Mashallah tabarakallahu Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah umri mrf wenye baraka tele Allah akuepushe na shari za waja na mitihani ya Dunia nakupenda kwa ajili ya Allah rais
Hongera sn Mheshimiwa Rais Dk JPM...You are the greatest Hero in Africa tunakupenda sn Rais Wetu kwa Maendeleo ya nchi... Mwenyezi Mungu akubariki sn...Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿👏👏👏👏👏👏👏
Mungu mbariki rais wetu john pombe magufuri akulinde mwenyez mungu nakukujaria afya njema,pia mungu azidi kumlehemu mzee mkapa aliko kumchagua magufuri tunakila sababu yakukushukuru mungu nimakusudi yako mola kutupa rais wawanyonge raisi wetu mpendwa
Hivi Nairobi bado kuna open spaces ya kufanya projects kama hizi? Maana shida ya Kenya ardhi kubwa iko mikononi mwa watu Vs Tanzania ambalo ardhi mali ya serikali
Ndio maana huwezi kukuta mtu anautupia jiwe mti wa miba bali wenye matunda hongera sana Mh Rais Magufuli kwa kututoa kwenyw aibu tuliyoletewa na waliokutangulia ukiacha awamu ya kwanza
Mara ya mwisho baba yetu kuonekana machoni mwa watanzania na wapenzi wake lakini baada ya siku chache tunaambiwa mzee hatunae na siku hii alikiwa na afya njema kabisa ila huyu Mungu anajua vile tumeumia yeye ndiye atalipa kisasi
Hongera Raisi kwa kutuletea maendeleo, ila itakuwepo changamoto ya kuyawahi mabasi yakwenda mkoa ukizingatia yanaondoka mapema na mbezi Luis ni mbali kwa sisi tunaokaa kigamboni.
Sonstar we akili yako ni kama mavi ya mwisho..ndugu zako wangapi wameshakufa na utawala wa Rais Magufuri?? Na kama wamekufa basi kuma nna zako na hao marehem hakuna rais kama mzee Magufuri mshamba wewe mimi nmetembea kidogo lakin nchi za wenzetu Africa zimejaa rushwa ..Ulaya, Asia na America zimejaa ubaguz...mbwa kabisa wewe...
Wastaafu nao wamefanya makubwa kwenye hii Nchi ndo maana wakamuona pia Magufuli wamemwachia kijiti. Na ukumbuke tu kauli ya Mh. Jakaya alipoitoa wakati Magufuli aliposhinda kura za Maoni alimwita Magufuli ni tinga tinga guru doza.🇹🇿👍
Akisemacho magufuli kinafanyika. Kazi za magufuli zikianza tu lazima mwisho ufikiwe.zamqni kitu kinaanza lakini hakikamiliki.wahuni walikuwa wanapita na hela ya miradi.
Wa mikoani tutatangazwa Sana misikitini wallah mweee! Kumenoga asee! Nyie watu wa bara wenzangu watoka Kigoma hakikisha usisahau jina lako na la ukoo wako ili wasamaria wakikuokota ukajieleze kwa maalim akutangaze ndugu zako watasikia tangazo kabla ya swalaa swalaa🙆🙆🙆
@@gloriousnp 😀😀tuna mtihani mkubwa Sana ndugu yangu! Nasikia na lile jengo letu la Tanesco ubungo lilivunjwa wakati lilikuwa msaada wa wengi tukifika ili ujue umefika Dar mpaka ulione jengo ndo unaanza kuhisi na joto Ila serikali imetuweza asee🙆🙆
Stend nzuri hongera waTz ila iko very disorganized 😕 na kuruhusu wamachinga, wauza karanga , wauza mayai ndani ya stendi ni iko ovyo , stendi itakuwa chatu, wizi na stendi itaharibika
@@hamisimapalala7709 kuwe na utaratibu na wasafiri hawakuja ndani ya stendi kununua karanga au mayai ila kusafiri . Kwa logic hiyo wangetengewa eneo la kuuzia , hivyo ni rahisi kuanza kuibiana na ngumu kuthibiti uchafu
@@tanzaniteinzanzibar6655 nani mnyonge kwani dhana ya kuitana wanyonge ndio inafanya watu wajihisi wanyonge ..... nachojaribu kusema kuwe na utaratibu na wasafiri hawakuja ndani ya stendi kununua karanga au mayai ila kusafiri . Kwa logic hiyo wangetengewa eneo la kuuzia na sio kama hivyo wanavyozagaaa, hivyo ni rahisi kuanza kuibiana, kuleta usumbufu kwa abiria na ngumu kuthibiti uchafu . Na jana umesikia wapiga 30 walikamatwa ndani ya stendi.
