JEMEDARI SAID AWASHAMBULIA WAANDISHI/ KOCHA GAMONDI AMECHOKA MASWALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 109

  • @salimdiabyonlinetv4873
    @salimdiabyonlinetv4873 หลายเดือนก่อน +6

    Wewe JEMEDARI hayo una Yasema pia Huyafanyi, Mfano kuna Team A, Unaichukia waziwazi mpaka jamii Imekujua kipi unakichukia na kukipenda, Wewe pia si mweledi, na si mkweli kabisa.

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 หลายเดือนก่อน +1

    Narudia tena sipendi kupindisha. Gamondi anaogopeka katika ligi ya Tanzania. Kuweni makini na kelele za wachambuzi ambao wanakodiwa kutaka kuwatoa kwenye mstari muingie mtego wa kumwona Gamondi mbaya ili aondoke nao wapate nafasi za kupumua. Injinia Simama imara. Give courage coach Gamondi to be stronger and the players to go on, the race is still very fresh or new. Mwache Gamondi aendelee kuchanganya dawa vizuri ili ikawaingie vizuri. Na hakuna mtu kulalamika.anapopewa dozi.

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria หลายเดือนก่อน +14

    Unajua najiuliza Sana yanga hapo hatujapoteza alama mnatuseeeema hvy siku tukifungwa itakuwaj embu tupumzishen bn

    • @ashaabdi4026
      @ashaabdi4026 หลายเดือนก่อน +1

      yaaan ovyo tuu

    • @erickprotace9463
      @erickprotace9463 หลายเดือนก่อน +1

      Shida ya kuwasema ipo kwakuwa mashabiki kusifu kikosi. Sasa mashabiki wafute hiyo ndo kusema kutafutwa. Na tena si kufuta tu wafute kwa kusema ni kakikos kadogo. Hapo utanielewa.

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 หลายเดือนก่อน

      Kwa sababu muna mdomo sana utopwinyo😅

    • @ahmedronga7583
      @ahmedronga7583 หลายเดือนก่อน

      Unaujua mpira au una urithi wa ushabiki?

    • @SangaliPower
      @SangaliPower หลายเดือนก่อน +1

      HAPO BADO HAUJASEMA KWANI HICHO KISEMAJI CHENU SI NDO KILISEMA MWAENDA SHINDA TANO? SASA KUAMBIWA KIMOKO YAWAUMA 😂😂😂 MWAMBIENI HUYO MTOTO AACHE KUMUIGA SEMAJI LA CAF

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 หลายเดือนก่อน +1

    Jemedal kwenye kueshimu mpira na team

  • @josephmsami9528
    @josephmsami9528 หลายเดือนก่อน

    I agree we have to respect football

  • @realbeda2880
    @realbeda2880 หลายเดือนก่อน +5

    Kwenye hili simuungi mkono ali kamwe kwanza kuwashambulia Azam tv na angali wao kazi yao ni kutuletea na kutuonesha mpira na si kutuwekea mazingira ya goli nyingi

    • @asmaramadhani8592
      @asmaramadhani8592 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani uliambiawa Ali kamwe anashida ya kuungwa mkono na ww kwenda huko ww na huyu jemedar hamna hoja

    • @nicodemuswidambe5132
      @nicodemuswidambe5132 หลายเดือนก่อน +4

      Kwani sisi hatuoni? Wanaleta umbea tuwaangalie tu? Mfani: Yanga kushinda goli 1 wanasema Gamond kachoka. Simba kafunga 1 congratulation, simba kapigwa 1 na Yanga congratulation. Kwahiyo Yanga imechoka kivipi?
      Sipati picha hao vibwengo wenu mnaowaita wachambuzi watasema nini cku Yanga ikifungwa!

