MWL, CHRISTOPHER MWAKASEGE: SEMINA YA NEO LA MUNGU TANGA DAY 1 [TAR 21 JUNE 2023]
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- SOMO:-
MBINU ZA KULITAMBUA WAZO LILITUMWA NA MUNGU KUKUFANIKISHA
.................................................................................................................
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
M-PESA 0754 211 633
TIGO-PESA 0715 511 633
AIRTEL MONEY 0682 657 080
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
PIA UNAWEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _-:
CRDB BANK
ACC: 01J2032214400
JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE
Damu ya yesu iniponye kwa jina la yesu yote yanayonisumbua kwenye Huu mwili wangu nipone Asante Bwana yesu🙏
Asante Yesu Kwa zawadi ya Uhai. Nitie Nguvu niweze kulishika neno lako na kuyaishi mapenzi yako, Mungu niongezee Imani
Nawapenda Wote Baba.Mama.The whole Team Ya Maana.Stay Always Blessed. Watching Live Kwa Kenya Yetu.
Mungu awabariki semina hii ikazae marunda kwangu na kwa wotee
Amen
Damu ya Yesuuuuuuuuuuuuu
Huduma ya Mana.Asanteni Zaidi
Najiungamanisha na madhabahu takatifu ya neno la Mungu! Nabarikiwa sana jina la Bwana libarikwe kupitia mrumishi wake mwl Mwakasege
Neno lako lipite Kwangu na Damu ya YESU Kwa upande WA kazi, ndoa,na uchumi wangu Ee Mungu Baba Mwenyezi WA Ibrahim 🙏
Mungu akupe hitaji lako katika jina la Yesu
Mungu nitetee kw nguvu ya damu yako ktk biashara yangu na maisha yangu yote ktk jina LA YESU
Kwa Maombi haya Leo hii nipone kwa jina yesu yote ninayoumwa Asante yesu🙏🙏🙏📖
Amina mtumishi
Asant mungu tunaomba uedele kutebea na sisi nakutufungulia malango yetu ya furusa na kazi mahali ulipo tupagia ee mungu tunakuamin ndomana twakuomba ww mungu
Mungo atutembelee kwa upya Tanga ndio maombi yangu.Barikiwa sana mtumishi.
Amina
Amen Jesus Christ is able for all souls that needs its help Amen
Mungu akuinue mtumishin njoo ata.Bukoba jaman
Aminaaaa
Asante YESU ASANTE YESU ASANTE YESU ASANTE BABA ASANTE YESU
We Bwana Niko tayari kusikia sauti ya neno lako kwangu sema nami 🙏
Ee mungu damu ya mwanao yesu Kristo ipite inisafishe
Sant mungu nabalikiw kupitia mutumishiwako
Ameen Tunafuka Sana Mwalim
Mungu sema nami Nile wazo lako Bwana
Asante Yesu Kwa damu Yako thamani
mung akusimamie mwalimu
Mbarikiwe sana
Niko hapa bwana usinipite mwokozi
Amen amen
Ameen
Amen
Net work jamaniii
Lord will always provide us all with a path that is meant for us 🎉🎉😂🎉😂
Najiunganisha namaombi
Network ndoo imekat kabisaaa
Mamba Tati inasemaje
Namba tatu
Ponya migu yangu ganzi
Yesu nikumbuke na mimi
Amina mtumishi
Amen