Kosa hapo dogo sele amekutana nahuyu mama akaenda kumteteya dogo kwao huyu dogo angegoma kumpeleka yule mama dogo angekimbia ili amuonyeshe yule mama kama maisha yake magumu ili yule mama atafute babayeke na dogo sele hapo umearibu ila Bigger up sana nakubali sana ❤❤❤
Funzo tele wallah kwa hii movie, Steve kakake Hamad kijicho nakubali matokeo Sele pia moral kwa kazi nzuri alafu Hajra acha roho chafu wamtesa sana Sele🤣🤣.
Daaah Mambo ya Kutoana Machozi Hayaa Mara ya Mwisho Mm kutoa Chozi ilikua N filam ya Kihindi HATYA ya Govinda..!!! Wallah Leo tena Nimelia Hiyo Scene Ya Kumlipisha Nyanya Kichaa Imenitoa MACHOZI 😭😭😭😭 Et Chukua Msamehe Mama yangu Ata Mm hiyo Ela narudisha..!!
Daaaah mwanaume iko tayari kuleya watoto atawe wawe watano wenye amekuta mwanamke amezaa namwana mme mwingine alakini mwana mke anashindwa kuleya mtoto mmoja mwenye amekuta mme wake iko naye😢😢😢
😢😢 blaza mimi niko Congo drc kwa jina naitwa Dieudonne serizi iyi ina niliza sasa mimi na familia yangu kiujumbla asante sasa mungu azidi kumipa marifa tena.😢😢😢😢😢❤❤❤❤
Nmejikuta nimelia sana na kujuwa kwan n wanawake wengine awazai kumbe wanajilan wenyewe daaaaa ww mung ww mungu wangu mpe mama yang miaka mingi dunia maana ndo msada wangu ktk maisha yang
Congratulations bro you have good songs 🙏🙏🙏 May God uplift your visions and and your target in your talent in Christ Jesus name ❤❤❤🙏🙏🙏🙏 i love your songs 👌👌👌👌👌be strong
JAMANI ZIKIFIKA COMMENT ELFU MOJA TUTAPOST MWENDELEZO HAYA TWENDE KAZI COMMENT KAMA UNATAKA IWE HIVYO NA PIA ASANTE KWA SUPPORT YAKOOOOO
Kazi mbele bwana steven king of 🇹🇿 comedian
Tuko pamoja sana @steve mweusi endelea kuchapa kazi ,Mwamini Mungu atakuzidishia zaidi,@ Jesus Christ..
❤❤❤
😂😂😂
Zitafika usiwaze we andaa mzigo kaka
Kazi zuri san mwenyezi mungu akutangulie katika maisha yako mdogo wangu upo vzr san
Nawashangaa sana wanawake wanaotesa watoto ambao hawajawazaa sijui uwa wanafaidika nini. Kazi nzuri Steve🇹🇿✌🏼
Hapa tuna funzwa tu kwamba haya yapo kwenye hii dunia
@@user-samweli Ndiyo yapo na ndio maana nimesema uwa nashangaa sana .
Uko sawa
mtakat lol f
😊
Kosa hapo dogo sele amekutana nahuyu mama akaenda kumteteya dogo kwao huyu dogo angegoma kumpeleka yule mama dogo angekimbia ili amuonyeshe yule mama kama maisha yake magumu ili yule mama atafute babayeke na dogo sele hapo umearibu ila Bigger up sana nakubali sana ❤❤❤
Kama wewe ni 😢mzazi umetokwa na machozi kwa hii movie 😢gonga like yako 😢
sio kutokwa tu nimelia haswa😢😢
Daaaah swezi aki😢😢😢😢
Kiukwel imeniumza sana
@@PauloMagoti Yani hii movie iko kwenye uhalisia wa Sasa tunayoishi kwahaya maisha yetu ya Sasa , mtoto mdogo unamnyanyasa kweli 😭😭so sad
Atakama sio mzazi ila ap😭 lazima jamn
Funzo tele wallah kwa hii movie, Steve kakake Hamad kijicho nakubali matokeo Sele pia moral kwa kazi nzuri alafu Hajra acha roho chafu wamtesa sana Sele🤣🤣.
Ongera sele❤❤❤Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💞💞💞Mungu akulinde na Husda In shaa Allah 🙏🙏🙏
Ameen
🥲🥲🇰🇪
Ww ndio baba bora naipenda iyo kuwajasiri baba wako wengine hawawapendi hata watoto wao wa kuwazaaa❤❤❤❤
Kazi zuri dogo sele mngu akutanguli katika maisha❤❤
Umetisha sana stivu saruti kwako Stiven wewe nimekuvulia kofia pamoja na huyo mbibi
Kazi mbele bwana steven king of 🇹🇿 comedian
Kwa dogo sele nimeliaaah weeee😭 kwa Steve nikacheka 🤣🤣much love dogo sele nakukubali sana❤❤❤❤❤
Daaah Mambo ya Kutoana Machozi Hayaa Mara ya Mwisho Mm kutoa Chozi ilikua N filam ya Kihindi HATYA ya Govinda..!!! Wallah Leo tena Nimelia Hiyo Scene Ya Kumlipisha Nyanya Kichaa Imenitoa MACHOZI 😭😭😭😭 Et Chukua Msamehe Mama yangu Ata Mm hiyo Ela narudisha..!!
