Ukiachana usanii ww ni binadamu kama wengine kikubwaaa Allah akupe afya upone ila kwavile ww mtoto waki Islam maradhani ni ibada yanakuwekwa mja karibu na mola wako so mrudie mola wako huo niukumbusho anakukumbusha yadunia yasikuzidi.
Chalii yetu kala ni mapenz usivunge temana na hayo mambo yasije kukupotezea target zako za maisha kumbuka unae mama na ndugu zako wakuwatumikia kimahit àji na mawazo kama ni mapenzi ..kweli hauna sababu ya kuumia hivyo mjuba kaza ndita fanya maamuzi ....
wewe Mtangazaji next time usirudie tena upuuzi wa kuhoji mgonjwa muda woooote huo, ni vibaya, yaani usirudie nitakuchapa viboko, mpuuzi wewe,unaona MTU pumzi inabana we unaendelea tu
Yani mzigo unakushinda unaacha kuutua ndo kwanza unaeka ng'ata vzr nakuzidi kujitika acha kuogelea bahari ya hindi nenda kwenye viswiming ndo saizi yako
kupumua kwa tabu dalili ya ugonjwa wa moyo nenda hosptl kubwa sinzuri dalili iyo mbaya kila video atumuoni uwoya we unamtetea yupo mh shauliako tetea ugonjwa kwanza umeona Instagram alivyoandika
Blood pressure hiyo... Mapenzi haya ..
Leo wa kwanza na dua yangu InshaAllah iwe ya kwanza, ugua pole MWENYEZI MUNGU atakuafu
Pole xana mdogo he2 c wote 2nakuombea
Hbd dogo janja get well soon
sorry mutoto,acana na Irène, utakufa
Ukiachana usanii ww ni binadamu kama wengine kikubwaaa Allah akupe afya upone ila kwavile ww mtoto waki Islam maradhani ni ibada yanakuwekwa mja karibu na mola wako so mrudie mola wako huo niukumbusho anakukumbusha yadunia yasikuzidi.
Fatma Muna very true
Pole San San kaka❤️
umetish xan broh
Hapy birthday janjaro Mungu ata kuafu Ishallah
NOMA! Mcheki Wolper Alivoingia kwa Madaha #JIBEBE Challenge LIFE PARK!!! th-cam.com/video/mFEglDTNYo4/w-d-xo.html
Pole Cna Janjaro Mungu Nimwema Utapoma
Chaliii maushauri kibao umepewa kama vip sanuka mkali kabla haijawa mbaya
Happy new age
Get well soon
Happy birthday janjao inshaallah mwenyezi mungu atakuafu
Happy birthday dogo janjaro pole sana Allah atakuponya innshaallah
Yote haya umeoa mke mcharuko
Huyu gwiji atatuulia mtoto
Umejuaje kuwa ni mcharuko au Tatar ashatembea na mmeo
Sikuizi bongo hata ukinya utahojiwa unajisikiaje mavi jinsi yanavyo toka
Ahahahahahah ahahaha nimecheka
Suleiman jmn
Suleiman jmn
😅😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂
🎂🍫🍬🍾🎉🎈🎊 Happy birthday dogo janja .
Dah afueni ya haraka ;Happy birthday to you.
pole sana mdogo angu yote yanapita tyu utakaa saw a mungu ni mwema
ila bro umemfanyia interview kwa muda mrefu, that's not that much good! wakati mwingine usifanye hivyo kwa wengine
Daniel L. Damian pole my kaka
Mturudie mungu jaman binadam tumekuwa kama ua vile muda wowote linanyauka pole sana
Pole sana Allah akupe afya na shufaa
Quick recovery inshallah
pole janjalo utapona
Pole allah akujaalie upoe soon inshaallah
@@zainabmohd6524 pole sana ila angalia sana atakuua
Haki nyinyi mnao hoji wagonjwa mna roho ngumu yani mwenyewe pumzi hawezi but unaye tuu.Allah amsaidie ln shaa Allah.
Chalii yetu kala ni mapenz usivunge temana na hayo mambo yasije kukupotezea target zako za maisha kumbuka unae mama na ndugu zako wakuwatumikia kimahit àji na mawazo kama ni mapenzi ..kweli hauna sababu ya kuumia hivyo mjuba kaza ndita fanya maamuzi ....
@@ramspelo9287 Kabsaaaa hapa umesema.
Pole dogojanja,MUNGU atakuponya, heri ya kuzaliwa pia.