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 หลายเดือนก่อน

      ​@@nicodemuswidambe5132kwa sababu utopolo mna mdomo sana😅😅😅

    • @SangaliPower
      @SangaliPower หลายเดือนก่อน

      ​@@nicodemuswidambe5132UMEANDIKA VIZURI SANA ILA HUYO ALIKAMWE HAJUI KUWAHESHIM WAPINZANI YAANI YEYE AKIWA ANAHOJIWA ANAJIFANYA WALE SIE TWAWAPIGA TANO 😂😂😂SASA MMESHINDWA KUPIGA HIZO TANO MAVI YAWABANA, TAFUTA INTERVIEW YA AHMED ALI AKISEMA HUYO TUTAMPIGA 10 AU TANO LAZIMA UMUHESHMU MPINZANI ILE YAWAFANYA HATA WACHAMBUZI WAKIONA MMESHINDA MOJA WANAONA MMEPAMBANA ILA UKIWACHUKULIA WATU EASY ALAFU UJE UTUAMBIE KUWA NI WAGUMU TUTAKUSHANGAA

  • @othmanmuhidin9857
    @othmanmuhidin9857 หลายเดือนก่อน +1

    Waandishi watofautishe maswali wanayouliza wasemaji na ya kumuuliza kocha

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 หลายเดือนก่อน

    Nyie wachambuzi wa MCHONGO, mwaka jana mlikuwa mnamuogopa Gamondi.Yanga msimu huu ndio kwanza amecheza mechi tatu na mechi mbili ndio ameshinda kwa 1-0. Mwaka Jana Yanga alishindwa mechi 12 kwa wastani wa 1- 0

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 หลายเดือนก่อน

    MPO SAHIHI HAPO JEMEDARI NA WENZAKO. MPO SAHIHI SANA NYIE MWENDELEE NA UCHAMBUZI WENU

  • @luganomwakijabilwa9191
    @luganomwakijabilwa9191 หลายเดือนก่อน

    Presha akuna unataka kuitengeneza kwa kocha tutafunga magoli manayo taka yatakuja yenyewe ayalazimishwi mpira utaongea

  • @eliateacher3241
    @eliateacher3241 หลายเดือนก่อน

    Jemedari Yuko sahihi kabisa

  • @ashaabdi4026
    @ashaabdi4026 หลายเดือนก่อน +11

    Last season
    1. Yanga Vs Namungo (1-0)
    2. Ihefu Vs Yanga (2-1)
    3. Coastal Vs Yanga (0-1)
    4. Tabora Vs Yanga (0-1)
    5. Yanga Vs Dodoma (1-0)
    6. Yanga Vs Mashujaa (2-1)
    7. Prison Vs Yanga (1-2)
    8. Yanga Vs Geita (1-0)
    9. JKT vs Yanga (0-0)
    10. Yanga Vs Coast (1-0)
    11. Mashujaa Vs Yanga (0-1)
    12. Yanga Vs Kagera (1-0)
    Mechi (11) tulishinda kwa tofauti ya goli Moja...
    Mechi nne tuu ndo tulishinda goal 5…
    Mtupumzishe bhn yanga yangaa..kwan mnashindwa kuchambua team zingine..ikiwezekana msituongelee kabisaa

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 หลายเดือนก่อน +1

      Vipi kuhusu pira bovu

    • @ezzepuritykamwene2121
      @ezzepuritykamwene2121 หลายเดือนก่อน

      Man umeamua kufunguka kwa data.

    • @immaabukuku7180
      @immaabukuku7180 หลายเดือนก่อน +1

      Ata simba walipigwa 2-1 round ya pili

    • @ashaabdi4026
      @ashaabdi4026 หลายเดือนก่อน

      @@afterfull-time1348 lete data za ball possession co unaongea tuu

    • @adamuayubumwendolwa7723
      @adamuayubumwendolwa7723 หลายเดือนก่อน

      Well done kwa kweli

  • @SaidiIduri
    @SaidiIduri หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ndo unapresha mjinga wew

  • @abdulingamila5771
    @abdulingamila5771 หลายเดือนก่อน

    Kaka jemedali saidi uko vizuri sana haiwezekani kabisa eti wajibu maswali pale waliposhinda tu

  • @mshamumshamuMshamu
    @mshamumshamuMshamu หลายเดือนก่อน

    Tatizo kizazi cha sasa kinapenda mambo ya ovyo anapofanyiwa mtu bila kufikilia maumivu anayopitia

