MALANGO YA NDOTO YANAVYOTUMIKA NA ADUI (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 45

  • @lazarouscheyo8558
    @lazarouscheyo8558 8 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks jesus😢🙏

  • @halmashekalage2318
    @halmashekalage2318 ปีที่แล้ว +2

    Be blessed mtumishi

  • @naominoel9333
    @naominoel9333 ปีที่แล้ว +2

    God bless u Pastor 🙏🏿

  • @Besmile27
    @Besmile27 3 ปีที่แล้ว +7

    Am going to be good mapenzi ya Mungu yatimizwe🙏🏻

  • @anisertnjuka
    @anisertnjuka ปีที่แล้ว

    Mtumishi nina shida ya kuongea na wewe niko mtwara nimeokoka nampenda yesu nimesikiliza mafundisho yako nikaona naweza pata msaada kupitia wewe, hivyo kama nikipata kibali machoni pako na kwa bwana naomba msaada wa mawasiliano yako nikueleze matatzo yangu, asante sana mtumishi wa bwana mungu akupe mafunuo zaidi

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 3 ปีที่แล้ว +7

    One of the best teacher....

    • @saramtei4371
      @saramtei4371 3 ปีที่แล้ว

      Pasta mungu akupe haja ya moyo wako ili tuendelee kujifunza hakika toka nimeamuamua kukufuatilia nimemuona mungu ktk maisha yangu amen

  • @lucasgasper5235
    @lucasgasper5235 2 ปีที่แล้ว +1

    Aaaamen

  • @JoyfulGod
    @JoyfulGod ปีที่แล้ว +1

    Amen ,God bless you man of God I have learned so much from you.

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 2 ปีที่แล้ว +1

    A good teacher through him I have learned alot

  • @happymushi8197
    @happymushi8197 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana mtumishi

  • @happymathew7414
    @happymathew7414 2 ปีที่แล้ว

    Uko sahihi mtumishi nashukuru kulifahamu hili kuna nyakat mchana napata hofu sana lkn sikujua kama spiritual situation ucku nkiwa nmesinzia tu nkasikia kama jitu kubwa limeingilia dirishan likanikalia mgongon nkajaribu kupiga kelele saut haitoki nakemea haliondoki baada ya mda ile hali ikaondoka nkashtuka usingzn pastor huwezi amin ilikuwa halisia nlijawa na hofu San kiasi kwamba nlishindwa kulala tena, nashukuru sasa najua mamna ya kudili navyo

  • @aramudaudinkeyemba2574
    @aramudaudinkeyemba2574 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @elishasoka6692
    @elishasoka6692 2 ปีที่แล้ว

    napata maarifa kila sku kupitia mafundisho yako Mungu akuinue zaidi

  • @violethkibwana7855
    @violethkibwana7855 3 ปีที่แล้ว +2

    Uko sahihi kabisa baba

  • @happymushi8197
    @happymushi8197 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi naomba no yako kama hutojali. Ubarikiwe sana.

  • @graceoisso3238
    @graceoisso3238 3 ปีที่แล้ว

    Amen, asante baba kwa mafunuo haya, asante MUNGU kwa kutupa mtumishi Sunbella. Jina lako litukuzwe milele Jehova.

  • @josephmtatilo2326
    @josephmtatilo2326 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina baba

  • @everlineeva594
    @everlineeva594 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen mtumishi be blessed ,nauliza hivi ,mimi huwa napenda kupeana sana mtu akihitaji msahada kwangu ,,,,,but me kupata mtu wa kunisaidia huwa sipati ,,,so nashindwa sana naomba unielimishe hapo

    • @tsg1136
      @tsg1136 3 ปีที่แล้ว +1

      Mmh. wewe n Mtu Mzuri Sanaa

  • @christinesavai884
    @christinesavai884 3 ปีที่แล้ว

    AMEN

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 3 ปีที่แล้ว

    Amen Halelujah

  • @starluzenja9861
    @starluzenja9861 2 ปีที่แล้ว

    Woow!!!Jamani this man is blessed.I am learning so much

  • @jaffarijembekali2684
    @jaffarijembekali2684 3 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana na mafundisho ya Reality Christ kupitia TH-cam, Mungu ibariki Madhabahu ya Reality Chini kiongozi Mtushi Sunbella na wengine wote Mungu na awatie nguvu jamani kabla sija sahau naomba Ratiba yapo Kanisani.

    • @realityofchristchurch
      @realityofchristchurch  3 ปีที่แล้ว

      Amen.Tuna ibada kila siku ya Jumatano kuanzia saa kumi na moja jioni, Ijumaa kuanzia saa kumi na moja jioni na Jumapili kuanzia saa tatu kamili asubuhi.Pia tuna ibada Dodoma kila siku ya Jumatano kuanzia saa kumi na moja jioni pale ukumbi wa Dear Mama, Area C njia panda ya kuelekea Arusha.
      Karibu sana.

