U did the best more blessings .Ila peter mwasomolaa umeua upewe maua yko. Msininukuu vby cio kama wengne mmefany vby ila yy nimemuona kuwa ni man of match😅😅😅 much love 😘😘
Nashukulu mungu Kwa kuwatumia vijana wenzangu Kunibadilisha . Pia mungu ambaliki Mtunzi NAMIpia nimetambua kuwa Mimi ni mpitaji . Hivyo naitaji kumludia mungu wangu. 📖📓 Nahahidi naenda kununua na biblia Asante sana
Nimejikuta nalia kwafuraha kama mulijuwa je? Istoria ya maisha yangu amakweli popote mulipo mumenifaji kwelikweli MUNGU aguse mioyo yawengine wasio ijuwa thamani ya JINA LA YESU amen 🙏
Nimejua mahana ya wokovu kupitia Nyinyi mungu awabariki muweze kutupa Vitu vizuri kama Hivi SiSi ,JINA na kadha wakadha Benroyal films tupo sambamba 🙌 ❤❤
For real naangaliaga tamthilia nyingi sana ila huwa zinakuwa na bad end but hii kutoka mwanzo mpaka mwisho nilikuwa na ninyi na nimeipenda bure na nawaelewa na ninawa ahidi siku moja nitakuja kuigiza na nyie mana napenda ila sijawahi kuigiza but for real nawaelewa sana ila tu Isarito kakimbilia dar arudi basi mwamba sana kwenye action na hata sio hi o tu thamthilia zenu nazikubali sana na mazingira mazuri kweli naamini Mbeya is a green city na nayapenda mazingira pia
Hongera sana Ben Royal na waigizaji wote kwa filamu bora. Hii ni mara ya kwanza kuandika maoni yangu mtandaoni kwa sababu ya ubora na uzuri wa filamu ya JINA. Hakika kupitia filamu hii mmeweka alama itakayokumbukwa mbinguni. Filamu hii imesukwa kwa ustadi mkubwa wenye kuzingatia theolojia ya mchakato wa wokovu kupitia Jina la Yesu. Falsafa na ubunifu uliotumika katika filamu hii ni nguzo ya kuwavuta watu kwa Mungu. Mungu aifungulie njia isambae duniani kote, Amina
Wajina your the best tangu nimeanza episode ya 1 mpaka tamati hakika umefanya kitu kikubwa sana Mungu aendelee kukufunulia upate kuelimisha kondoo wake... Be blessed 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Kuanza MWANZO Hadi Mwisho Movie Ina Mafunzo ma Kubwa Ina Fundisha kua una weza uka Badilika katika Hali ya uaribifu na ukawa mtu Alie Safi mbele za Mungu Hongereni sana kwa Movie Hii Na Tumaini mta Leta nyingine zaidi ya Hii Mungu Awe Pamoja Nasi 🙏🙏🙏
Hakuna jina lipitalo majina yote duniani na kuzimu, hisipokua jina la YESU KRISTO liwaokowalo wenye dhambi wote. Mbarikiwe sana kwa tamthilia hii nzuri inayojaa fundisho kwa kizazi cha sasa.
Dear Jina Series Crew and Cast, As the Jina series concludes, I want to express my heartfelt gratitude to each one of you for your dedication, passion, and talent that brought this incredible story to life. Your hard work has captivated audiences and left a lasting impact. Thank you for the unforgettable moments and the emotions you've shared. You've created something truly special, and your efforts are deeply appreciated.
