JINA EPISODE 10 | MTU | Benroyal Movies | Comedy

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 247

  • @AbdallahSeleman-f3g
    @AbdallahSeleman-f3g ปีที่แล้ว +7

    Sema mnatuchelewesha sana mnatunyima uhondo from dom

  • @CadoJoh
    @CadoJoh ปีที่แล้ว +3

    Wanangu kikosi....father g....mpenzi kasi...na wote mnajua kikosi noma dady ❤❤❤

  • @RobbySimoni
    @RobbySimoni ปีที่แล้ว +7

    Kazi nzuri shida mnacherewa kutoa

  • @Mopsbevts
    @Mopsbevts ปีที่แล้ว +4

    "JINA" Ni
    bonge kitu asee and iko unique

  • @tengoboy
    @tengoboy ปีที่แล้ว +8

    MASTER G ANAJUA SANAAAAAA KUIGIZA✊✊✊✊✊

  • @EmilyKiomela-on7hn
    @EmilyKiomela-on7hn ปีที่แล้ว +3

    zimenonaaa 3 mia tano karibuni sanaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣.mmeiskia au n mm 2

  • @ahmadgoha-xe6co
    @ahmadgoha-xe6co ปีที่แล้ว +5

    Kikosiiiiiiiiiiiiih!!!
    Yaaani nimecheka sana kusikia anakupenda sana!!!

  • @BonanciaMligo
    @BonanciaMligo ปีที่แล้ว +2

    Daa mmetusubilisha sanaaa nyie wat asaiv mtuwaishie jmn c mnajua tunavyowapenda eee🥰🥰🥰

  • @erickfredrick299
    @erickfredrick299 ปีที่แล้ว +1

    Aiseee bg up kwenu nyote mnajua mpaka mnajua tena

  • @Producervbaddset
    @Producervbaddset ปีที่แล้ว +4

    Yaan my brother mdachi haendan na hii tabia ni mpoleee mno😂😂😂 NASHANGAA humu alivyo na roho mbay

  • @oscarmwanawaboi4253
    @oscarmwanawaboi4253 ปีที่แล้ว +4

    Moto unazidi kuwa mkari❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

    • @GgGg-k8n7f
      @GgGg-k8n7f 2 หลายเดือนก่อน

      Mbaya😂😂❤🎉

  • @KainguDavis-p3e
    @KainguDavis-p3e ปีที่แล้ว +2

    Naona picha ndio imeanza sasa utamu sana big up sana jamaa

  • @ImeldaPetro-g8h
    @ImeldaPetro-g8h ปีที่แล้ว +4

    Nitamwimbia bwana shetani ashangae ❤❤❤ nawakubali yaani mnavo cherewa kureta mwendelezo mnatukana sitim

  • @PirfaImanipirfa-vj3oz
    @PirfaImanipirfa-vj3oz ปีที่แล้ว +6

    Jaman iyo movie ni kali kinyama nyama, Ila tatizo inachukuw mdaa sana, I'm waiting for the next part.

  • @gerryjusty6594
    @gerryjusty6594 ปีที่แล้ว +4

    Mpo vzur nasubirig kwa hamu sana episode zenu

  • @ringstone5388
    @ringstone5388 ปีที่แล้ว +4

    Wela welaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaa Miamba imerudi tena ila mnafanya tuwamiss sana an jaman tunaomba Muwe munajalibu kuwah💪💪💪💪💪

  • @MaryWambui-z9m
    @MaryWambui-z9m ปีที่แล้ว +3

    waze haya sasa ndo mambo nawakubali sana mike from kenya

  • @EmilyKiomela-on7hn
    @EmilyKiomela-on7hn ปีที่แล้ว +1

    Wanangu mnaringa sana n Jina yenu ad mnakera.mnatoa kw manati ad bac

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95 ปีที่แล้ว +2

    Mko vizuli sana Ben team sema mnakawia sana jamani mwezi mzima pls angalau siku nne nne jamani❤❤❤ nawapenda sana🎉

  • @BCQueetta
    @BCQueetta ปีที่แล้ว +3

    Nimefurahishwa sana baraka I love than them

  • @marceladamson
    @marceladamson ปีที่แล้ว +4

    Kaka benroyal mbona mpo kimya sana kiasi kwamba movie inakaa mda mrefu sana msitusubilishe mashabiki kiasi hicho.

