Mambo ya AJABU yasiyosemwa kuhusu CHRISTOPHER COLUMBUS na kuivumbua MAREKANI kwa mara ya kwanza.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @johnnydpsalmist1155
    @johnnydpsalmist1155 ปีที่แล้ว +2

    Asante Justin shed

  • @husseinchai1133
    @husseinchai1133 ปีที่แล้ว +1

    Ahsanteh Sana Engineer Shedy

  • @samirajohn6938
    @samirajohn6938 ปีที่แล้ว +2

    Your are the best 🥰

  • @annangowi-om1gk
    @annangowi-om1gk ปีที่แล้ว +5

    Wapili jaman like that

  • @henrylugendo280
    @henrylugendo280 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana jastin

  • @YasmanrangerBeckham-db1qy
    @YasmanrangerBeckham-db1qy ปีที่แล้ว

    Ok poa nzuri hiyo

  • @jacobpaulkiimbauganda9256
    @jacobpaulkiimbauganda9256 ปีที่แล้ว +2

    DAAAAH KIUKWELI ULIMWENGU UNA SIRI NZITO..

  • @nehemixtelevision
    @nehemixtelevision ปีที่แล้ว

    kaka nakubari sana kazi yako let's talk a business

  • @fulugutidaniel4675
    @fulugutidaniel4675 ปีที่แล้ว +2

    Tusimulie kuhusu braziri na sherehe za mashetani

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 ปีที่แล้ว

    Dunia ina mambo hii😊

  • @jamesbeno2414
    @jamesbeno2414 ปีที่แล้ว

    Aliegundua marekani anaitwa Amerigo Vespucci Na amerik imepew Jin Kwa heshim yak ila Columbus alifik marekani kumfata Amerigo Na alivofik pwan alikuta meri ya Amerigo Na alipojitahd kumtafuta aliegundua Amerigo alifariki huko huko amerika

  • @saidishomary1955
    @saidishomary1955 ปีที่แล้ว

    Leta story ertuglu ganz

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 29 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉

  • @EmanuelEmanuel-nl9dx
    @EmanuelEmanuel-nl9dx 7 หลายเดือนก่อน

    Chirstopha columbus alikuwa kiongoz wa wap

  • @husseinsadick7785
    @husseinsadick7785 ปีที่แล้ว +1

    Hao wahind wekundu walikuwa wp wakat uyo koloma analigundua ilo bala

  • @zulufakassim-nk4pu
    @zulufakassim-nk4pu ปีที่แล้ว

    Tusimulie ya Andrwe cunanan

  • @jeefhamad-lw6cq
    @jeefhamad-lw6cq ปีที่แล้ว

    Naomba video ya genge hatar la Los pepes

  • @blacknesaya744
    @blacknesaya744 ปีที่แล้ว +1

    Hata Kuna historia zingine Zina sema yule malikia wa Nigeria kutoka kabila la Igbo ilifika America kabla ya hao wote

  • @wewa7329
    @wewa7329 ปีที่แล้ว +1

    Ni uongo mkubwa sana utagunduaje taifa ambalo lipo tayari?

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 ปีที่แล้ว

      Marekani haikuwa taifa lilikiw bara la amerika kulikuwa na wahindi Kule

    • @wewa7329
      @wewa7329 ปีที่แล้ว

      @@madetetv6576 hata hao Wahind wekundu waliingia malekan kupitia kisiwa cha araska wakati wa barid hua kunaganda kabisa watu wanatembea juu yake sasa walipita pale kuwinda dubu wakavuka na kujikuta wapo marekan kurudi ikashindikana

    • @wewa7329
      @wewa7329 ปีที่แล้ว

      Sababu palikua pameyayuka na maji yamejaa kote na Columbus alipitia hapo walipokua hao wahind wekundu lakin waafrica walikua washafka kitambo sana mfano kuna malikia wa hapa naijeria alijega mji wake kwa mapambo yaliotokea marekan miaka mingi sana ata kabla ya hili jina Yesu

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 ปีที่แล้ว

      @@wewa7329 mhh umepata wap hii habari waafrika marekani wamepelekwa kipindi Cha utumwa baada ya columbas kugundua the New world

    • @wewa7329
      @wewa7329 ปีที่แล้ว

      @@madetetv6576 propaganda za wazungu kusema wamegundua Africa kusini Capetown huzijui kumbe

  • @officialsirithodacruzzy
    @officialsirithodacruzzy ปีที่แล้ว

    Tunaomba kuusu tukio lililo toke kule Brazilian

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍.

  • @nelsonnaga3775
    @nelsonnaga3775 ปีที่แล้ว

    Katiya ibin batuta na Columbus nani WA kwanza kufika marekani mbna unatuchanganya

    • @hamisimashaka4899
      @hamisimashaka4899 ปีที่แล้ว

      Babtuta alikuwa Mwarabu wa kwanza na mwana jiografia kufika visiwani vya pwani ya Afrika mashariki na Kulwa ila sio Marekani, kasome vizuri historia