It's just the matter of time,I wait for the day that you will stand in front of the audience with the big award on your hands.i loved the music production and the voices alongside with the drama God bless you all❤
Ahsante sana Kwa funzo nzuri mungu awabalik team yote hakik nimejifunza kitu kwenye hii movie mungu awape maisha malefu na kumtumikia mungu katika loho na kweli Amna 🙏🙏🙏🙏✅
Nataman nijue jna la kwaya mana nyimbo zao zmenibariki sana
Daaah Move safiiiiiiii move yenye mafunzp mazuriiiii
U did the best more blessings .Ila peter mwasomolaa umeua upewe maua yko. Msininukuu vby cio kama wengne mmefany vby ila yy nimemuona kuwa ni man of match😅😅😅 much love 😘😘
BENROYAL KAZI ZAKO AUJAWAHI KUTUANGUSHA AISEEEE MBEYA CITY IS GREEN GODY BLESS NINYI NYOOTE
Nashukulu mungu Kwa kuwatumia vijana wenzangu Kunibadilisha . Pia mungu ambaliki Mtunzi NAMIpia nimetambua kuwa Mimi ni mpitaji . Hivyo naitaji kumludia mungu wangu. 📖📓 Nahahidi naenda kununua na biblia Asante sana
Ubarikiwe sana Mishael
Daaa! Mjawahi kufeli mungu awabaliki na vipaji mzidi kutuelimisha ongeren
Nimejikuta nalia kwafuraha kama mulijuwa je? Istoria ya maisha yangu amakweli popote mulipo mumenifaji kwelikweli MUNGU aguse mioyo yawengine wasio ijuwa thamani ya JINA LA YESU amen 🙏
In a scale rate out of 10 you score 9 benroyal pictures hakika filamu zenu ni za kupendeza tunataka zaidi pia❤
Asante sana
Mungu awabariki sana na vipaji vyenu vikainuke zaidi na zaidi mnajua sana, Amina
Ended with joyful emotional❤😊, I like that
Woow work I like it love you all
Nimejua mahana ya wokovu kupitia Nyinyi mungu awabariki muweze kutupa Vitu vizuri kama Hivi SiSi ,JINA na kadha wakadha Benroyal films tupo sambamba 🙌 ❤❤
Karibu sana
For real naangaliaga tamthilia nyingi sana ila huwa zinakuwa na bad end but hii kutoka mwanzo mpaka mwisho nilikuwa na ninyi na nimeipenda bure na nawaelewa na ninawa ahidi siku moja nitakuja kuigiza na nyie mana napenda ila sijawahi kuigiza but for real nawaelewa sana ila tu Isarito kakimbilia dar arudi basi mwamba sana kwenye action na hata sio hi o tu thamthilia zenu nazikubali sana na mazingira mazuri kweli naamini Mbeya is a green city na nayapenda mazingira pia
Yani Tanzania hakuna waigizaji kama benroya asee njie hatari sana Mungu awabariki sana benroya
kazi nzuri sana sikutamani iishe
@@KisheryMicro Yani nimeipenda kuliko kazi zote
kazi ssa sana 🔥🔥🔥🔥
Jaman mnastahir tuzo kwa kaz kubwa mlioweza kuifanya kwen film hii uandish mzur pia unao simamia maadili ya taifa letu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻 # JuniorSimbeye
Yohana 5
21 Maana kama Baba awafufuavyo wafu na kuwahuisha, vivyo hivyo na Mwana awahuisha wale awatakao.
Daaah story kali sana...
Hongera sana Benroyal
Nawapenda saan Ben Royal mungu awatangulie nimejifunza vitu vingi hasa nyimbo zilikuwa zinanifariji Ameen
Ila master g mwendo wake unanichosha
Master KG humu umetisha sana, Big up kk
Tuko pamoja family
Very interesting movie and shows the God love to us , thanks much all and director
Leo nimegundua kuwa benroyal you are not just a director kama wengine, unajua kusudi la kuwepo kwako duniani. Blessings to you sir
Asante sana
God bless u bro Naamini wengi wataelewa maana ya wokovu kupitia hii tamthilia🙌🙌🙌 MUNGU azidi kukuinua
Amen
@@Benroyalmovies nawakubali sana mabr Mungu awabariki sana naomba angalau unitumie namba yenu ya whatsApp samahani lkn 🙏🙏🙏
Kazi nzuri, ukwel nimefurahia hii movie❤❤, yaan mnajua mnajua mnajua tena.
Great ... Jina la thamani "Yesu".... Kweli....
KAZI NZURI SANA lkn mwishon cjamwona #NALA AKIOMBEWA ila mmejitahidi sana na nnazifatilia Kaz zenu kila iitwayo Leo #GOD BE WITH YOU 🙏
Team work nmeiona 🙌🙌🙌
Amen ,MUNGU awabariki sana ,naimani ujumbe huu umewafikia vijana wengi sanaa.