  • @Eliacytz
    @Eliacytz ปีที่แล้ว +8

    Nilikuwa nasubiri matriyo ya mtuuuuuuuuu sanaaaaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 here from Mozambique 🇲🇿 boy from Tanzania 🇹🇿 pamoj Sana

  • @MsafiriHussein-p1p
    @MsafiriHussein-p1p ปีที่แล้ว +6

    Mamb ni motoo🔥🔥🔥 nakubali San kikosi ila msitucheleweshee ❤❤

  • @brasiusaron
    @brasiusaron ปีที่แล้ว +1

    nawakubar sana mkuuu ila mnatucheleweshea hadi tunasahau

  • @nedymwita1197
    @nedymwita1197 ปีที่แล้ว +7

    Benroyal mnazingua jaman jitahidini kuwahi mashabiki zenu mnatuangushaaaaaaa😔

  • @Justinjr-t1o
    @Justinjr-t1o ปีที่แล้ว +2

    Hapa sasa ndo picha linaanza kama movie inavyojitambulisha jina 🔥🔥🔥🔥

  • @johnmajiulaya
    @johnmajiulaya ปีที่แล้ว

    Daah ninyi ni wakal sana Saloot kwako Drct BEN

  • @benedictofwatanyuma2977
    @benedictofwatanyuma2977 ปีที่แล้ว +4

    mnachelewa sana kutoa episodes inapunguza uzuri wa series

  • @gladyemmanuel2379
    @gladyemmanuel2379 ปีที่แล้ว +2

    I love you Tim mtuuuu. Nawapenda Sanaa. Jamani. Kutoka kibelegee

  • @elizabethmulupirapando9774
    @elizabethmulupirapando9774 ปีที่แล้ว +1

    Aki baraka nakupenda bure kaka unanifuraisha sana ❤❤

  • @AmaniRazalo
    @AmaniRazalo ปีที่แล้ว

    Move ni nzuri sema tazio manchelewa Sana mpaka tunafika hatua sasa ya kuchoka tunaanza kufatilia wasanii wengine jamani msifanye Ivo bwana

  • @SaidiJuma-k4p
    @SaidiJuma-k4p ปีที่แล้ว +2

    Daah nawakubal sana mnaweza sana

  • @MastungaGs
    @MastungaGs ปีที่แล้ว +2

    Ogeraa sanaa ✊🏻✊🏻🔥🔥

  • @badrusimba1267
    @badrusimba1267 ปีที่แล้ว

    Wazee wekeni vitu nawakubali sana .Watuuuuuuu

  • @SamsonFundi.J
    @SamsonFundi.J ปีที่แล้ว +4

    Nakubali sana kazi nzuri,ila jitahidini kuwahi muda wa kuachia hizo kazi , maana zinachelewa sana, From Mozambique

  • @salumually4469
    @salumually4469 ปีที่แล้ว +3

    Atujui changamoto mlizonazo ila inachelewa sana

  • @karembo7082
    @karembo7082 ปีที่แล้ว +3

    Kikosi umetisha sana 😂😂 mtu wangu ila kweli mungu ndio kilakitu

  • @abdullykassim
    @abdullykassim ปีที่แล้ว +4

    Tumesubiri saana asee ✊

  • @dazzleabdulaziz7059
    @dazzleabdulaziz7059 ปีที่แล้ว

    Shida nini benroyal tunasubiri episode Moja mwezi mzima

  • @nouxventure9401
    @nouxventure9401 ปีที่แล้ว +4

    Master G ndo mfano wa wale jamaa zetu wanao tukubali sana na wenye True Love kwa wana..Appreciate sana 🤞

  • @sevystaronedancer1785
    @sevystaronedancer1785 ปีที่แล้ว +2

    Duuuh kaz nzuri

  • @directorjoel20
    @directorjoel20 ปีที่แล้ว +6

    Safi sana, nyinyi wote ni WATU..mnatisha kila episode ❤❤❤❤

  • @ramadhanhamis6451
    @ramadhanhamis6451 ปีที่แล้ว +5

    Nawakubali sana Wanangu ❤❤ sema tunawa miss sana

  • @ezekielimbalwa3964
    @ezekielimbalwa3964 ปีที่แล้ว +1

    Mhhhhh mmetisha sana

  • @daudiflavour913
    @daudiflavour913 ปีที่แล้ว +1

    Naelewaga sana kaz zenu ni 🔥🔥🔥🔥

  • @maureenkalama4029
    @maureenkalama4029 ปีที่แล้ว +2

    ❤kazi nzuri sna

  • @williumyolamu5607
    @williumyolamu5607 ปีที่แล้ว +3

    Nimeisubili Kwa muda murefu sana

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95 ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇹🇿naiwapenda sana 🇦🇪🇦🇪🇦🇪

