PROMISE EP 01 | love story 💕 || House Girl

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • #housegirl #busatitv #bongomovies

ความคิดเห็น • 185

  • @WardaSuleimn
    @WardaSuleimn 10 วันที่ผ่านมา +20

    Dah jmn anaemuona zatiti kila Kona akilia alike apa😭😭😭

    • @RobertMalay
      @RobertMalay 8 วันที่ผ่านมา

      🤣🤣🤣 Kila movie yy kilio2🤣

  • @MyimunaTz
    @MyimunaTz 11 วันที่ผ่านมา +31

    Mmmmmm mbona Leo mumewangu ataniuwa mana najikuta nalusha muve mboga sija nunua saiz mungu wangu

  • @FazilimariamMariam
    @FazilimariamMariam 11 วันที่ผ่านมา +16

    Nawapenda sana dazuu ebu njo burundi jamani nakupenda wewe na nakai na zatiti

  • @celinaFoya
    @celinaFoya 5 วันที่ผ่านมา +2

    Nawapenda Sana busati ❤❤❤

  • @stevencosmas
    @stevencosmas 5 วันที่ผ่านมา +1

    Da mvi zuli ila zuu nimempenda bure anaweza sana kuicheza karata yake tena nizuli ninge muona alive ningependa.nimuowe kabiza.❤❤❤❤❤❤❤

  • @WardaKambi
    @WardaKambi 11 วันที่ผ่านมา +14

    Zatit umerogwa na mapenz Kila siku unatendwa ww na kulia kwenye mapenz 😊😊😊😊😊

    • @AnnaWaswa
      @AnnaWaswa 10 วันที่ผ่านมา +1

      Ukweli uyo zatity amerogwa ashwa😂😂😂

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 10 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂

    • @RobertMalay
      @RobertMalay 8 วันที่ผ่านมา

      🤣🤣🤣

    • @MwanakomboHassan-kp8vy
      @MwanakomboHassan-kp8vy 7 วันที่ผ่านมา

      Yani huyu zatiti kila move yeye hana furaha kilio tu kwake yeye

  • @NeemaElias-n8j
    @NeemaElias-n8j 11 วันที่ผ่านมา +5

    Wasita jamani leo habali zenu wapenzi wa zuu na kai itika kwa kugonga like hapa

  • @busatitv
    @busatitv 10 วันที่ผ่านมา +5

    Hii nayo kaliiiii vijana safi sana

  • @kidempunga4337
    @kidempunga4337 11 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi nzuri sana mungu awabariki hamjawahi kukosea

  • @YusuphChisagwa
    @YusuphChisagwa 11 วันที่ผ่านมา +1

    Jamabu mtatua kwa kazi mzuri mi nipo lebanoni

  • @ZamzamMusa-ve5tc
    @ZamzamMusa-ve5tc 11 วันที่ผ่านมา +5

    Movie akiwepo zatity na zuu iyo siachi kuangalia nawapenda sana ❤❤❤❤

  • @ZamzamMusa-ve5tc
    @ZamzamMusa-ve5tc 11 วันที่ผ่านมา +7

    Kila movie zatity kulizwa na mapenzi jamani nani atampenda zatity 😢😢😢ila pole sana

  • @johactor
    @johactor 11 วันที่ผ่านมา +1

    Kali sana wanangu

  • @Zainab-v2q2o
    @Zainab-v2q2o 11 วันที่ผ่านมา +9

    Zatiti chukua mau🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ummuali3090
    @ummuali3090 10 วันที่ผ่านมา +1

