Asalaam alleykum warahmatulah wabarakaatuh MAASHA ALLAH LA QUWWATA ILLA BILLAH SHEIKH MWENYEZI MUNGU AKULIPE KILA LILILO LA KHEIR NA WEWE LEO MPAKA KESHO AKHIIRAH KWA MADARSA TUNAYO PATA KUPITIA KWENU ATUONGOZE NA ATUJAALIE MWISHO MWEMA UMMAH MZIMA AMIIN YA RABBIL ALLAMIN
😭😭😭😭najiskia uchungu Sana mama yangu alishatangulia mbele za haki na nilkuw mdg baba yangu alinichukia na kunilaani kila siku huku akinitupa kwa ndugu wa mama yangu, kwa kweli nilimchukia Sana ila baada ya kuijua dini nilijishusha Sana na kurudi kumpigia magoti alinipokea lakin akaanz kutumia hiyo nafas kunisimanga Sana , yaaani sielew nifanye je ndugu nao wamekata undugu kwani najitahid kuwatafta lakin hawatak

Mash Allah shekh wetu mpendwa
MAASHA ALLAH TABARAKA ALLAH ndugu yangu #kellu vipi za kwako
Subhannallah, umenipa ukumbusho maalim wangu, jazzakallah
Allah akuruzuku jannah sheikh wetu,INSHAALLAH
Na'am shekh wetu mpendwa nurdeen kishk.
Jazakallah khayran
Rehma na Amani za MWENYEZI MUNGU zimshukie Mtume wetu kipenzi MOHAMMAD SWALALLAHU ALLEYHI WASALLAM AHLI ZAKE NA MASWAHABA ZAKE WOTE
Amina inshallah
Jazakallah sheikh
Shukran jazakaAllAH khayr
Shukraan na sifa zote zimuendee Muumba mbingu,ardhi na vote vilivomo ndani yake ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA
Masha Allah
TabarakAllah
Shukuln sana kwa ukumbusho mzuli mashaallah 🙏🙏
Maasha Allah tabaraka Allah habibty #dotto hujambo
@@زينببنتسعيد-د9ح sijambo zahuko
MASHA ALLAH
Asalaam alleykum warahmatulah wabarakaatuh habibty #ikhilasabubakar
@@زينببنتسعيد-د9ح Waalykum salaam warahamatulah wabarakatulh mazedzed
مشا الله تبارك الله
😭😭😭😭najiskia uchungu Sana mama yangu alishatangulia mbele za haki na nilkuw mdg baba yangu alinichukia na kunilaani kila siku huku akinitupa kwa ndugu wa mama yangu, kwa kweli nilimchukia Sana ila baada ya kuijua dini nilijishusha Sana na kurudi kumpigia magoti alinipokea lakin akaanz kutumia hiyo nafas kunisimanga Sana , yaaani sielew nifanye je ndugu nao wamekata undugu kwani najitahid kuwatafta lakin hawatak
Nakupenda kwa ajili ya Allah
mashallah