ALICHOKISEMA KOCHA SAED BAADA YA MECHI DHIDI YA TP MAZEMBE - CONGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daima Mbele Nyuma Mwiko Na Kazi Isonge Mbele❤🎉🔥🔥✅✅✅✊✅

  • @boomrapa9879
    @boomrapa9879 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Tunampa mda kocha wetu🔥🔥🔥💪

    • @johannesishengoma1232
      @johannesishengoma1232 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Aache mihemko iliyokithiri wakati mechi ikiwa inaendelea.

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Daima mbele nyuma mwiko kazi iyendelee 💛💛💚💚

  • @gervaslukaya
    @gervaslukaya 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Timu imecheza vizuri tu

  • @mwanahamisihatibu590
    @mwanahamisihatibu590 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Muda utaongea tuna Imani bado na timu yetu

  • @georgeotema4473
    @georgeotema4473 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Congratulations to the team

  • @BarakaMussa-ie6ju
    @BarakaMussa-ie6ju 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amna kocha bhan

  • @saidikomba3120
    @saidikomba3120 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nikwel kabisa timu inacheza vizur kikubwa tumpe muda kocha wetu mambo yatakaa sawa tu

  • @YuleBoee-g6t
    @YuleBoee-g6t 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wakwanza nipewe like zangu

  • @abihudimwakijambile7776
    @abihudimwakijambile7776 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Yaani side anasema hiyo ni mechi bora😅

    • @bakarimohamedi9812
      @bakarimohamedi9812 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Tangu amejiunga na yanga hii ndo mechi yake bora:usikate maneno

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yani kidogo Leo wamemuelewa tofauti na zilizopita

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Acheni kumlamu Kocha hakuna

  • @NdarahwaMkula
    @NdarahwaMkula 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamani tusubiri usajili lakini Mimi huwa Kuna mchezaji kila siku naona kabsa akija yanga ni hatar kimvudi pale Orlando pirate

  • @BARAKAMBUA
    @BARAKAMBUA 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tried"Move on master do worry

  • @AnoldMilley
    @AnoldMilley 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Timu inachez ovyo sn duh

  • @bukobafinest
    @bukobafinest 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tunahitaji Striker

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wasiwasi wangu asije kutushusha daraja

  • @thadeylyimo9772
    @thadeylyimo9772 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kocha hatuna, timu tunayo ila kocha mmmmmh

  • @charlesmwasi7646
    @charlesmwasi7646 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Timu haichezi vizuri, timu Haina njaa ya magoli, ingekuwa timu ya gamond ya mwaka jana hawa tp mazembe wangekaa kwao, ebu angalia kipindi Cha Kwanza timu haieleweki inabnia gani, utashindaje Kama hushambulii, mudathir haieleweki, duke ni usajili wa hovyo. Hajawahi kupiga pasi ya bao Wala kufunga, akifika golini anabutua tu, yaani hersi haoni timu inavyocheza, wapinzani wanapiga vichwa mbele ya mabeki wetu, short on Target hakuna za maana za kusema lingekuwa goli, wachezaji Kama wanamgomo hivi. Kocha nae haieleweki

  • @ShafiiAnafi
    @ShafiiAnafi 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    But timu inacheza kiwango cha chin sna😢😢

  • @khalifafadhili6950
    @khalifafadhili6950 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uwezo mdogo Sana,tafuteni makocha wenye uwezo zaidi ya gamond siyo kama huyu hatufiki mbali kama ndo huyu

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    na Leo hizo sub kasaidiwa na molini 👀😳

    • @husmallove
      @husmallove 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kacheze wew😮

  • @samwelsimon7392
    @samwelsimon7392 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kazi unayo christmass huioni wewe hilo litimu la mafao ya wazee huliwezi

  • @kahamashinyanga
    @kahamashinyanga 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Coach he is poor tactically

    • @issahpaul4510
      @issahpaul4510 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Yani unamlalamikia kocha daa. Wachezaji ndo wanamuangusha kocha...they are not fit enough comparing to game za mwanzoni. Hopefully ujio wa kocha wa fitness mpya timu itakua imara tena

  • @peterzacharia3321
    @peterzacharia3321 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuma weee

    • @gervaslukaya
      @gervaslukaya 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Acha matusi haina faida yoyote usimchukie mtu penda timu yako

    • @husmallove
      @husmallove 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mfundishe tu ajue hata kam yy angekuwa coach angekbli kutukanwa..coach han kosa lolote