Same to me
😭😭😭😭😭😭 Daaaaaaaa!!!! Adi chizii analipishwa nyany a jamani mhhhhh!!! Dunia hii atali sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kazi nzuri sele 🎉
I'm from Congo but this series makes me cry courage really you did well
More love from kenya🎉🎉🎉🎉na upitie nyimbo zangu Steve mm nwako bloody
Daaaah mwanaume iko tayari kuleya watoto atawe wawe watano wenye amekuta mwanamke amezaa namwana mme mwingine alakini mwana mke anashindwa kuleya mtoto mmoja mwenye amekuta mme wake iko naye😢😢😢
kaka kazi nzuri mungu akuongoze na visokoro kwinyu wasiopenda maendeleo ya mtu❤❤❤❤
Kazi nzuri kaka ❤ Sele umejitahidi mdogowang ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nawashangaa sana wanawake wanaotesa watoto ambao hawajawazaa sijui wanafaidika nini, kazi nzuri sana steve🇹🇿🤝
Kabixa
Kazin nzuri unaifanya stivin onyesha mfano kwa jamii
Wakwanza leo from kenya 🇰🇪much love👊💥💥
😢😢 blaza mimi niko Congo drc kwa jina naitwa Dieudonne serizi iyi ina niliza sasa mimi na familia yangu kiujumbla asante sasa mungu azidi kumipa marifa tena.😢😢😢😢😢❤❤❤❤
From tik tok ..crying and following it to cry very funny the video is worth listening
Yani nimeinjoyi video Sele Naku salute mdongo wangu
All the way from Mombasa Kenya....kazi safi...❤❤ love you guys
Kali saan asee sema mzee ndaro angehusika pia ingkua unyama
TANZANIA NAWAPENDA SANA .. LOVE FORM KENYA ❤
🎉
Mama nimama tu atakama nikicha tuwapende mama zet
Tunakupenda
Pia
Tumetoka western kenya hadi Tanzania 🫶🫶
With Steve and clemo, I can confidently say bongo movie is back, 💯 love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
You always make my day stive Kwanza Vile unapenda kumtanja Hamandi kijicho😂😂 anyway Felix hapa kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪nakupa likes zangu👍 7:02
Jamn unapotaka kuoa mwanamke wapili ufikilie sana Tena kuwa mkin san ndugu
Hii jambo unacheza, dada Hadjira, sikupendi. Kweli !!! Unacheza umama mbaya😭😭😭🇨🇩💟. Na japo mama ni chemu chemu ya mapenzi
Mwanetu kutoka mkulanga 😂😂😂
Steve mweusi anakooesha wanawake tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sele umejuwa kuniliza Sana😭mama ni mama hata awe chiz jmn tuwapendeni mama zety love you Mom😭🙏 like zangu kwaajil ya sele
😂
Sele anammwambia huyo mama "eti we mama yang utamuweza anapigana had na baba🤣🤣🤣🤣🤣🤣😘😘😘
@@HelanaMathei 🤣🤣mbavu zangu mieee
@@hadijasuleiman3856 huyo mama apana
Tunazidi kuwa pamoja kutokato Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 DRC✌
Aisee hongera kwa move kal tunafurahia san
Courage stiven Mukuranga hamadi kijicho tuta muona siku gani 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
So smart steve na hamadi kijicho nataka kumwona
Kazi nzuri sele Mungu akutangulie kwenye Maisha yko,mama n mama tu hta awe kichaa vpi
Mko fasta hatari ❤much Love mweusii
Steve mweusi unaweza.