Good blesse vijana pamoja na muchungaji kazi nzuli sana muendelee tunawapenda sana❤❤❤
Asante sana mm gonga mwamba
Hongera sana Ben Royal na waigizaji wote kwa filamu bora. Hii ni mara ya kwanza kuandika maoni yangu mtandaoni kwa sababu ya ubora na uzuri wa filamu ya JINA. Hakika kupitia filamu hii mmeweka alama itakayokumbukwa mbinguni. Filamu hii imesukwa kwa ustadi mkubwa wenye kuzingatia theolojia ya mchakato wa wokovu kupitia Jina la Yesu. Falsafa na ubunifu uliotumika katika filamu hii ni nguzo ya kuwavuta watu kwa Mungu. Mungu aifungulie njia isambae duniani kote, Amina
Amen
Asanteni sana kwa kazi nzuri kwa kweli kazi yenu ni nzuri sana wacha mungu wa amani azidi kuwainua nyinyi wote 🙏❤❤much love from Kenya 🇰🇪
From Lusaka zambia nawapenda saana saana kaza kaza kaza kaza kaz isonge
Ahsante kwa mafunzo mazuri kwetu❤️💕💕❤️❤️👏🏾
musician wapewe maua yao kwakweli hongereni kwa kazi nzuri yakueleimisha jamii na kumuwakilisha Mungu❤❤
Laiti waigizaji wote bongo wangeandaa KAZI kama hii Tanzania yote tungeliokoka
Benloya akili nyingi# akili kubwa
Kaka baraka asante kwa ujumbe mzuri Mungu awaogoze kwenye kuleta ujumbe kama huo nimependa sana , nimejifunza kitu kutoka kwenu❤ na wapenda sana🎉❤🥰🤗
Asante sana, Karibu
Daaah series yang nzuri imeisha jmn
❤❤❤ Amina Amina Amina sana... Asanteni beniroyal Mungu atawabariki wa kazi yenu hii iliyotukuka. More blessings!
Amen 🙏
Peter & Jogoo aiseee mnatisha sanaa
Jamani hii inajifunza kiti kulikubwa sana please ndio mwisho hapa kweli Jamani
Wajina your the best tangu nimeanza episode ya 1 mpaka tamati hakika umefanya kitu kikubwa sana Mungu aendelee kukufunulia upate kuelimisha kondoo wake... Be blessed 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Asante sana
Amen Amen mbarikiwe sana ❤❤🙏🙌🏾Mungu ni mwema sana ❤❤
Kazi ni nzuri sana Toka mwanzo Hadi mwisho
Mbarikiwe sana 👏👏👏👏
Asante sana
Hadi ya kuandika yanakosekana but from start to the end hii tamthilia ni kali sana
Thank you Mary
Kuanza MWANZO Hadi Mwisho Movie Ina Mafunzo ma Kubwa Ina Fundisha kua una weza uka Badilika katika Hali ya uaribifu na ukawa mtu Alie Safi mbele za Mungu Hongereni sana kwa Movie Hii Na Tumaini mta Leta nyingine zaidi ya Hii Mungu Awe Pamoja Nasi 🙏🙏🙏
Asante sana
Hakuna jina lipitalo majina yote duniani na kuzimu, hisipokua jina la YESU KRISTO liwaokowalo wenye dhambi wote.
Mbarikiwe sana kwa tamthilia hii nzuri inayojaa fundisho kwa kizazi cha sasa.
Tuishi Kama mlivyo higiza. Amen
Leo nimekubar show🎉🎉🎉
Asante kwa kaz nzur Ben Royal nawapenda San kikosi mast g na Abel
Karibu sana,
Mbarikiwe sana 🙏🙏🙏
Tuzo kwenu jaman na movie n nzurii saaana kazi n nzur saana mwenyezi mungu azidi kuwaoa kibali mbele zake mfike mahali pazur zaidi
Asanteni!!! Video nzuri sana.
