from Kenya mombasa,,,,,,mumenifanya nimecheka mpaka nikapliwa Na mate weeee mdogo wangu sele ebu nileteee Maji ya kunywa muone vile.....nawapenda tu bure watu wangu mwafanya kazi nzuri❤❤❤,,,,,leteni like kwangu 🙏🙏
Kiukweli maisha yametusababishia mengi mazuri na mengi mabaya.i love you steve mweusi.Allah akujalie mwisho mwema ,na wewe usiwe kama wale walioanza vizuri alafu wakamaliza vibaya.❤
Wanamme tunateseka ukienda kutafuta maisha kwaajili ya familia yako ukunyuma linaanza darasa kwa watoto baba enu kuwakimbia ukirudi utakuta watoto wanamchukia baba kwanini wanamme tusfe mapema Steve ujumbe umewafikia
Dogo sele tulikukumbuka sanaa mashabiki wa dogo sele naombeni like 10 tu kwaajir ya sele
Hixo like unampelekea😂😂😂
@@amanbashire5611 😂😂😂😂
Dogo yupovizulisana
Steve mweusi hii ya Leo Bomba Sana kwenye jamii zetu hiki kitu kina watesa watoto. Mjomba ni Mama Steveee😂😂😂😂
Steve konyo kweli wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 na wimbo juu Mimi ndie dereva Wakoo🤣🤣
from Kenya mombasa,,,,,,mumenifanya nimecheka mpaka nikapliwa Na mate weeee mdogo wangu sele ebu nileteee Maji ya kunywa muone vile.....nawapenda tu bure watu wangu mwafanya kazi nzuri❤❤❤,,,,,leteni like kwangu 🙏🙏
Hapo sawa nikiwa kilifi kenya
Nice one Stive, unavokonyeza sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Naomba likes zangu hapa
Safisana
Wa congo 🇨🇩 mani wote jambo yenyu kazi nzuri bwana Steven
Nimependa nyimbo uliyoimba naulivyotoa macho 😂😂😂😂😂😂
Ahahaha sitve unavoingia kama umetoka mishemishe😆😆😆😆😆
Mim wa kwanza Léo
Nipeni Likes Zangu Jamani 🇨🇩💪
Kiukweli maisha yametusababishia mengi mazuri na mengi mabaya.i love you steve mweusi.Allah akujalie mwisho mwema ,na wewe usiwe kama wale walioanza vizuri alafu wakamaliza vibaya.❤
Wa kwanza like zangu
JAMANI NASUBILI PART 2 HII KITU IMENIKUTA YAANI USIOMBE
Oya steve unajuwa pamoja na team yako
SI baba tu, baba mwenye gari😂😂
#aboi_4rm_makambako steve nipe tishert moja kubwa kabisa
Aahahaa sana mweusi nakubal San hakik Leo sikuwa nalaha il kwahiyo nimecheka ban
Mambo vp steve toeni nafasi jamani kwa vijana wanaohitaji saport ya sanaa
Hamisheni likes hapo chini ya hii mbadala😅
Wa kwanza ❤
Following from Homa-Bay, Kenya. Kazi kuntu Steve.
Kazi safi baba
Mjomba ni mama 😅😅😅
Wako wapi wale walokuaa hawajui kuongea kiswahili 🤣
😂😂😂😂 daaah jaman kutoka musoma hapa nasubir pat 2 😂😂 nimecheka oweeeee
Ulipiga bakuri teke bakuri la hela 🤣stevee
Nice sana
😂😂😂hii hatari
😂😂😂 napenda hii
Likes za kwangu zije
Setev anapenda gari😂😂
Aliesikia me ni chawa wake tujuane kwa like 🤣
Steve na dogs sele 😂😂best comedy
Wanamme tunateseka ukienda kutafuta maisha kwaajili ya familia yako ukunyuma linaanza darasa kwa watoto baba enu kuwakimbia ukirudi utakuta watoto wanamchukia baba kwanini wanamme tusfe mapema Steve ujumbe umewafikia
Mnaweza sanaaaa🎉🎉❤❤❤
Munguawabarik
Et wakwnza aya mm nisemej
Mmmm nice content
Wueh 😳😳😳😳 uwezi kuchukuwa mtto lazima ungaramie ujinga yako mwenyewe 🙄
Good project... Mutupe next soon
Steve noma sanaa
STEVE HUYU 😂😂😂
Gonga Like apo. N'a mkubali Steeve
Batokeya Congo 🇨🇩
Ngoma ya ukweli sanaa
😂😂😂 hehehe waliorudia mara mbili mbili tujuane 😂😂😂😂hapo mwisho
Okay thanks 🙏🙏
Unyamaaaaaaaa
Aisee nani kama mama sere Mungu akupe Mwisho mwema saana
Please 🙏🙏 next
wmyx
😂😂😂😂stivu baba
Msitucheweshee video zetu :tunawasubir kwa hamu
Part 2 twangoja
Nice. Nakubal🎉🎉
Steve mweusi chawa Mana upo kotekote😂😂😂😂😂😂
Haaaaaaa wanaume munakataa mimba ikisha munaaibika
Kaka ake kuku bata
Asante mwanangu Sele is the best
wa mtwara pamoja san
Watching u frm Kenya nawapenda nyote
👍👍nakubal San🌷
Waooo❤❤
Ajira kafuga tako
Mwamba niliisubiria sana
Steve karbu kanairo na huyo nsele
Sele nakupenda sana
Ya kwanza like yangu
Mjomba ni mama❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
J'aime bien
Tumekumicc sana dogo sele
Nacheka jamn mm et stiv asema ninavyo penda magr mm bac njoo z kuna jamaa anatoa magar buree
Sele wewe nakupenda sana ❤❤❤❤❤🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nice
Dogo sele uko vizur xanaaaa
Stive 🎉🎉🎉😅😊
Mama sele nimeipenda hii😂😂😂😂😂😂😂
Steve 😅😅😅😅 like from Kenya
Ahahahah
Si ni tamu sana
Nzuri nimeipenda❤
Mi mwenyew siafiki
😂😂😂steve wewe
Ahmadi kijicho ndiye nani?
kaa!!!
steven hatar san
Mnzul❤
Mpo gud
Am waiting for number 2
Congratulations
Like Germany
Hatariiii
Part two plz
Mbona hamweki ya pili jamani
👍👍👍
DOGO SELE NAMKUBALI KWELI TUPO PAMOJA
Mbn part 2 haijatoka
STEVE
Salam alaikum
Napeda Steve moses
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉
Tarimo ndio kiukweri 10:20
Anko tunaitaji episode 2
😂😂😂