  • @stuartson90
    @stuartson90 หลายเดือนก่อน

    Hakuna asiyependa kujisifia,, ndio maana ya ushindani, wasemaji ndio kazi yao kuisifia Team.. Mikwara ni sehemu ya mchezo wowote acheni ushamba. Mabondia wanatishia hadi kuua na hafi mtu, ikiwezekana wanapigwa tu.. Gamond ameeleza vizuri kuhusu kushinda 1,,cha muhimu point 3...wachambuzi mmekuwa wachambaji sio wachambuaji Mpira.. Gamond hana pressure anachongalia ni point 3,,ndio maana alisema msimu ni ngumu... Acheni ushamba hamsikilizi interview

  • @fredylucas2484
    @fredylucas2484 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo maana nampenda Jemedari

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi หลายเดือนก่อน

      P Diddy humpendi?

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 หลายเดือนก่อน

      @@Abuu-gs1yi P Diddy anakufaa wewe mfuasi wa Mondi

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 หลายเดือนก่อน

      Tanzania ukiwa msemakweli unachukiwa. Halafu kuna wapenzi wa hizi timu ambao kwao ni kusifu tu. Machawa wa mpira wetu bongo wameharibu sana kina Kisugu, mwalimu, na wengine

  • @SalimKhamis-s2x
    @SalimKhamis-s2x หลายเดือนก่อน +2

    Uyo hansi jemedari mfungulie darasa la uchambuzi 😂😂😂😂

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt 15 วันที่ผ่านมา

    Yanga wachezaji wamechoka fixtures too tight every three to four day match is played 😮😮😮

  • @FaustineTz
    @FaustineTz หลายเดือนก่อน +1

    Muimu point 3 ayo mengine mnajua nyinyi

  • @estonsaimon6671
    @estonsaimon6671 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani anayeongea ni kocha au msemaji?? Why msimuulize msemaji?

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt หลายเดือนก่อน +3

    Jamani kikubwa point tatu je tumepoteza au tumepata na kama tumepata mengine ni ziada

  • @juliusdidose100
    @juliusdidose100 หลายเดือนก่อน

    Hakuna sehemu kwenye mahojiano ambapo Gamondi alisema atafunga goli nyingi.
    Alisema muhimu ni point 3.

    • @SangaliPower
      @SangaliPower หลายเดือนก่อน

      KALE KASEMAJI KENU NDO KANASHINDWA KUWA HESHMU WAPINZANI TUTAWAPIGA TANO,HAYA SASA KIKO WAPI? ANAANZA KUJAMBA JAMBA TU SASAIV AACHE KUWAAMINISHA WATU UPUUZI HII NDO MAANA HALISI YA UBAYA UBWELA YAANI ALICHO KIPANDA NDO KIMERUDI SASA HAPO SHIDA IKO WAPI KUWA FANGANYA AWADANYE WANA YANGA TU ILA MPIRA WAFUATILIWA NA WATU WWNGI SANA

  • @sikapendinakapenda4170
    @sikapendinakapenda4170 หลายเดือนก่อน

    Sisi Simba bado tunajenga timu yetu, na hatutaki kusifiwa.

  • @sokastreet
    @sokastreet หลายเดือนก่อน +1

    Mpira umevamiwa na wala mihogo, hao wasemaji wenu hata timu za shule ya msingi hawajawahi kucheza

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan หลายเดือนก่อน +6

    ILA HAPO KWELI JEMEDARI UMESEMA UKWELI,WASEMAJI WAKATI MWINGINE MAAFISA WETU WANAONGEA PUMBA TU NA KUSHINDWA KUWAHESHIMU WAPINZANI

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 หลายเดือนก่อน

      Waache waseme mbona yule msemaji wenu hata akiongea matusi mnamsifia??