Ofisi za usafirishaji mizigo mitaani na malori makubwa yanaingia mtaani kwetu hapa amana ,na mabasi makubwa pia yanapakia mizigo inaleta fujo sana na misongamano tunaiomba serekali iwatafutie sehem maalum ile waendelee kufanya shughuli zao vizuri
Magu kama Magu kidume Simba Mfalme , hakika ntamuongezea na hili Nabii aliyeletwa kuokoa wanyonge ... Hakika miradi yote mikubwa ikishamalizika kilio cha pesa kitakwisha pia kikubwa ni swala la muda tu... Asante sana Mwenyezi MUNGU kwa ajili ya Raisi wetu John Pombe Magufuli mpe afya njema na muongezee hekima na ujasiri wa kufikilia mazuri zaidi na zaidi. Na iwe na Imekua
BIG UP Allah akuhifadhi na akupe mwisho mwema Rais wetu hana makuu anapenda kutetea wanyonge
R. I. P JPM
Hakika ilkua dua nzur sana kampa mwisho mwema kwadunian hatujui kihama
Magufuli si muislam apataje mwisho mwema hapo
Tunaenda na JPM
like zangu wana ccm mzizingatie✅
Maashalah Rais wetu Tunakupenda tutakukumbuka daima sijaona mfanowako 💚
Mashallah tabarakallahu
Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah umri mrf wenye baraka tele Allah akuepushe na shari za waja na mitihani ya Dunia nakupenda kwa ajili ya Allah rais
Hongera sn Mheshimiwa Rais Dk JPM...You are the greatest Hero in Africa tunakupenda sn Rais Wetu kwa Maendeleo ya nchi... Mwenyezi Mungu akubariki sn...Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿👏👏👏👏👏👏👏
Mungu mbariki rais wetu john pombe magufuri akulinde mwenyez mungu nakukujaria afya njema,pia mungu azidi kumlehemu mzee mkapa aliko kumchagua magufuri tunakila sababu yakukushukuru mungu nimakusudi yako mola kutupa rais wawanyonge raisi wetu mpendwa
Poleni sanaa watanzania
@@salyakinyi4011 Asantee sn 🙏🙏🙏🙏
MZalendo tunamtambua kwa vitendo, ndani ya miaka sita kafanya Mamkubwa mno Mh Rais Magufuli 💞🥰🔥
Ubarikiwe Baba yetu wew magufuli nimfano Kwa watakao kuja like zenu kama unamkubali uyu mutu✍️
Nice sana
Huyu rais nimempenda wallah Allah ampe maisha marefu
Amaizing
Amen
733jgh
POLE..RAISI WETU..AMETUTOKA..
😭😭😭😭😭so pain
Big up to Magufuli ... Much love from 🇰🇪🇰🇪
Uhuru Kenyatta ametu fail big time
Hivi Nairobi bado kuna open spaces ya kufanya projects kama hizi? Maana shida ya Kenya ardhi kubwa iko mikononi mwa watu Vs Tanzania ambalo ardhi mali ya serikali
@@stewartstephen5067 though hakuna space lakini Uhuru angerenovate same station
@@bigbossmanbossman6946 don't you see uhuru pack bus terminal construction?
