HUU WIMBO UTADUMU MILELE MAANA DUNIANI TUNAYO DHIKI LKN KWA WIMBO HUU TUTAJIPA MOYO DAIMA, MAANA NIKIPITIA GUMU TU MOYO UTASEMA "LENGO LAKE NI KUNIKAMILISHA" WIMBO WA MILELE HUU, VIZAZI NA VIZAZI.
Leo nimejua kitu kumbe nilikua nakamilishwa na kwasababu iliandikwa kutimia itatimia,,leo baada ya kusikiliza mara nikajua nakamilishwa,,ubarikiwe Kaka umefanya nijue Leo kukamilishwa umetumia kipawa na kusud lake Mungu kwako
Huu wimbo ulikuja kwngu wakati amboa nilikua naamani kwamba nilikua nakamilishwa that was 2022 leo nasikiliza tena nikiwa level ingine kabisaa when am back to Tanzania i would like to see you 😊 glory to God ❤
My girlfriend showed me this song and that's when I knew she's saved and serving the THE LIVING GOD. Brother you're nothing but a blessing.. Keep living
Mungu azidi kukutumia kaka nakuombea tu simama katika kwel ya mungu naomba naninataman sana mungu atukuzwe sio miungu maana mungu wetu ni mungu mwenye wivu hataki tupotee hata mmoja wetu
Huyu kijana kweli anaimba. Maana kuna watu wanaimbaimba tu. Lkn huyu anaimba maneno yana kilo sio mepesi. MUNGU akubariki sana uwe na miaka mingi yakutosha sanaaaa
@GODFREY STEVEN NDUGU FANYA KAZI ZINGINE HIZI NIMEELEWEKA SICHOKI KUSIKILIZA NYIMBO ZAKO NADHANI TUPO WENGI KAMA MIMI NA NDIO MDA WAKO KUTAKEOVER ACHIA KAZI WATU WAZIDI KUBARIKIWA NA TALANTA ALIYOKUPA MUNGU
Kwel mambo mengne tunayopitia mungu anatukamilisha. Kaka nilikuwa na mawazo kwa changamoto nying lkn nilivyosikiliza huu wimbo nimejua kumbe mungu ananikamilisha , nashukuru sn, jina la Yesu libarikiwe
There’s a day I was so depressed about everything going on in my life. I played this song all night, I woke up hopeful and got the courage to keep fighting! May God bless you! God is using you in ways you will never understand 🙌🏾
King his back 🙏🏾 kunikamilisha kma unmkubli godfry steven bhx like na kucommnt KUNIKMLISHA hakika Kipaji ankitua vizur kijan kwa kumsifu mungu
Ameen barkiwaa sn kk
Mungu akubariki kazi yako njema
Namkubari sanaa
Barikiwa san
My favourite artist of all time💥🙌
Ndugu yngu barkiwaa an ahsnte sn
Bro nyie mnajua sanaaa mm ni shabiki yenu mkubwa sanaa.....
My brother ww unajua Mungu azidi kukutunza Sana'a uendelee kufanya kaz ya yake
@@godfreysteven2285 PROJECT ZETU MWAKANI 2021
Same here brother🙌🏽
HUU WIMBO UTADUMU MILELE MAANA DUNIANI TUNAYO DHIKI LKN KWA WIMBO HUU TUTAJIPA MOYO DAIMA, MAANA NIKIPITIA GUMU TU MOYO UTASEMA "LENGO LAKE NI KUNIKAMILISHA" WIMBO WA MILELE HUU, VIZAZI NA VIZAZI.