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n หลายเดือนก่อน +1

    wao wenyewe nyuma mwiko wanashindwa kumuheshimu mpinzani

    • @SangaliPower
      @SangaliPower หลายเดือนก่อน

      NDIO ALAFU UBAYA UKIBWELA WANAANZA KUJAMBA JAMBA OVYO 😂😂 YAAN ANASAHAU KABSAA KUWA YEYE NDO ALISEMA KUWA NASHINDA TANO ALAFU IKISHINDKANA WANASAHAU

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 หลายเดือนก่อน

    Lakini jemedar ukumbuke ally kamwe alilisema ata kabla ya hilo goli moja aliwahasa mashabiki sisi kua targets ni point 3 na sio goli nyingi... maana hapo haujamtaja kwa jina ila wazee wa kyuba tumeelewa kua umemlenga yeye.. alishajiwekea ulinzi mapema.. ally kamwe anaona mbele.. msemaji bora kuwah kutokea

    • @SangaliPower
      @SangaliPower หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 HICHO KISEMAJI KISICHO NA NYAMA HAKINA HESHMA ET NA SIKU HIYO KIKATENGENEZA NA SLOGAN ETI "J PIL YA KUFOS" 😂😂 HIZO TANO HAJA SHINDA NA MKIULIZWA MAVI YAGONGA CHUPI 😂😂 MUWE MWAJIFUNZA KUWAHESHIM WAPINZANI TAFUTA INTERVIEW YA AHMED ALI AKISEMA HUYO TUTAMPIGA 10 AU 5, JINSI ANAVYO WAHESHIM WAPINZANI YAFANYA HATA AKISHINDA MOJA WATU WATAONA KWELI WAMEPAMBANA

  • @boscomwangosi1042
    @boscomwangosi1042 หลายเดือนก่อน

    Huo ni unafiki,
    Simba alisema ailanza na goli tatu akaja nne na akadai ataendelea kupanda juu.lkn juzi kufunga moja a tena golo la zukuma.mbona hamumshangai.

  • @DaudMusoma
    @DaudMusoma หลายเดือนก่อน

    Wasemaji wa timu zetu hizi kubwa wanawaaminisha watu kwamba wao ni Bora zaidi kuliko timu zingine sasa likija anguko wanatakiwa kulipokea kama wanavyopokea ushindi mkubwa huo ndio mpira

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Jemedari tangu nimeanza kumfuatilia naona ana visa na yanga. Hanaga jema kabisa. Niliwahi kumwambia hapa tanzania zipo timu nyingi ebu aachane na yanga. Semea timu yako simba. Yanga ikishuka kinakuuma nini?? Au wewe ndie unaichangia yanga??

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 หลายเดือนก่อน

      Na kama imeshuka kiwango si ndio furaha yake ili timu yake ichukue ubingwa sijui kinachowauma ni nini!!

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 wape mwana wa kazumari nakuelewa.

  • @mtmarchcontempo
    @mtmarchcontempo หลายเดือนก่อน

    Gamond hana pressure😂

  • @DaudMusoma
    @DaudMusoma หลายเดือนก่อน

    Jemedati nimekukubali uko sahihi

  • @kingpower8848
    @kingpower8848 หลายเดือนก่อน +3

    Jemedar ujui kitu wew unaweka mapenzi kwanza na simba wew ulikua unamsemaga eng hersi

  • @Abuu-gs1yi
    @Abuu-gs1yi หลายเดือนก่อน

    Hapo ndio hatujafungwa,,,sasa tukifungwa c mtachambua kwa wiki nzima

  • @BrownMwangasa-p9f
    @BrownMwangasa-p9f หลายเดือนก่อน +1

    Imebidi nitoke kwenye channel yao kumbe jemedari mwenyewe ni wale wale wabaya wa Yanga

  • @IddiMbarukuBendera
    @IddiMbarukuBendera หลายเดือนก่อน

    Mnavyo chambua muelewe na maswali aliyoulizwa gamond sababu gamond hajadharau tumu kwaiyo muhandishi lazima ujue maswali ya kuuliza kwamakocha na mahafisa habari sababu mahafisa habari wakati mwingine wanaongea kishabiki kwaiyo waandishi mnabidi muyajue haya

