Julius Wambua apokezwa shamba la ekari 3 Kilifi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Julius Wambua ambaye kesi ya ubakaji dhidi yake ilitupiliwa mbali baada ya bintie kukiri kutoa taarifa ya uongo sasa ana tabasamu zaidi.
    Hii ni baada ya muhisani kumpa shamba la ekari tatu katika eneo la Marafa eneobunge la Magarini kaunti ya Kilifi. Shamba hilo alipokezwa na mfanyibiashara Muindi Mukoma cheti cha umiliki wa ardhi hiyo. Hatua hii ikijiri baada ya aliyekuwa mbunge wa Kibwezi Kalembe pia kumkabidhi kipande chingine cha ardhi ya ekari mbili na kuahidi kumjengea nyumba kuanza upya maisha yake. Kesi ya Wambua ilianza upya baada ya mahakama kumuondolea hukumu ya awali.

ความคิดเห็น • 52

  • @xjxjxnxn2673
    @xjxjxnxn2673 3 ปีที่แล้ว +14

    Baada ya thiki ni faraja mkewe alithani amemaliza kumbe amembariki tushukuru mungu kwa kila jambo

  • @munanasser9309
    @munanasser9309 3 ปีที่แล้ว +8

    Mzee wambua nakuombea kila la kheri ,uishi maisha marefu na yenye furaha pamoja na watoto wako

  • @TereyiaMbula
    @TereyiaMbula 10 หลายเดือนก่อน

    @Benjaminmusyoki.I have watched this video for a while now.and i have been shedding tears.walidhani jela ndio mwisho wako na kusahau kunaye Mungu mtenda haki.Zidi kumtumainia huyo mungu.

  • @kinyanjuicarlos8899
    @kinyanjuicarlos8899 2 ปีที่แล้ว +3

    Yaani its just amazing how God works'...your enemy celebrating somewhere thinking that you are finished' kumbe mungu naye ako na a different idea' this one is a very emotional strory' not only wambua is given freedom but also blessings on top' what a wonderful ending to a hopeless situation... 🙏🙏

  • @حورالفهد-ف4ز
    @حورالفهد-ف4ز 3 ปีที่แล้ว +2

    msichana wake haki msupuu sana , Mungu akubariki msichana na akulinde mpaka akuajalie upate kwako , mheshimu babako sana na keep on trusting and loving God for there is nothing impossible with God.

  • @hillarylagat4900
    @hillarylagat4900 3 ปีที่แล้ว +4

    May God continue blessing Mheshimiwa Kalembe Ndile. He is such a selfless, caring and kind leader.

  • @josephakure4793
    @josephakure4793 3 ปีที่แล้ว +5

    Almighty God is good all the time................

  • @christinebelinda3498
    @christinebelinda3498 3 ปีที่แล้ว +3

    Wish you happy new year wambua may God bless you more success coming 🙏🙏🙏🙏

  • @tamaraeliz7114
    @tamaraeliz7114 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ni Mwema sana

  • @joek2430
    @joek2430 7 หลายเดือนก่อน

    God is with you❤❤❤

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 3 ปีที่แล้ว +2

    We thank God

  • @swalehiddy2468
    @swalehiddy2468 3 ปีที่แล้ว +2

    Love has no Boundaries ✌️

  • @cynthiaemilyokutoyi4163
    @cynthiaemilyokutoyi4163 ปีที่แล้ว +1

    God bless you mzee

  • @priscillawere8375
    @priscillawere8375 3 ปีที่แล้ว +2

    God bless u

  • @ااجج-ط5د
    @ااجج-ط5د 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi mungu awabariki nyote mliomsaidia wambua Allah Kareem

  • @jasronotindo2113
    @jasronotindo2113 3 ปีที่แล้ว +2

    God bless u

  • @moikegandu7996
    @moikegandu7996 3 ปีที่แล้ว +2

    kilifi lol

  • @nicholastuukuo7075
    @nicholastuukuo7075 3 ปีที่แล้ว +2

    God bless you

  • @danielmacharia5945
    @danielmacharia5945 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanks to the living God

  • @sphenseradhiambo2771
    @sphenseradhiambo2771 3 ปีที่แล้ว +1

    Tutaskia bb amejinyonga penye ako i think she is feeling alot of pain

  • @slmass868
    @slmass868 3 ปีที่แล้ว +1

    Good is great

  • @eunicenbog26
    @eunicenbog26 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana

  • @kimutaiKemboi
    @kimutaiKemboi 3 ปีที่แล้ว +1

    Good is great

  • @benjohnson1763
    @benjohnson1763 3 ปีที่แล้ว

    Wapi tittle ya kalembe, na ndiye alikuwa wa kwanza kudonate shamba ?

  • @joymutinda5775
    @joymutinda5775 ปีที่แล้ว

    There is God in Heaven

  • @veevictorius5116
    @veevictorius5116 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyo msichana I would suggest akuwe busy.kama ni shule aende. You can't be following your dad everywhere

  • @benjohnson1763
    @benjohnson1763 3 ปีที่แล้ว +1

    Na huyu msichana hananga time na boyfriend wake? Awache kufuata fuatana na babake

    • @officialpriscillakiloko9811
      @officialpriscillakiloko9811 3 ปีที่แล้ว

      Ina kushu nini wewe

    • @jamesgathaiya6450
      @jamesgathaiya6450 3 ปีที่แล้ว

      Kwani unataka kua boyfriend yake ghasia hii

    • @georgebenson2133
      @georgebenson2133 3 ปีที่แล้ว

      Kwani boyfriend alimzaa,na akaenda jela?

    • @benjohnson1763
      @benjohnson1763 3 ปีที่แล้ว +2

      @@jamesgathaiya6450 I thank God He granted me with wisdom to handle fools like you gathaiya

    • @RoseRose-qj5pw
      @RoseRose-qj5pw 3 ปีที่แล้ว

      Ulikua wataka akufate ww zaa wako afate wanaume

  • @carolinenanjakho9280
    @carolinenanjakho9280 3 ปีที่แล้ว

    May God bless you Wambua happy new year

  • @ruthgitonga5157
    @ruthgitonga5157 2 ปีที่แล้ว

    Glory

  • @abitonshikuku8885
    @abitonshikuku8885 3 ปีที่แล้ว

    Key to politics

  • @wanzaleppanen1400
    @wanzaleppanen1400 3 ปีที่แล้ว

    Wee

  • @RoseRose-qj5pw
    @RoseRose-qj5pw 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuonekanie

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 ปีที่แล้ว

    Gob bless.nanyinyi mtarogwa na uyo msichana yako ww.wambua kuwa macho

    • @rosemarykatogomusanga1619
      @rosemarykatogomusanga1619 3 ปีที่แล้ว +4

      Hakuna mtu hatawaroga...Ule Mungu alimtoa geressni kwa kifungu Cha Life ndio Ule Mungu atamsimamimia na mtoto wake.amina

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 3 ปีที่แล้ว

      @@rosemarykatogomusanga1619 lamina

    • @ucktri1115
      @ucktri1115 3 ปีที่แล้ว +1

      Unasema God bless alafu unaongelea urogi ??!!!!

  • @abitonshikuku8885
    @abitonshikuku8885 3 ปีที่แล้ว +1

    Kesho atakuwa mp wa hio constituency