AMINAAA
Mungu.akubarki.mirere
Mungu.awe.nawe.daima.name.natasha
Kunikamilisha
We jamaa unajuwa aiseee khaaa
Shikamoo brother MUNGU akutunze kaka na keep going kaka goooo goooo brother
Leo nimejua kitu kumbe nilikua nakamilishwa na kwasababu iliandikwa kutimia itatimia,,leo baada ya kusikiliza mara nikajua nakamilishwa,,ubarikiwe Kaka umefanya nijue Leo kukamilishwa umetumia kipawa na kusud lake Mungu kwako
Ubarikiw mtumishi
Do huwimbo umetouch sana my life hasante sana goodfrey kwa kunitia moyo God bless you
TAbu zote za zamani haziniui bali zanikamilisha🙏🙏🙏🙏🙏✊
🤸🤸🤸😊😊😊💪
Mungu azidi kukusimamia unatubariki sana kwa nyimbo zako
NZuri sana nakukubari sana GODFREY STEVEN
Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu nyimbo nzr sn
Jamani naupenda huu wimbo mungu mwema akubariki ucpotee kwenye kweli yake
Asante Mungu kwaajili ya mtumishi wako huyu G 🥰
Magumu ninayo pitia hayaniui bali yanikamilisha I belev it
Huu wimbo ulikuja kwngu wakati amboa nilikua naamani kwamba nilikua nakamilishwa that was 2022 leo nasikiliza tena nikiwa level ingine kabisaa when am back to Tanzania i would like to see you 😊 glory to God ❤
Be blessed karibu sana Glory to GOD
Kazana bro utatufungulia lango la mbinguni likes kama zote plz
Sound💯💯💯 melody💯💯 watu wangekufahamu hakika kila kona jina lako lingesikika blessed man
Wimbo unanigusa unanifariji huu hongera
Sauti tam Yani sauti nzuri sana
Daaaah kaka barikiwa mnoooo
Aise nimebarikiwa sana kaka MUNGU akuongeze nafuta mabichi
❤❤ Song huu wimbo unanifanya napata furaha sana barikiwa
Bro Kaz nzur barikiwa sana
Kazi nzurii nyimbo nzurii sanaa
Be blessed too🙏
nijemedari tena mfalume #kunikamilisha #fullBaraka
U are blessed bro,,,,,kuna ka sauti kanasema hapo come on ili kunikalisha 🤗🥰
Mungu azidi kukuinua Godfrey Steven
Oooh my God!be blessed kaka cjui niandike nini but barikiwa mpaka ushangae uinuke na kuangaza zaidi❤
Abarikiwae na mungu ju ya kipaji chake niaman kwa kwa wote
WEWE NI MTUMISHI WA MUNGU ALIYE JUU
Kaka napenda sana nyimbo zako ongera kwa kazi nzur mdogo wangu
Hakika tabu zinatukamilisha sana mungu nisamehe muda mwingine nalaumu bure
My girlfriend showed me this song and that's when I knew she's saved and serving the THE LIVING GOD. Brother you're nothing but a blessing.. Keep living
I really love this song. Be blessed mtumishi wa MUNGU
Good voice
My phone ringtone huwaga sichoki kuusikuliza huu wimbo kwa kweli ni wimbo wa moyo wangu💓💓💓
Jaman nabarikiwa Sana ubarikiwe kaka
Brother brother
Roman 8:28, all thing work together for me ili kunikamilisha, Mungu akumiminie mafuta zaidi mtumishi, Barikiwa sana
Mungu azidi kukutumia kaka nakuombea tu simama katika kwel ya mungu naomba naninataman sana mungu atukuzwe sio miungu maana mungu wetu ni mungu mwenye wivu hataki tupotee hata mmoja wetu
huyu bwana anajua sana kuimba
Nimekuelewa mdogo wangu, umenigusa moyo wangu
Nyimbooo hiii inaishi
Jmaa anajua
Nyimbo tamu Sana💪💪
Hongera brother Godfrey mungu azid kudumisha kipaji chakoo,, mpe hii madam Getrudaa
Mi nakwambiaga mwana mkono unao unaandika sana 🔥 wimbo unaponya moyo sana 🤗😇
Nikiwa na stress napenda kuusikilza huu wimbo na haunichoch
Namba tatu haiwez kuanza na tatu bila kuanza na moja.
God Mungu akutunze uendelee kumsifu una sauti aise
My mama always wanted me to pray LEGENDARY for her..now she is with TEAMO...
you are one in million GOD's son...Blessed be your generation.