  • @AmryRajabu-v7j
    @AmryRajabu-v7j หลายเดือนก่อน

    Kwani yanga anamecgi ngap sasaivii si 3 ya Kwanza 2ya pili na Tatu sindo moja moja au SASA mechi ngap kwani

  • @rizyoneboffi3662
    @rizyoneboffi3662 หลายเดือนก่อน +5

    Kwani yanga kapoteza mchezo mbaka sasa au

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu หลายเดือนก่อน

      Mlifingwa na ken gold refa akatia kapunii

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt หลายเดือนก่อน

      ​@@SurprisedFullMoon-gg9vumbona halikuwa goli jamani hata baadhi ya wachambuzi walisema

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu หลายเดือนก่อน

      @@Carolina-sm5zt hawajui mpiraaa"Hawa wachambuz wa mchongo""mpira ukishavuka mstari ni golii

    • @mariamhashim6271
      @mariamhashim6271 หลายเดือนก่อน

      Ishuu anashinda kwa mbindeee

    • @mariamhashim6271
      @mariamhashim6271 หลายเดือนก่อน +1

      Sema jemedari aanzishe radio yake mana anapendenda aongee yeyee tuu aha

  • @EdwardNdinganya
    @EdwardNdinganya หลายเดือนก่อน

    Achen uchambuz wenu wa hovyo presha gan wakati timu inavuna pointi 3 mhimu

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 หลายเดือนก่อน

    5 tano waliwazoeza mashabiki wao sasa hivi mambo yamebadilika mpira hauko hivyo makocha wanajifunza kutokana na makosa wazisoma mbinu za makocha wengine

  • @TajiriPoti
    @TajiriPoti หลายเดือนก่อน

    Sasa kama kweli yanga imechoka ziambieni hizo timu zenu zikijakucheza na yanga zisikae golini

    • @SangaliPower
      @SangaliPower หลายเดือนก่อน

      HII AKILI NDO WAITUMIA KUENDESHEA MAISHA YAKO AU UNA NYINGINE? 😂😂😂

  • @Muhammedually
    @Muhammedually หลายเดือนก่อน

    Alama za mtu mnafiki ni 3,naziona hapo ndani

  • @omarnabhany9849
    @omarnabhany9849 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga kushinda Moja kelele nyingi je Simba?kaañza ligi na nne akaja tatu ikaja mbili na Jana Moja la ku0ewa na refa ulizeni Kwa makolo sikushuka Kwa graph uko

    • @deniseliuter3002
      @deniseliuter3002 หลายเดือนก่อน

      Simba kafikaje hapa,kwanini usimtaje azam

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 หลายเดือนก่อน

      Good research.

    • @nikky4757
      @nikky4757 หลายเดือนก่อน

      Hata kwa simba waliuliza sema hawakupanic kama yanga

  • @alphoncejacob8312
    @alphoncejacob8312 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa jamaa hawajielewii.. kweny ball kila timu ndogo inapokutana na timu kubwa lazima watake kuonekana na kukamia ili kuvunja record na wachezaj kuonekana na timu kubwa... Sasa singida ni timu kubwa , vile ikaifunga ken gold 3 ... Chambueni mpira kama kazi yenu sio kuleta hoja sa vijiweni😌

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 หลายเดือนก่อน

      Mbona msimu ulopita mlikuwa mnawafunga😅😅😅 utopolo ya saivi mbovu

    • @mosepaul6770
      @mosepaul6770 หลายเดือนก่อน

      ​@@afterfull-time1348wakat mnawafunga 5 msimu uliopita walikua hawatak kuonekana??

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 หลายเดือนก่อน

      Tunabadilisha. Mwaka huu tunawashika wengine na yule atakayeleta kidomodomo.

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 หลายเดือนก่อน

      @@afterfull-time1348 kama ni mbovu kinachokuuma ni nini? Si ndio ufurahi kwamba unachukua ubingwa au unajua unaloongea ni ushabiki tu, mech tatu ushaanza kutamba kwamba umejipata!!!!