Naweka Mungu mbele yako utaendelea ❤❤
Sele unaju kuigiza mpaka unaniliza nakupenda sna❤
Kazi nzuri steve, kikubwa endelea ivyo ivyo tumekua tukikupenda sana couse life staily yoko uko pw sana yani hauvimbi,
How can I like these series a thousand times 😊❤❤❤❤❤❤
Congrats lete part 3
Part 3 linii
Ongeren sana
Kazi safiiii.........abdallah from Mombasa Kenya
Masha Allah mzuri TU sana wallah tena ❤
Mungu awalind wazazi wetu waish na sisi miako miref kuish na mama wa kamb inaitaj moj San japo sio wot il nawapenda sana jmn Kaz nzur wapendwa
Daah wakwaza leo nipe like 👍 ❤❤❤🎉
Duh simuliz nzur saan lakn nimeipenda
Mmejua kuniliza sana, Ee Mwenyez Mungu naomba unipe maisha marefu na yenye afya njema niwez kuwalea watot wangu
😢😢😢😢
😢😢
Daaaaa kiukwer nimejifunza kupitia kazi hii ❤❤
How can like these series a thousand times 😊❤❤
reta muzigo part3
Nc
Jaman mungu amlani mbwa huyu aspate mtoto
Jamani hyu mama mungu yuamuona wallai kwjinsi anavo mfanyia hyu mtoto
😢😢😢😢 nashindwa kujikaza hii inasikitisha sana...kz nzuri🎉
inaliza sana unashindwa ata kuzuia chozi😢😢
Jamann nun u awbalik hii movie nimeipenda nikiww zambia
Nimejikuta nariya machozi mengi kwasababu mama yangu mpaka afariki
Arikuws mwenda wazimu hivyo hivyo 😰😰😰😭💪😭
Pole sana bro inagusa sana
Pole
Pole Sana 😢😢
Jamani ndiyo waliopitia wanangu nakupemda sana sele from Swaziland
Much love from matungu kakamega county in Kenya
Mbn sioni muendelezo was mama kichaaa nmeipnda♡♡♡
Steve una very talented actors& actresses keep going
Pole sana dogo sele yatapita ,nawapenda sana from BURUNDI 🇧🇮
Your best fan From Nairobi Kenya. Mko juu sana man
Daaaaaah Watoto wa kambo ni shida sana tunapitia meng
Kazi mzur sana nimeipenda tunafunza sana kupitia hii move
Kazi zuri dogo mungu akutaguli katika maicha yako🎉🎉🎉🇲🇿
Good job Steve mweusi, one love from DR CONGO 🇨🇩🇨🇩🇨🇩.
jaman kaz nzuri saaanaaaa❤❤❤
Can't hold my tears, but the boy is purfect though
Steve nakuombea Sana kwa mungu ufanikiwe na ili uweze kufanikisha ndoto zako yaani kifupi tu endelea Kaka mm naku support sanaaa yanii
Hadi nimelia hapo alipo sema msamee mama yangu 😢😢😢
Really machozi yamenitoka
Hapo sasa sele angekutana na mama yake mzazi jiani
The series is fantastic
Nmejikuta nimelia sana na kujuwa kwan n wanawake wengine awazai kumbe wanajilan wenyewe daaaaa ww mung ww mungu wangu mpe mama yang miaka mingi dunia maana ndo msada wangu ktk maisha yang
Maskini ya mungu wallh natamani upendo wa mamangu❤❤❤🧑🍼🧑🍼🤱🤱😭😭🙆🙆🙆🥹🥹🥹
🤰🏽🤰🏽🤰🏽🤰🏽🤰🏽🤰🏽🤰🏽🤰🏽🤰🏽🤰🏽🤰🏽🤰🏽🤰🏽🤰🏽🤰🏽🤰🏽🤰🏽🤰🏽
😂😅🎉😊😮😢❤
Sele ana kipaji cha ajabu sana 💥💥💥💥💥💥
Why am i weeping anyway sele is a creative man
Story nzuri sana japo inaumiza llakini inaamafunzo mengi sana
Thank you for the good Educations Steve. I follow you from italie
Courage Mr stève c est une leçon!
Inauma sana adi tumbo la,uzazi linageuka
So educative to we women ,, I feel so touch let love children , even. It's not our own❤
Khjjjjttt😢 guy is yuuuhbnnb 2:32 😊 I
Jaman mnatukumbusha mbali sana sele uko vizuri sana
Steve mweusi anakooesha wanawake tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 half anammwambia boss wake eti amanembeleza sn🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌
Continue educating us and at the same time entertaining us❤❤
Kazi nzuri aisee respect 💪
Stive never disappoint😂😂😂😂😂😂😂
❤❤❤❤sele ft steve
Oky
Kama I mama
Nice 'mama kama huyu anakuwa hazai🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😮❤
Good job bro❤❤❤
Congratulations bro you have good songs 🙏🙏🙏 May God uplift your visions and and your target in your talent in Christ Jesus name ❤❤❤🙏🙏🙏🙏 i love your songs 👌👌👌👌👌be strong
Creativity❤❤
Itabidi tuingie mpaka vijijini .maan hii chuma kali saana🔥🔥🔥
Big up to this series ❤🙌
Inauma😢😢😢, Sele nakukubali sanaaa🎉🎉
Nice one Stiven from Iyayi😂😂
I love you dogo sele ❤❤❤❤I like your movies
Good chemistry 👊
Kazi Yako nzuri sana! alafu nataka kuja Mkulanga
So touching ❤❤ Good work
❤❤ Kaka Steve dogo katumia hakili nyi Sana 🇹🇿🇹🇿🙏🙏 mungu azidi kumuongezea hakili
Creativity 😊😊😊😊
Akii Steve kazimuzuri munafanya❤muendele ivio
Good job😊
Young man uko more fire. Nakupata vizuri nikiwa Nairobi ❤
Mbele pamoja
ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪
Daaa ety msamehe mama angu. Nimetoa machozi😢
The series is very nice I like it❤
Akupata vzr nikiwa nchi Oman ❤❤