    Zatiti unajua kuziplay hizi pati,hongera

  • @SamsonRandu-h9u
    @SamsonRandu-h9u 11 วันที่ผ่านมา +6

    Malizeni house girl Kwanza kina zuuh❤❤

  • @ZekaniS
    @ZekaniS 10 วันที่ผ่านมา +1

    Pili bhana eti meno kama folen ya madumu😂😂❤❤❤

  • @ShànyjumaaJumaashany
    @ShànyjumaaJumaashany 11 วันที่ผ่านมา +1

    Na wapenda sana kazi juyakazi

  • @AnnastaziaVicent
    @AnnastaziaVicent 11 วันที่ผ่านมา +10

    Jamani wapili Leo ❤❤❤

  • @JaneMwambui-uy7dw
    @JaneMwambui-uy7dw 10 วันที่ผ่านมา +1

    Zatiti kila mahali ww ni wa machozi nakupenda ❤❤❤

  • @Hopekiti
    @Hopekiti 11 วันที่ผ่านมา +4

    Ila daa pili maboga wanifurahisha hatari,, una vichambo... eti vinywele vinkusimama kma mkutano wa nzi😂😂😂

  • @RehemaMwakisyala-k9u
    @RehemaMwakisyala-k9u 11 วันที่ผ่านมา +2

    Zatiti badilisha karata usije ikakuzoea iwe kweli utuumize wenzio mi sipend uwe unalia mzur wangu wew❤❤❤

  • @maryammaryam7354
    @maryammaryam7354 10 วันที่ผ่านมา +2

    Zatiti hio pat waieza kulia 😂😂😂😂😂😂

  • @RuuHassan-ik4ws
    @RuuHassan-ik4ws 11 วันที่ผ่านมา +1

    Zatiti kila muvi uko kwenye kulia tuu inaonesha unapenda sana uko kulia jmn polee

  • @MirriamWanjala-h2r
    @MirriamWanjala-h2r 11 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani zatiti umelia sana Kila mahali dada ya watu analia to

  • @FatumaFeso
    @FatumaFeso 10 วันที่ผ่านมา +2

    Wee zatiti ntakugota sasa cpend unavyolia kila movie ila nakupenda sana 🎉🎉🎉🎉

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb 11 วันที่ผ่านมา +2

    Wooooh nilimpeza pili maboga kitambo😂😂❤❤

  • @SharonChepngeno-d7e
    @SharonChepngeno-d7e 10 วันที่ผ่านมา +1

    Zatiti tunaomba in the next movie uwe na furahaa tena wala sio uzuni maana pia Sisi tunauzinika mno😢😢

  • @KuvunaGonda
    @KuvunaGonda 11 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani zatt ww tena pole Sana mapenzi hayanaga sujaa lkn zatt hebu muache aende utapata mwengine

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 11 วันที่ผ่านมา +3

    We zatiti uyo pia yuwakutoa machozi mwenyewe kama mwizi wakuku😂😂 ayo machozi yko yamekuwa kama yamwanamke wakihidi

    • @rahemh1234
      @rahemh1234 10 วันที่ผ่านมา

      Shart lenye amevaa linamikunjo utadhani nyumba ya kunguni 😂😂😂😂😅😅😅kisha zatiti amlilia

    • @Gladys-254
      @Gladys-254 9 วันที่ผ่านมา

      Kwenye mapenzi ya dhati silazima uangalie mavazi

  • @CarolMwikali-q5v
    @CarolMwikali-q5v 10 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani zatiti kila movie analia tuu ju ya mapenzi,,jameni mjaribu kumpenda tuu🎉🎉❤

  • @SalomengandiNzungu-it5ph
    @SalomengandiNzungu-it5ph 10 วันที่ผ่านมา +1

    Nimeshagundua kua zatiti hiki ni kipaji chake ssa chakulia maskini waaah😢😢😢😢

  • @افااقع
    @افااقع 11 วันที่ผ่านมา +1

    Zatity acha tukupe mkenya akutuluze kwa mapenzi juu umelia sana huko tz kuja kenya mamaa

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 11 วันที่ผ่านมา +2

    Jaman movie ikiwa na dapili huwa yanoga na dazuu aky kazi nzuri sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @EnjoyJosephElikana
    @EnjoyJosephElikana 10 วันที่ผ่านมา +2