  • @fatumamtakyawa3612
    @fatumamtakyawa3612 หลายเดือนก่อน

    Wewe siku note unawachukia yanga kwani hakuna timu ulaya waliwafunga 7 na bado wakatoka sare? Roho mbaya.

  • @GodfreyHenryDaimon-yo6ix
    @GodfreyHenryDaimon-yo6ix หลายเดือนก่อน

    Acheni usenge iv mnaona kwa gamond pekee acheni hizo bhana

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 หลายเดือนก่อน

    Yanga akishinda goli moja Gamond kachoka Simba ikishinda goli 1 na hata ikifungwa na Yanga goli 1 ni " congratulation" ndo nini sasa?? Acheni unafiki!!

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina หลายเดือนก่อน

      Uliwahi kuona mabango ya simba,yaani mlijiwekea wenyewe huo utaratibu ndio maana unawagharimu

  • @YusuphMabewa
    @YusuphMabewa หลายเดือนก่อน

    Hawa sasa wamekuwa waandishi wa mipasho

  • @WilliamChaponda
    @WilliamChaponda หลายเดือนก่อน

    Mihadarati haijawahi muacha salama mtu.... yaani hapo kachanganya kitu cha somalia na Colombia....

  • @LeonardMakwela-b7d
    @LeonardMakwela-b7d หลายเดือนก่อน

    Sina uhakika kama akina nanihii wamekusikia kiongozi

  • @FrankKwanama-lo6fj
    @FrankKwanama-lo6fj หลายเดือนก่อน

    Huyo mwandishi wa Azam tv mbona hajawahoji Azam walipo poteza kwa makolo? mbona hahoji Azam hajitumi anapo cheza na Makolo ila yanga?

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 หลายเดือนก่อน

    Simba alipoanguka alipokea anguko na akaenda kujirekebisha na sasa imerudi imara, na Yanga wakubali anguko Mwaka huu hali sio shwari.

    • @othmantv2654
      @othmantv2654 หลายเดือนก่อน

      Sasa yanga wameanguka wapi kamfunga simba kamfunga azam na mpk sasa hajafungwa wala hajadroo..alipoanguka ni wapi...na kapiga timu zote kubwa hapa bongo msimu huu heb tuambie wameangukia wap?😂😂😂

  • @othmantv2654
    @othmantv2654 หลายเดือนก่อน

    Ila bongo hamna wachambuz...maana yanga kazifunga timu zote kubwa msimu huu MAKOLO wameliwa...AZAM wameliwa...na mpka sasa hajafungwa wala hajadroo ila mnaiongelea kama timu ilopigwa mechi zote...😂😂😂

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 หลายเดือนก่อน

      Hajafungwa kwa uwezo wa bahasha pia usisahau azamu msimua uliopita fei aliwakanda round ya pili😅😅

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 หลายเดือนก่อน

    Kaka Uwafudishe Waadishi wengi asa vijana awajui chochote Ujinga tu ata Wachambuzi tunao 3 tu

  • @sadikidaudi460
    @sadikidaudi460 หลายเดือนก่อน

    Ujinga hua haumsaidii hata mjinga mwenyewe Yanga kashinda ila mnashangaa yaani kupata alama tatu mnaita ushindi mdodo

    • @monelayongola419
      @monelayongola419 หลายเดือนก่อน

      A narrow win. Very narrow. Ushindi kiduchu. Jana mliita etu Ni siku ya kufosi magoli lkn tangu dakika ya 5 hadi ya tisini , Wala hatukuona mkitekeleza kauli yenu. Licha ya kuwapanga mastraika wote watatu. Kagoli kalibaki kamoja. Ile kauli , mbwembwe , Tambo lkn hazikuzaa matunda. Hampo sawa. Wachezaji wenu vikongwe wamechoka. Kukubali sio Kosa

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 หลายเดือนก่อน

      Unaumia ukiwa wapi?? Gamondi hatoki ng'ooo tumejua nia yenu mbaya.

  • @YusuphMabewa
    @YusuphMabewa หลายเดือนก่อน

    Hawa sasa wamekuwa waandishi wa mipasho