  • @danstonecool1734
    @danstonecool1734 2 ปีที่แล้ว

    tuned

  • @rhodakisena6428
    @rhodakisena6428 3 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa Sana na mafundisho yako , naimani Mungu atanisaidia

  • @patriciamwenge1821
    @patriciamwenge1821 3 ปีที่แล้ว

    Mtumishi ninakuelewa Sana,napokkea kufunguliwa

  • @martinakemunto7785
    @martinakemunto7785 ปีที่แล้ว

    Wapenzi wenzangu wale hatuko tanzania tuna wasiliana vipi na hii kanisa

  • @violethkibwana7855
    @violethkibwana7855 3 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah

  • @lovedotmusicproduction4727
    @lovedotmusicproduction4727 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wetu akubariki sana baba. Kanisa lipo wapi kwa Dar?

    • @realityofchristchurch
      @realityofchristchurch  3 ปีที่แล้ว +1

      Kanisa lipo Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA.Karibu sana.

    • @josephnganga2334
      @josephnganga2334 3 ปีที่แล้ว

      Nimebarikiwa Sana

    • @breezy9398
      @breezy9398 3 ปีที่แล้ว +1

      Njoo mpk sinza mori ukitokea shekilango mkono wa kulia kuna barabara inanyoosha mbele utakutana na geti jeusi imeandika tamwa pemben ake utaona kanisa

  • @irenengina233
    @irenengina233 3 ปีที่แล้ว +1

    Niulize unapo tuma sadaka nilazima mtu aweke code ukituma ukiwa Kenya..

    • @breezy9398
      @breezy9398 3 ปีที่แล้ว

      Sio lazima ila ikikataa jaribu kuanza code ni +255

  • @yustinmbilinyi671
    @yustinmbilinyi671 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi samahan naona kama imerudia ile ile ya kwanza au

    • @realityofchristchurch
      @realityofchristchurch  3 ปีที่แล้ว +1

      Zipo mbili, sehemu ya kwanza na sehemu ya pili.

    • @yustinmbilinyi671
      @yustinmbilinyi671 3 ปีที่แล้ว

      dah ahsante sorry mtumish kumbe zote nliziona ila nikasahau leo nukawa nmeona kama hii yote nimoja kwasababu nlikua naham sana kuiona inayofuata hii nmeifuatilia yote juzi nlipoona leo nikadhani ndo iliyofuata baada yapale nlipoishia ubarikiwe mtumishi

    • @yustinmbilinyi671
      @yustinmbilinyi671 3 ปีที่แล้ว

      nnacho mshkuru Mungu kuhusu huduma yenu nikwamba kwaupande wangu naona nimuujiza sana kwasababu kipindi chanyuma baada yakuokoka nliwah kufunga nikimsihi Mungu anijaze Roho mtakatifu nipate wepesi kwenye wokovu lakini mpaka mwisho wamfungo sikuona nlichokua nakitafuta ila wakati napita pita TH-cam nikaona mafundisho yako nikakuta nayaelewa isivyokua kawaida yani kutoka hapo haziwez kupita siku mbil sjafuatilia mafundisho yako wala sijadownload video zako yani ukifundisha kilasomo linanigusa sana na ndivyo lilivyo katika maisha yangu ubarikiwe saana sana mtumishi neema uliyonayo izidi kuwa hivo hivo isipungue mpaka hapo nmeamini kua Mungu ili atende kazi anatumia watu hashukagi yeye kama yeye kutufundisha kikubwa tu sisi nikumuomba kama vile mimi niliomba Roho mtakatifu awe mwalimu anifundishe sir zaufalme wa Mungu hakika sasahivi namimi pia naenjoy sana wokovu hata nikiskia jehanam na mbinguni hatuendi lakin siwez kuacha wokovu kupitia mafunzo yako misuli yangu yaimani imekua imara sana Sunbella mwalemi sana 👏👏👏

    • @realityofchristchurch
      @realityofchristchurch  3 ปีที่แล้ว +1

      @@yustinmbilinyi671 Amen Amen,Mungu azidi kukubariki sana na kukufanikisha.

    • @pispaakim5123
      @pispaakim5123 3 ปีที่แล้ว

      @@realityofchristchurch ubarikiwe mtumishi kwa Mara ya kwanza nimekusikiliza leo najuta kwa nini sikukusikiliza mapema, ushuhuda wako umenigusa natamani kuongea nawewe nakupataje

  • @Besmile27
    @Besmile27 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @emilianajoshua2391
    @emilianajoshua2391 3 ปีที่แล้ว

    Amen