RAIS SAMIA AMWAGA SIFA KWA MAKONDA ASEMA ''HATUWEZI KULINDA WATU WAKATI MASHIRIKA HAYALIDHISHI''..
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024
- #JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►TH-cam: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/
Asante mama kwakuona uwepo wa mkuu wa mkoa Arusha
Mama ameshindwa kutamka kwamba wengine waige kutoka kwa Makonda
Asant sana Rais kwakutuletea Mh Makonda 🎉🎉
Hongera mama kwa kutambua Kaz za makonda watu waache choyo tena
Duh! 😊
Mama must go
Jackson
pere
Mama upo sawa kabisa
Watu wanatekwa
Wew bibi hujui polisi wanateka watu?
Mama naona wewe malaika hukuzunguka sana maana wewe kwenye ukweli husema bila kupindisha mungu namuomba akubariki.
Mama tunaomba kiwanda Cha tyire tunamagari mengi sana kutaongeza tutalinda fedha zetu na uchumi pia
Mama watoto wako wanauwawa hatuna amani huku mtaani toa kauli
Mafisadi ndio wamiliki
ASANTE.MAMA.MIMI.NIMEWEKA.PICHA.YA.MAKONDA.KWENYE.GARI.NAKUOMBA.MAMA.MAKONDA.ANATUFAA.ARUSHA.USIMTOE.HAPA
Mabaluni hoyeeee
Ulifaa kutoa tammko shirika hili limefutwa basi
Namuona hamis said migire
Hongera mama kwa kuyaona hayo kazi iendelee
Mh. Rais, tunaomba mbuga yetu ya ngorongoro, ukiifuta utakuwaumekopa deni la kudumu labda ufute na wilaya ya ngorongoro Kwa kuwa ukitaja tu ngorongoro sisi kinacho kuja akilini kwetu nimbuga ya ngorongoro.
Kwani wewe uko peke yako nchi hii? Kama kunauwezekano wa kuifuta tutaifuta nahamtofanya chochote,hii serikali ya jamuhuri ya muungano ya Tanzania mzee uwezi kuishi hamia nchi nyengine
MAMA RAIS WNGU NAKUPENDA BURE...
Hongera Makonda wetu. Wacha wajinga wachukie. Zipuuze kelele za Lema.. Dębe tupu lazima lipige kelele