  • @kassimakida1666
    @kassimakida1666 ปีที่แล้ว +2

    Yaleo Kali saana

  • @jeanclaudeakili2372
    @jeanclaudeakili2372 ปีที่แล้ว +1

    Naona bintu biko bye ✌️ 😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤ ni Akili 🇺🇸

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 ปีที่แล้ว +4

    Oya hakuna kufake humu, wali unabebwa kwenye Rambo 😂😂🙌🏽

  • @festochilumba
    @festochilumba ปีที่แล้ว +2

    Mbeya tunaweza san

  • @kakasteve7117
    @kakasteve7117 ปีที่แล้ว +6

    Nawaelewa sana. Movie kali ila sema inatoka kwa machale. Nilikua nomba kama inawezekana mtoe utaratibu watu tuinunur. Wekeni namba tunalipia au mtengeze group la whatsap watu tujoin tulipie movie zenu. Aio kama hibi mnatuweka wiki mbili, tatu tunasubiri ep 1. Mpk inagikia watu tunasahau ipoishia.

  • @pappilonfar
    @pappilonfar ปีที่แล้ว +1

    Master Gee...amina sana😂😂😂

  • @SaumRajab
    @SaumRajab ปีที่แล้ว +3

    Kadogo lakini katam🎉❤

  • @richardlucas1904
    @richardlucas1904 ปีที่แล้ว +5

    ila tuache utani Mnatutesa sisi Mashabiki zenu et 3 Week tunagoja Ep 1 msitufanyie Ivyo Jamani daaa ...tunawaomba Ata Baada Ya week tyu mtuwekee TH-cam et ....ila nawakubaliiii KinYama👊🔥🔥🔥🙏

  • @abdrazackhashim6549
    @abdrazackhashim6549 ปีที่แล้ว

    💪💪💪😊😊 kazi nzuri

  • @misanangasa8296
    @misanangasa8296 ปีที่แล้ว +1

    Mna chelewesha sana jamani

  • @PascoSingogo
    @PascoSingogo ปีที่แล้ว

    Noma sanaa man 🔥🔥 sana

  • @hadijahabibu8868
    @hadijahabibu8868 ปีที่แล้ว

    Mnachelewesha sana muendelezo wazee

  • @victorwesamba2520
    @victorwesamba2520 ปีที่แล้ว +2

    😅😅😅😅mm nichome niambie siz ukweli

  • @ShadrackLaiza
    @ShadrackLaiza ปีที่แล้ว +1

    Naomba nipate mawasiliano ya kikosiiii plz direct

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 ปีที่แล้ว +3

    This is love from Moçambique 🇲🇿😊

  • @jofreymfugale4752
    @jofreymfugale4752 ปีที่แล้ว

    Mnachelewa sana kutoa mwendelezo had tunasahau

  • @rachealkitsao259
    @rachealkitsao259 ปีที่แล้ว +3

    Niliisubiri sna hki❤❤

  • @shabanimdugi9283
    @shabanimdugi9283 ปีที่แล้ว

    Mbona mnachelewa sana kuleta kaz

  • @MrKimond-ip2zp
    @MrKimond-ip2zp ปีที่แล้ว

    Nyie jamaa mnajua move zuli San hiii

  • @StephanoMagulaa
    @StephanoMagulaa ปีที่แล้ว +2

    ila mnakaa sana wazèe dah

  • @R420_officially
    @R420_officially ปีที่แล้ว

    Sema kazi ni nzuri sana

  • @LichardEzekia
    @LichardEzekia 6 หลายเดือนก่อน

    😊😊😊😊 nihatar sanaa

  • @StephanoMagulaa
    @StephanoMagulaa ปีที่แล้ว +2

    Nakubal wazèe igdimaa

  • @ngalohboe1808
    @ngalohboe1808 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mbanga name anajua sanaaa asee ndo my favorite actor

  • @luckynoah
    @luckynoah ปีที่แล้ว +1

    Hakika hii movie ni 🔥 asante washiliki ila tunaomba muwe mnatuwahishia miendelezo❤❤

  • @_fizzle
    @_fizzle ปีที่แล้ว +3

    Nisinge penda abel unijue mimi ni nani! 😢😢😢

  • @rehemakazungu6945
    @rehemakazungu6945 ปีที่แล้ว +3

    Kazi safi sana ❤❤

  • @isayamanyabili6152
    @isayamanyabili6152 ปีที่แล้ว +1

    Dah hii kitu inazidi kuwa tamu zaidi kwa kila episode

  • @isaquiquizitogeraldo7067
    @isaquiquizitogeraldo7067 ปีที่แล้ว +1

    Munafanya kazi nzuli ila munachelelewesha sana

  • @norbertjoseph2049
    @norbertjoseph2049 ปีที่แล้ว +4

    Master G na kikosi mmetisha sana aisee, from Germany 🇧🇪

  • @Raz254kni
    @Raz254kni ปีที่แล้ว +3

    Mtu .mbeya all the bst❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @sanchezzadieofficial633
    @sanchezzadieofficial633 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri lkni mnakarisha sans