Asanteni sana kwa kutuonyesha njia ya kweli bila kukata tamaa
Mater G...Aamina sana😂😂😂
Sanaaaaa 😅😅
Kazi nzuri sana kaka MUNGU awabariki sana
Hongereni sana ndugu zangu
Amen, asanteni Sana wakuu. Mbarikiwe, Mungu azidi kubaliki kazi yenu
Amen
Great Work... Mungu awabariki Team BenRoyal🙏🏽🙏🏽🙏🏽🇰🇪✌️💥
Amen
Mmbarikiwe sana
HUWA NAANGALIA MOVIE ZAKO KARIBU ZOTE NA NAZIPENDA ILA HIII NIMEIPENDA ZAIDI, MUBARIKIWE ZAIDI SANA
Kazi nzuri sana ina funzo ndani yake
Fanya ulete action movie tume miss ngumi
Nawapenda saana
Tunaisubili kwa hamu kubwa sana na mungu awabaliki 🙏🔥
Daah kwann imesha mapema hivi aisee
Kazi nzr san ❤❤❤❤
wazeeee tuleteeni mpyaaaa series #FUEGOO🔥🔥🔥🔥🔥🔥
mmetisha sana
Burudani juu ya burudani leo thanks 🙏 Benroyal
Master g anatabasam jicho lot kwa mremb
Naonekana ninakatamani aka katoto😅😅
kàzi nzuri sana
Dear Jina Series Crew and Cast,
As the Jina series concludes, I want to express my heartfelt gratitude to each one of you for your dedication, passion, and talent that brought this incredible story to life. Your hard work has captivated audiences and left a lasting impact. Thank you for the unforgettable moments and the emotions you've shared. You've created something truly special, and your efforts are deeply appreciated.
Thank you very much, may God bless you
Daaah the movie is so dop er enjoyed a lot funny moments 😂😂
Love❤ some lessons here...
Very creative congrats boys👏👏👏 en galz🎉🎉
Nimebalikiwa sana kuitazama hii story mwanzo hadi mwisho hakika nimebalikiwa🎉🎉
Amen, Karibu sana
nangali mchangaji uko vizuri sana jina la yesu ni jina la dhamani
Wote nawakubali ila master G unanikosha sana
Nakubal nitakufulahisha mpaka siku naondoka nduniani tuko pamoja😅
It's just the matter of time,I wait for the day that you will stand in front of the audience with the big award on your hands.i loved the music production and the voices alongside with the drama God bless you all❤
Dah Toka mwanzo mpaka mwisho sijajutia bando langu 🎉
Story nzuri mnoo inamafunzo it's fantastic one
Asanteni sana
Well done guys 🙏hii inafundisha sana
Season 2 itakuwa pw sana good story
Hii ngoma aliimba master g tusaidiane namna ya kuipata
Ahsante sana Kwa funzo nzuri mungu awabalik team yote hakik nimejifunza kitu kwenye hii movie mungu awape maisha malefu na kumtumikia mungu katika loho na kweli Amna 🙏🙏🙏🙏✅
Amen
İme isha kwa ujumbe mzuli ila nilitaman kumwona masta G kapigwa pala tuna taka nyingne jaman atuja wai waangusha kwenye kutazama ❤❤❤❤😂❤❤
Mm bina sfi nawakubali kwa moyo mja mababa zangu mtu
Ss kwa nini nyinyi muna kawiza jama nyiye wasenge sana
Nzuri mno
Ben Royal Never Disappoint
Hakika imenibarik nataman muitafute nzuri kama hii
Master G kila sku anakumbushia alvyo nyimwa juice😂😂
😂😂😂
😂😂😂
🤠🤠🤠
Iliniuma Sana ile juice
😂😂😂😂😂
nawakubali sana😊 nasubr chuma kingine
Safi sana tunaomba muwahishe jamani
mi nataka niombewe. Utaombewa Gerezani nyanyuka Twende
Very nice movie nawapenda kutoka kenya
Mungu aendelee kuwekeza karama mbalimbali kwenu kwa UTUKUFU wake amen
Amen
Mi naomba kujua Hawa waimbaji kama wana album ya nyimbo zao au jina la kwaya yao🥰
Ameeeeeeeen ❤❤❤❤❤❤❤❤
Mmemaliza vizuri jamani big up benroyal
Mungu nimwema siku ZOTE 🙏🙏