    Zuu tunakupenda pamoja na za titi munatufunza mengi sana nakai

  • @LoiceLoice-c1b
    @LoiceLoice-c1b 11 วันที่ผ่านมา +5

    😂😂😂😂Huy mama yke zuu Sio Kwa michambo hiy

    • @GloryKabdzo
      @GloryKabdzo 11 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂Chezea pili maboga wewee

    • @MwanajumaMwinzi
      @MwanajumaMwinzi 11 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @coolboymicky3651
    @coolboymicky3651 11 วันที่ผ่านมา +5

    Mjuba💯hudochi💯 Maya 💯nawote mlocheza mmetenda haki

  • @Bintnailah
    @Bintnailah 11 วันที่ผ่านมา +1

    Tena huyo mama kelele yuko huku daah!😂😂😂😂

  • @Betty-t9q
    @Betty-t9q 10 วันที่ผ่านมา +3

    Duu!Anaemuona zatiti kila movie analia,like tukisonga

  • @thhtthht1485
    @thhtthht1485 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona huyu zatiti kila move analia hivo

  • @pendochacha1326
    @pendochacha1326 11 วันที่ผ่านมา +3

    Leo mm wannee

  • @fammamaboko6543
    @fammamaboko6543 10 วันที่ผ่านมา +2

    Tobaaaaaa🙆
    Busati TV mtanisababishia nifukuzwe kibarua ni dah kila mda movie iyo nipo data naweka mwezi ili nisikose yajao ya Busati TV 🎉

  • @AbigaelVosevya
    @AbigaelVosevya 11 วันที่ผ่านมา +4

    Wa kwanza leo

  • @EsterJapheth
    @EsterJapheth 5 วันที่ผ่านมา +1

    Muvi zenu ni Kali sana mpo vizuri ❤️❤️❤️❤️

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 4 วันที่ผ่านมา +1

    Samir uko vizuri nlikukubali kwa love bite kule team ruta🎉🎉🎉

  • @jpizzo7938
    @jpizzo7938 11 วันที่ผ่านมา +1

    Samir we fundii nakuona kama shurkan baba kamuaa baba😊

  • @coolboymicky3651
    @coolboymicky3651 11 วันที่ผ่านมา +1

    Bongee moja la kazii alooooo💯🔥🔥🔥💯

    • @MaryamaAlly
      @MaryamaAlly 9 วันที่ผ่านมา

      ❤❤❤🎉

  • @SabrahNibuka
    @SabrahNibuka 11 วันที่ผ่านมา +1

    Agachuuu😂😂😂 pili maboga ❤

  • @ImeldaGaitan
    @ImeldaGaitan 11 วันที่ผ่านมา +4

    Zatiti kwa kulia jamani had unanipa uchungu.lakini kazi nzuri ❤

  • @zeyadazeyada8050
    @zeyadazeyada8050 11 วันที่ผ่านมา +1

    Pili maboga jamani miss you too much

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 10 วันที่ผ่านมา +2

    Zatiti Unafaa Tukufanyie Maombe Cyo Kwa Yatika Wa Mapenzi Kiasi Icho Kila Maali Unaachwa Duuu Aliekurogwa Alikurugwa Kweliii😢😢😢😢😂😂😂😂

  • @محمدسعود-ق5ف7ك
    @محمدسعود-ق5ف7ك 11 วันที่ผ่านมา +1

    Ila huyu mama ananifuraisha kwel😂😂😂

  • @PhanyKemunto
    @PhanyKemunto 11 วันที่ผ่านมา +2

    Zatiti unazidi kwa kulia unaanza kunikera

    • @RobertMalay
      @RobertMalay 8 วันที่ผ่านมา

      🤣🤣🤣🤣

  • @MaryBosibori-xm7us
    @MaryBosibori-xm7us 10 วันที่ผ่านมา +3

    Satiti ww wakulipe mshahara mingi ju wanakuweka section ya kumia kulia akhi mapenzi imekukataa pole🎉🎉🎉

