwe nayo hio application huku na huku
much thanks!!!
Hello naomba unisaidie na mimi
Oy oy kwel
Nikwer wew
Wooow its so great en I like it
Umefanyeje
Bro,naomba unielekeze paypal account inayopokea pesa, coz niliyonayo inasend tu
Hey mtaalamu ndiyo Nina app ya pay pal na nishahiunganisha na akaunt yangu ya benk ila kuitumia kufanya miamala bado ingekuwa vizur ungetuelekeza Namna ya kuztoa kutoka pay pay mpaka akaunt za mataw ya benk zetu
Bro mbon mim nimedownload ilo app nikiingia ikiwa ina search inakataa alf inaandika network error tatiz nin apo
Asa mbona kwenye kuexchange sioni kitu au mbaka point ziwe nyingi
Oyaaaaaaaaa huyu jamaaa ni mwongo inshort Hana video hata moja yenye kufanya kazi zaidi ya Kula mb za watu maujanja huna lolote me from today cikuamin tafuta kaz nyengine ufanye.
Ukishatowa pesa kutoka paypal kwenda email unaiwithdraw kwa njia gani tena ili uishike mkononi
oya we unapata wap dollar mtandaoni
Jinsi ya kutoa pesa kwenye PayPal inakuaje ?
Njinsi yakuaamisha iyo pesa ije kwenye mpesa tuoneshe poa
Hio pay pal una itumia je ??
Samahani kuna sehemu sielewi je unaweza kunisaidia kama huto jali
@@MaujanjaZone shida ni kwamba kwanini point zinaongezeka upande mmoja?
Vp
Nipeni link ya slide joy na fish for money haifanyi
Umatoa mafinzo mazuri lakin inabid utuelekeze mamma ya kuzitoa izo pesa
Jamaa kule playstore mbona hakuna hii application
Naomba nielekez nimeshindwa kufungua hii SLIDEJOY
Sijaipata hiyo inapatikanaje kwenye play store
Me mbona nime download ila inazingua
Mbona inakataa kufunguka wakati nimei download
Mbona haipo?
Tuma link ya hio app
Shida kutengeneza acout
Mbona hujaonyesha jinsi ya kuitoa hiyo pesa kutoka PayPal kuwa cash
Koma
Nahomba nginsi yakufungua akahunti ya paybal
Nitumie link ya slidejoy
Kaka naomba link ya hii application
Mbn nimeitafuta sijaipata naomba ni2mie link yak
Mbona nimefikisha zaidi ya 1000 lakini haitaki kuexchange ? Kuna uhakika wa hii app kweli ?
Mbn m kwang bos Wang nikifungua kira mda inasema retry network na na2mia laini ya halotel shida n app kam shda n app ni2mie link ya kupat app nzur
Kutoa pesa kak mpak Xoom services ya PayPal ndo utatoa kiraini san
Inazingua
Jinsi ya kutoa hela paypal
Hanna Chochote xielewi
Naomba hiyo link ya kupata hii app
iyo pesa unaitoaje?
Hello!
Naomba link ya kupata hii application
Kaka mimi nimeifunguwa leo Asante kwakunifunguwa ufaham
Naomba kuwasilian na ww
Nitumie link
Xio kwelo
Nikitaka kutoa hela kutoka Paypal kuja kwenye simu yaani kua hela za ukweli? Na hiyo application inapatikana wapi?
Ukitaka kuipata app ya slidejoy download kwanza app ya Aptoide na baada ya hapo uta-install app hio kwenye simu kisha fungua alafu-searh slidejoy na utaipata moja kwa moja
nmepata dollar 7 mpaka now
Bro mimi nimeydownload lakini inakataa kufunguka naomba nielekeze
Lazm mda wot data iwe on
Mbona ulivotoa hela zkaenda kweny email na sio mpesa
lucy Godfrey,
Kwenye email inaenda taarifa kwamba tayari umetumiwa pesa kwenye account yako
Utakua uongo mbana mara mishi mengi
Nimeidownload ila kufunguka inakataa
Broo naomba link
Naomba link slydjoy
Link yakujiung nataka
Naomba kujua kutengeneza account ya paypal
Asante sana
Sijaelew nielewxh vizur
Paypal Tz hakuna
Nimedownload ila ina andika network error kwann
Namb yk iko wp
Nicheki watsapp 0682339972
Nicheki Whatsapp +255682339972
Vp
hakuna kitu app haikubalii
@@MaujanjaZone nitumie namba nikutafutee
Nimedownload hiyo app lakini haifunguki,,0759989875 msaada