Mwanzo mwisho tukio la kuzuiwa msafara wa Lissu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @aybkham5795
    @aybkham5795 3 ปีที่แล้ว +4

    LIssU

  • @lusianajonas7684
    @lusianajonas7684 3 ปีที่แล้ว +2

    Baba askof mungu akubarik

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 3 ปีที่แล้ว +5

    Msiogope endeeleeni hivo hovo. Na ZANZIBAR karibu kitanuka.lazima utawala huuu wa kijani uwondoke. Nuksi

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 3 ปีที่แล้ว

      Ni lazima kuwe na Msimamo huo huo

    • @BoisnotereGGG
      @BoisnotereGGG 3 ปีที่แล้ว

      Mungu atakufanikisha kwakira jamboree

  • @generalidiamindada25
    @generalidiamindada25 3 ปีที่แล้ว +1

    Tundu lissu ni kibaraka ya wazungu (germany)

  • @felistamaembe4895
    @felistamaembe4895 3 ปีที่แล้ว +1

    CHADEMA hawajafanya Siasa miaka mitano hivyo Watanzania wengi sana
    walishakisahau hiki chama. Ghafla CCM na Polisi wa nchi hii
    wamekipandisha CHADEMA sana kiasi kwamba kwao sasa ni tishio. Binadamu
    unapopanga MUNGU wa mbinguni anapangua. Msije kushangaa CCM na Polisi
    hao hao MUNGU akawatumia kumuweka Tundu Lissu Madarakani.

  • @generalidiamindada25
    @generalidiamindada25 3 ปีที่แล้ว +1

    Tundu lissu ni shoga na free mason

  • @ebadimyenda2739
    @ebadimyenda2739 3 ปีที่แล้ว +1

    Polis wametumwa na serikali ya magufuli

  • @omarjumanne6744
    @omarjumanne6744 3 ปีที่แล้ว +2

    Asikofu jasiri sana sisi waisilam kimya hiyo ndo bakwata mtihani tumewekwa mfukoni

    • @sulabdul6007
      @sulabdul6007 3 ปีที่แล้ว

      Bakwata ni tawi la ccm! Tasisi hi Ilitengenezwa na nyerere.

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 3 ปีที่แล้ว +1

    WAJINGA WA CCM HAO WALIOKUWA WAPUMBAVU WANAWATEKENYA MAPOLISI KWA KUWA HUYU SIRO NI FAMILIYA YA MAKUFULI NA WATUWAKE. Wa FAMILIYA WAKE AKIOWAWEKA MADARAKANI HAWA WOTE NI MAADUWI MAHAINI 😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇😇😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿👹🇹🇿🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹👹🇹🇿👹🇹🇿🇹🇿👹🇹🇿😇👹👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿

  • @ramadhaninurrumtungi4474
    @ramadhaninurrumtungi4474 3 ปีที่แล้ว

    Hawa wajamaa hawatumwi ila maocd wanajipendekeza ili walinde ugali wao

  • @rizwankiaze9264
    @rizwankiaze9264 3 ปีที่แล้ว

    Huyu ndie askofu anaestahili sio wale wengine wanaohubiri kwa maelekezo

  • @faustinekaniki318
    @faustinekaniki318 3 ปีที่แล้ว

    Huyu askofu msanii sana

  • @geofreyjonas5403
    @geofreyjonas5403 3 ปีที่แล้ว

    Huyu askofu fake,lazima kanisani kwake anahubiri siasa,hivi ni askofu wa dhehebu gani bwege huyu

  • @mzuvendi
    @mzuvendi 3 ปีที่แล้ว +1

    Askofu yupo makini nimempemda kwa kuongea uhakika..

  • @francisaloyec8416
    @francisaloyec8416 3 ปีที่แล้ว

    Wewe askofu hupaswi kwenda hapo unaleta mgawanyiko Sisi's tukifanya hiivyo wachungaji kama sissi kitagawa nchi nasi tutaanza kumusupport rais wetu magufuri kama mkatoriki mwezetu. Unakosea askofu wa kujiimbua mwenyewe.

    • @omarjumanne6744
      @omarjumanne6744 3 ปีที่แล้ว +1

      Gwajima mbona anagombea ccm ? Huyu ameenda tu hajagombea unalopoka.

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 3 ปีที่แล้ว

      @@omarjumanne6744 umeona eee ..

    • @francomwalutende7864
      @francomwalutende7864 3 ปีที่แล้ว

      Hawa wagombea wawili wote ni wakatoliki, nchi hii wakatoliki Mara nyingi wanathubutu kugombea. Hivyo Pengo awakarishe wasigombane wao kwa wao

    • @kelvinebens5239
      @kelvinebens5239 3 ปีที่แล้ว

      Mtoa comment we ni matako Kama matako mengne

    • @anthonywilliam6510
      @anthonywilliam6510 3 ปีที่แล้ว

      Ila polis