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 8 วันที่ผ่านมา +1

    Zatiti wangu hatuchekani sote ni yatima wa mapenzi nakupnda mno❤❤

  • @SalomeKija
    @SalomeKija 10 วันที่ผ่านมา +2

    Zatity kila sehemu ni kulia tu 😢

  • @ZanuraJumanne
    @ZanuraJumanne 11 วันที่ผ่านมา +1

    Zatiti unann lakin mbona kila move unalia too pole sana unatia huruma

  • @Nyangala-eg2qc
    @Nyangala-eg2qc 10 วันที่ผ่านมา +2

    Zatiti unalia Sana mpaka kelo

  • @YusraMohammed-fs4tq
    @YusraMohammed-fs4tq 11 วันที่ผ่านมา +2

    Yani mamke zuu hatari 😅😅😅

  • @HudhaimaYussuf
    @HudhaimaYussuf 10 วันที่ผ่านมา +2

    Tausi wanaume 5 kwa uchi gan 😂😂😂😂😂

    • @MaryamaAlly
      @MaryamaAlly 9 วันที่ผ่านมา

      😂😂

  • @Maimuna-n3z
    @Maimuna-n3z 9 วันที่ผ่านมา +1

    Da pil uko vizur sana mwaaaaaa

  • @saumumwakufwairwa378
    @saumumwakufwairwa378 11 วันที่ผ่านมา +1

    Jaman si tumalize nyengne ndo muanze engne mwatuchanya

  • @JacintaMaloba
    @JacintaMaloba 11 วันที่ผ่านมา +1

    Zatiti huna nyota ya mapenzi jamanii 😢😢

  • @FestusJuvinary
    @FestusJuvinary 10 วันที่ผ่านมา +1

    Hiv kwanini dada zatiti Kila mda ni wamajonzi jamani mashabiki wa zatiti tuungane juu ya Ili mana ni m2 mpole sana lakini sijui hawa watu wanamchukuliaje

  • @khadijakheiri5745
    @khadijakheiri5745 11 วันที่ผ่านมา +2

    Eti kibushuti,mbegu ya kongo😂😂😂😂😂😂

  • @MobigoMobigoo
    @MobigoMobigoo 9 วันที่ผ่านมา +1

    Napend xan movie za haw wa2 jaman

  • @FelistusKimanzi-f2g
    @FelistusKimanzi-f2g 10 วันที่ผ่านมา +1

    Nice one

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 10 วันที่ผ่านมา +3

    Apa ndio zuri kapata mama xaxa...ana chamba xna....eti i got you au i hate you😅😅

    • @Umal-w5c
      @Umal-w5c 10 วันที่ผ่านมา +1

      Sure pili maboga

    • @RobertMalay
      @RobertMalay 8 วันที่ผ่านมา +1

      🤣🤣🤣🤣 Got you🤣

  • @Christinasalim-j5h
    @Christinasalim-j5h 10 วันที่ผ่านมา +1

    Mweee zatiti polee mwayaaa

  • @MariamMchomvu-q3s
    @MariamMchomvu-q3s 10 วันที่ผ่านมา +1

    Vipenz tumekutana tena

  • @Saidahkims
    @Saidahkims 6 วันที่ผ่านมา

    Zatiti kila movie unalia tu sababu mapenzi wooooi bona ivi zatiti

  • @eshanjira6203
    @eshanjira6203 11 วันที่ผ่านมา +5

    Hio agachu ya pili maboga mimi ndio I like😂

  • @EzekiaMsemwa-sk7ow
    @EzekiaMsemwa-sk7ow 8 วันที่ผ่านมา +1

    Zatiti anauzi sasa movie zote analia na wanaume

  • @SabrahNibuka
    @SabrahNibuka 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona mmekata mapema jamani 😢

  • @SahaLwambi-ls8oz
    @SahaLwambi-ls8oz 10 วันที่ผ่านมา +1

    Zatiti umezidi kila siku ww,,,nyota ya mapenzi huna,,,huruma kwakweli pole

  • @ChilandeSylvia
    @ChilandeSylvia 11 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu mama anaongea sana ata anaboo