@@johnmlay4759 Hell no!Uhuru pack at least you could say somewhere like shauri moyo estate be demolished then bus station built there
Stend. Mzuri sana ila watanzania waache uchafu kukojoa hovyo kwenye vyupa na kutupa hovyo na uchafu mwingine ustaraabu ni ngao
Ngombe ingine Kenya anangangana kubadirisha katiba ili abakie mamlakani azidi kuwaibia raia wanyonge, hongera TZ.
There's uhuru pack bus terminal construction bro and other bus termini
@@johnmlay4759 hizo zinakaa greenhouse ama ni gani hiyo unasema?
@@kiproprutto9072 yes but naiona iko poa Sana na itahandle 110 busses at once
Mmmh..Lakini Uhuru Kenyatta namuona anafanya mambo mazuri naye...si mnajengewa ile express way..na vitu vingine vingine viingi
@@michaelsiweya6500 ni kweli anafanya mambo mazuli tena Sana, ako na project kubwa kama uliyotaja, Kuna bypasses na nyinginezo nyingi
Tz kama ulaya sasa masha'allah.coz nimepamic mno ❣️🌹
Yani ata oman Akuna iyo kitu magu fuli big up💪😍😍
Mungu amlaze pema magufuli🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jpm namba moja duniani Tanzania
Mhh aibu auna 😂😂😂
Hakuna zaidi yake
Nakubaliana na wew
Nampenda sana Jpm
@@johnhakika1203 👏🏼👏🏼👏🏼💪🏻
Hongera sanaa Rais wetu mpendwa Dr.JPM
Jamani majirani zetu, mbarikiwe saaana.
Natamani hadi wakoloni waje waombe hifazi Tanzania.
Wanakuja tayari, Wamarekani wanakuja kila siku... na wana nunua nyumba kwa fujo sana...
Thanks jirani
Karibu jirani
Asanteni sana
Sidhani kama kuna stendi kali kama hii africa mashaliki na kati viva Jpm💪Tuko pamoja tuijenge 🇹🇿🥰yetu
itoke wapi. yaani magufuli alikuwa chuma kweli
Milad Ayo ..Asante kwa kutunulisha hilo.na pia tunampongeza Raisi wetu kwa Mtazamo wa Hali ya juuu.
Mambo ya kuwaonesha raia haya hapa, yatoayo hamasa juu ya uwezekano wa nyumbani kupendezeshwa.
Big up awamu yake Rais Magufuli
Shida yetu kubwa Watanzania ni maintenance ( utunzaji). Usishangae kuona kila mwaka majengo hayo yakichukua sura mpya kuelekea uchakavu..
Mitano Tena mjomba Magu 👊👊👊
Mungu akuweke Rais wetu nimefika nimeona walai Tanzania Ni ulaya Sasa 😘😘
Si ulaya ila ni south africa
Magu anafanya anacho kijuwa Mungu amzidishie
Mungu ampe afijema magufuli
@@shabanimohamed3195 mhn....imebaki story.....huyu mzee katuachia mazoea mabaya sijui itakuwaje¿?????? M'mungu atufanyie wepes
Mashaallah mungu ailaze mahali pem pepon
Great step in Tanzanian Economy.
Tanzania 🇹🇿 hoyeeeee nchi inabadirika Sana Asante raisi wetu mpendwa JPM Mungu akubariki Sana
Kweli kodi zetu tunaziona .Mweshimiwa Raisi J.P.M kazi tunaiona.
Wow,,, ubarikiwe sana Rais,,wote wangekuwa kaa ww dunia ingekuwa mbali,,,
Hii ndio Tanzania 🇹🇿 tunataka asante mlezi wetu jpm
Ipo moto big up Mzee wetu Dr.JPM
We love you Magufuli💓
Ndio maana huwezi kukuta mtu anautupia jiwe mti wa miba bali wenye matunda hongera sana Mh Rais Magufuli kwa kututoa kwenyw aibu tuliyoletewa na waliokutangulia ukiacha awamu ya kwanza
Uzuri wa stendi unaisha,,, Catastrophic,,,, Jipange vizuri, Minister Jafo !!!