Mungu wa mbinguni atakuponya pole sana mdogo wangu
Mtangazajii, kumanyokooo,hunataaalamu,huyonimngojwaaa,mswalimengi,ya,ninii
Na Mungu akuponye
pole sana mdogo wangu Mungu atakuponya cha msingi tumia dawa kama daktari alivyo kupa maelekezo mdogo wangu utapona
#pore San janjaro
wewe Mtangazaji next time usirudie tena upuuzi wa kuhoji mgonjwa muda woooote huo, ni vibaya, yaani usirudie nitakuchapa viboko, mpuuzi wewe,unaona MTU pumzi inabana we unaendelea tu
pore dogo janja
Pole Dogo Janja wangu,Mungu atakuponya
mtangazaj unafel hujui kuhoji nina mashaka na uzoef wako sdhan kma una vyet
pole dogo .utapona
akili Hamna mwezenu hajatulia nyie mnahoji.kwanini sasa
Hbd dogo janja mungu atakufanyia wepesi utapona nazidi kukuombea dua
Quick recovery may b anamuwaza Irene maskini🙏
Pole dogojanja ..mungu atakuafu
...ila wale wengne utawasikia toa basi iyo nyimbo ...maana siku hizi kila kitu imekuwa kiki
ngoma mpya ya young killer
th-cam.com/video/kc8MMtOkRuo/w-d-xo.html
dg uta pona usiwe mwoga bhn
Wewe ulivyo kua unamuoa mama yako ulikua unafikiria nini mwanangu sio nemonia ni presha hyo kama ndikumana
Hbd dogo janja utapona2 pole
Yani mzigo unakushinda unaacha kuutua ndo kwanza unaeka ng'ata vzr nakuzidi kujitika acha kuogelea bahari ya hindi nenda kwenye viswiming ndo saizi yako
waandishi wa habari bana, kila kitu kwenu ni fursa, mngesubiria japo atoke hospital basi, teh teh teh
Pole mwaya mungu atakusaidia utapona
pole utapona god is good
polo sana dogo janja unatueakilisha chuka
janja mapenzi yanakutesa nn kijana mwenzetu
Said Makuka bavl
pole sana utapon
dogo janja tunakuombea upone aisee
pole san bro mung atakusaidia
hbd janjaro, pia pole sana mwenyez mungu akuponye haraka amen.
kupumua kwa tabu dalili ya ugonjwa wa moyo nenda hosptl kubwa sinzuri dalili iyo mbaya kila video atumuoni uwoya we unamtetea yupo mh shauliako tetea ugonjwa kwanza umeona Instagram alivyoandika
Acha upumbav anaumwa unamuoj
Get well soon happy birthday
hivi dogo alie kuloga ummepnde hyo mama alikufa maana unatafuta magonjwa 2 kwa uwoya
dogo tafuta size yako madem kibao mbona
Medee heshima kwako ishi na janja vzr
Ugua pole dogo janja nakutakia afueni ya haraka
Pole sana mungu akupe afuen inshallah
Pole kuumwa ni ibada kilabinadam lazima augue
pole Janjaro Mungu akuponye
Pole sana mdogo wangu.
Tatizo ni pumu hiyo .
kwa sisi wazenj ugonjwa kama huo tunaita pumu ila Allah atakuafu kaka
naomba upone mwanangu
Pole sana umeumwa kwl hali sio nzuri Mungu akuwekee wepesi
Pole sana Allah atakuafu amiin.
Pole mdogo angu nilikuambia mimi dogo
waandishi wa bongo hovyo kabisa,
Pole xna ila mungu yupo pamoj nawe
Pole tumikia ibada kugua pia nibada
Sàlam alekum Pole Sana
pole sana janjaro mungu ni mwema atakuponya
Pole sana janjaro
the fightrs ep 10,3gp
pole sn utaponi kwa uezo allah isnhaa Allah
pole sana mungu yuko pamoja nawe
utapona janjaro mungu nimwema
pole janjaroo nimtihani tu
Pole sana mdogo wetu dogo janja
pole sana utapona
Pole sana Janjaro utapona2.
pole chali yangu
Pole. Mungu akutangulie
love killzzzz me naona ivyo pole kaka
Uyo mbibi ata kuuwa achana nae
Irene anatak kkutoa kafara dogo
Mapenzi mabaya ,anaumwa mapenzi...
Kweli kabisa
Achana na hy demu atakufanya ufe
Hbd janjaro pol sn utapona
Get well brodah
Hapy birthday janjaro Mungu ata kuafu Ishallah
Pole inshaallah utapona
Pole mdg angu.namsihi Mungu wa huruma upone haraka.we love u chalii wng
Hbd janjaro
Get well soon Broo
aki sorry msani wangu
Jaman mi huwaga cwaelewi waandixhi wa habari, cjuwi kwann mtu anaumwa na drip juu bado abahojiwa ndo nini.,kuwen na huruma
pole sana mungu atakuafu
Hbd pole sn utapona
umekomaa kama mjinga bhana
Dah ndugu yang polee sanaa kaka angu molaa akufanyieee weps urud katk hali yko ya furahaa
Poleeeeeeeeeeeeee
Get well janja
Pole sna
Mungu akuponye dogo
Unamchosha magonjwa
Get well soon mr
Pole Sana dogo janja
Pole janja utapona tu
Pole Sana bruv