  • @mwanaally4972
    @mwanaally4972 10 วันที่ผ่านมา +1

    Mmmh mam ake zuu ni wa motooo 😂😂

  • @MonnaclassicFashion
    @MonnaclassicFashion 9 วันที่ผ่านมา +1

    Ila pili maboga hilo tusi la mbwa analipenda sana ila sio zuri kwenye kuigiza abadilike

  • @BerthaDickson-t8s
    @BerthaDickson-t8s 11 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani mbona mnamliza zatiti na mapenzi muoneeni huruma zatiti

  • @MartinaAgustino-fp5eo
    @MartinaAgustino-fp5eo 6 วันที่ผ่านมา

    Nimesom coment nying nying watu wamejanjaruka Sasa wale waomba like sijawaona tuendelee hv hv tucoment tunachojifunza na kukosoa penye mapungufu

  • @PhorahMahaza-o5b
    @PhorahMahaza-o5b 8 วันที่ผ่านมา +2

    Pili maboga jmn nimefurahi kukuona 😂😂😂

  • @FatumaSaidi-l9z
    @FatumaSaidi-l9z 5 วันที่ผ่านมา

    Da zatiti mapenz yamekutenga sana

  • @omarywangala161
    @omarywangala161 8 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani zatiti muoneeni huruma yaani yeye kila move ni wakulia tu mda wote 😂😂😂

  • @ManfeitaShahbani
    @ManfeitaShahbani 8 วันที่ผ่านมา +1

    Jmn zatit mtamkaush machoz kila sehem analia

  • @EnjoyJosephElikana
    @EnjoyJosephElikana 10 วันที่ผ่านมา +2

    Wanayo mupenda zuu nakai za titi na Tasha comment

  • @SomoeBatuli
    @SomoeBatuli 11 วันที่ผ่านมา

    Safi kaz nzuri

  • @DomitilaEmily
    @DomitilaEmily 11 วันที่ผ่านมา +1

    Zatiti na zuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @MwanamisiSuleiman
    @MwanamisiSuleiman 11 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu mama noise makers😂😂😂

    • @RobertMalay
      @RobertMalay 8 วันที่ผ่านมา

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @IddiMiraji-w8h
    @IddiMiraji-w8h 4 วันที่ผ่านมา

    Movi nzuri sana❤❤❤❤❤

  • @MaryianKea
    @MaryianKea 7 วันที่ผ่านมา

    Mganga ngonde kimamura ehee njaa njaaa😂😂😂😂😂

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 7 วันที่ผ่านมา +2

    Meno kama folen za madumu😅😅

  • @MariaMartin-vf6eq
    @MariaMartin-vf6eq 6 วันที่ผ่านมา

    ila zatiti sijui kwann nampenda

  • @FadhilaAbubakari
    @FadhilaAbubakari 11 วันที่ผ่านมา +1

    Zatiti mbn ww wakuumizwa kila siku misipendi jamani

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 10 วันที่ผ่านมา +1

    Hii movie imechangamka nanuyu mamake zuu😂😂😂jamani niko kazini mtanifanya kibarua kiote nyasi😅

  • @hassanammy4343
    @hassanammy4343 11 วันที่ผ่านมา +1

    Nomaaaaa

  • @fredstarch5184
    @fredstarch5184 10 วันที่ผ่านมา

    Mh move kali sanaaaaaah

  • @Mwanalimamasumbo
    @Mwanalimamasumbo 8 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂dada mcharuko ndani ya nyumba 😂😂😂

  • @AshaDickson
    @AshaDickson 11 วันที่ผ่านมา +1

    Zatiti kila move analia kisa mapenzi 😢

  • @MwanamisiSuleiman
    @MwanamisiSuleiman 11 วันที่ผ่านมา +1

    BUSATI NYIE MTAWACHA NDOA ZIUNGUE😂😂😂

  • @AyshaSalumu
    @AyshaSalumu 9 วันที่ผ่านมา +1

    Ngonde Leo msela 😂😂😂