Mitano tena,✊
Mashaallah mashaallah mungu akuongoze magu wetu .love you so much ❤❤
Mashaallha adi nimejiskia raha uyu rahisi allha amzidishie yenye kheri na yeye
Mara ya mwisho baba yetu kuonekana machoni mwa watanzania na wapenzi wake lakini baada ya siku chache tunaambiwa mzee hatunae na siku hii alikiwa na afya njema kabisa ila huyu Mungu anajua vile tumeumia yeye ndiye atalipa kisasi
Kikundi cha mzoga group mungu hawezi kuwaacha salama pamoja na vizazi vyao
Raisi wa wanyonge .... Anapenda kuona watu wote wanafaidika Haswa wa hali za Chini..... Tutakukumbuka milele RIP
@MAGUFULI THE BEST PRESIDENT IN AFRICA ✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿🇹🇿
Mashallah, nice 😘
Kwa mara ya kwanza nikirudi tz naenda kuona stand mpya 👌
Ayo Tv munaweza kuni semea kwa Rais Magufuli kama mimi nataka niwe mwanaichi wa Tanzania ? Nataka kabisa
Nenda embassy ya Tanzania watakuelekeza jinsi ya kuomba uraia
Where are you from mr
@@johnmlay4759 Burundi
Joseph karibuuu
@@josephnkengurutse okay you're welcome bro we're brothers,
Rest in peace our beloved John Pombe Magufuli JPM
Raïs Mucha Mungu.
Ubarikiwe naku Lindwa na Mungu
Hongera Raisi kwa kutuletea maendeleo, ila itakuwepo changamoto ya kuyawahi mabasi yakwenda mkoa ukizingatia yanaondoka mapema na mbezi Luis ni mbali kwa sisi tunaokaa kigamboni.
Stand ina hotel nzuri tu, utalala hotelini ili uwahi.
Safiiiiii sanaaaaaaaaa baba yetu MAGUFULI pumzika kwa AMANI Raisi wa wanyonge
Kwakwer rais mungu akubarki akupe maisha marefu
Asanteni Sana Tanzania ya leo Mambo ni bambam
Hongera sana Rais kwa ujenzi huu mzuri ! Lakini, bado hajakamilika,,, Kwa nini uzinduzi wa haraka?
From 🇧🇮 Saudia innalillah wa inailah rajun 😭
Basi jaman pawe na utaratib mzuri wa kupatunza zaid ya hapo itachakaa mara moja..
Me kumbumbuka sanaaa❤❤❤mpenda piaa ❤❤❤
Ooooh Magufuli, much love to you best Héro
Nimekubali, Asante!!
Ma shaa Allah
Kazi Mzuri tafadhali kutuza na usafi ni muhimu
It look like Kenyan Airport 👌😆😆😆😆🍾🍾
😀😄😀😄😀😄😄😀😄😀😀😄niokwote kwenye flooo
@@elisantej5512 aki amechomaaaa sana
@@azizayassin3623 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@johnmlay4759 amechoma sana😃😀😃😀ngombe hii
@@azizayassin3623 to be honest me uhuru namkubali kwani pia anafanya mambo makubwa kwa kenya
Inapendeza sana jamani, like zenu kama mnaikubali Magafuri bus stand
Ivi sipidi hii ingeanza tangu mwinyi ,mkapa na kikwete Tanzania Leo ingekuwa wapi?
