Assalam aleikum me nikona swali nimetokewa na miujiza nikipika chapati jina la Allah likajichora je inamaana gani? Naomba kuelimishwa maana hata chai piya nilipika some few months ago piya jina la Allah likajichora
Mwenyezi mungu anakukumbusha juu ya uwepo wake na dalili zake. Hivyo zidisha ibada huwenda kuna kitu umepunguza ama unakosea kwenye ibada zako. Ama pia ni fikra na macho yako tuu ndiyo yakupelekeayo kuona hayo.
Rabbi ghfirlii waliwalidaya warhamhuma kama rabayanni saghiira.maana yake ni Rabi nisamehe mimi na wazazi wangu wawli na uwarehemu kama walivyo nirehemu mimi nilipokua mdogo siwezi kitu.
Jazakallahu kheyran ustadh wetu nakupenda kwa ajili ya Allah
Mashallah
Shekhe kishiki nakupeeeeeendabur walipo tangazakama umekufa rohoyanguiliniuma sana ilamungu hakuchukua kwasababu wewenimwangaza basiashukuriw allah naakulinde nawanafiki ujekufamimi sinikotehai kiroho yangu isiumiy
Allah sio allah weka nafasi ukiandika ujumbe
Mashaallah
Asalahmu aleykumu mini kassim omar kutoka kitale.nakuomba unawesa nitumia mawaida ya iyokope dunia na waogopeni wanawake..
Mashaallh
Salam aley kum shekhi naomba namba yako nina maswali mengi nataka kukuuliza aminaa mrisho uganda
Amiiin Amiiin ya Allah
Mashaallah 🙏🤲🤲
Asalam aleikum hii dua ya kupandisha daraja ata kwa mzazi atakua na dhambi??
SubhanAllah
As salaam aleykum sheikh naomba namba yako
Assalam aleikum me nikona swali nimetokewa na miujiza nikipika chapati jina la Allah likajichora je inamaana gani? Naomba kuelimishwa maana hata chai piya nilipika some few months ago piya jina la Allah likajichora
Mwenyezi mungu anakukumbusha juu ya uwepo wake na dalili zake. Hivyo zidisha ibada huwenda kuna kitu umepunguza ama unakosea kwenye ibada zako. Ama pia ni fikra na macho yako tuu ndiyo yakupelekeayo kuona hayo.
Naomba tafsiri ya hiyo dua ya kuwaombea wazazi waliotangulia
Rabbi ghfirlii waliwalidaya warhamhuma kama rabayanni saghiira.maana yake ni Rabi nisamehe mimi na wazazi wangu wawli na uwarehemu kama walivyo nirehemu mimi nilipokua mdogo siwezi kitu.
@@Rok.of.the.Rezitos MashaAllah Shukran sana