ONA MIKWARA YA MKALI WENU KWA YUSUPHU MLELA, NTAKUCHAPA DOGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @marcynhumbi3534
    @marcynhumbi3534 9 หลายเดือนก่อน

    Coy mzungu alipigwa mateke na mkali wenu,angalia na wew usigwe kichwa

  • @stoppersalvage7386
    @stoppersalvage7386 9 หลายเดือนก่อน

    Mkali wenu nyinyi comedy imemshinda huyo mwengine nae bongo movie imemshinda mnapiga mdomo tu apa kama wadada wa kwenye vijora toka bana apa

  • @nancyjohnson6620
    @nancyjohnson6620 9 หลายเดือนก่อน

    Mlela utapigwa ww leta mapoz kwenye ngumi

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 9 หลายเดือนก่อน

    MLELA NGUMI ZAKO ZA SUPERMARKET,,,MKALI YE ZAKE ZA MITAANI,,NDOMANA ANAKUKANDA

  • @bahatimellita6619
    @bahatimellita6619 9 หลายเดือนก่อน

    Mzeeee makulusaaa kumbe chawa wa mkali wenu

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅

  • @madollarmadollar7097
    @madollarmadollar7097 9 หลายเดือนก่อน

    Yusuf mlela c ulikuja kupigwa tayari wewe

  • @SALEHKK864
    @SALEHKK864 9 หลายเดือนก่อน

    Tunasubiri pambano hilo