Ingekuwa ni hatariiii ire mbaya kabisa jameni
Kenya ingesubir ila kwa mwend huu makufuli Kenya tutawapit tuu
Watanzania wanyonge wote wangeshakufa kwa njaa huko mikoa na stendi, barabara na majengo vikabaki gofu! Inahitaji akili kidogo ili uelewe!!😥
Sonstar we akili yako ni kama mavi ya mwisho..ndugu zako wangapi wameshakufa na utawala wa Rais Magufuri?? Na kama wamekufa basi kuma nna zako na hao marehem hakuna rais kama mzee Magufuri mshamba wewe mimi nmetembea kidogo lakin nchi za wenzetu Africa zimejaa rushwa ..Ulaya, Asia na America zimejaa ubaguz...mbwa kabisa wewe...
Wastaafu nao wamefanya makubwa kwenye hii Nchi ndo maana wakamuona pia Magufuli wamemwachia kijiti. Na ukumbuke tu kauli ya Mh. Jakaya alipoitoa wakati Magufuli aliposhinda kura za Maoni alimwita Magufuli ni tinga tinga guru doza.🇹🇿👍
Akisemacho magufuli kinafanyika.
Kazi za magufuli zikianza tu lazima mwisho ufikiwe.zamqni kitu kinaanza lakini hakikamiliki.wahuni walikuwa wanapita na hela ya miradi.
Beautiful, TZ beautiful and peacefully country in Africa,
Vitu vinaonekana kwa kweli!
Nani asiyependa vitu vzrrrr,,,?tumechekwa sn, tumechelewa sn,,nia tunayo na nguvu tunazo za kuushinda umaskin.bravo our president for ur direction
It looks like Ugandan' airport
Uganda airports 😂😂😂😂😂😂
Hahahaaa nimechekaa hahaaa eti Uganda Airport
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Actually more beautiful than airports in Burundi, Malawi etc
@travelstylish nurse sio uong nikweli ninayoyasema hahaha sisi ndio tuna kaa huku tunajua
Magufuli oyeeeeeeeeee kwa kuluhusu wamacha yani wajasilia mali wadogo wadogo kuweka popote wajipatie liziki
Baba la baba miraba Saba nakupenda bureeeee yni iko bomba sana
Masha Allah ❤❤❤❤
Mashaallah much love from Dubai
Daah sina cha kusema zaid ya kukuombea kwa mwenyez mungu raisi wetu
Long live JP Magufuli long live.💪
Long liveee...........
Gooooooood Job Rais wetu👏👏👏
Wa mikoani tutatangazwa Sana misikitini wallah mweee! Kumenoga asee! Nyie watu wa bara wenzangu watoka Kigoma hakikisha usisahau jina lako na la ukoo wako ili wasamaria wakikuokota ukajieleze kwa maalim akutangaze ndugu zako watasikia tangazo kabla ya swalaa swalaa🙆🙆🙆
I am rolling
Ati nini?😂😂😂😂😂.....watu wa mikoani lazima wajute karne hii
@@gloriousnp 😀😀tuna mtihani mkubwa Sana ndugu yangu! Nasikia na lile jengo letu la Tanesco ubungo lilivunjwa wakati lilikuwa msaada wa wengi tukifika ili ujue umefika Dar mpaka ulione jengo ndo unaanza kuhisi na joto Ila serikali imetuweza asee🙆🙆
😂😂😂😂🤸♂️🤸♂️🤸♂️Watakoma
magufuli mungu akubariki sanaaa kwa mambo uliyo yafanya tz karbu na sis kigoma sanaaaaaaaa sasa hv panawaka rami naona dar pakuwa kama ulaya
Stend nzuri hongera waTz ila iko very disorganized 😕 na kuruhusu wamachinga, wauza karanga , wauza mayai ndani ya stendi ni iko ovyo , stendi itakuwa chatu, wizi na stendi itaharibika
Kweli kabisa wange uzia nje ya stand
Stand ipo kwa ajiri wananchi wanyonge... wote tufaidike na mkate wa Magufuli.... Tanzania 🇹🇿
@@hamisimapalala7709 kuwe na utaratibu na wasafiri hawakuja ndani ya stendi kununua karanga au mayai ila kusafiri . Kwa logic hiyo wangetengewa eneo la kuuzia , hivyo ni rahisi kuanza kuibiana na ngumu kuthibiti uchafu
@@tanzaniteinzanzibar6655 nani mnyonge kwani dhana ya kuitana wanyonge ndio inafanya watu wajihisi wanyonge ..... nachojaribu kusema kuwe na utaratibu na wasafiri hawakuja ndani ya stendi kununua karanga au mayai ila kusafiri . Kwa logic hiyo wangetengewa eneo la kuuzia na sio kama hivyo wanavyozagaaa, hivyo ni rahisi kuanza kuibiana, kuleta usumbufu kwa abiria na ngumu kuthibiti uchafu . Na jana umesikia wapiga 30 walikamatwa ndani ya stendi.