  • @ElizabethNekesa-wd8eb
    @ElizabethNekesa-wd8eb ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅😅😅 iko ndn

  • @kakasteve7117
    @kakasteve7117 ปีที่แล้ว +8

    Asikwambie mtu. Ni bonge la series ebe. Ni promo tu mazee. Lakini ni bonhe la series haijawahi tokea. Ukianzia katikati halafu ukaja ukasimulia tulikoanzia unaweza kudhan are two different stories. Bonhe la utundu, bonhe la utunzi, bonhe la ubunifu. Anayebisha mh.....

  • @josephpaulo475
    @josephpaulo475 ปีที่แล้ว +3

    Tatizo mnachelewesha sana

  • @AndrewMbena
    @AndrewMbena ปีที่แล้ว +1

    Nice wazee

  • @MELODIEZWORLD
    @MELODIEZWORLD ปีที่แล้ว +1

    Atua kubwa sana hii tuendlee kusapot kaz za nyumbn

  • @shihengahtz2633
    @shihengahtz2633 ปีที่แล้ว +2

    Shida moja wanetu zinachwelewa kutoka

  • @shamimucollectiondubai9727
    @shamimucollectiondubai9727 ปีที่แล้ว +1

    Niko dubai nimenjoy

  • @HassanSaid-p1t
    @HassanSaid-p1t ปีที่แล้ว

    Ebhn ee fanyen mpang muwe mnatoa mapem

  • @mwalimumahenge1658
    @mwalimumahenge1658 ปีที่แล้ว +1

    Naona wengi tunaomba wawahi kutoa episodes bt mimi naona wa kuwafanya wawahi ni sisi watazamaji...team iliomba sapoti kwa michango maana uandaaji wa kitu kikubwa kama hiki lazima wanahitaji gharama...tuendelee kuwachangia hawa watu wana njaa ya kutupatia vitu vizuri, mchawi pesa...otherwise mimi pia na appreciate kazi ni nzuri wanangu. Mungu awabariki mno.

  • @NkeshimanBarton-dk7zk
    @NkeshimanBarton-dk7zk ปีที่แล้ว +2

    Mnachelewa kutoa movie wakuuu

  • @OfficialXxhpac
    @OfficialXxhpac ปีที่แล้ว

    Yani nawapenda paka basi❤️🫵😘

  • @bobnasser862
    @bobnasser862 ปีที่แล้ว

    Nakubali wanangu sana

  • @hajimpoto1560
    @hajimpoto1560 ปีที่แล้ว +2

    Haji badest. Nikiwa Zanzibar kazi mzury ila mbona hua inachelewa kutoka nawafatilia Sana munatisha

  • @missdee25463
    @missdee25463 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥🔥fire fire fire kazi safii Fam❤

  • @ShannyShauri-jr7ch
    @ShannyShauri-jr7ch ปีที่แล้ว +3

    ❤nimeisubiri sana jamani 🎉✨☀️💯

  • @titotembotv6375
    @titotembotv6375 ปีที่แล้ว +1

    Natambua mnapitia mengi ktk uandaji wa flm na changamoto nyingi ikiwemo uchumi lakin bado hamkati tamaa kuendelea kutupatia kilichobora tunashukuru kwa kutuongezea Dakika za flm hii na kufikia hatua mnaachia dk30 MUNGU azidi kuwainua natamani hata kujiunga na nyinyi nijifunze

  • @amosraphael1969
    @amosraphael1969 ปีที่แล้ว

    Mwenyewe najiuliza agustino, mtu hadi baraka ni naniiii???? lkn nilivyoona leo mpaka nimeshtuka na sijajua we nani. Big up sana kwa kazi nzur

  • @jevuofficial5266
    @jevuofficial5266 ปีที่แล้ว +8

    🔥🔥 always good appreciate we still waiting for another one

  • @iptisamismaill-f6h
    @iptisamismaill-f6h ปีที่แล้ว +1

    Respect kaka

  • @daudalex6946
    @daudalex6946 ปีที่แล้ว

    GOOD Tulisubl sana