Jinsi ya kufanya simu itunze charge kwa muda mrefu /how to increase battery life
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ค. 2021
- Tazama jinsi ya kufanya simu yako ikae na charge kwa muda mrefu, njia hii itakusaidia kuongeza battery life. hii pia itasaidia kama simu inawahi kuisha charge , pia hii ni speed booster ya simu na inasaidia sana kama simu ina ganda ganda au simu ina stack na inakua nzito ,pia kama simu inapungua charge bila kuwashwa. baada ya kutumia mbinu hii utaona simu yako iki tunza chaji kwa muda mrefu tofauti na mwanzo na pia husaidi kama simu inapata moto au joto baada ya kuitumia.
jinsi ya
battery
kwenye simu
kuchelewa kuisha chaji
kuisha charge
kutunza charge, how to increase battery life jinsi ya kupata kukaa na chaji vinei tv nyinbo mpya phone battery life android battery life tips to improve battery life extend battery life Jinsi ya kufanya simu kwa nyepi - แนวปฏิบัติและการใช้ชีวิต
Daah aya mambo kweli
Kazi nzuli kaka
Big up bro
Unyama
Nzur tatz inamzunguuk mkbwa saaana
Uhakika kaka
Asante sana nime fanikiwa kufanya ivo nitakupa matokewo
Sawa
Ni mkwer jmaaaa au
Aaa nimekukubal bb vizur san umenisaidia
Sasa wewe unajua kuna maneno mengine haya eleweki hilo neno bb linamaana umemuita mwenzio bibi au ndo baba bwana eeeh andika kirefu aya shauri yako
Tamu
Naomba mawasiliano yako kaka sijaelewa
0624741607
Nimekuelewa sana br
Inazingua mbn
Simu yangu nikipigiwa mda mwingi naambiwa aipatikani mda mwingine inapatikana fresh nisaidie km itawezekana samsung A30
hilo ni tatizo la simcard bro sio simu
Nakubal
Pamoja
M
Uwakika upo
HV iyo app ya Ku draw kwenye screen inaitwaje?
Xrecoder
Mimi nilipofika mu automatic hibernation pamekuja vitu vingine Ambavyo havifanani na vyako maana vimenishinda sijuwi kama unawez kunisaidia utakuwa umefanya vizuri
vitu gan hivyo
Vema xn
Mimi yang imeonesha masaa matano
j
Application gan umetumia kuedit video?
Kinemaster
Mamb vp
Safi tu
Naomba mawasiliano yenu
Nisadie kupata namba ya simu
0624741607
kaka tunafanyaje kumuelezra mtu kwa kutumia video kama yako
Una screen record tu
Hizo app zitaendelea kufanya kaz au
Ndio , wala haina madhara
Naomba namba yenu
0624741607
Namba tukupate utuelekeze
0693440878
Hiv kuna madhara ya kutumia app zaid ya moja za kutunza chag
hapana
hapana
Habr samahn cm yng haitk kuzima nifanyej pls naomb unisaidie
Kivip yan sjaelewa vizuri
Tuma namba ya simu
Mñmmmmm Kama Ni simu ndogo za batani
video ni kuhusu smartphone
video ni kuhusu smartphone
Sm yangu imeji Android inasach tuu nifanye nini
Uki Restore bado inafanya hivyo hivyo?