Ofisi za usafirishaji mizigo mitaani na malori makubwa yanaingia mtaani kwetu hapa amana ,na mabasi makubwa pia yanapakia mizigo inaleta fujo sana na misongamano tunaiomba serekali iwatafutie sehem maalum ile waendelee kufanya shughuli zao vizuri
Wewe kaka mtangazaji nakupenda kwan unatangaza vzr
Magu kama Magu kidume Simba Mfalme , hakika ntamuongezea na hili Nabii aliyeletwa kuokoa wanyonge ...
Hakika miradi yote mikubwa ikishamalizika kilio cha pesa kitakwisha pia kikubwa ni swala la muda tu...
Asante sana Mwenyezi MUNGU kwa ajili ya Raisi wetu John Pombe Magufuli mpe afya njema na muongezee hekima na ujasiri wa kufikilia mazuri zaidi na zaidi.
Na iwe na Imekua
Kwa hapa bongo hii ni namba moja, inayofuata ni dodoma hakuna wa kubisha
Well done my government
Hadi na mis tz Mashallah
😭😭😭😭😭😭😭eeh mungu kwanini jaman umemchukua dah siamin Mimi Basi muamshe jaman 😭😭😭😭😭😭 dar inatosha 🙏🙏🙏
That’s my President, hapa kazi tu
Safi sana mzee magu nakukubali katika utendaji kazi wako
Ipo sawa xana
Alie muona afande bonge gonga like😂😂😂
MUNGU ibariki TANZANIA
Magufuri kwa mtaan tuna muita chawa wetu 😂 😂
Ila huko mbezi Luis mbali sana jmn
Ww unaish Wapi Kwn?
Mbali ukitokea wapi? Airport ni mbali na Mbweni lkn watu wanaona poa tu.
@@stewartstephen5067 Tena ndio wanaishi wanaoingia airport
Wanaoishi karibu na airport (kiwalani buguruni) wasio waingiaji airport
Hata ubungo kwa wanaishi Tegeta bunju ilikuwa ni mbali ila sasahv kutoka Tegeta unapiga boda nusu saa ushaingia stendi
@@triplea3463 ajabu! Wanaambulia kelele tu
Sisi wakenya hatujawahi kujaaliwa kupata rais kama huyu. Musimsahau mungu ameweke pema rais magufuli
Ongera sana rais magufuri
Big Up sana
Ama kweli jenga huta kaa lima hutavuna ndio huyu baba tutazidi kukuenzi Rais wetu😭😭😭😭
Wallah tutakukumbuka baba
Allha ampe maisha marefu
Mungu azidi kumpa afya njema mh 🇹🇿🕊️
Miss u my president R.I.P 😭😭😭😭😭😭😭
Acha Bwana haya in makubwa sana
Safi kabisa
Good 👍
DAAH SIAMINI MAGU WETU JMN UMETUACHA KWEL ANKO MAGU😭😭😭😭😭 MUNGU AKUWEKE MAHALI PEMA,, AMIIN
Nakubali magu
Salute mr presdent😂😂😂😂😂😂