hongera ndugu kazi yangu nzuri sana your my favorate gospel artist
Mungu asikusahau mbinguni nikijaliwa nikakusikie hata ktk ule mji mzuri
MUNGU akubariki sana bro
Barikiwa Sana rfk wa Kaka Ang Japhet uzd kusng mbele
This song is on 🔥🔥🔥 am a Muslim but I like to listen to this song wallah
Good music bro say no more🔥🔥🔥 #teamo
Barikiwa
Huyu kijana kweli anaimba. Maana kuna watu wanaimbaimba tu. Lkn huyu anaimba maneno yana kilo sio mepesi. MUNGU akubariki sana uwe na miaka mingi yakutosha sanaaaa
Ameen nyimbo imenibariki sana sana
my fav all the time 2024 still here
@GODFREY STEVEN NDUGU FANYA KAZI ZINGINE HIZI NIMEELEWEKA SICHOKI KUSIKILIZA NYIMBO ZAKO NADHANI TUPO WENGI KAMA MIMI NA NDIO MDA WAKO KUTAKEOVER ACHIA KAZI WATU WAZIDI KUBARIKIWA NA TALANTA ALIYOKUPA MUNGU
We jamaa mungu kwel amekupa kipaj cha kuimba
Wimbo mzuri sana kweli mpaka nahisi mbigu hinashuku kweli hongera sana kijana wangu
Mwamba unaimba mpaka nashangaa an nyimbo haiishi ladha tam Zaid ya sukari heb tafuta na nyingne tam Zaid tutaipokea
Ubarikiwe sana wimbo muzuri
Hongera kwa kazi nzuri, Mungu akuvushe viwango vingine zaidi zaidi.barikiwa
Hongera sana Mungu akupe vock hilo mara 7
2024 together tunawakilisha!
Kwel mambo mengne tunayopitia mungu anatukamilisha. Kaka nilikuwa na mawazo kwa changamoto nying lkn nilivyosikiliza huu wimbo nimejua kumbe mungu ananikamilisha , nashukuru sn, jina la Yesu libarikiwe
Congratulations
Jamaa yuko very serious na kumwimbia MUNGU
Nimekufatilia mda mrefu ila sijawahi kucoment ila Hongera kaka unanitia moyo sana
Naishiwa maneno yote mazur n yako ubarikiwe sanaa mtu wa mungu
I can see my collagemate "Nice"kazi nzurii Sanaa... Kama njia za Mungu zilivyo juu Sanaa, Mungu akawainue juu mno
Clasmate mwenzangu anajua xana aisee
@@noelkibwanda9801 sanaaaa 🔥🔥
We mkaka nakuombe Mungu akutunze, upo kiroho zaidi Damu ya mwanakondoo ikutunze
Nice song bro ongera sana nakufatilia sana
Ameen🙏🙏🙏😊
Mbarikiwe Sana watu wa Mungu.wakolosai 3:12-17
Wagalatia5:16
There’s a day I was so depressed about everything going on in my life. I played this song all night, I woke up hopeful and got the courage to keep fighting! May God bless you! God is using you in ways you will never understand 🙌🏾
Brother, hii nyimbo ni faraja kubwa sana kwa mwenye kutafakari mapito ya dunia. Lengo ni kukamilishwa. Ubarikiwe sana.
gooood job
@@kijanyalali3519 pamoja sana kaka
Utukufu wabwan ni mkuu mfalme mkuu we ni bwan ndan ya maish Mung azid kukuinua Zaid ya meng makuu
Uzidi kubarikiwa 🙏🏾
Aaah daddy wee
Hongera kwa kazi nzuri nabarikiwa sana na wimbo wako, Mungu aendelee kukutumia vile apendavyo
Kunikamilisha-Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Godfrey
Umefanyika baraka kwa wengi
Mungu abariki kazi ya mikono yako
Nice bro ❤
Best music ever...Godbless you brother
Oyoooo broo ujawahi koseaga ....MUNGU azidi kukuweka juuu
Nimeanza mwezi na nyimbo Kali sana moyon mwangu
My favorite Song
❤❤nimetafuta sana jina la huu wimbo hatimaye Leo wow niliuskia East Africa radio
Amen 🙏mungu akubariki kaka yangu.
🥳🥳 🎶 is A Blessing 🥰🥰
Kazi kubwa kaka imejaaa utukufu mkubwa kaka Mungu aisimamie talanta yako wewe uko juu kaka kama umebarikiwa sema amen
Amen mtumishi nabarikiwa Sana mungu aendelee kukutunza tufurahie nyimbo zako🙏🙏🙏🙏
Amen 🔥💯
Powerful song
Video mzuri,wimbo Mzuri,Sauti nzuri utukufu uende kwa Mungu